LIVE: MABAYA YASIKUPATE WEWE // MAOMBI YA USIKU

  Рет қаралды 21,730

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

7 ай бұрын

Zab 91:10
Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 309
@user-ij6jj6hl9r
@user-ij6jj6hl9r 7 ай бұрын
Mungu Azidi kukubarik mtumishi
@marthaviana433
@marthaviana433 7 ай бұрын
Kenya nakupata vizuri sana
@saimonlaizer2732
@saimonlaizer2732 4 ай бұрын
Ee mungu najua unatupenda sana basi mungu naomba family yangu ikujue ww mungu .
@Noella-g9n
@Noella-g9n 7 күн бұрын
Asante sana mutumishi wa mungu Nami sita acha kusikiliza kile ambacho mungu amekutuma kwethu naitaji usiku wa Léo naitaji mungu anifundishe kuomba n'a kukesha katita roho asante mungu kwakunilinda Siku nzima n'a jamii langu popote walipo mungu wangu nakuitaji usinipite usinisahau katika atuwa ninazo pitiya katika maisha yangu mungu uni chunge kwausiku waleo piya sita acha kukiri zambi namakosa eeeeeh mungu nisamehe kwayote kimetenda kwasikubya Léo eeeeeh mungu usiniesabiliye wingi wamakosa yangu lakini ki esabiliye wingi warehema zako mungu wangu sikiya maombi yangu piya n'a maitaji yangu bwana asante mungu pigana nawanao pigana Nami kwausiku waleo nichunge n'a uchunge mama yangu muzazi naumupitishiye kikombe kyamateso umuulize teteye eeeeeh mungu wangu asante sana Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@musamustapher402
@musamustapher402 7 күн бұрын
Asante Mungu kwa kuendelea kunilinda na familia yangu ktk changamoto zote ninazopitia
@gracehose8840
@gracehose8840 7 ай бұрын
Roho mtakatifu nisaidie urafiki wangu na kristo mwovu asiingilie kati
@dorkashashora9809
@dorkashashora9809 7 ай бұрын
Amen mungu wangu fungua macho yangu na masikio yangu nisikie na Macho ya ndani mungu wangu niko gizani 😢😢yes wangu nifungulie njia zangu na nyota yangu ika angaze mwaga
@TatuNassoro-vy2qd
@TatuNassoro-vy2qd 24 күн бұрын
Hasante mtumishi ubaliki kwa neno) _nimekula chakula chabwana🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@TatuNassoro-vy2qd
@TatuNassoro-vy2qd 24 күн бұрын
Nakupata mtumishi Amina
@sophiaAmhimedi
@sophiaAmhimedi Ай бұрын
Ahsante sana Mungu kwa kunilinda dhidi ya adui zangu.ahsante kwa silaha ya neno lako..nakupenda sana Mungu
@GabinKamwanggabin
@GabinKamwanggabin 3 ай бұрын
Ee mungu nipe Amani nautulivu katk magum yang
@user-gt9tg2ir3k
@user-gt9tg2ir3k 22 күн бұрын
SIKIYÀ MAOMBI YETU YESU❤
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 Ай бұрын
UWE KIRA KITU KWANGU YESU WANGU 🙏🙏 UBALIKIWE SANA MUCHUNGAJI WA MUNGU 🙌🙌
@CatherineAfredi
@CatherineAfredi 25 күн бұрын
Mungu nisaidi nikujue wewe zaidi roho mtakatifu ni saidie
@SharifSaid-mo2el
@SharifSaid-mo2el Ай бұрын
Asante mungu kwaupendo nauruma kwetu nakutujar Mimi nafamiria yangu tunakukabizi usiku huu tunaomba urinzi na damu yayesu ituzingire kwenye miili yetu nachumba chetu amina
@user-ol7de5fo7j
@user-ol7de5fo7j 4 ай бұрын
Jehova Mungu wangu, ninaomba unipe amani ya moyo,ondoa hofu ndani ya moyo wangu,nipe kuliamini neno lako bwana Mungu,wewe watosha bwana
@TatuNassoro-vy2qd
@TatuNassoro-vy2qd 19 күн бұрын
Hasante mtumishi wa bwana naamini wewe nichombo cha bwana naamini maumivu yangu yamekwisha niombee nimjue kirsito AmINA
@lostanguvila7761
@lostanguvila7761 24 күн бұрын
Eee MUNGU naomba unirehemu mrehemu mume wangu warehemu watoto wangu. warehemu wazazi wangu.warehemu ndugu zangu
@user-zh2dy3gp5s
@user-zh2dy3gp5s Ай бұрын
Mungu baba wanijua jinsi nilivyo nitakase huu Moyo uliopondeka kwa damu ya Yesu kristo wa Nazareth
@user-ul6rx9jy9k
@user-ul6rx9jy9k 6 ай бұрын
Ee Mungu naomba nipiganie tena mm nimeugua mda mrefu bila kupata nafuu naomba uponyaji wako Baba
@DominikaMwanga-kr3xz
@DominikaMwanga-kr3xz 6 ай бұрын
Namshukuru Sana Mungu kwakunikutanisha maombi haya Niko morogoro kinguruwira ninakuskia vizuri Sana saa hizi saa Tisa na dakika Tisa.
@FudaylahTanzania-qd8vy
@FudaylahTanzania-qd8vy 2 ай бұрын
Bwana YESU asifiwe Asanty sana nakusikiliza mtumish nikiwa Omani
@TatuNassoro-vy2qd
@TatuNassoro-vy2qd 24 күн бұрын
Naomba ibada ya leo bwana anapo zuru wengine namimi asinipite namimi zamu yangu
@MekiJoseph-qm9gv
@MekiJoseph-qm9gv Ай бұрын
Naitwa elizabeth john najiungamanisha kwenye maombi haya naamini mungu amenitendea amen
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 7 ай бұрын
Asante yesu wangu kwa yote.
@JuliaJuma-my3wq
@JuliaJuma-my3wq 2 ай бұрын
Ee MUNGU nakuomba usipite mm na familia yangu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 7 ай бұрын
Nakushukuru MUNGU kwa neema ya wokovu ulionipa
@saimonlaizer2732
@saimonlaizer2732 4 ай бұрын
Ee mungu naomba Fanya wepesi kwenye kazi ya mikono yangu.
@NelsonChilongola
@NelsonChilongola 15 сағат бұрын
Bwana Yesu Asifiwe unasikia vizuri Mpwapwa
@adolphinemuswamba1059
@adolphinemuswamba1059 7 ай бұрын
Asante yesu Kwa baraka ,na wema na fafhili zako
@GloriaMillinga
@GloriaMillinga 7 ай бұрын
Asante MUNGU 🙏 nakupenda sana ❤ wewe ni furaha yangu na faraja yangu siku zote za maisha yangu, nakupenda sana sina Mungu Mungu mwingine zaidi yako baba,, hakika wewe ni Mungu upasae kuabudi 🙏
@perpetuasamwel9089
@perpetuasamwel9089 2 ай бұрын
MUNGU naomba uniongezee imani naona inapungua.
@rehemamrisho9782
@rehemamrisho9782 7 ай бұрын
Mungu naomba nikujue sana wewe Ili niwe na amani
@gloryarcard3144
@gloryarcard3144 2 ай бұрын
Ni kweliiii bila mungu siwezii chochote naomba unilonde mungu wangu
@kennedykithome
@kennedykithome 6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu naomba amani itokayo kwako.
@bibiwissanji4311
@bibiwissanji4311 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi tunakupata vyema bwana awe nawe na familia yako
@MwajumaSwedi-pe5wz
@MwajumaSwedi-pe5wz 7 ай бұрын
Amen mtumishi wamungu nakufata kila Mara nikiwa Bujumbura Burundi una sikika kabisa ubarikiwe pia kwakazi unayofanya
@joycedonald2103
@joycedonald2103 3 ай бұрын
Naomba uniombee mume wangu aludi nyumbani
@user-sk7jl4in4r
@user-sk7jl4in4r 5 ай бұрын
Asante mungu kwaku ni ponya
@user-nu6ui5dx8x
@user-nu6ui5dx8x 7 ай бұрын
Mungu usku wa leo kaa ndani ya moyo want I uniponye Kila aina ya magonjwa na usikie kilio Cha uchumi wangu ameen mtumish was mungu
@ScolastikaNathan
@ScolastikaNathan 7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi nakupata vizuri hakika mungu ni mwema
@rehemamrisho9782
@rehemamrisho9782 7 ай бұрын
Unasikika vzr mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana
@nyevukatana3657
@nyevukatana3657 14 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe nakupata vizur nikiwa saud🙏🙏
@RestitutaMpipi-tw3dj
@RestitutaMpipi-tw3dj 6 ай бұрын
Mungu ni mwema unasikika kigoma
@khadijayawa2059
@khadijayawa2059 7 ай бұрын
Mungu naomba ulinzi kwa watoto wangu
@teresiajumwaamosteresiajum7667
@teresiajumwaamosteresiajum7667 7 ай бұрын
Amen Amen and amen
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 7 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu, sielewi hii somo ambayo inafundishwa.
@TeresaNyatuka-vc4kb
@TeresaNyatuka-vc4kb 10 күн бұрын
Mungu akubariki mutumishi wa mungu umefanya nimejua mengi yenye ckuwa natambua
@siameessau6695
@siameessau6695 2 ай бұрын
Ee mungu naomba ubadili istory ya maisha yangu
@emelivaly1720
@emelivaly1720 7 ай бұрын
Amen mtumishi niombe mi ni mgonjwa niko oman
@Zawadinadine
@Zawadinadine 3 күн бұрын
Mungu ni farijisasa
@user-jw3sr7ez3p
@user-jw3sr7ez3p 21 күн бұрын
Eee Yesu Usinipite Mimi na Familia Yangu Usiku huu make adui ni wengi, ila wee Bwana Unaweza Yote Tushinde vita make pekee Yetu hatuwezi ila wewe tuu
@YusufuJoseph
@YusufuJoseph Ай бұрын
Wew ni mungu mwenyew rehema
@siameessau6695
@siameessau6695 2 ай бұрын
NAMSHURU MUNGU KWA WEMA WAKE naamini kua yeye ndo tegemeo langu Asante mungu kwa ulizi wake na kupenda mungu wangu ❤❤❤
@user-kt1ps4qw2g
@user-kt1ps4qw2g 7 ай бұрын
Mungu akuinue Sana kwa viwango vya juu zaidi.ukahifadhiwe Sana
@bibiwissanji4311
@bibiwissanji4311 7 ай бұрын
Mungu naomba uifanikishe harusi ya mwanangu Noel itakayo fanyika leo saa nane mchana asante Bwana Yesu
@JosephOmanwa-hg3jx
@JosephOmanwa-hg3jx 15 күн бұрын
mungu apewe sifa
@rehemamrisho9782
@rehemamrisho9782 7 ай бұрын
Mungu naomba use me na moyo wangu leo
@user-hl1rl1zp2w
@user-hl1rl1zp2w 2 ай бұрын
Hakika Mungu muweza wa yote katika ii dunia 🙏
@JuliaJuma-my3wq
@JuliaJuma-my3wq 2 ай бұрын
Roho mtakatifu niongoze nipate kukujua MUNGU zaidi Amen🙏🙏🙏🙏
@MarcelBlessing-ef7rz
@MarcelBlessing-ef7rz Ай бұрын
Asnte Mungu uzidi kunipa maarifa ya kuzidi kukujua na kutembelea mapenzi yako na rehema yako itufuate na upendo wako uniongoze Na asante kwa kutuumbia mchungaji mwema anae tufadha kufunguka zaidi pastor Innoncent Mashauri uzidi kumuinua na kumukinga kwa kila hatua ndni ya neno lako❤
@user-ix1ep4vx3h
@user-ix1ep4vx3h 7 ай бұрын
Amen Amen bwanakunilisha neno lako roho mtakatifu akae nami
@JolleetNiaze
@JolleetNiaze 17 сағат бұрын
Amen Amen ❤❤❤❤❤❤❤
@annefidelis6931
@annefidelis6931 7 ай бұрын
Asante Baba kwa kutupigania hata pale maadui waliinuka kutukatisha tamaa na kuharibu mipango siku ya tarehe 25/11 lakini Mungu wetu ulitukingia kifua walishindwa nasi tukafanikisha shughuli yetu ya mahari ktk jina la Yesu Kristo alie Hai tuko chini ya miguu yako Baba ili wewe uinuliwe mfalme
@melaniahaule9245
@melaniahaule9245 7 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu, barikiw sana, unasikika vema
@DianaDuwe-jr1zx
@DianaDuwe-jr1zx 7 ай бұрын
Asante mungu ni mwema ktk maisha yetu
@editamahundi4132
@editamahundi4132 5 ай бұрын
Mungu ni mwema
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 7 ай бұрын
Amen Amen I receive I receive
@user-zw2on1hi8c
@user-zw2on1hi8c 4 ай бұрын
Asante yesu nimeweza kuamka usiku huu nakusikiliza maombi
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 14 күн бұрын
❤❤❤❤tunasikia vizur Sana na unamtangaza Muñgu Alie hai Siwa Kama wababaishaji nadema Muñgu alubariki wewe na kizazibchako niombee mtumishi wa Muñgu Mimi na familia yangu
@JuliaJuma-my3wq
@JuliaJuma-my3wq 2 ай бұрын
Amen mtumishi
@CosmasLazaro-rd9tx
@CosmasLazaro-rd9tx 7 ай бұрын
Unasikika vizur nipo kibaha bwana yesu asifiwe
@user-eg7ml4lx2b
@user-eg7ml4lx2b 7 ай бұрын
Mtumishi tuko pamoja sana jina La bwana kuu sana
@user-ec1ho7ze3i
@user-ec1ho7ze3i 7 ай бұрын
Thankyou Lord janet germany
@user-yo1ul4mt7d
@user-yo1ul4mt7d Ай бұрын
Asante mungu akubaliki nakupata nikiwa Kampala uganda
@happinessnjita1121
@happinessnjita1121 7 ай бұрын
Nakushukuru tu YESU wangu
@user-ex3wf3lj2s
@user-ex3wf3lj2s 11 күн бұрын
Asante kwamafundisho nakuelewa vizuli nafuwatliya sana vipimdi hivi
@NellyKadenyi-qc3em
@NellyKadenyi-qc3em 2 ай бұрын
Amen Amen
@user-ge1uv1xr9l
@user-ge1uv1xr9l Ай бұрын
Amina 🙏 nabalikiwa sana Mungu akubaliki
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 7 ай бұрын
Amina Amina Amina Amina
@clemensiambwila423
@clemensiambwila423 6 ай бұрын
Amina sana mtumishi nimejifunza kitu kikubwa sana
@gladysnjeri282
@gladysnjeri282 7 ай бұрын
Yesu wangu fungua ufahamu wangu
@ErickaM-md8yk
@ErickaM-md8yk 7 ай бұрын
Yesu fungua ufahamu wangu na akili zangu ili niweze kukujua zaidi, na naomba nibadili mwenendo wangu mbaya na kukugeukia ww na kuziacha njia za shetani njia yako. Amen
@hesbonomoke8973
@hesbonomoke8973 7 ай бұрын
Kenya tunakupata vizuri mtumishi wa Mungu.. Shalom
@nabintumiruho5142
@nabintumiruho5142 7 ай бұрын
Kampala nakufata vizuri sana mtumishi wa Mungu
@EmmanuelKyama-nj9md
@EmmanuelKyama-nj9md 24 күн бұрын
Unasikika sawa barikiwa Sana
@user-sv2sv4qg4p
@user-sv2sv4qg4p 7 ай бұрын
Amen! Amen!
@editamahundi4132
@editamahundi4132 5 ай бұрын
Mungu nimwema tunakupata vizuri
@CalistaShayo-sy7pg
@CalistaShayo-sy7pg 7 ай бұрын
Ameen jina la bwana lihimidiwe
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 7 ай бұрын
Mungu fungua ufaham wangu
@user-wl4op6gt9h
@user-wl4op6gt9h 4 ай бұрын
Tunawasikia vizuri naomba nguvu zakiroho
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 7 ай бұрын
Asante Yesu tunakupenda na tunashukuru kwa yote unayotutendea hallelujah hallelujah Amen Amen 🙌🙌🙏
@samuelabonifas5441
@samuelabonifas5441 7 ай бұрын
Ninakupata vizuri nikiwa kenya
@samuelabonifas5441
@samuelabonifas5441 7 ай бұрын
Namshukuru mungu anajibu maombi
@dianamanasseh7400
@dianamanasseh7400 7 ай бұрын
Nakuskia vizuri kutoka Kenya, Nena nami Bwana
@aloyamlumbuti
@aloyamlumbuti 7 ай бұрын
Ahsante Yesu Wang 5:42
@gracehose8840
@gracehose8840 7 ай бұрын
Baba kutana na mahitaji yangu kulingana na maoenzi yako
@user-si6iu9vx2q
@user-si6iu9vx2q 6 ай бұрын
Amen amen 🙏
@JuliaJuma-my3wq
@JuliaJuma-my3wq 2 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Rehema-wt6pk
@Rehema-wt6pk 29 күн бұрын
Nabarikiwa mno mchungaji
@alindaalinda4897
@alindaalinda4897 7 ай бұрын
Ameen 🙏 ubalikiwe
@Zawadinadine
@Zawadinadine 3 күн бұрын
Eeee mungu najuwa unasikiya na omba dadagu azae muzuri na watoto wakomalemuzuri
@Zawadinadine
@Zawadinadine 3 күн бұрын
Mungu ni farijisasa
@NeemaKingu-nv2ib
@NeemaKingu-nv2ib 7 ай бұрын
Mungu Asante kwa kunipa kibali cha kujiunganisha na madhabahu hii 🙏
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 4 ай бұрын
Roho mtakatifu shuka moyoni mwangu 🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 7 ай бұрын
Amen amen
LIVE: MAOMBI YALIYOBEBA MAJIBU YETU // KUFUNGUA MBINGU
54:15
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 11 М.
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 86 М.
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 17 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 97 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
NIMESOGEA BY PAUL MWANGOSI  [OFFICIAL VIDEO]
14:13
Paul Mwangosi
Рет қаралды 614 М.
Martha Mwaipaja - NITOFAUTISHE ( Official Video )
6:25
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 170 М.
MAOMBI YA KUONDOA LEVIATHAN (NYOKA ANAYEZUIA MAFANIKIO/KUSUDI)
35:19
YADAH GLOBAL MINISTRY
Рет қаралды 560
LIVE: IKATAE SAUTI HII NDANI YAKO, NI YA SHETANI KABISA
29:08
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 8 М.
MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU
40:20
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 25 М.
SIRI YA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 01/06/2023
1:20:34
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 404 М.
THE UNTOLD STORY OF APOSTLE JAMES MAINA NGANGA  COMMANDER-HUMBLE BEGINNINGS PART 1
1:00:30
LIVE: MAOMBI YA KUONDOA SHAMBULIO LA KIROHO // USIKU WA MANANE
1:15:43
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 4,3 М.
PAUL MWANGOSI:  Nani kama wewe/worship songs
16:51
Paul Mwangosi
Рет қаралды 167 М.
LIVE: MAOMBI YA KUZUIA UHARIBIFU MAISHANI MWAKO
1:07:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 19 М.
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 17 МЛН