Mizengwe: Mkwere atumia mchango wa msiba kujilipa deni.

  Рет қаралды 112,081

ITV Tanzania

ITV Tanzania

3 жыл бұрын

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our KZbin Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg

Пікірлер: 133
@kasimshabani3120
@kasimshabani3120 3 жыл бұрын
Daa mzee arikua ana jua sana
@busnaoman9981
@busnaoman9981 3 жыл бұрын
Naomb t asije akaongezeka mtu mbak hivhiv mnatosha san namnafundisha jamii asilimia 💯
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Жыл бұрын
Mungu hakusamehe dhambi mzee matata
@lisaemmanuel8673
@lisaemmanuel8673 3 жыл бұрын
😂😂😂 isiwe kama semina
@gedionraison2402
@gedionraison2402 3 жыл бұрын
Lala salama mzee watu tutakukumbuka sana ktk nafas yako
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 3 жыл бұрын
Hahhhhhh we mkwere kenge kweli yaani ukodi boda ya elfu 15 ufate mchango wa sh 7000!!!🤣😂😅😂😆
@peterfujokalogi7821
@peterfujokalogi7821 3 жыл бұрын
R.i.p mzee matata
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
Jamani hiyo sauti ya muziki imekuwa km fashion vile kwa filamu za bongo. Lakini ukweli ni kwamba mnaharibu uhalisia wa tukio au scene. Bila shaka mnaiga Wanaigeria au wapi kule sijui. Si kila kitu ni kuiga tu. Ondoeni muziki pasipo na ulazima hasa kwenye dialogue. Waigizaji ni wazuri sana lakini muziki mnaouweka muda wote unaboa na haupaswi kuwekwa.
@shariffhashim3735
@shariffhashim3735 3 жыл бұрын
M
@selemanimsofe7321
@selemanimsofe7321 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂medula oblongata mixer presha ha ha ha
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Jamaa mko sawa! Nawakubali sana.
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante Gosbert, asante kwa kutuunga mkono
@joycekwayaya7537
@joycekwayaya7537 3 жыл бұрын
R.i.p mzee matata😭😭
@clavery-verisnicholouc2062
@clavery-verisnicholouc2062 3 жыл бұрын
Umeshawahi kufa mchana kweupe wewe😀 mizengwe🔥🔥🔥
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 3 ай бұрын
😂Umeshawahi kunyongwa ukafa mchana kweupe wewe
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Hongereni sana tuliwakosa kwa muda kidogo tukakosa uhondo. Musipotee tena. Mkwere anajilipa deni kabla ya kuzika mwachieni hiyo maiti atajua cha kufanya nayo.🤣🤣🤣🤣
@user-bd5hq2kb4h
@user-bd5hq2kb4h 2 ай бұрын
SANAA NI KAAZI,WANATUKOSESHA RAHA(WAKO WAPI?)NA KWANINI ?TUAHAMALIZA,PLEASE TUNAWAOMBAAAAAA
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Mizengwe mpo vizuri sana.15.10.20.
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Yan hawa sijui walitaftana maan wanafaana kwel
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante kwa kutuunga mkono Mariam.
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 жыл бұрын
ongerena kashikash r.p baba yetu matata Allah akujalie safari yako iwe ya heri akusamehee ulipokosea sisi wtzn wenzio tunakuombea lnshallah amin
@mwaramiamiri9017
@mwaramiamiri9017 3 жыл бұрын
Mtu tano kama milioni 5
@womanhappness
@womanhappness 3 жыл бұрын
Kipindi hiki kizur kinafundisha,kinaburudisha. Waigizaj ni wataalam sana.
@sabatoelia312
@sabatoelia312 3 жыл бұрын
Medula ublangata spaino kodi 😂😂😂
@lizzyshayo209
@lizzyshayo209 3 жыл бұрын
Mkongo mbona kama anaumwaaa...ni mkimyaaa sanaa kitu ambacho sio kawaida yake
@tarerich5099
@tarerich5099 3 жыл бұрын
Atakuwa anaumwa naona kapungua pia mwili
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg 3 жыл бұрын
Mungu iraze roho yake peponi
@richardkalumiye6445
@richardkalumiye6445 3 жыл бұрын
Mbona malingo 7 amupungua mwili
@kosausigo1485
@kosausigo1485 3 жыл бұрын
Nawakubali sana
@magutumwiti3267
@magutumwiti3267 3 жыл бұрын
Mko vizuri sana waheshimiwa napenda sana kazi zenu
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante kwa kutuunga mkono Magutu.
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Mko juu sana
@esterngowi7159
@esterngowi7159 3 жыл бұрын
Mzee matat jmn 😭😭😭
@shwaibuiddy2621
@shwaibuiddy2621 3 жыл бұрын
Mkwele duuh,, umetisha
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kutuunga mkono Shwaibu.
@samwelhiinyamhangahiileosi1060
@samwelhiinyamhangahiileosi1060 3 жыл бұрын
Mkwere umetisha
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante kwa niaba yake, asante kwa kutuunga mkono.
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 3 жыл бұрын
😃😃😃huyu mkwere kichwa maji kweli
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 жыл бұрын
Shikamoo mkwere
@petermgogosi3325
@petermgogosi3325 3 жыл бұрын
Aisha naomba nikuoe uko vizuri
@mibokichannel4006
@mibokichannel4006 3 жыл бұрын
Mkwere wewe ni kwere haswa
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Ha haa haaa! Asante kwa niaba yake Miboki, nitamfikishia salaam zake.
@veronysiwale7832
@veronysiwale7832 Жыл бұрын
Heheeee hela tax
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Yapo sana haya mitaani humu
@hjhj6230
@hjhj6230 3 жыл бұрын
😃😃😃
@allywilson4155
@allywilson4155 3 жыл бұрын
Mkongo anaonekana mgonjwa...
@mtitagirloriginal6890
@mtitagirloriginal6890 3 жыл бұрын
Sana amepoteza nuru
@wemakafuka1151
@wemakafuka1151 3 жыл бұрын
Anton lusekel
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 жыл бұрын
Jaman munajua sana nakupenden sana sana sana nyinyi ndiyo comedy Bora Africa MASHARIK
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante kwa kutuunga mkono Avata.
@rawistinemagaigwa8751
@rawistinemagaigwa8751 3 жыл бұрын
Mkwere noma
@katomayanja622
@katomayanja622 3 жыл бұрын
Maliam
@yahyagonga
@yahyagonga 3 жыл бұрын
Medulla oblongata spinal cord muscles hahahahaha
@salimsuedi2731
@salimsuedi2731 3 жыл бұрын
Asee Maringo amekonda asee..
@frankvianey2438
@frankvianey2438 3 жыл бұрын
Ni kwel jamaa amepungua sana asee
@florakabadoelkana6764
@florakabadoelkana6764 3 жыл бұрын
Sijui shida nini
@lyricssongfunnyvideostory8621
@lyricssongfunnyvideostory8621 3 жыл бұрын
Mnafurahisha kwer
@alfredmalanji7511
@alfredmalanji7511 3 жыл бұрын
Medula oblongata spinal cord muscles hahaha hahaha hahaha hahaha
@samirhoo6030
@samirhoo6030 3 жыл бұрын
AAA aaa usilie usilie wewe ndo ingini sisi mabehewa
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 3 жыл бұрын
Duh kuni na turubai!!😂😂
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 3 жыл бұрын
Malingo kakonda adi anajiogopa
@kaitaramadan6340
@kaitaramadan6340 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃
@modestsharia7127
@modestsharia7127 3 жыл бұрын
Mama ilibidi nimuachie laki moja na Nusu! 🤣🤣
@majaliwarajabu8869
@majaliwarajabu8869 3 жыл бұрын
Jamani matata atangulie salama😥
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 3 жыл бұрын
Mkwele acha ujinga unatutesa na vicheko eti ukiandika pesa ya mchango unamkumbuka marehemu kha!!
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@cristinadaniel1708
@cristinadaniel1708 3 жыл бұрын
Mkwere unaniacha hoi😂😂😂😂
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante Cristina kwa kutuunga mkono, nitamfikishia salaam zake.
@shukrankifyasi1500
@shukrankifyasi1500 3 жыл бұрын
Kumekuchaa
@daudsimon5417
@daudsimon5417 3 жыл бұрын
Wakal wa kuelimisha na wakubal Sana
@costavalenci7699
@costavalenci7699 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@teedullah5708
@teedullah5708 3 жыл бұрын
Alafu huyo mzee matata mzuri kwa kuliya mzee smaku ww waiqiza tu
@paschalbudotela5806
@paschalbudotela5806 3 жыл бұрын
Mko pow sn
@lelasalum555
@lelasalum555 3 жыл бұрын
Lala salam
@sebachanga7237
@sebachanga7237 2 жыл бұрын
Mkwele umebaki na sh, ngapi sasa?
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
mkwere unatisha sana
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante Abu kwa niaba yake. asante kwa kutuunga mkono
@fekechezidg2036
@fekechezidg2036 3 жыл бұрын
Maringo 7 umetisha
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante kwa niaba yake, na mitamfikishia salam zako. asante kwa kutuunga mkono.
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 3 жыл бұрын
Nafikili hii igizo ilikua maktaba pengine ilitengenezwa siku nyingi saana
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
@@alexlingwendu6780 Hapana ni igizo jipya kabisa. kwanini unasema hivyo?
@teedullah5708
@teedullah5708 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@ramawhite2965
@ramawhite2965 3 жыл бұрын
Lakini cha muhim kafa Kerri😂
@azizikasese2044
@azizikasese2044 Жыл бұрын
😂😂
@kingidrisaathumani48
@kingidrisaathumani48 2 жыл бұрын
medula oblangata spinal cord muscles 🤣
@nessmwambogolo2545
@nessmwambogolo2545 3 жыл бұрын
🤣🤣mkwereeeeeeeeeeeeeeeeee
@khalidibero
@khalidibero 3 жыл бұрын
Maringo 7 77 vipi mzazi ,mwili kama umepungua hivi dizaini
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Khalidi, Yupo vyema sana kiafya, ni mabadiliko tu ya kiuchuni na mambo ya hapa na pale, nitamwambia salam zako,
@hassanbaraza1165
@hassanbaraza1165 3 жыл бұрын
Huo mziki mnaweka una kera Sana plz
@magrethkerengo3566
@magrethkerengo3566 3 жыл бұрын
mkwere noma xana
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
ASante kwa ktuunga mkono, nitamfikishia salam zake kutoka kwako.
@martinerichard5827
@martinerichard5827 3 жыл бұрын
Medula Oblongata spinal cord muscles haaaaa haaaa mbaaaaaf sana nyie
@pascalcostantine4478
@pascalcostantine4478 3 жыл бұрын
Hebu acha utopolo utopolo wako hapa
@wemakafuka1151
@wemakafuka1151 3 жыл бұрын
Matukio reo
@kaba7911
@kaba7911 3 жыл бұрын
Please 🙏🏿🙏🏿 punguza background sound ya filimbi inaovertake the comedi voices and punchlines
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante kwa ushauri Qaba, asante kwa kutuunga mkono
@zabronmligo9629
@zabronmligo9629 3 жыл бұрын
Hahahaha boda 15 mchango 7000
@bahaliasimango3034
@bahaliasimango3034 3 жыл бұрын
Mkongo vip ulikuwa unaumwa?au bado unaumwa.
@lucydulle3422
@lucydulle3422 3 жыл бұрын
Amepungua kweli
@railwayschoolandeducationc6312
@railwayschoolandeducationc6312 3 жыл бұрын
fixed account 😁😁😂😂😂😂😂
@godfreymafumba9997
@godfreymafumba9997 3 жыл бұрын
Mko vizut
@teedullah5708
@teedullah5708 3 жыл бұрын
😅🤣Safina Safina bulanqata
@missrukia9661
@missrukia9661 3 жыл бұрын
JAmani mbeleyake nyumayet
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 жыл бұрын
Fimbo za wana comedy wote African mashalik
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante sana Avata, asante kwa kutuunga mkono, hatutaki kabisa kukuangusha.
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg 3 жыл бұрын
Rlp
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 жыл бұрын
Turubai na kuni....
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
huyu mkongo mbona amekonda sana anaumwa nini?
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Kweli aisee
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Kwel bana ww ni kama mm nimemwona na mm
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
@@martinmaryogo6081, hapana haumwi ni mapito tu ya maisha siku hazifanani. yupo mzima kabisa wa afya.
@MarcoPolo-ol2lz
@MarcoPolo-ol2lz 3 жыл бұрын
@@lusese1 alafu mbona hamna muendelezo wa kupost youtube?
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
@@MarcoPolo-ol2lz Sorry tulikuwa likizo ya Corona, sasa tumerudi kwa kishindo, enjoy our shows. na asante kwa kutuunga mkono.
@wemakafuka1151
@wemakafuka1151 3 жыл бұрын
Stivini kanumba
@kheirrajab7052
@kheirrajab7052 3 жыл бұрын
jjj
@mussazanda1457
@mussazanda1457 3 жыл бұрын
Babu kubwa
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Yan kila mtu ni kiboko had raha yan
@lusese1
@lusese1 3 жыл бұрын
Asante kwa kutuunga mkono Martin
@christinapeterntibagiligwa2556
@christinapeterntibagiligwa2556 3 жыл бұрын
Rlp mwanga wamilele umuwangazie 😭😭😭😭😭
Mkwele wa Mizengwe awaponza wenzake.
17:22
ITV Tanzania
Рет қаралды 58 М.
ITV-MIZENGWE     DENI KULIPA
18:57
ITV Tanzania
Рет қаралды 122 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 9 МЛН
#MIZENGWE Baba mkwe
20:32
ITV Tanzania
Рет қаралды 51 М.
MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 MBULU TC
30:08
Manyara RS TV
Рет қаралды 970
#MIZENGWE:    Ubinadamu kazi.
18:38
ITV Tanzania
Рет қаралды 32 М.
Rejected total Orphan with family living alone in the forest
18:22
Bosongo Vibes
Рет қаралды 5 М.
MUUZA SHANGA
8:49
Joti TV
Рет қаралды 849 М.
ITV MIZENGWE - JUU YANGU
21:55
ITV Tanzania
Рет қаралды 640 М.
Они так быстро убрались!
1:00
Аришнев
Рет қаралды 1,3 МЛН
Toothbrush Glove Hack !?
0:16
Dental Digest
Рет қаралды 10 МЛН
БУКЕТ МЕЧТЫ НАСТОЯЩЕЙ СЛАДКОЕЖКИ😂😂😂
0:19
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 3,7 МЛН