Hatimaye mtoto aliyeibiwa Kisii apatikana akiwa salama Nyamira

  Рет қаралды 27,886

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Hatimaye mtoto aliyeibiwa Kisii na mama aliyenaswa na camera za cctv amepatikana Nyamira. cha kushangaza ni kuwa mama huyo amekiri Kumuiba mtoto huyo baada ya mwanawe kuaga dunia miezi miwili iliyopita. Na kama anavyoriooti mwanahabari wetu CHRISPINE OTIENO mshukiwa alikiri kuchukua hatua hiyo kunusuru ndoa yake.

Пікірлер: 35
@happytimes9747
@happytimes9747 4 жыл бұрын
Wow good news to the baby mama thanks God Sasa huyu mama anaiba mtoto due wake alikufa that's sad huyo bwanake anafaa kuwaacha hiyo story na waombe Mungu watapata mwingine lakini vile kuko nikama hata huyo mwenye alikufa walikua wamemwiba
@sheilalanya6326
@sheilalanya6326 4 жыл бұрын
AMEN. God is great i can celebrate with u (mtoto kupatikana)
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 жыл бұрын
HAKI MIMI PIA
@aleemaviolet9978
@aleemaviolet9978 4 жыл бұрын
This is madness... Just imagine after the kid past away she couldn't do without the kid.., what about the mother of the stolen kid ...to bad to separate amother and a child...
@salomemukani1627
@salomemukani1627 4 жыл бұрын
ASANDE SANA MUNGU KURUDISHA UYO MTOTO🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
@blessedoveTX
@blessedoveTX 4 жыл бұрын
Glory to the Almighty God for bringing the baby back to the mom! Happiest Mother’s Day!!!
@blessedlady6307
@blessedlady6307 4 жыл бұрын
We give thanks to God and CCTV for such a wonderful miracle
@MwariwaMukurino
@MwariwaMukurino 4 жыл бұрын
Kuna watu very selfish, ww unaiba mtoto Juu wako aliaga,je?na huyo mama mtoto ikisha mwibia mtoto wake si atahisi uchungu,afadhari ww wako alikufa na ukamzika,huyu mtoto wake ungemwiba angeishi na uchungu akijua vizuri mtoto wake hajakufa..
@margaret8940
@margaret8940 4 жыл бұрын
Great news indeed. It has crowned my mother's day. The CCTV has "saved the day". May God Bless the security agents, journalists, cameramen and other team members who helped spread the news and made time to listen to and help the innocent mother whose baby had been stolen when other people were busy blaming her. May God Bless the Nyamira residents who helped the police to trace the woman who had stolen the baby.
@silviahkwamboka740
@silviahkwamboka740 4 жыл бұрын
chunguza vizuri huyo hakufiwa na mwanawe bali yeye huibaga na amezoea, anafumba watu macho at alifiwa ,shindwe wewe jini mwizi.
@hanifaali9526
@hanifaali9526 4 жыл бұрын
Mtoto akifa omba mungu akupe mwingine, kuiba mtoto Wa watu sio suluhu.
@israelgk7222
@israelgk7222 4 жыл бұрын
Wow! Am so happy!! Never leave ur children with strangers
@salomemungai4897
@salomemungai4897 4 жыл бұрын
Wangu naenda naye hata kwa choo wwe mtoi si mchezo
@silviahkwamboka740
@silviahkwamboka740 4 жыл бұрын
thank God CCTV ilisaidia
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Alhamdhulillah
@billaanyango8208
@billaanyango8208 4 жыл бұрын
Sasa ukiiba mtoi wa mtu mwengine ndio dawa ya kutunza ndoa yako?
@Emaki-o3k
@Emaki-o3k 4 жыл бұрын
Amen but it looks like a lie. Camera ndo imefanya aseme ukweli
@salmanamianga9868
@salmanamianga9868 4 жыл бұрын
Mungu amjalie abebe mimba azae mwingine
@Esty1248
@Esty1248 4 жыл бұрын
Kama mtoto alikufa Jan si utulie utazaa mwingine, mwanaume nae anafaa kuelewa kifo kiko kila mahali kama mtoto alifariki Mungu atawajalia wakae kwa amani wazae mwingine .kuiba mtoto si poa
@eveimbusi5940
@eveimbusi5940 4 жыл бұрын
Wow God is great
@fatmamacharia3593
@fatmamacharia3593 4 жыл бұрын
God is good all the time 🙏🙏🙏
@سهيلالزهراني-ض5ي
@سهيلالزهراني-ض5ي 4 жыл бұрын
God is great.mtoto kupatikana.maisha mzuri kwa uyo mtoto mungu amulinde kwa kila njia maisha yake yote
@slmass868
@slmass868 4 жыл бұрын
Mungu nimwema kama mtoto amepatikana.
@verinicabarasa2644
@verinicabarasa2644 4 жыл бұрын
Glory to God
@juddiedon713
@juddiedon713 4 жыл бұрын
Nani amesema mtoto yako akifariki uende uibe ya mutu, mtoto mungu ndio upeyana
@eunnyq3126
@eunnyq3126 4 жыл бұрын
Kwani mtoto akikufa awezi zaa mwingine huyo ni mwizi shenzi
@pammora292
@pammora292 4 жыл бұрын
Thank you God
@nancymochache6661
@nancymochache6661 4 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 Wake akakufa akamua kuiba woiye this the worst stupidity akeshaa mwingine badala ya kuiba yawaha
@margueritnyingani8844
@margueritnyingani8844 4 жыл бұрын
Amen what a great relief to me too have been praying for the safety of that kid glory to God! Hallelujah. !
@joycemary3253
@joycemary3253 4 жыл бұрын
Sifa kw mungu
@vincentaruba7166
@vincentaruba7166 4 жыл бұрын
And we see some dogs dumping babies in dustbins while others are in need of them God,let them forgive her
@janeanguka5670
@janeanguka5670 4 жыл бұрын
Kwa nini achukue wa mwenzake si azae mwengine
@forgivepraisebetogod8196
@forgivepraisebetogod8196 4 жыл бұрын
I salute the police good work men👍👍👍
@elizabethbarasa9217
@elizabethbarasa9217 4 жыл бұрын
Good news aki❤️
@sawa8171
@sawa8171 4 жыл бұрын
🙊🙊🙊
Polisi wanamzuilia mamake mtoto aliyeng'olewa macho Kisii
2:28
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 49 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 2,3 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 4,1 МЛН
291 MPs support DP Gachagua's impeachment
17:16
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 22 М.
Mzee aishi na funza kwa muda wa miaka 15 Kisii
3:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 52 М.
Vijana watano wakamatwa na bunduki Kisii
1:21
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 141 М.
Undisputed III: Redemption | Final Fight Scene
13:24
Cinewatch
Рет қаралды 2,3 МЛН
ENGLISH SPEECH | PALKI SHARMA: India's Right Path (English Subtitles)
14:44
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 576 М.
Mvulana wa miaka 17 ajenga kituo cha matangazo nyumbani Kisii
3:21
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 294 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН