HATIMAE CHIEF GODLOVE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UTAJIRI WAKE/BABA YANGU ALIKATAA MIZIMU YA BABU

  Рет қаралды 9,041

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@LUKIUSJOSEPHATI
@LUKIUSJOSEPHATI 6 сағат бұрын
Uyu jamaaa ni mwamba sana 💪💪💪💪💪💪
@binegonshimirimanabutazima9435
@binegonshimirimanabutazima9435 8 сағат бұрын
Kweli kabisa, hata waarabu na wazungu wao hawakuzitupa mila zao na hawakuitenga mizimu yao maana walijua nguvu zao ndipo zilipo egemea ila waAfrika baada tuu ya kuzipokea dini tulifika tunaitenga mizimu yetu na hapo tukapoteza nguvu na uwezo hadi tukawa watumwa
@LUKIUSJOSEPHATI
@LUKIUSJOSEPHATI 6 сағат бұрын
Mtu azikwi kwenye ukooo mpaka MTU mwenye PESA mpaka afike 💪💪💪💪💪
@Augustinokalengela
@Augustinokalengela 4 сағат бұрын
Na kuelewa sana chief ukovizuri sana kuelewesha watu asiekuelewa basitena
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 5 сағат бұрын
Leo nimekuelewa Sasa....🙏
@ANDREWKISIGO
@ANDREWKISIGO 3 сағат бұрын
Uko sahihi CHIEF
@LUKIUSJOSEPHATI
@LUKIUSJOSEPHATI 6 сағат бұрын
Tayari tumeshajua sababu ya utajiri wa uyu mwamba, ni mizimu ya babu yake 💪💪💪💪💪, jamaa anaongea ukweli kabisaaaa yaniii
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 2 сағат бұрын
Tumejua sana sana kumbeeeeeeeee!!!
@hamismponda8470
@hamismponda8470 8 минут бұрын
Chief wengine tumeshakukubali wewe ni kijana mdogo mwenye hela chafu sana...mbona nimetuma hela za kujiunga na risiti tumetuma what's up hatupati majibu.
@godchila8013
@godchila8013 Сағат бұрын
saa siungesemaa mzee chief
@YasiniMtegite
@YasiniMtegite 4 сағат бұрын
Umeongea ukweli mtupu yaani wa afrika ndomana tunateseka kwasababu tumeasi mizimu ya babu zetu
@Majandoz
@Majandoz 5 сағат бұрын
Afadhali leo nimekuelewa!
@jacksonmkala8154
@jacksonmkala8154 3 сағат бұрын
Mm nimependa xana hio ila swali langu ni tuta fanyaje ndio tuwe sawa
@SuleymanMadaha
@SuleymanMadaha 8 сағат бұрын
Ulichokiongeya niasahh kabsa
@LUKIUSJOSEPHATI
@LUKIUSJOSEPHATI 6 сағат бұрын
Uyu jamaaaa ni eshimaaaa kubwa mnooo
@rizikimbeve8611
@rizikimbeve8611 2 сағат бұрын
Jaman wacha ubalikiwe dining ni wazungu wanatuzunguka pumbavu wazungu
@Ommycle
@Ommycle 9 сағат бұрын
Nikweli kabisa mambo ya kimila Yana baraka na mikosi wengi wanapuuza sana
@kennedymaster2000
@kennedymaster2000 Сағат бұрын
Nimekundua huyu jamaa anajiamini sana, pesa inaweza kukufanya ujiamin lakin anakitu kingine ambacho kinampa nguvu.
@Nindwa-cn8fq
@Nindwa-cn8fq 8 сағат бұрын
Wew chiefgodlove ni mimi mtupu japokuwa kimafanikio unanizidi japokuwa hata mimi siyo choka kama unaowaongeleaga😂😂😂😂
@kijakazimussa9236
@kijakazimussa9236 9 сағат бұрын
Vijana tupambane tusiwe tunajaji tu... Na kutoka koment za hovyo godlove anapambana kivyake awe mwez freemason vyovyote naww pambana
@sassboy9360
@sassboy9360 3 сағат бұрын
Imani potofu
@LUKIUSJOSEPHATI
@LUKIUSJOSEPHATI 6 сағат бұрын
Mizimuu ya ukoo ndo utajiri ulipo sio kwa wachungaji au mashekheee, au waganga
@kazikazicompany-yl6sd
@kazikazicompany-yl6sd 5 сағат бұрын
😮😮😮😮😮
@SuleimanAlj-r8u
@SuleimanAlj-r8u 8 сағат бұрын
Chuef God love unalipa kodi lakini??
@markomapessa9536
@markomapessa9536 6 сағат бұрын
Maelezo mengi ila jibu kamli cjalipata kutokana na kichw Wa Cha habar
@GreysonMdee-x3n
@GreysonMdee-x3n 5 сағат бұрын
Bro fuata unachokiamini ila epuka sana kuwazungumzia wazazi in a negative way utakuja kuteleza halafu itakuja kukuharibia kuwa makini na maswali ya waandishi wa Habari kuhusu wazazi wako kitendo tu cha wazazi kukuzaa kinatosha kuwashukuru mpaka siku unakufa baada huo wema tu huwezi kulipa wangeamua wangeharibu hata mimba yako kwahyo usiseme familia yenu kuwa masikini chanzo ni wazazi hata kama ikawa ni kweli
@maidimples8236
@maidimples8236 5 сағат бұрын
Astaghfirullah
@MohamedAbdallahMsoke
@MohamedAbdallahMsoke 7 сағат бұрын
Wewe ndio unataka kufungua kanisa kweli siutawapoteza hao wana kondoo
@DianaBenjamini-bs8yj
@DianaBenjamini-bs8yj 8 сағат бұрын
Wee mbaya wa sura san do make huna uso mzur wafuraha
@McT-m1m
@McT-m1m 9 сағат бұрын
Acha ushirikina na minimum mate mngu
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Сағат бұрын
MIZIMU IDUMU NA IDUMU MILELE. HAPA NI 26-11-2024🎉
@calvinjuma-l5b
@calvinjuma-l5b 6 сағат бұрын
Alicho kisema chifu ni kwel kabisa
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 сағат бұрын
Mshirikina huyu mtoa kafara
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 сағат бұрын
Masifa ,,tu,,,,,pesa hizo za mashetannnnn
@SashaSalum-dl6ni
@SashaSalum-dl6ni 3 сағат бұрын
Wwe wivu Tu unksmbua ndgu yngu ndio nyie msiepnd maendleo y wtu
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 сағат бұрын
@SashaSalum-dl6ni maendeleo ya pesa za miujizaaa
@bonifaceernest5235
@bonifaceernest5235 5 сағат бұрын
𝚆𝚊𝚙𝚎 𝚞𝚏𝚊𝚑𝚊𝚖𝚞 𝚠𝚎𝚗𝚐𝚒 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚓𝚞𝚒 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚜𝚒𝚛𝚒
HII NDIO KAZI ANAYOFANYA CHIEF GODLOVE
6:58
Chief_Godlove
Рет қаралды 63
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 18 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 7 МЛН
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 188 М.
Master Multi Pair Trading: Live Examples for Boosted Profits!
16:44
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН