Ha haa haaa haaa!! hawakuji hao Mkwere,(waukae) au miwaambie?
@bogoakassim87142 ай бұрын
Mkwere Origino
@user-iw5hu3mc7l2 ай бұрын
Namkumbuka sana kakako max
@zimboj52782 ай бұрын
Jamaa ana nyumba Kali kuliko wasanii wengi Sana Hapa bongo
@SelinaMdoe-jv1pu2 ай бұрын
Huyu dar ana nyum ba kama zote huko kimara bonyokwa ndio usiseme ana m ijumba kibao yani h uyu ana mabaa ana mabiashara yani an a vitu vya dhamani sana ila simtu wa m aringo
@AbrahBuraheze18 күн бұрын
nimekuja kugunduwa huyu jama pesa anayo baada yw kuiyona baar yake ya manzese namkuta anakuka nyama choma kwenye bar yake nikauliza hivi yule si muigizaji nikajibiwa ndio na ile ni bar yake