HAPATOSHI; MPINA AMJIA JUU MWIGULU "AJIUZULU, ACHUKULIWE HATUA, ALITUAMBIA WAGANGA WA KIENYEJI"

  Рет қаралды 42,606

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 66
@onelovetz7935
@onelovetz7935 Жыл бұрын
JPM angekuwepo mpina uko vizuri JPM anekunoa
@alfredmwasandele6922
@alfredmwasandele6922 Жыл бұрын
Wewe mbunge ukovizuli Sana huyo mwigulu ajihuzulu hawezi kazi
@mohameddikaluka3162
@mohameddikaluka3162 Жыл бұрын
Arafu Hawa mawaziri hivi wanateuliwa kwa kuzingatia Nini Aswa? Maana Ata huyu Simba chawene kahoji kitu Ambacho akukielewa kabisaaaaa!! Mwigulu JIPU na huyu Rais Amng'ang'anie tu atakujalia kilio Ambacho Akinapole Mwigulu Afai Afai Afai Mara moja!
@paulshibhiti9584
@paulshibhiti9584 Жыл бұрын
Mpina mwelewa saaana msomi mwafrica bora sio mwigulu anatumia nguvu na hasira hana weledi
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Mwigulu anajiona yeye ni mtanzania na nchi ni yake msomi sana anajua sana. Lakini ki ukweli hana usomi kati ya wasomi wa nchi hii anabebwa tu
@bonifacesanagu9793
@bonifacesanagu9793 Жыл бұрын
Safi sana mpina endelea na kazi hii ibua yote madudu na mungu atakuongoza na kukulinda
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Mpina tunahitaji wabunge kama Mpina uliongea mapema kuhusu mbolea hawakukuelewa yametimia mapema mbolea hamuna
@raphaelmchilo-kx4tt
@raphaelmchilo-kx4tt Жыл бұрын
Pigeni kura ya kutokuwa na imani mawaziri mkuu
@wivinaadislausiadislausi2468
@wivinaadislausiadislausi2468 Жыл бұрын
Safi sana mpina mungu akukinde 👏👏
@raphaelmchilo-kx4tt
@raphaelmchilo-kx4tt Жыл бұрын
Waziri wa fedha hunimwizi
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 Жыл бұрын
Mpina akili kubwa
@susujeremiah195
@susujeremiah195 4 ай бұрын
Aiseeee mpinaaaa
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 Жыл бұрын
Kweli kuna uhitaji mkubwa wa kupata katiba mpya wabunge wanajituma kutoa michango yao tulio watuma kututetea lakini inakuwa kama ngonjera Kila mwaka utekelezaji %kidogo
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Tanzania hatuna wachumi tuna wala uchumi na kujitajilisha wenyewe nakuwa na kibuli malatuambiwe tuhamie bulundi mala waganga wakienyeji mala wazuri hawafi mala wanalamba asali inchi imekua yao
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Wewe acha wivu kuchukia watu bila sababu
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 Жыл бұрын
@@salehesalehe2967 kamchukia nani
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 Жыл бұрын
@@salehesalehe2967 Wewe ni Mzanzibari ndio maana hizo kauli hazikuhusu, hivi unawezaje kujibu jambo halikuhusu wewe !???
@musajuma298
@musajuma298 Жыл бұрын
Hao ndio wanaitwa manjuga hawajasoma yamekaa tu wenzie wanaongea vitu vyamana wao wanasema taarifa taarifa mwenyekiti kaenikimya kama hamna chakuongea acha msomi mpina aongee
@kassimali2273
@kassimali2273 Жыл бұрын
Ukiongelea kuhusu madeni ya kuwanzia 2021 utakua unamchokoza mama hahahhahha Mpina hurudi bungeni 2025 usiche na wenye nchi
@BahatiTuyayineBahatituyayi-q3l
@BahatiTuyayineBahatituyayi-q3l 10 ай бұрын
Mupina anafa kuwa lais
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Safi mpina
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Mwigulu analisumbua sana hili Taifa ila ngoja tuone mwisho wake
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Mpina kafilisi wavuvi Hana lolote fisadi tu anawivu na mwiguru
@hamzanangameta6243
@hamzanangameta6243 Жыл бұрын
Kibajali na msukuma wako wapi? Naona baada ya kumshambulia Dr Bashiru naona kimya kingi!!!!!
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Katika wazalendo wa kweli katika Taifa hili wewe mpina ninamba Moja kwa kutetea maslahi ya Taifa hili mungu atakutetea.
@kdazzy9967
@kdazzy9967 Жыл бұрын
Kuna jibu kubwa sana katika wizara ya fedha mama uko wapi angalia aya majipu yatatuumiza sisi
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc Жыл бұрын
Huyo fala anawadharau wabunge wote mpk mkuu wa nchi
@luthermartin1098
@luthermartin1098 Жыл бұрын
Tatizo lenu Mawaziri hivi mpo kwa kutusaidia wanaNchi au mnalindana unapinga nn ?
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
wengi wana maswali ktk haya yanayo endelea.ila ninaimani mama yetu raisi wetu samia suluhu.kama jina lake anayo suluhu ya haya yanayo endelea.kwa nilivyo muelewa na watanzania wenzangu walio muelewa raisi wetu.kwa utendaji wake na uchapakazi wake.c mda mrefufu atatoa suluhu ya haya mambo.anaenda step by stepu hakubaliani katu na baadhi ya viongozi wabadhilifu na ambao hawawajibiki ktk utendaji wao wallah atawatumbua wale wote wanao chezea rasilimali za nchi hii.watanzania tuweni na subira.
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Mpina na Mwigulu kuna jambo. Kutopendana na wivu unatawala. Akiba ya fedha kigeni itapungua hatuna Export. Korosho,pamba,tumbaku,kahawa,ndio inatuletea pesa za kigeni.
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 Жыл бұрын
Wabunge wenye Kutters nchi tungeomba wapewe muda ili kulinda heshima ya bunge na wasikilizaji
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 Жыл бұрын
Kazi ipo dharau mbaya sana viongozi wanajisahau na wanalewa madaraka
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
Usiseme kafuta haimo hakusema hivo kasema billion
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 Жыл бұрын
Mh. Mpina Una Akili Sana !
@masoudsalum286
@masoudsalum286 Жыл бұрын
Mpina apewe ulinzi, na Mwigulu afukuzwe
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
Mpina ingebidi arudi kujifunza uchumi, nadhani Pana mengi hayaelewi.
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
Mpina ingebidi arudi kujifunza uchumi, nadhani Pana mengi hayaelewi.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
Mpina ni mwamba
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 Жыл бұрын
Huyu wazili simba channel sindio mtoto wake alidharau watu hii nchi ngumu
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
...mbunge hakutamka hayo, lkn angepewa muda ahitimishe
@indalesiohenery6124
@indalesiohenery6124 Жыл бұрын
Hiyo mwigulu hajui kisimamia ndio maana alipigwa chini na mag
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 Жыл бұрын
322,na sio 360 acheni uonevu
@paulshibhiti9584
@paulshibhiti9584 Жыл бұрын
Mwigulu sikuelewi
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 Жыл бұрын
Ndyo
@sadickmlawa2787
@sadickmlawa2787 Жыл бұрын
kazoea zalau
@khalfaniutaly1303
@khalfaniutaly1303 Жыл бұрын
Uwaziri haupatikani kwa fitina
@EdgarEdson
@EdgarEdson Жыл бұрын
Endelea kukalili
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 Жыл бұрын
MUNGU akubaliki Sana 🙏 Ukovizur Mungu akuinue zaidi maana unaudhalendo na taifa lako la Tz 🇹🇿
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
Hoja za Mpina ingebidi awasiliane kwanza na Wachumi kwani Pana mambo hayafahamu.
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Жыл бұрын
Uchumi wa Tz ni siasa wala hakuna wachumi wa vitendo ila wachumi wa A za kwenye vyeti tuwasiliane
@onesmonkwabi1022
@onesmonkwabi1022 Жыл бұрын
Waziri wa fedha amelewa madaraka. Ajitafakari. Wabunge unawaambia waende kwa sangoma? Wananchi waende Burudi, kwa sababu ya tozo? Mh. Rais Dokta SAMIA SULUHU HASANI, Hawa wateule wanaendana na kasi yako? Una hazina kubwa sana ya watu wa kukusaidia, hawa wengine hata chama changu cha CCM, hawakitakii mema.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@onesmonkwabi1022 Mwigulu anamajivuno mno na kujiona yeye msomi sana kiburi hasira na majivuno.Sijui kuvaa tai za bendera ndio inaonyesha yeye Mzalendo kuliko watanzania wasomi wengi tulionao?.Kuna Mawaziri hawafai lakini Mh Raisi haoni kabisa
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
@@leokamil6284 Mpina naye hupinga Kila kitu tangu aachwe kwenye uwaziri.
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 Жыл бұрын
@@petersilas4234 Mpina hana mpango na Uwaziri, wewe unalopoka tu usivyojuwa !!!! Inaonekana mpka sasa huoni lolote Nchini wewe !!!! Hujuwi lolote unajilopokea tu.
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
Mwigulu tumemchoka
@georgengongi1969
@georgengongi1969 Жыл бұрын
Hata nyinyi mnaye comment kwa kusifia hoja za mpina itakuwa hamjui kitu mpina anadadavua vitu ambavyo havijui kabisaa ingebidi awasaliane na wabobevu wa uchumi
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Tanzania hatuna wachumi tuna wala uchumi
@lukasimaiko2092
@lukasimaiko2092 Жыл бұрын
Na wewe u,miongoni mwa,wanaotuibia.hujui haya ndiyo yanayofanya maisha kwa Watanzanis kuwa magumu.
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 Жыл бұрын
BRAT na TRAT ilikuwaje aliomba msaada?
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 Жыл бұрын
Saa zingine mnatafuta mtukanwe nyie !??? Huyo Mwigulu Wizara ya Fedha ilishamshinda, Mama Samia ameshaonyesha hayupo Serious na WaTanzania kabisaaa !!!!
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 Жыл бұрын
Wewe ndio hujuwi lolote na watu wasipoteze hata muda kukujibu wewe !!!!! Hujitambuwi.
@kassimali2273
@kassimali2273 Жыл бұрын
Huyu Mpina 2025 In Shaa Allah hapiti kwenye chama ata afanyaje
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 Жыл бұрын
Wewe Mzanzibari Mpumbavu sana wewe usicheze na maisha ya WaTanzania !!!! Hiyo CCM yako ya sasa hivi unaifahamu vzuri wewe !????????
@fredrickmwalongo
@fredrickmwalongo Жыл бұрын
Asante mpina mungu akubariki
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 257 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 132 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 257 МЛН