Professional unajielewa sana kaka na umeongea point na sio majungu
@Herijuma-24 күн бұрын
hhh profssnl kk tulia napia umeonesha umoja kuwepo
@KhadijaMnuhemba24 күн бұрын
mogadishu
@eddsonjeremiah666923 күн бұрын
Bondia mdomo mwingi mapambano machache😂😂😂😂😂
@ErinestBoniface24 күн бұрын
Jifunze Kwa juma choki
@chiefnumborecords481924 күн бұрын
Wewe Mwakinyo sisi watanzabia tunataka upambane na watanzabia wenzako ili tujue KWELI wewe ni champion Kwa hapa bongo uwezi jiita champez ikiwa ujawahi kumpiga mbongo ata mmoja jitambue Mwakinyo TUNAITAJI Pambano na mbongo yeyote unaye mtaka wewe fanya hivyo watanzania tumechoka Kwa porojo zako
@ErinestBoniface24 күн бұрын
Nizamu
@robertadolf56224 күн бұрын
ukapasuane sasa na kiduku. sio unakwepa kwa kutaka mkwanja mrefu