HASSAN LAMKUTA JAMBO/KILIO CHATANDA KWENYE FAMILIA/KIJANA ANAEDAIWA KUKAMATWA NA POLISI....

  Рет қаралды 5,238

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 40
@BayanaHassan
@BayanaHassan 3 күн бұрын
Inauma Sana Hasani wetu kapole ketu mungu atawaumbua Hawa wanao miliki pingu na virungi bila vyeti ningekua na uwezo ninge wachomea vibanda vyao Moto mama zetu was madawa kitu da pazeni sauti zenu kiume Hawa p jamii wanali via uchawi wakiaribu wanakimbilia kwa mashee kufu ikafunika chomeni vibanda wafie ndani wamemuua Hassan kifo kibaya Sana.
@OmarKheir-c5w
@OmarKheir-c5w 4 күн бұрын
Pole sana kwa mungu hakuna kuna kubwa
@mesaidi9147
@mesaidi9147 6 күн бұрын
Vijana unganeni mkawachomee nyumba zao washenzi unaumwa mwana wa mwenzio Kisa unakibali kwenye serikali
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 6 күн бұрын
Na wewe jizi ni mda tu endelea kuiba
@rehemalusindengawa5186
@rehemalusindengawa5186 4 күн бұрын
Pole sana mama😢
@LevinaMiteo
@LevinaMiteo 6 күн бұрын
Sawa ni kweli ndugu zetu wanaingia kwenye madawa na uraibu mwengine na wanafanya hivyo vitendo lakini sio sawa kupigiwa hivyo wakiwa polis
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 6 күн бұрын
Inalillahi waina ileyhi rajiun , kwakweli Ina sikitisha ,hiyo ni dhulma Kila mtu anahaki ya dhamana.
@UgoeBakary
@UgoeBakary 5 күн бұрын
Hakika Kaka hassan tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi ulikuwa mtu mwema Sana umetuacha na udhuni watu wamadawa hakika Hili limeniliza Sana baba John na masta mungu tawalipa kwa mlocho kufanya
@emanuelKarei
@emanuelKarei 6 күн бұрын
Mhhhhhh! Mungu tusaidie watanzania tunaumizwa sikia kilio cheti,,
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 күн бұрын
Subuhanallah. Mtihani jamani watatuulia watotowetu bilaaya hatia. Ila nawao watakufa hawatakaa milele wanaacha.kufatilia. wasiyojulikana. Huko wanauwawatu. Na wanaokulapesaza zuluma wanaujumuuchumi wao hawawauwi.wanakularahatu. Munguyupo atawajibutu lnshaallah
@jamesjr6086
@jamesjr6086 6 күн бұрын
Mh Kwa hali hii itasababisha tutawachukia polisi sasa.maana hawafanyi haki Wala kufuata Sheria,kanuni na taratibu zilizowekwa.katika hili mungu atusaidie sana sijui nn kimeipata jeshi letu.
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 6 күн бұрын
Tanzania imeoza
@monalisaally4387
@monalisaally4387 6 күн бұрын
Polen sana wafiwa duh inaumiza sana
@estambuya3901
@estambuya3901 6 күн бұрын
Rais samia chukua hatua mara moja.
@husnaabdullah3009
@husnaabdullah3009 5 күн бұрын
Nimelia Sana kiukweli sasahiv kumekua na hiyo tabia ya kuja nyumban kumtoa kija mm walikuja maaskar Saa Tisa alfajir wakawachukua wanangu watatu wakawasingizia kesi ya kuiba na kutolewa kucha 😭😭na kupelekwa sentroo posta
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 6 күн бұрын
Kwann wamfanyie opp bila ndugu kujua usikutee wameshamtoa fugo msizike bila kumchunguza apasuliwe tena tumbo mumuangalie kama vitu vyote vimo
@happynkya9770
@happynkya9770 6 күн бұрын
Mm sijui kama Kuna siku nitawapenda police, wanajeshi, migambo na ficm yaan hawa watu hawa mie Dua tu kwa Mungu
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 6 күн бұрын
Hao ni kuchoma hizo nyumba zao,tunaishi nao kitaaa..kumamakeee😢😢😢
@janetchinga695
@janetchinga695 6 күн бұрын
Kama katekwa kiongozi mukumbwa nakumuua😢😢😢😢 wasambuse nyinyi wakawaida hakuna kitu hapo ,pumuzika kwa amani hassan mungu ataingilia kati
@latifakikoti9808
@latifakikoti9808 6 күн бұрын
poleni jamani mungu awape faraja
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 6 күн бұрын
Hata kama ana Makosa hakuna Sheria ya kumpiga mtu mpaka Ukamuuwa.Huo ni ukiukwaji Mkubwa sana wa Sheria na Haki za Binadamu
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 6 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@janetchinga695
@janetchinga695 6 күн бұрын
Pole sana kaka 😢😢😢😢 inauma sana Tanzania imekua Sodom
@Zulekha-sg8fp
@Zulekha-sg8fp 4 күн бұрын
Maadam maadam president tutendee haki raiya wako maguful baba yetu tutakukumbuka abadan
@abdallakassim8114
@abdallakassim8114 6 күн бұрын
Watoto wetu na wao wasijiingize kwenye urahibu
@NasraAlMarjabi
@NasraAlMarjabi 6 күн бұрын
Tz hamjui Haki Kipigo chote Bila Imani Watu Wanabaka wa toto Hawashikwe Hawa vijana Wameonaewa saana hawana Hela ZA kuhonga Police
@bourybouryslov3927
@bourybouryslov3927 6 күн бұрын
KWAHIYO Huyo Baba John Na Huyo Masta Hamjui Wanapokaa Si Mkamalizane Nao Tu Waone Uchungu Wa Polisi Kidole
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 6 күн бұрын
Huko kumzika sio Kumpumzisha kwa Amani tafuteni Mwana Sheria awasaidie.Bila ya hivo hayo Mambo hayatakoma
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 4 күн бұрын
HAKUNA MTU ANOTAK.KUKAA NDAN PEKKEAKE LAZIMA.WEZIWE ATA WATAJ SASA UKILAZIMISHWA SAN UTATAJ TU WAUONGO MTU MNAMPIGA HAWATAJ UJUE HANA AO WATU ILA TU MME MLAZIMISHA
@sechebwanahindi8674
@sechebwanahindi8674 6 күн бұрын
Kwa hiyo askari kazi zao sa hivi ni kupiga na kuuwa
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 6 күн бұрын
Cha Msingi Musikubali kuchukua Maiti mpaka Ufanyike Uchunguzi wa Kimahakama yaani Corona's Court
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 6 күн бұрын
Kama walikuwa wanachukuwa vya watu kazikeni imeisha hiyo
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 6 күн бұрын
Mitano tena kwa samia
@AishaOman-k6f
@AishaOman-k6f 6 күн бұрын
Mh.hii.nchi. Mtihani.wauaji.wakubwa. Kipigo.kimesababisha.akatwe.utumbo.
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 6 күн бұрын
Huyu Mama mtoto wake mwizi alikuwa anakula sasa hapa amekutwa na msiba kula tena
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 6 күн бұрын
Hata kama mwizi hawakutakiwa kuchukua Sheria mkononi kumpiga hadi kusababisha matatizo yaliyompelekea kifo chake. Wangempeleka mahakamani akahukumiwa Kwa mujibu wa Sheria,na wangesubiri mahakama itoe hukumu.
@fredgonga
@fredgonga 6 күн бұрын
mama Kanunue uchawi hamna namna siku hizi!!
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 6 күн бұрын
Mtoto wake mwizi
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 6 күн бұрын
Tunaenda wap jaman
@PeterGapi
@PeterGapi 6 күн бұрын
Fuzeni watotp umeshazoea chakiuletewa mama
PUNGUZA USHAURI KWENYE NDOA ZA WATU - OSCAR
1:19
Wasafi Media
Рет қаралды 1 М.
GWAJIMA ATAJA watekaji, BILA UOGA Ataja MAJINAAAAAAAAAAA
13:23
MALAVIDAVI Kenya
Рет қаралды 140 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 99 М.