Ukitaka kujua ushenzi wa wazungu, hawataona hili km jambo lamaana la mwafrika kuwa na neema ya miaka mingi namna hii. Sidhan km watamuingiza kwenye kitabu cha Giness. Hongeren sana
@AvrilMeganАй бұрын
Dah nyumbani kabisa ila sikuwahi kujua kama huyu bibi yupo asee, manushi tumebarikiwa sana alafu kumbe anatokea kwenye ukoo kabisa ❤❤❤
@janetchinga6953 ай бұрын
Uwo sio msiba 127 mungu akupe nini ❤❤❤❤❤ celebrities her 😍
@pastorteddywaziri57543 ай бұрын
Naungana na wanandugu kufanya sherehe🎉🎉🎉.Bibi mbinguni moja kwa moja.Ukimcha Mungu maisha marefu lazima
@GatekaFatmaАй бұрын
Nanikakudanganya kuishi muda mrefu ndo kupata pepo
@joycemkeka37693 ай бұрын
Ni neema tu kutoka kwa Mungu mwenyewe ikimpendeza Mungu nasi atujalie kuishi muda mrefu kwa neema ya Mungu 🙏🙏🙏
@HafsafakiKhamis2 ай бұрын
Dunia hiii😂😂😂😂😂😂
@dicksonkilupa22583 ай бұрын
Huu siyo msiba , msiba ni kwa anayekufa kabla ya umri mkamilifu, bibi alijua kuna Mungu ndo maana aliwahi kwenda kumtolea sadaka ya shukrani. Hajaacha yatima bali watu wazima.
@elizabethkalinga08223 ай бұрын
Kweli Kabisa, alimjua Mungu , Ali Mheshimu na Kumpenda Mungu. Nami Bibi yangu Mzaa Mama Akipata Neema ya kurudi kwa Baba akiwa na Umri wa 122 . Mpaka anaondoka alikuwa anatembea, na anaona, Hakuwahi kuisahau Jumapili kwa Ajili ya Ibada. Hawa wanaishi na Siri za Mungu
@joycealex8652Ай бұрын
Duh kama bibiangu jamani nami naomba unisaidie Mungu wangu, ni halali kabisa kufanya sherehe maaana huyu hajafa bali kalala 🎉🎉❤
@MariaSalome-q9eАй бұрын
Kwakweli ni sherehe 🎉🎉 jambo la kumshukuru Mungu
@EstherJerald-tc6ct2 ай бұрын
1898 daaa hongereni kwa malezi mema kwa mama na bibi yenu RIP bibi
@RajabuMkonje3 ай бұрын
Ukoo wenye pesa naujua huu ukoo hakuna fukara hata mmoja kuanzia watoto wajukuu hadì vilèmbwe BIG UP XN MSIBA🎉🎉🎉🎉🎉
@NeemaAyo-h1p3 ай бұрын
Angekuwa masikini wangekuwa wanalia nakugaragara
@melanialeonard40313 ай бұрын
Ombea ukoo wako na ww
@kurwapauloukovizurisana.go78612 ай бұрын
Kweli na pesa zinachangia
@TeddylameckTeddy-q5oАй бұрын
😅😅😅 @@NeemaAyo-h1p
@rahma61893 ай бұрын
Kweli ni jambo zuri sana Mungu atukuzwe kwa maisha yake
@selinalawala22703 ай бұрын
Mungu awabariki, kweli ni zawadi ya maisha marefu kweli.
@MatswelopeleMphela3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤waooo katuombee bb
@HeriMwenda3 ай бұрын
Waoo akapumzike kwa aman hata sis Kuna bibi yetu huko mosh alifarik akiwa na miaka 123 kwa kweli ilikuwa mapambio tu wakat wa kuzika
@hidayaswai31193 ай бұрын
Mungu naomba hii neema ya umri mrefu
@JustoOluoch23 күн бұрын
Amina, akupe hiyo neema ikiambatana na neema ya wanao kuishi wapate kukuzika, mimi hilo ndilo ombi langu.
@athmankiama11333 ай бұрын
MUNGU akupe pumziko la milele bibi.tupe umri mrefu na mimi Ee MUNGU wangu nione wajukuu na vitukuu na vilembewe 🙏🏾🙏🏾
@faudhiasalum72793 ай бұрын
Awesome mashalllah bibi ume upiga mwingi😢
@shuwehaharuna63093 ай бұрын
Wanafanyafanyaje mpka wanaishi miaka mingi hivi ewe mwenyezimungu nakuomba utupe umri mrefu wenye kufanya ibada
@dicksonkilupa22583 ай бұрын
@@shuwehaharuna6309 Angalia maisha yako jinsi unavyoyaendesha, kula vizuri , kuwa na amani na kila mtu, ishi kwa upendo, chapa kazi usiwe ombaomba, lea wanao vizuri , Mche Mungu kama kuna lingine weka hapo, kisha endelea kuishi huku ukimtegemea Mungu, utashangaa siku zinasonga na watu wanazidi kukupend. HUO NI MTAJI TU ILA UHAI NI WA MUNGU.
@fausalimu45783 ай бұрын
Amin yarabi🤲🤲🤲
@rachelgoodluckmassawe4303 ай бұрын
Ni kweli jamani yani huo ndiyo ulikuwa mpango wa mungu
@nataemsuya3 ай бұрын
Wanawake wenye kuzaa watoto wengi kuanzia 4 na kuendelea, na ambao wameishi ktk maisha yenye uhakika wa milo kwa siku. Wanaishi miaka mingi isiyopungua miaka 80 . Ni utafiti uliofanywa.
@felistabrenda-um7lj3 ай бұрын
kweli kabisa@@nataemsuya
@JokhaSimon2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mungu ni mwema
@KishiwaKulwa2 ай бұрын
Polen sana apumzike kwaaman
@joanjesse12373 ай бұрын
Uchaggani Mtu mzima kama huyu akifariki ni sherehe kwa kua ameishi maisha yake to the fullest. Inakuwa msiba pale mtu wa umri mdogo na bado mwenye nguvu zake akifariki maana bado kuna mengi hayajaishi, na ni huzuni kupoteza nguvu kazi katika jamii
@EuphrasiaNtawatawa3 ай бұрын
Siyo uchagani tu hata huku kwetu pia Tunafanya hivyohivyo
@RichardKilepo-xj1sy3 ай бұрын
Kibongo umbwe hiyo
@remidusmwanandenje-yy5gs2 ай бұрын
🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🤣
@hamisamadimpozi59233 ай бұрын
Mashaalaha
@endeshyamat67733 ай бұрын
Bibi amepumzika salama. Mungu amtunze na kumpokea. Salama.
@cephlenrobert3071Ай бұрын
Moja kwa moja bibi kapokelewa na malaika wa Mungu maana furaha ipo nyuma yake na sio vilio
@FettyJayson2 ай бұрын
Kweli hiyo n sherehe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nicebatare27373 ай бұрын
Uyo mtoto wa mwisho ana miaka 63,=127-64=63¿??atakuwa Sara mke wa lbra😢😢😢
@florahmushi74816 күн бұрын
Daah alikua na watoto nane maskini kazika watoto watano wakabaki watatu hebu tafari uhai na uzima ni kibali toka kwa Mungu pekee
@HellenaMky3 ай бұрын
Ukishika amri za MUNGU nausifanye yaliyo yakotu. Mungu anakuongezea miaka anakuepusha namagonjwa yoooooote
@florahmushi74816 күн бұрын
Kuna kitu hakiko sawa mtoto eti mtoto wa bibi awe na umri wa miaka 124 kweli inawezekanaje wakati hapo alitakiwa awe na angalau miaka 86 hivi ndo ingekua nafuu Kwahiyo hapo anamaanisha mamake alimzaa akiwa na umri wa miaka 63 127-64=63🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
@marrymakoi158828 күн бұрын
Pamoja na hivyo ni mzee kweli lakini kweli watu wanafurahi nini hivyo? Kifo ni kifo TU hata kama ni mzee. Familia hiyo naifahamu ndiko alikotokea mamangu mzazi.
@Chettymlambalipsi-lb9km3 ай бұрын
Bibi yangu mzaa bibi alifariki 2019 akiwa na miaka 127 na tulifanya sherehe kubwa pia huyu bibi wa saiv Ana miaka 108 na bado Ana nguvu naomba mungu aendelee mpaka 130
@jescarwegoshola17543 ай бұрын
👏👏👏, Amina na iwe ivyo kwa jina la Yesu 🙏
@KituRu3 ай бұрын
Ni sawa wamefanya jambo zuri
@Giftypmushi3 ай бұрын
Uyu ana miaka mingi bwana kuna bibi yao na wakina mama angu Mungu azidi kumtunza
@gabrielmchau8764Ай бұрын
MANUSHI, HOME SWEET HOME
@yussufali8883Ай бұрын
Wameishi umri mrefu sabbu kubwa ni kutokana na sytle ya maisha yao yalivokua
@teyllalugaziaАй бұрын
Yani hata kulia uwezi, jamani Mungu tujalie nasisi
@GemlyMalisa3 ай бұрын
Hiyoo ni kawaida kbc cyo jamboo la kushangaza sana Moshi kilimanjaroo
@jescarwegoshola17543 ай бұрын
Umeonae,
@Aika-h7w3 ай бұрын
Ni imeandikwa akitimiza miaka ya ahadi 90,inaruhusiwa sherehe 🎉
@alzawahirabdallah22993 ай бұрын
Wapi hebu tupe andiko nasi tujifunze kwanza wapi mkifa mnatakiwa mtiwe kwenye sanduku
@karibunyumbani38243 ай бұрын
@@alzawahirabdallah2299wewe nawe una lako jambo imani za wengine zinakusumbua nini akikuambia itakusaidia nini kama unabudu mti abudu tu hakuna atakayekuzuia tukutane siku ya hukumu,😏
@alzawahirabdallah22993 ай бұрын
@@karibunyumbani3824 wenzako kenya wamekufa huko wameambia wafunge mpaka wafe yesu anakuja na wamekufa wote
@RachelNgalya2 ай бұрын
@@karibunyumbani3824😂😂😂 Kwisha habari tufunge midomo🤐
@SakinaMubaraka25 күн бұрын
😂
@HilaryMassawe-y7s3 ай бұрын
kocha kekuuu... Ameishi Karne sio jambo la Mchezo.
@marykarebeti94102 ай бұрын
Ee ma n Dede kuchu.
@Giftypmushi3 ай бұрын
Ila zote izo ni pesa
@AliJussa3 ай бұрын
Siwez kutoa hukum ila ni vizur zaidi wangekaa na kumshukuru Mungu kwa ukuu wake, kuliko kumpigia tarumbeta bibi, huko ni Maisha mapya
@joshuaabell2033Ай бұрын
Ni Mila kwa wachagga wengi bibi ama babu akilala na mika 90 ama 100 ni furaha amepumzika kwa amani lazma ng'ombe ichinjwe tusheherehkeeee
@evelynebwire76843 ай бұрын
Waoooooo ni jambo la kumtukuza Mungu
@richardmshiu51183 ай бұрын
Wachaga sio poa😂
@BensonTemu-h6hАй бұрын
Kupata umri wa mwanamke tafuta uzazi wake wa mwisho. Wachaga tunakuza mambo sana
@JustinaWilliam-nq8ft3 ай бұрын
❤❤❤
@chescosanga2409Ай бұрын
Sikiliza dakika ya 5:00 hadi dakika ya5:20 alafu tafakali.
@ChristinaJulius-q5y3 ай бұрын
Bibi Mungu amemjalia maisha marefu kweli. Sasa mtot wa mwisho miaka 67 yeye miaka 127 inamaana alimzaa akiwa na miaka 60🤔🤔
@SHECK1773 ай бұрын
Hahahaaaah
@runzi73983 ай бұрын
Hata mie hapo naona nimepigwa na kitu kizito 😂😂😂 menopause ni miaka 45-50
@AnnoyedForestBridge-yb6xm3 ай бұрын
Jaman jaman Allah Karim
@IshengomaRugemalila3 ай бұрын
Mwenyezi mungu apewe sifa
@yunus-or3nyАй бұрын
lazima washehereke wamechoka kuhudumia uyo bibi
@eliasaNgahehwa-l2f3 ай бұрын
Huyu msemaji anasema ana miaka 64 na ni mtoto wa mwisho na mama amefariki na miaka 127 ukipiga, kibaolojia hapo imekaaje
@BensonTemu-h6hАй бұрын
Huyo mama hama umri huo ni uongo. Kama mtoto wa mwisho ana miaka 60 na kafa na miaka 127, je mwanamke anaweza kuzaa na miaka 67? Kama ana miaka mingi ni 100+ kwa maa na amemzaa mtoto wa mwisho akiwa na miaka 45 au 50
@FurahaPallangyo2 ай бұрын
mimi hata afkishe miaka mingap bado mama yangu namuhitaji sanaaa
@dignaemmanuel89343 ай бұрын
Mm naona binadamu sasaivi wanafanya mambo ambayo si sawa,ukiangalia kwenye biblia kina Ibarahimu walikufa na miaka mingi sana lakin waliombolezewa .sasa hii ni kufurahia kuwa huyu mama kaondoka ,ukisoma biblia kila jambo na wakati wake,kuna wakati wa kuomboleza ,tena ukimlilia marehemu sio kosa kabisa.
@giftchristianmeela14092 ай бұрын
Kwenye bible ukivuka miaka 80 ambayo kibiblia imeandikwa tuna sheherekea maana hizo ni neema za Mungu.
@Ushauri2353 ай бұрын
Wako sawa maana ni baraka hiyo
@FettyJayson2 ай бұрын
Adi raha kumuona bib ad miaka 127
@MkuuKimaroАй бұрын
Kabisa
@selemankishema57803 ай бұрын
Sherehe? Hamjui tu subhanallah alhamdulillah kwa neema ya uislam
@hidayahassan6932 ай бұрын
Halafu mzuuuriii duh!
@allyrashid10853 ай бұрын
Alhamdulillah namshukuru allah kwakuwa muislamu Laiti mungejua anachokwenda kutana nacho musinge fanya sherehe zaidi ya kumuombea dua Ukrto kweli mnakazi vituko vyote nyinyi kiboko ya wachawi nyinyi mwamposa nyinyi hili nalo hamzinduki tu jamani
@beatricekennedy87053 ай бұрын
Embu tulia Kila mtu na Imani yake usipende kujudge
@winniejokakuu15513 ай бұрын
hayakuhusu tulia ingekuwa kwenu hadi mumkamue mavi😂,hebu tuliza kiranga we umeshakufa hadi useme angejua anachoenda kukutana nacho chaaa acheni kiherehere bana anayejua yaliyoko huko ni aliyekufa.
@JoyceHosea-m9r3 ай бұрын
Only god can judge nasio wewe
@wemaluhende40803 ай бұрын
Inabid tufke sehem tujitambue kuwa dini haijajiwi!! Kila mtu yupo sahihi kwa upande wake!! Ko simama kweny imani yako!!!!
@KituRu3 ай бұрын
Wewe kweli akili yako ndogo, hampewi mafunzo sawasawa huko kwenu hadi unadiriki kutukana dini za watu, Omba MUNGU akupe hekima, bado hujakomaa kimaani na hujawahi kufa, tulia
@richytarimo46563 ай бұрын
127 duhhhh,,, mwinyi miaka 97 anasahau
@AkramIbrahim-m6x3 ай бұрын
Sio Vizuri Hivyo MTU Alofa Kumfamyia Sherehe Hatujui Hk Aendako Kubwa Ni Kumuombea Dual. Sio Kumfanyia Sherehe Ni Makosa
@evergeorge32693 ай бұрын
Mtu akizeeka sana anakua kama mtoto na cku zote tunaamini mtoto ni kama maraika Hana dhambi,, hovyo Kwa Imani thabiti mama na bibi etu amelala mahali pema
@maureenlilykiwia15153 ай бұрын
Hata uombe dua na kufunga mwaka mzima kama mtu hakuishi maisha ya kumcha Mungu hawezi kumuona Mungu usijipe moyo na kufikiria kuwa kuna maombi utafanyiwa baada ya kufa ili uende peponi hayapoooooo
@minaelnathanael18463 ай бұрын
Si wachaggaa kila kkitu wanaonna sawaa
@minaelnathanael18463 ай бұрын
Hivi waliomba vibali viwili cha msiba na cha wherever?
@naomijulius19163 ай бұрын
Unajua maana ya birthday Mungu Hana msiba yote ni sherehe Kwa Mungu
@salmahaji-i6n3 ай бұрын
Kwaiyo alikuzaa akiwa na miaka 74 sio kweli umetupiga
@dicksonmatulile1523Ай бұрын
Wewe unamiaka 64 ikiwa ww ni last born na mama amefaliki akiwa na miaka 127,swali langu je alikuzaa akiwa na miaka mingapi mbona kama kuna kamba hapo
@FahdIbnyussuf3 ай бұрын
Alhamdulillah kw neema y uislamu na uoo ndo ukafir wao ngoma tu
@twiseghekisilu88453 ай бұрын
Umefuata nini kwa makafir??hizi dini tumezikuta kila mmoja aheshimu Imani ya mwenzake!
@FahdIbnyussuf3 ай бұрын
@@twiseghekisilu8845 jambo ilo la kuwa na waabudiwa wengi hakuna muislam anaelikubali ispokua atakua ni mjinga lkn dini ya kweli ni uislamu zilobakia zootee ni michoro michoro tu
@jacklinejuma-bo7zj3 ай бұрын
Roho takimaskin tu mshamba mmojaww kukufuru tu mungu mbwawew ulokosa Imani ndaniyako @fahdlbnyussuf mbwammojawew
@jacklinejuma-bo7zj3 ай бұрын
Kafir mkundu wamamako bitch
@twiseghekisilu88453 ай бұрын
@@FahdIbnyussuf aliyekuambia uislam dini ya kweli Nani?kila mmoja aheshimu Imani ya mwenzake hizi dini tumezikuta,
@SarahMunuo-t7w3 ай бұрын
Kwa kweli haitakiwi kulia inatakiwa kufurah na kushangilia mumgu ailaze mahali pema peponi
@brittanypulei7892 ай бұрын
Kwa hiyo alimzaa akiwa na miaka 63 na nusu siyo
@kalebphilip34262 ай бұрын
Mm nimempta Sasa na miaka 135
@EwaldAntony-n3e3 ай бұрын
Wowo kufa ni sherehe ila umri alio kufa nao ana stahili
@flowebenezeth3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@magigesabai86743 ай бұрын
huu uongo mtoto wa mwisho ana miaka 64 inamana amemzaa akiwa na miaka 63 acheni uongo
@AsmaAmeir-f6p2 ай бұрын
Yale Yale ya ghana sijuw na cameroon tukasema mila tu yashafika
@kerubojzion22733 ай бұрын
Du inamaana alizaa mtoto WA mwisho na miaka 64 aise alikua na nguvu
@HaulaSaid-p5p25 күн бұрын
Yaan kukosa elimu ni mtihan mzito
@LudovickMselle3 ай бұрын
Nawoo kuletana mai maa pumzika kwa Amani
@carolinemariki40293 ай бұрын
Sasa mtoto wa mwisho ana miaka 64 Ina maana huyo bibi alizaa akiwa na miaka 63?😮😮😮
@chax2553 ай бұрын
Bibi alikua bado fit kabisa usoni. Kaishi zake karne na robo kasoro
@dignaemmanuel89343 ай бұрын
Wanafurahia shida imewatoka
@reganuisso12563 ай бұрын
Mtoto wa mwisho anamiaka 64 inaezekana vipi mama awe na umri huo? Hapo mmetudanganya wazee..inamaana alimzaa huyo mtoto akiwa na miaka 63? Kitu kizito hapo😅 ..mnabuni miaka nyie hamjuii
@GetrudeTemba-d1t2 ай бұрын
Ampzike kwa amani bibi
@dorahmushi-we6ts3 ай бұрын
Apumzike kwa amani...
@jkomedikaduli3 ай бұрын
Kwa kaline hii sizani mungu amlaze mahali pema peponi
@aishafrancis77143 ай бұрын
Huko hatutoboi ndugu😂😂
@ManaseMoleli3 ай бұрын
Kweli huu c msiba ni sherehe kuishi miaka mia na nii neema kwakwel tena yaa pekee
@amilawere54253 ай бұрын
Alizaa mtoto wa mwisho akiwa na miaka 63 , hii haiwezekani. Nadhani wamekosea umri wake
@minaelnathanael18463 ай бұрын
Wanapenda uongo hawa
@dicksonkilupa22583 ай бұрын
@@amilawere5425 Kwani wanawake wote wanakoma kuzaa kwa umri mmoja? mimi nilishuhudia mtu anayekaribia na 60 alipata mimba na akazaa ila sijui kama wote wanakoma ktk mwaka unaofanana. taratibu na mfumo wa maisha ndo vinawafanya wengi wasiweze kuzaa kwa umri huo, wengi wanafunga uzazi kabla sasa fikiri wasipofunga je mimba zitawaogopa wote na kwa nini wanafunga kama siyo shetani? AJITOKEZE MWANAMKE WA MIAKA HIYO AMBAYE HAJAFUNGA KIZAZI ATUAMBIE KAMA HANA UWEZO AMA ANAJILINDA ILI ASICHEKWE!
@dignaemmanuel89343 ай бұрын
Watu waache hii kufuru jmn .msba ni msiba sherehe ni sherehe .mnsheherekea mnakuta anaungua moto milele ,hatujui so kifo msikichukulie hivyo
@dominamsonge30883 ай бұрын
Huyu mtoto wa miaka 64 mbona analingana na mume wa mjuu wa bibi?😅😅😅 au masikio yangu
@AlexMosha3 ай бұрын
Mtoto wa mwisho ana umri wa miaka 64 bibi amefariki na umri wa miaka 127
@aloycef8123 ай бұрын
Umeuona uongo hapo yan yy alizaliwa mamaake akiwa na miaka 63? Kisayansi iko vipi hii?
@Mamshika3 ай бұрын
Kwel kabisa huu ni uongo ina maana huyu wa mtoto wa mwisho mama yake alimzaa akiwa na miaka 63???
@KituRu3 ай бұрын
Ni mtu mzima labda kuna kitu kdgo2 wamekosea
@KituRu3 ай бұрын
Angalieni hta hao wajukuu wanamiaka 50+
@RabiaIddi-ci2uz3 ай бұрын
Sasa cha ajabu hapo ni kipi? watu wa zamani walikuwa wanachelewa sana kufunga period tofauti na miaka ya sasa
@frederkamasawe94273 ай бұрын
Kama mtoto wa mwisho ana miaka 64 alimzaa akiwa na. Miaka 63 😂😂😂😂😂😂😂
@magrethtilya3 ай бұрын
hata mia na kumi bado
@minaelnathanael18463 ай бұрын
Hivi hawa wachagga. Nani amewaruhusu kugeuza mkoa wetu kuwa Nigeria? Bibi apumzike kwa amani
@reginaldminja98803 ай бұрын
😂😂😂 hapo sasa
@sopy30553 ай бұрын
Sasa mtoto wake wa mwisho alimzaa akiwa na miaka 63😢, itakua bibi alikua ajui miaka yake
@MrutuAbdala2 ай бұрын
Kabisa inawezekanaje kuzàa na miaka63
@MichaelaPhilip-q9k3 ай бұрын
Sifa na utukufu ni kwa Muumbaji wa mbingu na nchi
@juliethmaleko35843 ай бұрын
Wachaga ndio zetu mtu akifariki kuvuka miaka 100 ni sherehe vifijo na nderemo bila kusahau tarumbeta alf mbon uchagan ndio tumebarikiw wazee wa umri mkubw kufariki
@TeclaMarco2 ай бұрын
Dah
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx3 ай бұрын
Bibi amekula mema ya nchi kufa ni faida kuishi ni kristo fanyienishangwe kabisa celebration Alleluyjha biblia mko Sawa kabisa
@SihabaAbdallah-li6dx3 ай бұрын
WAKRISTO mna mnambo mgejuwa Wala msinge ya fany ayo ila polen
@AirinSumeno3 ай бұрын
Hyo ni moja ya sikukuu ya mwanadamu
@zenobiagenuine5373 ай бұрын
Mtuache tufurahie kazi ya Mungu,wee acha kuwaza matendo yako ushadadie furaha za watu😂😅,nyie ndo mna kazi na complications zenu matendo yako mema ndo yatakufikisha kwa Mungu,siyo hiyo dini yako
@mcback43843 ай бұрын
Sasa wakristo unataka wafate uislamu? Sema hivyo kwa wa dini yako sababu unataka sasa dini yako itukanwe
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Wayajulie wapi uislam ni bahati ujue tushukuru saana kwa kuwa waislam
@joycemashikolo90963 ай бұрын
😂😂😂😂weeh nae kwani ninyi waisalam 40 ya mtoto harusi Britdhay si mnafanya?? 127 sio mchezo acha wafurahi weeh hata mimi ningefanya hii ni shukrani kwa Mungu
@issaYusuf-u7w3 ай бұрын
Hhhhhh... Mwenzenu yupo katika wakati mgumu na maumivu aliyoyapata ya kutolewa roho, nyinyi munafurahi. Hakika muko kwenye giza Nene . Allah akuongoeni
@CosmasKavishe3 ай бұрын
Senge senge 🤔 songs
@cheiknamouna20583 ай бұрын
Bibi yake Joyce Kiria
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Suhbhanallah. Sswaislam hatuwezi kufanya hayo kwani maiti inateseka inaangaika nyie mnafanya ukafili hapo ebumuombeeni dua mnajua anafikia wapi hukokabulini?
@NancyPatrick-il8zj3 ай бұрын
Mambo ya kafiri mwachie kafiri na ya gaidi mwachie gaidi
@JULIUSNCHAGWA3 ай бұрын
Endeleeni kudanganywa maiti anabanwa kaburini
@colletatesha52653 ай бұрын
Hayakuhusu kma ukafiri waachieni wenyewe we unahukumu kama nani