Long time ago dah! Kama unaitazama tena 04/01/2024 gonga like hapa tujuane wahenga wenzangu
@xamael19898 ай бұрын
Kwema 😂😂
@Rama_Mwaguya-254.Ай бұрын
Somo nyimbo hizi zafanya nijihisi Mzee kweli😂😂😂😂
@FadhiliKasegese16 күн бұрын
Kipindi hicho music ulikuwa hatari sanaaaa... Iyo P funk alikuwa wa moto sana, beats nzito sana
@fredgrapher98383 жыл бұрын
Kipaji kama cha Nature ni nadra sana kutokea...bahati mbaya hatuna shukrani na tunasahau mambo makubwa ambayo wameshawahi kuyafanya, moja ya wasanii bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania..ila kila zama na kitabu chake, lakini jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika kitabu cha historia ya Bongo Flava, daima atabaki kuwa icon wa Bongo flava..ahsante Juma Nature,
@expert5898 Жыл бұрын
Umeongea point sana
@florahkimbage9571 Жыл бұрын
Sauti ya dhahabu hata asiponekana sauti yake inajulikana hakika hakuna kama nature 🤜🤛
@Brand_P9268 ай бұрын
Huyu sio Nature huyu
@stevenstationary6 ай бұрын
@@Brand_P926chorus kaimba nature SEMA kwenye video hayumo
@ramsikhamis70834 жыл бұрын
Tunayoirudia teenaa kuichekii hii ngoma kali iliyotengenezwaa na Majani tujuanee baasii,, mim naicheki leo mwezi 2/2020 badoo ikoo 🔥🔥🔥vibayaa
@bakariadam97054 жыл бұрын
Binge langoma
@johnobote47563 жыл бұрын
Nibalaaa man
@fadilalialiabibo36402 жыл бұрын
@@bakariadam9705 Binge langoma😂😂
@rahmaothuman9422 Жыл бұрын
Nairudia leo 2023 ya tarehe 10🤣 my favorite song WALLAH
@MkoiTvTz Жыл бұрын
MTANZANIA ALIYEOLEWA NIGERIA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI HUKO.! kzbin.info/www/bejne/b5O7hZyta7aeosU MSICHANA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA TED JOHN ALIYEKUWA AMEOLEWA NCHINI NIGERIA NA TAJIRI MKUBWA AELEZA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE KWENYE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI LILIPO NCHINI HUMO. UBALOZI WA TANZANI WAMUOKOA NA KIFO KWA KUMTOROSHA USIKU NA KUREJEA TANZANIA NA WANAE WATATU, AMUOMBA RAISI SAMIA, WATANZANIA WOTE NA DIASPORA KUMSAIDIA KUHUSU WANAE AMBAO HAWAJUI KISHWAHILI HATA. CHEMBE. AONGEA NA MKOI TV, VIDEO HII HAPA, SHARE, COMMENT NA SUBSCRIBE MKOI TV ONILI AU KAMA UNA MAONI TUTAFUTE WHATSAPP NO +255713575718. KARIBUNI SANA
@kasangamrisho34055 жыл бұрын
Hii Ngoma Bana Tam Sana 2019 nipo naicheki Nani anaicheki nae tujuane Gonga like
@bakarimembe74655 жыл бұрын
Umeichek lini kaka mi naichek leo tar 21 Jun 19
@barakajpilly69005 жыл бұрын
me leo trh 8 jul 19 imeniijia kichwan toka asubuh ikabd niichek aisee
@richardmweri79185 жыл бұрын
8/9/2019
@hellyally43955 жыл бұрын
1/11/2019
@blingswaggz82654 жыл бұрын
25/1/2020
@kamilusmgaya64765 ай бұрын
Hii 6/6/2024 Kama na wewe umeicheki huu mwaka like hapa
@Ali-gk5mvАй бұрын
kali sanaaa💯🙌🏽Bonge Moja ya chorus juma nature
@mohamedikambona7537 Жыл бұрын
The voice of sir juma nature is unique and greatest of all time and will never happen in music history in Tanzania. Naichek hii Ngoma leo tarehe 31 July 2023 nikiwa hapa Simba oil Moro town with full of joy .
@mariamuhadi89586 жыл бұрын
Sauti ya juma imeibeba hii nyimbo
@lazarofrank33123 жыл бұрын
Kabisa
@suleimanomar59563 жыл бұрын
Enzi zetu...Big up P Funk (Majani) Mziki wa Bongo Majani unaudai. Listening from Neema Garden Lodge...Zanzibar,Tanzania.
@chotarawakingoni81482 жыл бұрын
Producer Bora kabisa kuwai kutokea Tanzania hii Hakuna Kama yeye
@edwardbazaneza91893 жыл бұрын
Nani tuko nae mwaka huyu2021
@innocentking5709 Жыл бұрын
Daah kweli old is gold, goma ulikisiza unataman tuu ulirudie rudie
@hashkhantantrasiraji118 Жыл бұрын
Nyimbo hzi haziboi kabisa 2023 nasikiliza ❤
@mayungamanjebe43954 жыл бұрын
Rudii kwenye game yaan mm ningelikua na hela ningewarudisha hawaa ndio walikua wasaniii
@ocgmazee40424 жыл бұрын
Tupo mazee sema Mungu yu mwema sana haozeshi kipaji
@selemanimkupe12253 жыл бұрын
@@ocgmazee4042 Duuuh tears on my eyes lids I remember farback when I used to ask my mom giving me money to pay in video show
@danytomy47454 жыл бұрын
Kitambo saaana dah ✊✊ salute nature
@ismailkatala47924 жыл бұрын
Beat ya P funk (majani) 🔥🔥
@pascalcostantine44783 жыл бұрын
P funk ni mnyama kuwahi kutoke kwa game ya Bongoflavour, much respect to him
@zerokize3 жыл бұрын
This music will remain and there will never be any like it. Miss home 🇹🇿 😩😩
@chizochivihi49156 жыл бұрын
Njoo tulimalize tatizo
@gadimbajo Жыл бұрын
Wimbo wangu bora kabisa wa muda wote, wimbo had shooting imekaa kiafrica sana big up man
@NeroForte_ Жыл бұрын
Wimbo uliharibiwa na verse takataka. URUDIWE HUU. THE BEAT WAS ON POINT. ILA VERSE ZOTE SAUTI MBOVU. CHorus nature alienda fresh.
@queenandchill916 ай бұрын
Tunga yako tukusikie basi. HATER.
@nextchapterpro Жыл бұрын
Akwelina still remains one among my fav old bongo fleva songs, kitu naamini ni kwamba those days mziki was much more of a passion than business ndo maana its more than 10 years ila hauishi hamu kusikiliza. Asanteni OCG na Juma Nature for this masterpiece.Good to see you @mapitoonlineTV
@mbaroukadam6240Ай бұрын
Nakumbuka mbali sana ❤ old song
@emmanuelmashauri89495 жыл бұрын
Video inaquality nzuri km sio ya kitambooooo
@Fredlongan6 ай бұрын
Daah!! Wagenga wenzangu mpoo 🙌🏾🙌🏾
@munyarubugaismailally1113 жыл бұрын
Ma legend tu ndo tunaelewa kinacho tendeka enzi hizi🦾🦾🦾
@abbaslivene2 жыл бұрын
Juma nature alikuwa muuwaji wa Chorus pindi hii dah!
@muddylikwena1285 ай бұрын
Yani iko kipindi hili utoke razima kolabo umpe sir nature..beat razima agonge p funky...hapo razima uwende town..yani clouds razima waipige hiyo ngoma
@Hundredaire142 күн бұрын
Nov 2024 nilipita hapa, Chorus🔥
@akwelinajohn76632 ай бұрын
Ngoma Kali sana hii
@mzeewajambo82935 жыл бұрын
Hatari sana enzi zetu Still now hit song
@ayoubshoo Жыл бұрын
These old good days ❤, majamaa walikuwa wanajua mnoo, jus a vibe huh!! Aquelina
@hadijaomy854 Жыл бұрын
Daah acha 2.. nyimbo zilikuwa zamani jamani❤
@mariamkhamida99047 ай бұрын
Juma nature legend❤
@simonndewa12102 ай бұрын
Ngoma safi sana iyo
@HassanAbdu-pq4rh Жыл бұрын
Kaka yangu Issa Abdul Kama nakuona ilivyokuwa unaimba hii nyimbo kipindi hiko mi mdogo zaidi 😃😃😃
@saidirashid39212 жыл бұрын
tujuane tunao iludia kuangalia ngoma hiii Kali yene vibe lakutosha Mimi bado naisikiliza mwaka huu 221
@Joseph-lu4yj3 ай бұрын
Ilikuwa noma sana 2004 kutoka kwenye kanda za tape up to online daaaaaa like kwa wingi wazee wenzangu
@larrykafuta5771 Жыл бұрын
Mida hiyo 2005 duuh, Agwelina 😮
@kibinzasayi Жыл бұрын
Ngoma Kali sana
@muye426jb64 жыл бұрын
Sielewi Kwa nini Sir nature hakuwa Kwa video
@ocgmazee40424 жыл бұрын
Alikatazwa na maboss wake wa Mjengoni, wakizani bila yeye Video ingekuwa mbovu, kumbe ilikuwa kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi vilevile.
@muye426jb64 жыл бұрын
@@ocgmazee4042 Duh! Hawakufanya poa walai kama aliamua kushiki Kwa wimbo video pia angeshiriki roho Safi tu
@ocgmazee40424 жыл бұрын
@@muye426jb6 Mazee fitna mwisho wake kwenye dari,ukipandaa juu zaidi kuna Mungu mtoa ridhiki.🙏🏿
@azizamakotha742811 ай бұрын
Juma nature was in form , pfunk was in form, old is gold , best voice from kiroboto j nature. We real love ,it is time when music is an art .
@innocentking5709 Жыл бұрын
Love it from kenya, ilii goma lilitisha bana thump up to majani
@kakaameena1794 Жыл бұрын
Beat ilikua 🔥🔥 2023 still ngoma kali
@Ngudure3 жыл бұрын
One of the Best classic tune bongofleva of all time.. yet I believe u had different sound to happen in Bongo to Date..
@josephmlelwa31754 жыл бұрын
Nawakumbuka leo November 2020 tunao wakumbuka gonga tano za nguvu
@Mpembuzi3 жыл бұрын
Roma ameitaja hii ngoma katika hujambo mwanangu akanikumbusha maunyama ya Majani
@ashurajuma69043 жыл бұрын
Nakumbuka mbari sanaaaa daah..
@emmanuelsimon3456 Жыл бұрын
Daah aquelina duuuh cjui 2003 hii sijui 2004 daah kitambo sana I was very young good memories haziwezi kufutika
@ashaissa-uo9qs Жыл бұрын
Nani kaimba huu wimbo
@emmanuelsimon3456 Жыл бұрын
Anaitwa Ocg nyimbo inaitwa aquelina
@francismillinga45912 жыл бұрын
OCG was also very intelligent academically he did BSc.Electronic science and communication at the university of Dar es salaam,Pursuers of this course were those students with good passes at advanced level examination.
@issamnyungu62072 жыл бұрын
Yuko wapi saivi??
@RayonSportsEcho2 жыл бұрын
@@issamnyungu6207 atuambie kabss
@tarimowakweli2 жыл бұрын
Nipo ndugu yangu Issa
@bakarbakarali-cw3gc Жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo sio ss bit tupu ,etc mama amina nyimbo mzima bas
@miltonmachage246211 ай бұрын
@@tarimowakweliww ni ocg
@hadijaabdul44008 ай бұрын
Hii❤ngoma naipenda kinomanoma
@joptzurassa84383 жыл бұрын
Muziki ulipokuwa muziki hasa. Salute kwa legends wa huu muziki 💪🏿🙌🏿
@tarimowakweli3 жыл бұрын
Nashukuru ndugu yangu
@joptzurassa84383 жыл бұрын
@@tarimowakweli one love mwamba. Kipindi umetoa hii ngoma ndio nilikuwa nimeliza primary nimeingia secondary, tulikuwa tukiiimba sana
@robertsamwel33112 жыл бұрын
Ocg N mwanetu Sana Sema taarifa ya kuwa Ni msaniii tumechelewa sana kuipata 😂😂
@tarimowakweli2 жыл бұрын
Duuuh pole kwa kuchelewa mjomba
@nicholausjeremiah.52294 жыл бұрын
Duuhhhh milele wakina mondi hawawez fika hapa
@tarimowakweli4 жыл бұрын
Aluuu heshima sana Soja
@nehemiambise43073 жыл бұрын
God sana 2021
@adamsthedonytv6363 жыл бұрын
Demu wangu ameniacha nmekuja huku 2021 mko wapi njoo na like yko hpa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kadirialmas34283 жыл бұрын
Nature ametisha
@allyumar41424 жыл бұрын
Hyu p funk ni scott storch wa hpa bongo, yan bonge la biti katengeneza.
@vansmaterial57427 ай бұрын
nyimbo yangu pendwa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯👊
@cptnbazil61219 ай бұрын
Bifu za kweli enzi hizo nature kasusia video kisa kutoelewana na OcG but siku hizi kiki tu bonge moja la Ngoma
Kipindi hicho nyimbo za mapenzi zina anzia barabarani zina ishia sebuleni .. sikuhizi sasa Ngoma zina anzia kwenye chumba wakiwa wamevaa nguo wanataka kuzivua tuu
@coastermbega60094 жыл бұрын
Kwer
@ocgmazee40424 жыл бұрын
Duuuh short cut flani
@fadhilialen17473 жыл бұрын
Hi ngoma kali kichizi an majan ni fund
@josephmlelwa31753 жыл бұрын
Nakumbuka sana si tukiwa tosa wapi mwanangu
@agyvutz43363 жыл бұрын
Juma please come back we miss your music and ur talent
@theonlyone32084 ай бұрын
Who still here in 2024
@fantuskahindi9092 Жыл бұрын
Uki watch hapa,make sure umenyosha ✋ ndio uende😂
@24seventz3 жыл бұрын
nawakubali sana mabrother. je naruhusiwa kufanya cover refix ya hii ngoma?
@tarimowakweli3 жыл бұрын
Fanya hivyo na uwe na amani pia
@24seventz Жыл бұрын
Bless sana wakuu
@straitnews34414 жыл бұрын
Wa 2020 hapa
@bakarmahela70484 жыл бұрын
Kitambo!!
@abdulmwakyagi35308 ай бұрын
nataman niisikiliz akwelina kweny daraja la mfugare
@isayamsovela40093 жыл бұрын
Jkt 2004 op utandawazi miaka hiyo duuu aise nataman kulia