HARUSI YA KENYONYO PART 1 💍

  Рет қаралды 54,063

Kizazi OG

Kizazi OG

Күн бұрын

Пікірлер: 153
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 ай бұрын
Huyu ndio mume atampenda sana mke wake kwa kukubali kuolewa naye tena ataishi maisha mazuri sana
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 ай бұрын
Sana
@rizikikalalu9529
@rizikikalalu9529 3 ай бұрын
Mungu akubaliki kanyonyo nimefulahi kabisa sana
@kizaziog
@kizaziog 3 ай бұрын
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 ай бұрын
Nirijua na music au masiara yao na ramama kumbe kweri mungu awabariki vijana mnaotoka kwenye uzizi
@festommakoti6151
@festommakoti6151 3 ай бұрын
😢😮
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 3 ай бұрын
Kumbe kweli ameoa. Mungu awafanyie wepesi kwenye ndoa yao
@iranangole7007
@iranangole7007 3 ай бұрын
Dah Jambo Zur Sana Ndoa Ni kitu kidogo lakn kuipata Shetan inatakiwa umshinde sana
@ButoyiThierry-j8e
@ButoyiThierry-j8e 3 ай бұрын
Kenyonyo Burundi tunakupenda sana mungu akusaidie ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 3 ай бұрын
Wishing them the best of best❤❤❤❤❤❤
@RemyJoseph-p1p
@RemyJoseph-p1p 3 ай бұрын
Ndowaa ya kihuni badaa mchngji mwenywee alikuwaa na andasii
@IsiahMosl
@IsiahMosl 3 ай бұрын
Hongeren wanandoa mpendane milele.
@MalaikaLaizer-r6n
@MalaikaLaizer-r6n 3 ай бұрын
Kenyonyo kula muwa ❤
@AgnesSaimon-u6t
@AgnesSaimon-u6t 3 ай бұрын
Mungu awatangulie kwenye maisha yenu
@EmmaKirua
@EmmaKirua 3 ай бұрын
Usikufuru kusema kimune kifupi,hakika mungu anakusudi na huyo aliyempenda .
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 3 ай бұрын
Watabarikiwa sana dada utamuona Mungu katika ndoa yenu hamtaamini
@Steven-v9g
@Steven-v9g 3 ай бұрын
Good kenyonyo nakukubali sana
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 3 ай бұрын
Mambo ni OG hapa wewe nimevutaa jikooo weweee
@NoorPrince-v1v
@NoorPrince-v1v 3 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉 jmn kumbe kweliii bs allah awajalie kila lakheir liwe kalbu yenu❤❤❤
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 3 ай бұрын
Umemuacha Lamama we kenyonyo
@JohnKiboko
@JohnKiboko 3 ай бұрын
Kabinri karembo mungu awape uzao bora jamani❤😅
@CarolineMsuya-j2d
@CarolineMsuya-j2d 2 ай бұрын
❤❤❤MUNGU awatunze
@kiswahilitv
@kiswahilitv 3 ай бұрын
HONGERA BRO @kenyonyo
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 3 ай бұрын
Dada kama hataki😂😂
@BethiGody
@BethiGody 3 ай бұрын
Hongera zenu jamn Mungu awasimamieeeee kwenye ndoa yenu
@AghHh-v3f
@AghHh-v3f 3 ай бұрын
Mwanaume Hawagi mudogo 😮😮😮 kwamwanamuke
@AdellahJonas
@AdellahJonas 3 ай бұрын
Marshall wamependeza ❤🎉🎉
@fasterdeule9668
@fasterdeule9668 3 ай бұрын
Heheeee iiyote sanaa tu wale ela za muheshimiwa mchungaji mbona anafundisha ndoa kwa hasira ivyo hatumii hekima ya kiroho ya upole anakuwa kama anakandamiza zege aseee uyo vip😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 ай бұрын
Kwanza ya kweli haya?!😂😂🎉
@LeoniaNicodemus
@LeoniaNicodemus 3 ай бұрын
Jamani huyo ni mchungaji wangu ndo alivyo msimhukumu hana hasira hata kidogo
@FarajaGodson
@FarajaGodson 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwishaa
@EdithaMwingilolo
@EdithaMwingilolo 3 ай бұрын
Hiv ni kweli mm nilijua ni mamb ya mtandao t
@HalimaHaji-b7q
@HalimaHaji-b7q 3 ай бұрын
Mungu awatete
@sophyodago5062
@sophyodago5062 3 ай бұрын
Jamani nyie watu mmemuonea kenyonyo kadogo duh!! Hongereni
@kizaziog
@kizaziog 3 ай бұрын
😅
@Suzanapaskoqnkn
@Suzanapaskoqnkn 3 ай бұрын
Ndiyo umbo ariro pewa na mungu
@JohnBernad-r7z
@JohnBernad-r7z 3 ай бұрын
Ila kk mxhauli na anko zala aowe😊😊😊😊
@ShabaniJuma2016
@ShabaniJuma2016 3 ай бұрын
Kenyonyoooo nakubari sana pambania kombe
@kingngoshazephania4344
@kingngoshazephania4344 3 ай бұрын
King 👑 of reggae music in dodoma
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 ай бұрын
Hivi ya kweli haya?!😂😂🎉🎉🎉🎉
@wilfredjohn4829
@wilfredjohn4829 3 ай бұрын
Wamependeza kweli
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 3 ай бұрын
Mashaallah tabaraka Allah Akbar ❤
@barickprogrammer
@barickprogrammer 3 ай бұрын
Kwishaaaa hiyoooo😅😅😅😅
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 ай бұрын
Mm nilijua ni movei jamani kumbe kweli,,,Mungu awatunze
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 3 ай бұрын
Wanajua kuigiza Tanzania pongezi kwenu❤❤
@AnuaryShedafa
@AnuaryShedafa 3 ай бұрын
From shinyanga mwanetu kenyonyo nilijua unatania kumbe ni seriously 😂😂😂❤❤hongera mapeeema mapeeema
@justinamunuo8006
@justinamunuo8006 3 ай бұрын
Na kweli kizazi ni Og
@AdrofinaKilibuche
@AdrofinaKilibuche 3 ай бұрын
Hivi wamefunga ndoa kweli au ni maagizo
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 ай бұрын
Jamani nimefurahi sana. Kawa mwanaume
@pauloegbert515
@pauloegbert515 3 ай бұрын
Waswahili wana maneno sana
@MatildaFrank-bp5oq
@MatildaFrank-bp5oq 3 ай бұрын
Kumbe ni kweli!!.
@ElizabethFabian-pn8bv
@ElizabethFabian-pn8bv 3 ай бұрын
Kwan ni kweli au kuigiza
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 3 ай бұрын
Ivi ni kweli au
@ايتيتووينويو
@ايتيتووينويو 3 ай бұрын
Kasauti kake2 kenyonyoo ila hongeren sana
@MsisiOfficial
@MsisiOfficial 3 ай бұрын
Mwanang sanaa 🎉💪🙌
@godinolasco9858
@godinolasco9858 3 ай бұрын
We tapeli
@innocentchristopher7571
@innocentchristopher7571 3 ай бұрын
Nmefurah sn kumuona kenyenyo
@EricahFransic
@EricahFransic 3 ай бұрын
Mbona kaz sana
@fasterdeule9668
@fasterdeule9668 3 ай бұрын
Dogo analingana na kikapu ch sadaka😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uyo mke ata muweza kweli a
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂nyau we
@jemamdendemi9636
@jemamdendemi9636 3 ай бұрын
🤣🤣🤣😅ramama
@evavalentine3132
@evavalentine3132 3 ай бұрын
Umemaliza kuzaa mungu akupe kama uyo amina
@KhadijaAli-zd8jq
@KhadijaAli-zd8jq 3 ай бұрын
Hongera binti ❤❤❤❤❤
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 3 ай бұрын
Binti haelewi elewi😮😮😮😮😮
@SaidKilua
@SaidKilua 3 ай бұрын
umetisha
@HudhaimaJoseph
@HudhaimaJoseph 3 ай бұрын
Dah mungu awatangulie
@annamussa185
@annamussa185 3 ай бұрын
Huyo fundi akili zake ndo ziliishia hapo kwenye hiyo nguo ya msimamizi😮😮😮😮
@kamarhelo
@kamarhelo 3 ай бұрын
Nashangaa yani bola asinge weka hiki kitambaa kilicho pita hapa chini amekua kituko kweri
@LatifaCharles
@LatifaCharles 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@GraceDeograthius
@GraceDeograthius 3 ай бұрын
😂😂
@FredyMachota
@FredyMachota 3 ай бұрын
Hongera kenyonyo
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 3 ай бұрын
Big up bwana harusi
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 3 ай бұрын
Jaman hii sehem ya umee kweli inaweza kufika kwa huyu mama kweli 😂😂
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 ай бұрын
😂😂
@SarahNambela-m1v
@SarahNambela-m1v 3 ай бұрын
Mimi nashindwa kuelewa ivi ni maigizo au uongo tu
@Chia-f4w
@Chia-f4w 3 ай бұрын
koroom chamnyet piikyok love from kenya
@Khadija1234-k8v
@Khadija1234-k8v 3 ай бұрын
Nakupendraaaaaaaaa😧
@RemyJoseph-p1p
@RemyJoseph-p1p 3 ай бұрын
Ndowaa ya kihuni mchungaji mwenywee alikuwaa ands
@JacksonMasala-f6g
@JacksonMasala-f6g 3 ай бұрын
Mhuni ni wewe
@NosimLemomo
@NosimLemomo 3 ай бұрын
Hivi ni kwl au maigizo jmn
@Mahonda8080
@Mahonda8080 3 ай бұрын
Duh sasa itakuaje🤔
@Mesalimmwadarashi
@Mesalimmwadarashi 3 ай бұрын
Mji mgumu huu😂😂
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 ай бұрын
😂😂😂 haki wallah
@jullykweka4502
@jullykweka4502 3 ай бұрын
Mbona awashikan mikono jmn
@TherenceIrankunda-pw5mh
@TherenceIrankunda-pw5mh 3 ай бұрын
Kumbe ni ukweri
@1599k6g
@1599k6g 3 ай бұрын
Huyu mwanamke hayuko 😮seriously mjuwe
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 3 ай бұрын
Ushindwe kwa damu ya YESU
@1599k6g
@1599k6g 3 ай бұрын
@@karibunyumbani3824 khee 🤔😂😂😂 sasa nishindwe Nini nmemtuma anune🤣komaaa
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 3 ай бұрын
@@1599k6g 😏
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 ай бұрын
Wewe ndio haupo
@1599k6g
@1599k6g 3 ай бұрын
@@زيتونتنزانيا kojoa ulale huko 😀🤣😂 Mimi ni dada ake kenyonyo kwahy stak wifi anayenuna
@TeddyTheresiamboya
@TeddyTheresiamboya 3 ай бұрын
Wasanii bwana hapa akina hamisa mobeto hawakaw kumpora huyu dada huyu bwana harus
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 3 ай бұрын
Bana hii ni igizo 😅
@JuvenalPeter
@JuvenalPeter 3 ай бұрын
Mung akubariki kenyony
@Aboytsembea
@Aboytsembea 3 ай бұрын
Mnawakika kinyonyo atapelekea moto uyo binti ama 😂😂
@CyplianSambagi
@CyplianSambagi 3 ай бұрын
😂😂😂 jaman
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 3 ай бұрын
Wameoana😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 ай бұрын
Mm😢kweli mbona ayo ajapost
@Bongoupdates1
@Bongoupdates1 3 ай бұрын
Kwa hiyo diperato kalala mbele
@MarthaMilaj
@MarthaMilaj 3 ай бұрын
Mbona bi harus mbona mnyonge
@Antonijoku
@Antonijoku 3 ай бұрын
Jmn msimu dharau meaning no nyie mna zaa hankie watt wenu watapenda Sehem gan
@AishaAli-oz1wu
@AishaAli-oz1wu 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli 3 ай бұрын
Ila mapenzi haya
@siamnyone8403
@siamnyone8403 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂NAsuaaaa
@DoreenNyange
@DoreenNyange 3 ай бұрын
Hao waimba kwaya wanashangilia mpk wanakimblia madhabahuni😂😂
@jemamdendemi9636
@jemamdendemi9636 3 ай бұрын
😂😂😅
@kenyonyo
@kenyonyo 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@PeterIdd-d3c
@PeterIdd-d3c 3 ай бұрын
KKKT Daaaah
@suzanaaloyc4903
@suzanaaloyc4903 3 ай бұрын
Uyu mchungaji mbona ana arakisha ivyo kufungisha iyo ndoa
@EmaanAl2
@EmaanAl2 3 ай бұрын
Mmmhhh😮😅😅😅😅
@Hongkong-765ul
@Hongkong-765ul 3 ай бұрын
Bibi harus hata magot hakun duh
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 3 ай бұрын
😂😂😂😂😅😅😮😊
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 3 ай бұрын
Haka kadem kama hayuko Sirius vile
@AvrilMegan
@AvrilMegan 3 ай бұрын
Cha ajabu wanawake wataanza kumuona kenyonyo bone la handsome wakati walikua wanamuona kituko
@adamuandrea6658
@adamuandrea6658 3 ай бұрын
Kanisa lina magunia sijui ya cha Arusha?
@pendo8082
@pendo8082 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@BarnabaSarya
@BarnabaSarya 3 ай бұрын
Wataachana tuu
@lilasuliman552
@lilasuliman552 3 ай бұрын
Akitaka kumkumbatia lkn mke ainame
@soleilm823
@soleilm823 3 ай бұрын
❤🎉🎉🎉💞👩‍❤️‍👨🫂🇧🇮🙏🏻🙏🏻
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
Hahaha Arusha kuna kazi😂😂😂😂
@Mesalimmwadarashi
@Mesalimmwadarashi 3 ай бұрын
Tena pevu sana
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 3 ай бұрын
Mnoooooo kumeiva😂😂
@AsumaniMAtanga
@AsumaniMAtanga 3 ай бұрын
😂😂
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 3 ай бұрын
Me kimume kifup hivo hapana kwa kweli 😂 😂😂😂😂😂
@aminakasim1198
@aminakasim1198 3 ай бұрын
Astaghfirullah 😂😂😂
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 3 ай бұрын
Kama nimwanao utakubali aowe,, au ushamaliz huzazi
@IsiahMosl
@IsiahMosl 3 ай бұрын
Niwewe kila mtu anahaki ya kumchagua ampendaye
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 3 ай бұрын
Ila Kenyonyo angemuoa Evodia wa FUTUHI ndo wangeendana😇😇
@LatifaCharles
@LatifaCharles 3 ай бұрын
Mfano umemzaa ww utakubali aoe au azeeke hvy hvy hujamuumba ww kma huwez kuwa na mfupi tafuta warefu mbn hujalaimishwa ndugu
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 3 ай бұрын
😊😊😊❤✝️🇧🇮🇰🇪
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 ай бұрын
Amishikilia maono ya kaka yao makonda. .makonda aliyesema vijana waoe ukumbi bure
@HappyMsele-n8r
@HappyMsele-n8r 3 ай бұрын
Mbona kama dada anafurah jamn
@pengefeza2563
@pengefeza2563 3 ай бұрын
vizuri
@youngbabonmuhuni
@youngbabonmuhuni 3 ай бұрын
Kwere
HARUSI YA KENYONYO PART 2 💍
7:06
Kizazi OG
Рет қаралды 16 М.
HARUSI YA KENYONYO PART 3 💍
7:06
Kizazi OG
Рет қаралды 13 М.
Magufuli Awaka
4:37
Alman Mzalendo
Рет қаралды 1 М.
MWANAFUNZI MWENYE KIPAJI AMUIGIZA RAIS SAMIA KILA MTU KICHEKO TAZAMA!!!!
7:51
NGOMA NAGWA AVAMIWA USIKU, ONA WALIVYO ZICHAPA NA MAN FONGO
14:00
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Zabron Singers.
Рет қаралды 5 МЛН
HARUSI YA KENYONYO PART 4 💍
5:30
Kizazi OG
Рет қаралды 5 М.