HAYA NDIO YANAYOWATOA MACHOZI WENGI ZANZIBAR

  Рет қаралды 1,477

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Күн бұрын
Hayo masanamu hayafai, yakiwa nje au yakiwa ndani. Yazuiliwe kuingia ndani ya Zanzibar. Yaliyopo yayayushwe tupate mali ghafi ya kutengenezea vitu vyenye manufaa kwa binadamu.
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc Күн бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh mashaallah kazi nzuri lakini isiishie tu kwenye hio midoli au kwenye hayo masanamu ya nusu uchi au hayo masanamu yako uchi isiishie tu hapo tu peke yake
@kamandaraster7899
@kamandaraster7899 15 сағат бұрын
Ahsante.teni.sana..sana.kwa.hayooo.yote
@abdullmo8736
@abdullmo8736 19 сағат бұрын
As.alkum Naomba nijee kutoa chanzo cha hyo yote ktk Al fatah
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc Күн бұрын
Kwani huwezi kupata maendeleo mpaka utembee nusu uchi au utembee uchi
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc Күн бұрын
Pia muangalie na kwenye mavazi ya mama zetu Dada zetu mabinti zetu wasichana wetu na wanawake wetu kuhusu mavazi ya nusu uchi mavazi ya uchi
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 13 сағат бұрын
Arijal ndio wanawaachia kina mama na mabinti ivi wakitoka majumbani hawawaoni mitihani wanaume wajitahidi usimamizi kwakweli
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 13 сағат бұрын
Arijal ndio wanawaachia kina mama na mabinti ivi wakitoka majumbani hawawaoni mitihani wanaume wajitahidi usimamizi kwakweli
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 14 сағат бұрын
Ngoma moja tu nzuri njoo miembeni km bange utavuta unga napisha njjoo miembeni ile muwache Tz ndio nyimbo mme penda
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc Күн бұрын
Na pia kuhusu hili suala la maudhui ya sanaa ya uigizaji sanaa ya maigizo mfano kuhusu suala la sanaa ya uigizaji sanaa ya maigizo ya filamu tamthilia na muziki wa kizazi kipya maarufu bongofleva
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l Күн бұрын
Kama ni kweli hayo mnayo sema ni jambo jema, ila jiangalieni watanganyika sasa ivi wataanza kuwaita wabagguzi kwa sabb kuvaa nguo za uchi kwao ndio utamaduni, istoshe pia muangalie na maslahi yenu kwamabwana zenu wabara maramoja wanaweza kuwapokonya kibarua.
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc Күн бұрын
Halafu nawaomba kwa hisani yenu pia mtunge sheria Kali sana kuhusu hizi maudhui za maigizo maudhui ya sanaa ya kuigiza sanaa ya filamu sanaa ya tamthiia na sanaa ya muziki wa kizazi kipya yaani bongofleva kuhusu hizi maudhui ya filamu maudhui ya tamthilia maudhui ya muziki wa kizazi kipya yaani bongofleva kama hizo maudhui zinachochea ngono zinachochea zinaa zinachochea uzinzi zinachochea uasherati zinachichea usagaji zinachochea ulawiti zinachochea ulevi zipigwe marufuku haraka iwezekanavyo
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Күн бұрын
Watanganyika wazid
@humoudseyd7310
@humoudseyd7310 Күн бұрын
Na .bona kuna sehem za massage mjini tele yanayo fanyika humo ndani ni uchafu mtupu hizo vipi ?
@AminaOthman-b4f
@AminaOthman-b4f Күн бұрын
Na vile vile. mabaa ya ovyo ovyo pamoja na madanguro pia yaondoshwe mitaani ..kwani yana sababisha mambo ya uIaanifu mwingi Zanzibar kwa hiyo sio vizuri hata kidogo.🏝️
@alsam4881
@alsam4881 Күн бұрын
Masanamu yote yangepigwa marufuku Zanzibar, kwani hawawezi kutundika nguo kwenye henga bila ya kutumia masanamu?
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc Күн бұрын
Pia nawaomba kwa hisani yenu pia muangalie pia kuhusu hili suala la mavazi ya nusu uchi na mavazi ya uchi
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 13 сағат бұрын
Asalam aleykum mie naomba usimamizi uaze majumbani kila mwanamme ajitathmin ktk nyumba yake
@SumuuKijoka
@SumuuKijoka Күн бұрын
uchumi bluuu
@NassoroHaji-i8k
@NassoroHaji-i8k 13 сағат бұрын
Asilimia nyingi sa ivi si unguja si Pemba ila zaidi unguja vijana wa kike au hata watu wazima wanatembea vichwa wazi ...na hili nalo mliangalie wasituendee uchii
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 15 сағат бұрын
Haya masuala hayazuiliki tena tulisha fanya mistake huko nyuma yaliingia kidogo kidogo tukadharau sahivi ndio tunajaribu kuyazuiya yasiingie. Tumechelewa. maji yamezidi unga kuyaondoa moja kwa moja ni vigumu
@seifkhatib9731
@seifkhatib9731 23 сағат бұрын
Rudishin bakora 😂kidg mmb yatakaa sw mwak 1 tu nchi itanjooka
@minduchudi9121
@minduchudi9121 19 сағат бұрын
Mbn wazungu wanaranda n vichupi mji mzima hamsemi mnakaa kimy kw tamaaa zenu
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 12 сағат бұрын
Lipo kamishna piteni saluni muone
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 13 сағат бұрын
Hufanywa msako ikisha km wamechoka hawafuatilii tena wakijisahau t wanarudia biashara zao suala hili liwe endelevu sio mpk muone hali mbaya
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 12 сағат бұрын
Jamani hii wizara inashangaza yani habari za wizara yako mpk uletewe mezani au uwambiwe mutoke mujionee huko kwenye jamii na wizara zote zifanye hivyo kila mtu asimamie majukumu yake aibu
@minduchudi9121
@minduchudi9121 18 сағат бұрын
N hayo mabaa nloweka amani mkoa ndan uhuni mtupu wat wanajiuza mule ukimwi mtu mbn hamsemi au kwakua serikal y. Ccm town bas yenu uchafu wote
@humoudseyd7310
@humoudseyd7310 Күн бұрын
Hiii serekali mbona ina maigizo ya kitoto sanaa huu si utoto sasa si mtangaze sheria kwa nchi nzima raia waelewe nini wana ruhusiwa na nini hawaruhusiwi kukifanya mbona Abedi karume aliweka sheria kulinda tamaduni ya kisanzibari na iliheshimiwa ila nyie mnafanya maagizo ati mpaka mkitamani ndo mnapita baadhi ya mitaa si ujinga huo
@zeanasalem8678
@zeanasalem8678 Күн бұрын
Na sio wageni tu wanao vaa vibaya hata wenyeji pia hasaa wenzetu wa TZ bara na maumbileyao yalivo wao pia wanachangia wtt wa kizanzibari kuwaiga na Pia nyimbo zinazoimbwa sizo. Tunaletewa wasanii ambao eti ni kioo cha jami mwaname kasika herini vipini. Wanawake uchii ju ta stage mbele ya viongozi wa nchi . Kila mchunga ataulizwa na anacho kiongoza
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
Mohd acha kuwachukia Wasfrca wenzio, ingekuwa Mwarabu usengesema hivyo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Күн бұрын
WaArabu wanakuchoma nini???? Weweee
@2002-h6c
@2002-h6c Күн бұрын
@awatifalghanim1106 Kama wewe unvyochomwa na Watanganyika, unafanya dhambi kubwa kuwachukia Waafrika wenzio ambao hata Mungu kakuumba kwa kufanana nao, hamna hata haya nyie watu
@minduchudi9121
@minduchudi9121 19 сағат бұрын
Mbn wazungu wanaranda n vichupi mji mzima hamsemi mnakaa kimy kw tamaaa zenu
@minduchudi9121
@minduchudi9121 19 сағат бұрын
Mbn wazungu wanaranda n vichupi mji mzima hamsemi mnakaa kimy kw tamaaa zenu
@minduchudi9121
@minduchudi9121 19 сағат бұрын
Mbn wazungu wanaranda n vichupi mji mzima hamsemi mnakaa kimy kw tamaaa zenu
@minduchudi9121
@minduchudi9121 19 сағат бұрын
Mbn wazungu wanaranda n vichupi mji mzima hamsemi mnakaa kimy kw tamaaa zenu
MFAHAMU MUME ATAKAYEKUINGIZA PEPONI KABLA HUJAFA (HUBBUL HALAL)
30:15
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 715
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 51 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 19 МЛН
Which team will win? Team Joy or Team Gumball?! 🤔
00:29
BigSchool
Рет қаралды 11 МЛН
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 28 МЛН
ചില ദിവ്യകൾ!'ഗം' | GUM | 1 November 2024
21:22
ZANZIBAR MJINI KWAPAMBA MOTO.
9:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 34 М.
MJADALA MZITO KUHUSU ZANZIBAR ILIVYOHARIBIKA EPISODE NO 03 (SEMA NASI)
33:08
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,3 М.
HIZI NDIO SIFA ZA MWANAMKE AMBAYE HUTOJUTIA KUMUOA (HUBBUL HALAL)
25:44
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3 М.
Out Of Focus Live | 29 October 2024
41:48
MediaoneTV Live
Рет қаралды 51 М.
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 51 МЛН