HATMA YA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI KUJULIKANA, JEBRA ASHUSHA HOJA NZITO MAHAKAMANI

  Рет қаралды 12,965

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@rogersiddy
@rogersiddy 20 сағат бұрын
Pongezi kwenu wanaharakati kwa kutupambania wananchi tusio na sauti tunatamani Tamisemi isiwe na mamlaka ya kusimamia uchaguzi lkn tunashindwa kupambana juu ya hilo Mungu awaongoze awape nguvu afya ushindi tupate🙏🤲
@davieswillson9782
@davieswillson9782 19 сағат бұрын
Yani kunawatu wanalipambania taifa Ili ... Tunawapongeza sana na mungu yuko mbele yenu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 сағат бұрын
Amina
@SebastianCharleskayanda
@SebastianCharleskayanda 20 сағат бұрын
Jaman watanzania tungewekewa namba yakuwapa hela yakuwekea hata mafuta nauli ili wajue kuwa watanzania wamechoka ujinga wao
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 сағат бұрын
Kweli kabisa.
@efremmwalongo828
@efremmwalongo828 20 сағат бұрын
Hongereni sana sana mawakili kutusaidia raia
@festokemibala5832
@festokemibala5832 18 сағат бұрын
Raia, wa aina gani? Tupe ngeli za hao raia ambao hata sheria hawazijui na zinatumikaje
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 сағат бұрын
@@festokemibala5832 mh Maneno makali hayo. Wewe sheria unazijua vizuri?
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 сағат бұрын
@@festokemibala5832 raia wote wanajua sheria? Usitukane raia wengine bila sababu ya maana
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 19 сағат бұрын
Makamandaaaa nimewakubaliii tuko nyuma yenuuuu!❤
@elinamilyamuya3277
@elinamilyamuya3277 14 сағат бұрын
Hongereni sana viongoziwetu. Wananchi tupo nyumayenu. Mwenyenzi MUNGU atawalipa mudawenu
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 13 минут бұрын
Asanteni sana sana watanzania wenzetu kwa kutuwakilisha ipasavyo. Hofu inabaki kwa zile simu zinazo pigwa kwa majaji.
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 12 сағат бұрын
Tunawakubali Sana mawakili wetu tunafurahishwa Sana jinsi mnavotutetea wanyonge tusio na sauti nafikiri ifikie wakati watanzania tuangalie namna ya kuwachangia hata pesa ya mafuta ya gari tu Hawa makamanda wanatuwakikisha vyema Sana dhidi ya manyang'au ya nchini kwetu
@ChristerKoku
@ChristerKoku 18 сағат бұрын
Mama Nkya umesema kweli,vyama vya siasa vinapigana vikumbo kujianfikisha hadi kuandikisha mamuruki,bila kujali haki za msingi zinalindwa wanapenda tu ovyo ovyo.
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 17 сағат бұрын
Waandishi wa habari mbona hawapo ni jambo tv tu mungu awabariki sana jambo tv tunaona yawesekana ni kama 16:29 vingine ni vya ccm.
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 18 сағат бұрын
Kwa kweli judge akisimama katika haki akatoa maamuzi ya haki atainuliwa kwa viwango vya juu na ataandika jina lake kwa wino wa dhahabu...wenye nchi ni wananchi...Mungu akatuonekanie tume huru ni sasa...
@leokamil6284
@leokamil6284 18 сағат бұрын
Asipo Linda ugali wake kwa kusikiliza amri kutoka juu.Haki huinua Taifa tunayo nchi moja Tanzania tuitendeeni haki tuipende
@fadhilimsafiri216
@fadhilimsafiri216 5 сағат бұрын
Asanteni kwa kutusaidia
@NicolasLauwo-gl4kx
@NicolasLauwo-gl4kx 18 сағат бұрын
Asanteni sana mungu awabariki sana haluta kontunyua mapambano yaendelee mungu awabariki
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 17 сағат бұрын
Mungu awabariki sana wanaotetea wanchi wao hongeren sana.
@AlexAbraham-w9e
@AlexAbraham-w9e 21 сағат бұрын
Safi sanaa wakuu
@victoriabernard5287
@victoriabernard5287 19 сағат бұрын
Hongereni sana Mungu awe nanyi kila hatua.
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 17 сағат бұрын
Hongeren watetez wa haki na kweli ila angalia wasiwapige muda mwingi kwan wana maana ngani angalau TLS na taasisi za kidin wasaidie mbali si tamisemi maana hao ni makada wa ccm mungu awape maisha mazuri mawakili na waliopeleka kesi mahakana tupo pamoja nanyi angalau kwa maombi.
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 17 сағат бұрын
Mungu awasimamie mawakili mnaosimama upande wetu wananchi 🙏
@ChristerKoku
@ChristerKoku 18 сағат бұрын
Hao ni wawakilishi wetu yunawapenda na kuwaheshimu.Mungu aliona hilo.
@danielkanso
@danielkanso 17 сағат бұрын
Hongereni sana mawakili kwa kutusema kiukweli hatua ya tamisemi kusimamia uchaguzi kwanza hatuikubali japo waziri anatumia nguvu kubwa lakini hatutaki
@ChristerKoku
@ChristerKoku 18 сағат бұрын
Gharama ni kuhakikisha haki inatendeka,ili kulinda maisha na heshima ya taifa letu.
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv 18 сағат бұрын
Ni ushamba tu kuendelea na uchaguzi wakati kesi yakupinga Bado na kudharau mahakama zetu ni aibu kwa taifa
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 4 сағат бұрын
Hekima ya Mungu kupitia roho mtakatifu akamuongoze Jaji kutoa hukumu iliyohaki na kweli. Na wote wenye nia ovu Mungu akashughulike nao kama apendavyo yeye maana CCM imekuwa mtesi wa nchi 😭😭😭😭 Mungu awabariki na kuwalinda wasomi wetu kwa kutupigania watanzania
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 5 сағат бұрын
Vyama vyote vya siasa, hili hatuliono?
@nestoryvenance4258
@nestoryvenance4258 18 сағат бұрын
Ndio kazi ya mawakili tusaidieni maana katiba ina waruhusu kuyafanya hayo Mungu atawasaidia tupo nanyi.
@majidukalokola7253
@majidukalokola7253 19 сағат бұрын
Hii kesi iko wazi sana hata kwa mtu ambaye siyo mwanasheria, kwamba siyo haki hata kidogo kwamba Tamisemi isimamie uchaguzi ambao waziri husika ana masilahi nao, lakini pia hata sheria hairuhusu kufanya hivyo.
@leokamil6284
@leokamil6284 18 сағат бұрын
Ni dhulma tu za viongozi na kutufanya watanzania wote tu wajinga. Wamezoea hayo bila kujali bila aibu
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 18 сағат бұрын
Majibu tayari yameshatoka Mudathir keshapokelewa
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 11 сағат бұрын
Tunajua na kuelewa kuwa mahakama zetu, majaji na mahakimu wa mahakama zetu wako kwenye makwapa ya serikali - CCM ambayo ndiyo inakiuka sheria kwa maslahi yake. Lakini tuelewe kwa ukubwa kabisa kuwa, Mungu wa mbingu na nchi akiamua kubadilisha hali na mambo, anaweza kubadilisha chochote kwa kuwatumia watu wanyonge kabisa na wanaodharaulika. Mungu anaweza kumtia upofu jaji na kugeuza akili na ufahamu wa hakimu aliyehongwa ili apindishe haki kwa kumfanya atoe maamuzi ya haki mpaka kila mtu atabaki ameshangaa. Mimi naamini Liko jambo kubwa linakwenda kutokea nchini kwetu. Nauona mwisho wa CCM na uonevu wao. Mungu amesikia kilio cha Watanganyika. Yuko tayari kutuokoa na kutukomboa toka kwa mahayawani hawa wa CCM wasiojali haki
@RebekaMwalongo-og8hc
@RebekaMwalongo-og8hc 8 сағат бұрын
Ameeen 🙏🙏
@marieconnect6389
@marieconnect6389 23 минут бұрын
Amina. Mungu ametusikia vilio vyetu.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 20 минут бұрын
Mungu atatenda maajabu yake kwa taifa hili. Hakuna wakumshinda Mungu. Watu wote watajua kuwa Mungu wetu ametenda maajabu yake katika taofa hili. Naamini kabisa itatokea tena muda si mrefu
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 20 сағат бұрын
Mungu analipenda sana hili Taifa Mawakili wetu wanafanya kazi nzuri sana ila Wana Nchi tunashida Kubwa sana tunavunja sana Moyo
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 19 сағат бұрын
Well done
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 19 сағат бұрын
Big up watetezi wa wanyonge
@SichivulaGevasi
@SichivulaGevasi 18 сағат бұрын
Hangereni sana mungu mawakili
@nestoryvenance4258
@nestoryvenance4258 18 сағат бұрын
Yes
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 18 сағат бұрын
Dada Ananilea Nkya, usiseme ukamaliza maneno hukumu bado, mpaka tarehe 25, usishangae ukisikia Tamisemi imepewa rungu. Sijui utafanyaje siku hiyo.
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 20 сағат бұрын
asanteni MUNGU IBARIKI TANZANIA
@allyngoda761
@allyngoda761 16 сағат бұрын
Pia kuonyesha kiburi kuendelea na utaratibu wa kujiandikisha na wakati kesi iko mahakamani..! Dalili zinaonyesha wanajua hakuna chombo chenye mamlaka ya kusimamisha uchaguzi
@festokemibala5832
@festokemibala5832 18 сағат бұрын
Mama Nkya, unashukuru kabla ya hitimisho? Hukumbuki Rostam alisemaje na wala hakuwahi kukanusha wala kuambiwa alete ushahidi na la ashitakiwe!
@nestoryvenance4258
@nestoryvenance4258 18 сағат бұрын
MAHAKAMA zetu zipoje na huwa wanamasilahi gani mbona kama haki zetu huwa zisikilizwi.
@ManaseNassary
@ManaseNassary 15 сағат бұрын
Watumushi wa tamisemi ni makada wa ccm. ItakuwJe kusimamia uchaguzi wa vyama vingine? Kesi ya mbuz unampa simba atoe hukumu?
@ChristerKoku
@ChristerKoku 18 сағат бұрын
Mimi sielewi kama uandikishaji unaondelea uchaguzi za serikali za mitaa kama umeandaliwa vizuri,yanayosemwa yapo,wapenda nchi tutetee nchi yetu kuna watu wanamdanganya mama Samia,rais anamambo mengi yakufanya.
@RugakiMsingo
@RugakiMsingo 5 сағат бұрын
Inavyohonyesha tunaongozwa kimbubu ..ila wajuwe watanzania sio wajiga.
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 20 сағат бұрын
Majibu ya Mahakama ni kutupilia mbaliii kuleeeeeh , Niko pale nimekaa😮😮😮
@FocusmachumuMwizarubi
@FocusmachumuMwizarubi 21 сағат бұрын
Sahihi wakuu
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly 19 сағат бұрын
Mungu tusaidie Wananchi tushinde kesi hii,huyu Waziri si wa ccm? Hawa ccm 😢hawana hofu ya Mungu
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 17 сағат бұрын
Mawakili mpo vizuri ila shida ni moja mahakama wanapokea maagizo kutoka juu kwa ccm shida ndio hiyo ila muwemacho sana.
@IssaMsalama-k6x
@IssaMsalama-k6x 14 сағат бұрын
Ndio maana muhamko umekuwa mdogo wa wananchi kujihandikisha,wata wala wanatumia mabavu kuenderea kutawala,sisi watanganyika ni wazembe mahiti zinazo tembea,
@StanleySewando-nb4xm
@StanleySewando-nb4xm 15 сағат бұрын
Toeni namba tuchangie mafuta mawakili wa utetezi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 21 сағат бұрын
It is unprecedented. Wither democracy, justice, and the rule of law😢😢😢😕😕😕
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 17 сағат бұрын
Hakimu wenyewe wanapewa maelekezo Wala tusitegemeee jipya
@IssaMsalama-k6x
@IssaMsalama-k6x 14 сағат бұрын
Yaani unatoa ela mfuko wa kulia unaweka wa kushoto,suluwali hiyo hiyo,wekeni tume huru,
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 19 сағат бұрын
Je? MAHAKAMA YETU ITATOA HUKUMU YA HAKI KUHUSU KESI HII?
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 21 сағат бұрын
Nchi hii inatakiwa ifanyiwe usafi maana tunaona mengi ya ajabu ajabu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 20 сағат бұрын
Nyani jmnii
@laxmagoma7897
@laxmagoma7897 20 сағат бұрын
Kwa mahakama zetu siku iliyopangwa kusomwa hukumu, kuna uwezekano wa kuahirishwa na kusogezwa mbele kupisha uchaguzi.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 19 сағат бұрын
Hata kama uchaguzi utakuwa umefanyika mahakama ina mamlaka ya kubatilisha na kuufuta ndiyo maana huwa kuna chaguzi za marudio ikithibitika uovu au kasoro kwenye chaguzi gharama za uchaguzi hazina faida zaidi ya haki na demokrasia
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 20 сағат бұрын
Mafsimu yatatoa maelekezo watanganyika tukose haki yetu
@mpendamema3694
@mpendamema3694 20 сағат бұрын
Hii wanawavutia mpaka mwezi wa 11 pengine hadi siku ya uchaguzi wanapiga kalenda
@MakameAly
@MakameAly 20 сағат бұрын
Mahakama yao ccm ila muungu tuu asimamiye
@ChristerKoku
@ChristerKoku 18 сағат бұрын
Vyama vya siasa ni ulaji tu.
@raphaelmkosamali1056
@raphaelmkosamali1056 19 сағат бұрын
Tunapoteza muda tu hatuna mahakama Tanzania .
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct 18 сағат бұрын
Tatizo hizi mahakama zetu hazitoi haki ngoja turned ukweli uko wazi tamiccm haiwezi kusimamia uchaguzi kama wanavyofanya sasa kwenye uandikishaji kuna mambo mengi ya hovyo
@ChristerKoku
@ChristerKoku 18 сағат бұрын
Rostum alisemaje? Ee mungu baba watu wa heshimu viapo vyao.
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 11 сағат бұрын
Uzawa wamwabukusi awajawai kufer
@raphaelmkosamali1056
@raphaelmkosamali1056 19 сағат бұрын
Tufunge nakuomba ili kila kiongozi anayechezea haki yetu watanzania afe.
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 18 сағат бұрын
Mimi niliwambia waache kukimbiza mwenge karne hii hawanielewi
@ChugaYechu
@ChugaYechu 27 минут бұрын
CCM hata aje nani hakuna mwenye huruma na fetha zawatanzania,hivyo nivema tu mungu alete sodoma na gomora
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 19 сағат бұрын
Jaji anateuliwa na rais *rais ni mwenyekiti waccm wazili wa tamisemi mchengelwa anateuliwa na rais huyohuyo mchengelwa anachofanya ni kwa maslahi ya ccm na rais unategemea jaji atawasikiliza waleta kesi au itasikiliza maelekezo toka juu ? Jaji mnampa wakati mgumu sana kwa kesi hii wakati jaji anategrmea apande cheo kumbukeni kesi ya mbowe nayule jaji ilivyokuwa. Mmm mungu yupo tusubili
@Juma-e8l
@Juma-e8l 16 сағат бұрын
Pia mchengelwa ni mkwe wa Madam president 😅😅😅
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 20 сағат бұрын
Kesi ya Nani na Ngedere haki itakuwepo!
@stephensooi5248
@stephensooi5248 19 сағат бұрын
Kama ulikwenda darasani utajua ni kesi ya nani vinginevyo mmmhhh.
@JohMwita
@JohMwita 20 сағат бұрын
nawapa pongezi kambope ila sizani kama mahakama hii tulio nao ita...... sizani kama wakitenda haki nitamini mahakama iko free
@evelina9621
@evelina9621 19 сағат бұрын
Wazirl.wa.temisemi.hasiki.na.masirahi.anayoyajua.
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 21 сағат бұрын
Mi ninavyoona hapo majaji watapewa maelekezo na kesi itatupiliwa mbali na hapa wapinzani wanaonewa sana maana hata saiv kwenye kujiandikisha ni filigisu tyuuu
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 18 сағат бұрын
Ccm ni wakolofi nyie! Subulini haya matokeo ya hii kesi mtaendelea kuwajuwa
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 19 сағат бұрын
Kwanini wachukue muda mrefu hivyo inamaana hawana muda mpk baadaya mwezi? Hili ni changa la macho!
@MalkiadiNaano
@MalkiadiNaano 16 сағат бұрын
Hivi kweli mnasema gharama siyo kitu,yaani kodi zetu mziharibu kwa kisinginzio cha uharakati ,subirini nguvu ya umma tar 27/11/2024 mtajionea hasira ya wananchi kama kweli mnawakisha wananchi au nafsi zenu
@Shabani-uz1sb
@Shabani-uz1sb 20 сағат бұрын
Mnapoteza, mudamnataka, Umarufu
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz 20 сағат бұрын
Kumanyoko unatakiwa kuuawa wewe
@EmmanuelKiula
@EmmanuelKiula 19 сағат бұрын
Umaarufu gani? Hao hawana haja ya umaarufu, Wana umaarufu tayari!
@Juma-e8l
@Juma-e8l 16 сағат бұрын
Kamuulize aliyekuzalia gest kwann wanataka umarufu
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 20 сағат бұрын
Sio kesi ya Watanzanìa Acha kudanganya watu ya hao Waliokutuma
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 19 сағат бұрын
hujui kitu ndio sababu unasema, sio kesi ya watanzania. unakasumba ya uccm, hata neno 'KWA NIABA' hulijui maana yake. pole sana..
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 19 сағат бұрын
Kumbe wapumbavu niwengi nchini
@leokamil6284
@leokamil6284 18 сағат бұрын
​@@AmisiLulachawengi mno ndio maana tunatendewa mambo kama haya ya Tamisem kusimamia uchaguzi maana wajinga wengi na waoga wenye kujipendekeza kwa maslahi yao.tumegeuzwa wajinga kwa kuwa na wajinga wengi
@Juma-e8l
@Juma-e8l 16 сағат бұрын
Kamuulize aliyekuzalia gest kama si ya wananchi😂😂😂
This $10M U.S. Army Laser Melts Drones With $3 Beams | WSJ Equipped
6:12
The Wall Street Journal
Рет қаралды 933 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 21 МЛН
"Surrender or Starve": Israel Weighs Plan to Liquidate Northern Gaza
13:45
WHY AN ISRAELI NUCLEAR STRIKE ON IRAN IS NOW POSSIBLE
14:05
ATE CHUET
Рет қаралды 177 М.
EXCLUSIVE: MKEWE LISSU AFUNGUKA, NGUMU KUAMINI (PART 1)
26:26
Mwananchi Digital
Рет қаралды 186 М.
SABABU SAKATA LA DKT TULIA ACKSON, SIYO WA KWANZA KUSHUTUMIWA
13:22