Mungu nipe na fasi yangu kwa jina la yesu Christo amen
@EvalynePendo28 күн бұрын
Eeeee Bwana nitengezee nafasi katika maisha yangu kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤
@carolizmweshi954228 күн бұрын
Mungu nipee neema ya kujua nafasi yangu kwa maisha yangu
@JosephineOmari-t5jКүн бұрын
ahsante Mungu unastail kwel Mungu fadhili zako Eeee Mungu naomba unifungulie milango ya baraka katika maisha yangu ahsante Mungu wangu 🙏🙏🙏
@Stellastella-yi5vu21 күн бұрын
Simamia nafasi yangu Ee Mungu
@DaynessJoram28 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi umegusa uhalisia wangu😢
@sarahjohn851528 күн бұрын
Eeee mungu nisaidie kwenye nafasi yangu kwa jina la yesu AMEN
@RahabkRuth28 күн бұрын
Eee Yesumwana wa Mungu naomba unirehemu na kunisaidia kutoka miko o ya adui
@Mary-z5i1s3 күн бұрын
Amen amen 🙏🏾🙏🏾🙌🙌 Mungu akubariki mtumishi
@ArinaitweFatuma28 күн бұрын
Amen asante 🤲🤲 mungu nipe moyo wa uvumilivu
@feddrickmjomba692229 күн бұрын
Mungu akutane na mahitani ya gu.
@JosephineOmari-t5jКүн бұрын
Naomba unifungulie nafasi yangu ilio shikwa nashetani 😭😭😭✊🙏🙏🙏✊
@ElizabethJames-cr6cy29 күн бұрын
Mungu anirudishe kwenye nafas yangu
@FeliciteNiybitanga29 күн бұрын
Baba nishike mkono 🙏🙏🙏
@AnaMeli-zs1os29 күн бұрын
Mungu nisaidie kuielewa nafasi yangu
@evelnemawondo424129 күн бұрын
Eeeh baba Mungu naomba miguu yangu isimame kukimbilia wewe
@HeritierMwengeGisele28 күн бұрын
Mungu nitengenezeye nafasi yangu, ujumbe huu niwakwangu, ubarikiwe na Mungu.
@shelyboyshely292829 күн бұрын
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@anjelinamgude80829 күн бұрын
Amina
@ZakinaMakokha-fe1sq29 күн бұрын
Ee mungu wa madhabau hii ya sir za bibilia nikumbuke
@SYDEYLINET28 күн бұрын
AMEN AMEN AMEN
@MarieMakiwa29 күн бұрын
Ee mungu ni sahidiye neema yako nirudi kwenye nafasiyangu
@NeemaKomba-vn6sh29 күн бұрын
Eee Mungu unirehemu sawa sawa na fadhili zako
@MercyNaliaka-ke9lm29 күн бұрын
Mungu nisaidie kujielewa ktk nafsi yangu na nafasi yangu ifunguliwe
@AliceMwavishi29 күн бұрын
MUNGU nisaitie nisimame Kwa nafasi yangu
@consolatamnyuka29 күн бұрын
Nakaa kwenye nafasi kwa jina la Yesu amina mtumishi wa Mungu
@MachoziHaruni28 күн бұрын
Amen Amen
@RobertGuy-d7q29 күн бұрын
N'a kaa kwenye Fasi yangu kwa jina la Yesu Kristo. Amen
@ValeriaRuben-y2l28 күн бұрын
Huu ni uhalisia kabisa wamaisha ninayo ishi Ee mungu wambingu unirehemu unirudishe kwenye nafasi yangu. Amen 🙏
@richardcharles239028 күн бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@SarhKinia29 күн бұрын
Eee mungu nisaidie niweze kuombea nafasi yangu mana ww ndio unaye jua hatma ya maisha yangu
@GeorgeNdalawa29 күн бұрын
Neema hii ije iinuke Kwa nguvu katika maisha yangu...nakaa kwenye nafasi yangu Kwa DAMU YA YESU KRISTO BWANA wa majeshi
@DorisZephania-ci8ymКүн бұрын
,,AMEEEEN!!!
@reubenjustine847029 күн бұрын
Nakaa kwenye nafasi yangu kwa jina la yesu kristo Amen Amen 🙏 🙌
@HellenBaby-jn8ft29 күн бұрын
Amen 🙏
@SevAl-p9k29 күн бұрын
Mungu nisaidie nafasi yangu ikatambulike kwa jina la yesu❤❤
@ReyMichael-k9y29 күн бұрын
Ujumbe wangu huu baba anikumbuke maana nimekata tamaa Mungu 😪
@stephanosospeter170929 күн бұрын
Ameen
@Joycependopendo-dv2tb29 күн бұрын
Amen
@irinenjombo336828 күн бұрын
Mungu nisaidie mimi 😢😢
@LeylaCharles-z9q22 күн бұрын
Nafasi yangu itakombolewa kwajina la yesu kristo
@NeemaKomba-vn6sh29 күн бұрын
Eee Mungu nitengenezee nafasi maana sijielewi
@wisemelodytz58929 күн бұрын
Mungu wangu naomba sana niweke kwenye nafasi yangu na niitambue pia 🙏
@gracekuvuna332528 күн бұрын
Ju ni uhalisi kabsaa ya maisha ninayopitia pastor
@FadhilahbonyBoniphancemgogosi29 күн бұрын
Mungu naomba nionyeshe nafasi yangu🎉
@RahabkRuth28 күн бұрын
Eee Bwana naomba unaposuru wengine naomba usinipite, nakuhitaji unipganinie vita za madui wangu
@martinasenga749629 күн бұрын
Kweli kabisa upo sahii mtumishi
@RobertGuy-d7q29 күн бұрын
N'a kaa kwenye Fasi yangu kwa jina la Yesu Kristo
@MueniJudy-n9c29 күн бұрын
Niombe mtumishi wa mungu miyaka kumi nikifanya biashara nasina fanikiwsniombee nimimi mueni kutoka Kenya amen amen asande
@OmaraMasumo29 күн бұрын
Thanks sana mtumishi kwa mambo ya unabii huo ubarikiwe sana amen
@mishikazungu802829 күн бұрын
Amen Amen 😢😢😢😢
@catherinejacob987629 күн бұрын
Mungu naomba unitengenezea nafasi yangu
@gracekuvuna332528 күн бұрын
Naitwa grace pastor
@NijimbereGhyslaine29 күн бұрын
Mungu nisaidie kujua nafasi yangu,nisaidie nafasi yang ijulikane ,🙏
@aliciaprojestus233629 күн бұрын
Ujumbe huu ni maalumu kwaajili yangu. MUNGU AKIBARIKI MTUMISHI
@waitheramwangi355829 күн бұрын
thank you God for this information 🙏🙏🙏
@DorothyChilembo29 күн бұрын
EEE Mungu naomba unisaidie niwe kwenye nafasi yangu 😭😭
@crestian834329 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 ningelijua mapema nafasi yangu jamani mungu nipee neema ya kujua nafasi yangu kwa maisha yangu ju naona kabisa sijitambui mimi
@alicemwaka376229 күн бұрын
Emeeeeen
@bakunduwukizebenithe788829 күн бұрын
Mbona umenisema pastor 😢had maswala ya nyota😢
@ClemenceaKashamakula-yc9qs28 күн бұрын
MUNGU ikikupendeza mapenzi yako yatimie
@SarhKinia29 күн бұрын
Mm pia naota hizo ndoto mungu nisaidie
@irenemeliyo885729 күн бұрын
Hakika umeniguza mimi kabisa 😢😢
@EstherMulekania29 күн бұрын
Naomba Mungu anitie kwa nafasi yangu kamili
@SarhKinia29 күн бұрын
Mtumishi nahitaji maombi hali yangu inazidi kua ngumu ki afya
@lilianeerica331829 күн бұрын
Ameeeen
@SarhKinia29 күн бұрын
Nkweli mtumishi
@wisemelodytz58929 күн бұрын
🙏🙏🙏
@ElizabethJames-cr6cy29 күн бұрын
Shalom mtumishi wa mungu naomba naomba unibebe pia kwenye maombi pia namm naomba maana nafas yangu ya ndoa sjui kama ni yangu tunashirikiana lakn ghafla chuki na ugomvi vinainuka nawaza Wenda syo nafasi jmn
@ruthmoranga514229 күн бұрын
Bwana naomba nisije nikakata tamaa maana ni wengi wananitegemea, Jehovah nitie nguvu 🙏🙏
@rehemakarisa279113 күн бұрын
Amen nko hapa
@gracekuvuna332528 күн бұрын
Niombee pastor pia mm nimekata tamaa sijui nafasi yangu kwani napitia hali ngumu kimaisha
@JudyWagathoniWagathoni28 күн бұрын
Mimi hapa nimepotenza mda kabisa 😅
@RahabkRuth28 күн бұрын
Eee
@naeematn-qn4os29 күн бұрын
Mbona umenigusa mimi jaman, kila anaenishika mkono ghafla ananiacha bila sababu jamani 😭😭 sasaivi nimewakumbuka ndani ya miezi 7 hii teali mwanaume kashaoa mke mwingine na hii inanitokea ni mala ya 3 sasa🙏🙏
@WawiraSteve28 күн бұрын
Naomba uniombee pia mimi niko chicken za mbali lakini naona tu napoteza muda mambo yangu hayaendi vizuri kile kinanikuba ni magojwa tu
@NeemaKomba-vn6sh29 күн бұрын
Umetugusa wengi mtumishi mimi siijui hata nafasi yangu kwenye ndoa maana sielewi kama mi ni mke au ?mzazi mwenzake
@RitaTarimo-h9s28 күн бұрын
Ukituma sms wasaap aujibiwi hata ukipiga cm aipokelewi
@carolizmweshi954228 күн бұрын
Paster naomba unisaindie na iyo number yako ya WhatsApp please 🙏🏻
@RobertGuy-d7q29 күн бұрын
N'a kaa kwenye Fasi yangu kwa jina la Yesu Kristo. Amen
@RobertGuy-d7q29 күн бұрын
N'a kaa kwenye Fasi yangu kwa jina la Yesu Kristo.
@gorettiaroni-242227 күн бұрын
Amina
@SIMONM.U.S24 күн бұрын
Amen amen
@Veronica-kx1pt29 күн бұрын
Ameeeen Ameeeen
@SarhKinia29 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@AlexSalvatory-m1h29 күн бұрын
Amen
@ElizabethJames-cr6cy29 күн бұрын
Shalom mtumishi wa mungu naomba naomba unibebe pia kwenye maombi pia namm naomba maana nafas yangu ya ndoa sjui kama ni yangu tunashirikiana lakn ghafla chuki na ugomvi vinainuka nawaza Wenda syo nafasi jmn
@RobertGuy-d7q29 күн бұрын
N'a kaa kwenye Fasi yangu kwa jina la Yesu Kristo
@rumariletimba758529 күн бұрын
Amen
@RobertGuy-d7q29 күн бұрын
N'a kaa kwenye Fasi yangu kwa jina la Yesu Kristo.
@RobertGuy-d7q29 күн бұрын
N'a kaa kwenye Fasi yangu kwa jina la Yesu Kristo
@RobertGuy-d7q29 күн бұрын
N'a kaa kwenye Fasi yangu kwa jina la Yesu Kristo.