FINAL:CHIEF NA WATU WAKE/WALIOMTUKANA LEO WAMEMKUBAL NA KUMPIGIA GOTI/NGUVU YA JICHO LA TATU /TAJIRI

  Рет қаралды 6,386

Chief_Godlove

Chief_Godlove

8 күн бұрын

FINAL:CHIEF NA WATU WAKE/WALIOMTUKANA LEO WAMEMKUBALI NA KUMPIGIA GOTI/NGUVU YA JICHO LA TATU /TAJIRI
Chief Kwenye Mkutano Na Wafuasi Wake Wa THE REAL WORLD_Akitoa Njia Ya Kuwa TAJIRI Lakini Pia Akitoa HISTORIA Yake Ya Maisha Yake Na Kuwaambia Kuwa Alizaliwa Akiwa na MIEZI 13 Na Akiwa Meno Mawili Na KUMNG'ATA Mama Ake___HII SI YA KUKOSA @millardayoTZA @Chief_godlove @SimuliziNaSauti @globaltv_online @Wasafi_Media

Пікірлер: 34
@BigbigBoss-jb4ze
@BigbigBoss-jb4ze 6 күн бұрын
Big up chief godlove
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 Күн бұрын
Watu wataka kujiunga wanajua wanajiunga kwenye nini pesa ntazipata lakini sio kwa kujiunga kwa vyama vya giza👿
@user-fb9wt7sh6j
@user-fb9wt7sh6j 2 күн бұрын
Morning brother vip salama naomba kujiunga plz😢
@davidmupenzi8997
@davidmupenzi8997 6 күн бұрын
CHIEF MY PRIRORITY🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 NAMI KALIBUNI NAJIUNGA BABA NAKUAMINI SANA NIPO GONGO/GOMA.Samahani sana baba chief mimi nimeshindwa kutuma pesa ,sasa naomba munipe connection na watu wa apa kwetu Goma ambao wamejiunga nipate pia namna ginsi ndaezi jiunga kwahalaka
@MugisaElie
@MugisaElie 5 күн бұрын
Leta WhatsApp number yako bro
@IBMHOPEFOUNDATION
@IBMHOPEFOUNDATION 6 күн бұрын
❤❤❤ mimi si mnyonge Nimekupata chief
@RizikiJustine-sr8br
@RizikiJustine-sr8br 6 күн бұрын
Mungu aendelee kukutia nguvu na kukupa ujuzi zaidi. Nilitamani kujiunga but bado niko chini
@lellovenance5702
@lellovenance5702 6 күн бұрын
Mimi sio mnyonge, Mimi ni tajiri mkuu, kwa sababu my Lord chief mkuu wangu mtukufu ni tajiri mkuu la matajiri, wewe ni nabiii sijawahi kuona wala kuhisi kuna nguvu kubwa Kama hiyo uliyonayo my king 👑
@VanEmanuel-m7n
@VanEmanuel-m7n 3 күн бұрын
Ofis Zipo wapi
@Japhethyubingwa2000
@Japhethyubingwa2000 6 күн бұрын
Sasa kaka mkubwa,hiyo pesa ni ndogo sana,kwa nilivyo jiunga kwenye vitu mbalimbali,na sijafanyikiwa naomba kujuwa kwenye group kunavitu gani?
@YangaNews
@YangaNews 6 күн бұрын
11:45 11:46 apo kwenye biblia chief hapana mengine sawa broo samahani unafanya sawa ila mipaka ya mungu usirudie
@user-dv8cd1up7v
@user-dv8cd1up7v 3 күн бұрын
Yaniii unabeba laki Baad ya hapo unataka laki 6 yann na nispo toa unanitoa we ni mwizii
@lellovenance5702
@lellovenance5702 6 күн бұрын
Na umebarikiwa Kweli My Lord
@ngotikongotiko2711
@ngotikongotiko2711 5 күн бұрын
Nipo hapa mkitoboa mniite fisi hayo maigizo tu mkitapeliwa nendeni serikalini mkashikati
@phaustnephinias1285
@phaustnephinias1285 6 күн бұрын
Ila kunavitu nimejifunza kutoka kwenye spich yako nivile tu sina uwezo wa kujiunga na group kulingana na kipato changu kidogo
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 6 күн бұрын
Zajioni kaka mr money mr famous mtoto mdogo mwenye pesa nyingi hakuna kubisha ila nikuombe sapot yako kwangu naelewa uko bize sana ila nisamehe natambua nakusumbua sana mambo hayako sawa kiukweri
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 4 күн бұрын
Laki chief em jaribu kuanza na hao wanao kulinda mbn ndionwanaonekan wapo serious kuliko hao wa malaw na congo man
@Jay-Ningo
@Jay-Ningo 6 күн бұрын
Chef god nakubali sana namimi tangu nikufwate nilijuwa mengi sana nikoBurundi namini kunasiku tutakutana namini mungu ataniwezesha👏👏👏
@RizikiJustine-sr8br
@RizikiJustine-sr8br 6 күн бұрын
Sisi tunazo shida nyingi, ila kwa bahati mbaya hatuna uwezo wa kujiunga
@KennedyBernard-go1qj
@KennedyBernard-go1qj 5 күн бұрын
Ipo siku Mungu atakuinua ili umtumikie
@phaustnephinias1285
@phaustnephinias1285 6 күн бұрын
Namimi nakufuatilia bana naleo nimekua wakwanza kuangalia hii video na kutoa comment
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti 6 күн бұрын
Ki ukweli ni mawazo yenye nguvu na upako wa hali ya juu
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 4 күн бұрын
Guys 😂😂😂😂😂 mbona wadau wanatoka nje karibu wote whts happen mhhh em niwe makin naendelea kufuatilia hapa nione mwisho
@richmanbeatpro2691
@richmanbeatpro2691 4 күн бұрын
nataka kuunga group yenu nifanyeje
@richmanbeatpro2691
@richmanbeatpro2691 5 күн бұрын
mimi nataka number ya chef ili niweze kuongea nae
@user-we7uq1qh7p
@user-we7uq1qh7p 5 күн бұрын
Uyu anakuwag chizi una pesa yakula fujo kibao utaolewa
@EmanuelMtafya-zw1xm
@EmanuelMtafya-zw1xm 6 күн бұрын
Chief wanapanga kuanguxha ukongopa technology badooo fact zako hazikwepeki👑👑👑👏👏👏👏
@Foodandtaste.20232
@Foodandtaste.20232 4 күн бұрын
7000$ is not real!! The plane tickets for business class using award winning plane companies like Qatar Airways wouldn't be such expensive. Current a direct plane ticket would cost 3000$ when booked for overnight journey😅. Basically, these men are motivational speakers trying to take away your money 💰 😂. Watch out!!!! I'm leaving this comment to let ya'll know...)
@steavmcper7322
@steavmcper7322 Күн бұрын
Ukijikweza utashushwa huyu atajua mchawi, freemason, illuminati, mwizi hizo ni sifa za kushushwa
@lellovenance5702
@lellovenance5702 6 күн бұрын
King of Kings, chief la machiefs shujaaa mkuu wa karne, uishi milele my King
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 6 күн бұрын
King of kings is only Might God, usirudie kumuita hivyo asije akafa kabla ya wakati wake
@lellovenance5702
@lellovenance5702 4 күн бұрын
@@ifmknowledgepower7333 hujaelewa kwa Nini namwita chief wangu mtukufu wewe najua ukuu wa NGUVU yake
@Ksjabbkdjsj
@Ksjabbkdjsj Күн бұрын
Yan Mnakaa kuskilza uyu Mjinga😂, Yeye tu anahtaj kusaidiwa😮
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 218 М.
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 45 МЛН
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 20 М.
HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII
5:08
Chief_Godlove
Рет қаралды 5 М.
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 46 М.
Pius wilson vs Kiboko Ya Wachawi live performance ✨
1:43
Pius Wilson
Рет қаралды 16 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 54 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 20 М.
KIKAO CHA KIFREEMASON NA CHIEF GODLOVE MWENYEWE
5:17
Chief_Godlove
Рет қаралды 2,7 М.
Man tries outrunning cops on skateboard
0:10
Frankie Lapenna
Рет қаралды 17 МЛН
37.First Day as a Zombie💀
0:32
Limekey0
Рет қаралды 39 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
0:25
Watch Me
Рет қаралды 35 МЛН