Unaongea fact brother ,mungu akubarik sana kwa kazi zako
@fredymwakikono1575 Жыл бұрын
Harmonize umekuwa very humble, hiki unachofanya sasa hivi ndo ulitakiwa uwe nacho toka umetoka wasafi, ungepunguza maadui ulionao sasa, concetrate on making good music, recognize mchango wa waliokusaidia na waliotangulia na ww concetrate kwenye good music basi, kama ulivyoona Single again imekupeleka mbali basi achana na mambo ya "Hawaniwezi" n.k coz zinazidi kukujengea maadui na si kukupeleka mbali, umeongea kikubwa sana, mi mwenyewe nilikuwa nakuona huna shukrani, huna fadhila lakini umeongea as a matured person, forget abt the past na focus kwenye malengo yako, kama unavyosema there is only one you, so keep on beeing you and nof compare with any one na the only you will make you reach where you want to be, Single again
@mohamedsudi6032 Жыл бұрын
Unamwambia konde ama unaiambia east Africa tv?
@mtwichetz4514 Жыл бұрын
Asingetoboa apo alipo mabifu na kushindanishwa kumemkuza saana
@kabelege Жыл бұрын
An essay
@Ramfour-hx6iz Жыл бұрын
Team konde tujuane hapa kwa kudondosha like zenu
@tonoboymwatonokaaa2862 Жыл бұрын
Ili litembo nikama limekua bwana saizi naona limejipata safi sana jeshi majibu yako yanaonesha kweli umekua baba👏👏
@chrisbalumisa607 Жыл бұрын
Harmonize has grown up, he is matured now. He is so calm and his responses are on point. ❤
@BAHATIKIBA-ul6wx Жыл бұрын
Kihukwel Konde Najuw Ushakuw Mtu Mzim Unahelew Nan Aduh Nan Rafiki Kikubw Allah Akujaliye Akupunguziy Mahaduhi🎉🎉🎉🎉🎉
@sedjotshomba4867 Жыл бұрын
Konde boy jeshiii tembo harmonize he is very smart person
@aristarqueakimana Жыл бұрын
Praaah konde gang forever bless
@dkensmopainvevo3683 Жыл бұрын
Interview moja saafi saana konde unatema knowledge🎉❤
@SululuZungu-kx8ws Жыл бұрын
Umejib kikubw sana hp.kuhus fela bg up sana ila Allah akuongez kila ki2 👏
@SolomonBenjamin-to5ik7 ай бұрын
Hii siku konde Ulinena mwanetu big up🎉
@lazokmusictopic4855 Жыл бұрын
Napendaga Sana ma swali ya uyo mshikaji wa kofeya ya blue
@ManichManich-yj4sl Жыл бұрын
Harmonizee❤❤🎉🎉
@rejobu9723 Жыл бұрын
Team harmonize %100
@josephatSwai Жыл бұрын
Leo umeongea vzr sana konde nikuombee tulia na diamond mtafika mbali sana kka
@VitusEmmanuel-pe3yi Жыл бұрын
Nakubal mzee wanguuu Kwa kuongea point napenda hiz chuki tuzimalize wote ni wtz
@rnikeofficial8151 Жыл бұрын
Nakubali
@SuleymanRajab10 ай бұрын
Telling my own truth I came to like konde jeshi to me it seems its a very humble and honest guy my first name is Rajab wish u all the best never abuse the gift God has given to u otherwise?
@Lanihsarumu Жыл бұрын
Makini ❤❤❤
@mahmoudmihanjamu669 Жыл бұрын
Fact tupu yani
@SuleymanRajab10 ай бұрын
Harmonize carry on nice guy respect elders and believe in God as in Allah we Trust
@SichembeBrian26 күн бұрын
Nakukubali Sana bro
@shaban6644 Жыл бұрын
Jamaa mwenye kofia ya blue kauliza bonge moja la swali kuhusu Kumblock Ney 😂😂, Nice Qn. Dogo akili mingi sana. Bonge la presenter.
@BabieLovee Жыл бұрын
ukuma huo, swali linakusaidiaje kwenye maisha ya kawaida hilo zaidi ya kueneza na kuchochea chuki??
@MohamedNgaromba Жыл бұрын
Konde safi sana nakukubali sana
@KyosoMwakalinga Жыл бұрын
Good bro!
@KyosoMwakalinga Жыл бұрын
So beut !
@AkoMaro-m3n Жыл бұрын
Xema umesema Kwamb wahuni hatuishi Kwa mifano ❤
@ombenikaseke5453 Жыл бұрын
Dogo amekuwa Sasa, mimi ni wcb damu Ila huyu Dogo siku izi ananifurahisha sn siku hizi
@farajalongo4528 Жыл бұрын
27:42 "Bodyguard anachat kidogo." Sema janjaro mwenye kapelo alipiga msuli mwingi. Amemchimba sana KondeBoy 😂😂😂😂😂😂
@ElishakellyMahuno7 ай бұрын
Nakubali kond ..sana iyo niukweki
@vitusmzindakaya6166 Жыл бұрын
Dogo umekuwa cool inteview
@shabanramadhan2181 Жыл бұрын
Mtangazaji,Alie va cap yupo makin sana!!hapendi uongo uongo.
@EMMAMDTZ Жыл бұрын
Konde saiv kaujua mchezo apo safi aya ndo maisha✊
@DanielAmos-eg7bh7 ай бұрын
Kat ya msanii ambay ni bor huy achan na washamb wengnewengne hao mara yul mshenz diamond cjui nan Huy ambae ana pgo za kishoshti kondegang for everybody
@michaeljuma254 Жыл бұрын
Ila harmonize mnafki sana, c angetokea kwenye wasafi festival kama anajua ilkua muhimu kutengeneza amani, mbona alienda mitandaoni kuchafua mwenzake kuhusu wasafi festival? Aache unafki bana
@man90silayo32 Жыл бұрын
Fact zinajieleza.wakubwa watakuelewa
@MuanassaChabane Жыл бұрын
Mungekuwa munanyamaza kimya mashabiki wasinge gawanyika sema vijembe vingi mnapigiyana
@Sameer.Zlatan Жыл бұрын
The way harmonize killed that boy with the hat his flows is awesome and matured !!... Boy was feeling shy
@ChuxDaniel Жыл бұрын
Uyo janja mweupe anauliza maswali ya akiutuuzima sana sio uyo mweusi yeye anawaza maugonvi tu
@JumaJuma-fu7ji Жыл бұрын
😂
@Harmo-Mki01 Жыл бұрын
Harmonize on toppp ❤❤
@AristoteNdeles10 ай бұрын
Never give Up my bro
@humphreywilliam3070 Жыл бұрын
Nakuona mwanangu Melody
@EvanceBoy1997 Жыл бұрын
Are you number 1
@ibrahimsadick6137 Жыл бұрын
Interview kali sana
@HamisiJoseph-e6v11 ай бұрын
Daimond ft chike collaboration ya kimataifa
@EvanceBoy1997 Жыл бұрын
Konde anajibu vzr
@MusanganyaJackson9 ай бұрын
Wedada nakukubali kinoma
@bushradubai182 Жыл бұрын
❤❤❤
@PamnasMaghanga6 ай бұрын
Team konde.forever💯💯
@KulwaLylian Жыл бұрын
Safi sana una ushauri mzuri kwa vijana sana na rika zote pia..napenda pia umavotufafanulia wenzetu wanavyoishi
@RehemaRehema110 ай бұрын
❤❤❤
@abdulwahidsuleiman Жыл бұрын
🎉
@britonkanumba6828 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu mdada nani anisaidie niwasiliane nae
@FrancisAkyoo-b1u Жыл бұрын
Mdogo mdogo tu atuna noma nao
@EgbertRutatina9 ай бұрын
❤
@Mezooofficial Жыл бұрын
Nakuelewa sana rajab kuna kitu naget
@shaban6644 Жыл бұрын
Jamaa mwenye kofia ya blue anauliza maswali yanayomuumiza kidogo akili harmonize, Dogo akili mingi sana. Bonge moja la presenter.😂😂,
@BabieLovee Жыл бұрын
ukuma huo, swali linakusaidiaje kwenye maisha ya kawaida hilo zaidi ya kueneza na kuchochea chuki??
@EEMCTayomi-ep7rx Жыл бұрын
A boy is now grown up
@salimmwabundu958 Жыл бұрын
Harmo kaspeak sense sanaaa
@Mbaley Жыл бұрын
Matuarity
@wilondjaselenani5358 Жыл бұрын
👑👑👑👑🔥🔥🔥🔥
@MoneyKey247-fk4oy Жыл бұрын
Harmonize umeanza kuongea poent siku hizi hapo lazima uvune mashabiki wengiii🎉
@JuliusboiLaitaboi Жыл бұрын
Konde gang
@mjumbemwanda9666 Жыл бұрын
Akili kubwa
@humanizerupdates-jb1wo Жыл бұрын
HE IS ALWAYS POSTIVE VIBED BOY ALWAYS THINK EAST AFRICA MUSIC INDUSTRY
@barakaWeteshe Жыл бұрын
By Joshua baraka "Kuna watu katika dunia hii , hawahitaji pesa ili wawe na furaha . Wala hawahitaji mali na vitu vya thamani . Bali mtu mmoja tu wa kuwasikiliza na kujali hisia zao " Unakubaliana na mimi?
@rashidyusuph596210 ай бұрын
Sure ,100%
@raphaelkanoni345311 ай бұрын
Yani hamuwezi kufanya interview bila kumtaja Diamond platnumz
@bazilamusa6917 Жыл бұрын
Homeboy
@paulmunzaa7829 Жыл бұрын
Team konde your likes hear
@aisha_mohammed5825 Жыл бұрын
#harmonize 🪖🐘
@falesmasabo6679 Жыл бұрын
uyo security alokunja mikono yuko vzr San, mud anahangaika tu kutafuta ukuta ajiegeshe UTI ishamaliza kiuno 😂😂😂😂
Uyo dogo mweusi mwenye kofia ya blue anauliza masuala ya Ugomvi tuu na Shari …. Ndo hayo anayoyasema konde tumewekeza sana kwenye uadui…. Dogo white hapo kati anauliza facts sana
@bainolatino3412 Жыл бұрын
Rich umerudia kofia leo kama wiki mbili zizopita ulivaa
Harmonize ni mnafiki umehulizwa swali nzuri #mashabiki wa diamond kuuzuriy kweny show yako au yeye mond kuwap attention ili mushambuliy kwa pa1 Kam Niagara Unapo jibu generation au 10yrs ago sio la msingi uyo davido ana miak ngap kweny game
@Brookclc Жыл бұрын
Hi ndugu zetu au niseme majirani zetu wa bongo mimi ni kijana wa uku Msumbiji ni nacho jiuliza ni ivii, kwanani munakuwa na biff sana wenyewe kwa wenyewe inafikia hatua zote social media munatangaza Vita zenu kwani mukoje?
@DemuleKasikile8 ай бұрын
napenda sn konde by 🇨🇩🇨🇩💪💪💪🫶🫶🫶👍👍👍🗽🗽🗽🗽
@Doremi_pro10 ай бұрын
Konde apewe uongozi basata
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
Achaneni na huyo mi bange
@mropeamadeus54 Жыл бұрын
Ndugu Yanga usimdharau mtu plz, kesho aweza kua mtoto wako au ndugu yako, ndio maan watu tuna sema kichaa wa mwezako anachekesha wakwako ni uzuni jifuze kuheshimu watu kila mtu ana mapugufu 🙏
@ZabronGelald Жыл бұрын
Bangi kavuta babako nae chiz
@AbeliSangah Жыл бұрын
Wewe kapime akili
@ManichManich-yj4sl Жыл бұрын
Babako muuza mkundu anauzanga wapi bangii
@fauziaabdillahi376 Жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa uliposhuka airport na kuita waandishi wa habar ukimsema diamond vibya tena ya uwnongo leo yako yasemwa ya ukweli sote twavuta bangi lkn sifaa punguza zitakuponza
@gumatvshow Жыл бұрын
Kuna bruce melody na shaggy
@archiemwambada7871 Жыл бұрын
Nipo nai team konde gang
@kelvinimasagasi7398 Жыл бұрын
Vizur unaongea ukwer
@Kaida_Cut25410 ай бұрын
Leo ndio naona hii interview, Kuna mwalimu alituambia hivi. Dunia hii Kuna wasema ukweli watatu. 1: chizi 2: mlevi. 3: mtoto mchonga. . Chizi anaeza kaona kitu na anasema Ila hakuna atakaemuaminikua kasema ukweli. Na ni rahisi sana kufanya kitu Cha Siri chizi akikuona maana unajua hata akiambia watu hawatamuamini. Pili mlevi anaongea ukweli sana maana amepata ujasiri mkubwa wa kuzungumza bila kuogopa chochote, maana anaendeshwa kwa muda huo, . Tatu mtoto unaeza iba nyama kwa sufuria ukachangia na yey na kumkataza asiseme Ila wazazi walifika utaskia, mama harmo ameiba nyama tukachangia akasema nisiseme eti nikisema atanichapa na Mimi sitasema. Yani yey anajua ameficha Siri kumbe amesema yote.
@AbdallahChembela-vn2md Жыл бұрын
Sasa Kama mkubwafela mwenyew anamsapoti diamond, wakati yeye ndiye alitakiwa anahakikisha Hawa wasanii wote wanakua kitu kimoja , unafikili Hawa wasanii wataungana ?? Ndio maana unakuta kila mmoja na maisha yake
@TIN62610 ай бұрын
Mkubwa amep
@jeremiahcharles6027 Жыл бұрын
Sema harmo siku hizi anaongea kwa nyodo Sana mpaka anaharibu ,anaongea kama Yuko kwenye kipindi cha DIVA THE BOSS,,😁😁😁😁
@dangote1651 Жыл бұрын
The ni mnafki iyo ndio shida tu
@mnyamwezijuma1140 Жыл бұрын
Ka rich msafi kameona aibu kanainama 🤣🤣🤣🤣🤣 kofia ya blue and yellow inachanganya Mada 🤣🤣
@miracletv7749 Жыл бұрын
Kanataka kaongelee mihadarati kwenye Media 😅😅😅😅😅😅
@rnikeofficial8151 Жыл бұрын
Unyama mwingi
@FrankElias-u9i Жыл бұрын
Uyu dem anamaswal magumu sana 😂😂😂 alafu lazima ujibu mana harmo alicho kua Ali wala umu wasaf wasanii wake ndio wanamlaum mnafiki sana uyu jamaa alafu et anajikuta amekua kumbe mshamba tuu na kwa mond utasubili sana