'Hayati Lowassa Kuhama CCM Ilikua Ajali, Sikuamini Kama Anaweza Kuishi CHADEMA' | Mzee Wasira

  Рет қаралды 33,668

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

“Ndg. Edward Lowassa, kwa maisha yake amekuwa akifanya kazi za kisiasa hakuna wakati aliojiriwa njee ya siasa isipokuwa, alipokuwa mwanajeshi wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania ambapo napo palikuwa ni chuo cha siasa, baada ya kutoka huko amefanya kazi katika jumuiya ya vijana wa Chama cha Mapinduzi, na amehudumu huko kwa mda mrefu zaidi lakini alipoingia katika siasa za ushindani alienda kuchaguliwa kuwa mbunge wa Monduli na akawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, wakati wa awamu ya pili chini ya Waziri Mkuu, Malecela.
Wakati anafanya kazi pale mimi nilikuwa mkuu wa mkoa wa Pwani, tuliwahi kusafiri nae kwa Helicopter mkoa mzima wa Pwani , tukitazama hali ya chakula, namfahamu namna hiyo alikuwa mtu wa kujituma kwa mambo aliyokabidhiwa kufanya.” - Stephen Wasira, Mwanasiasa Mkongwe akimzungumzia namna anavyomjua Hayati Edward Lowassa.

Пікірлер: 24
@obedpeter6874
@obedpeter6874 6 ай бұрын
Uyu mzee mungu kampa maisha mema kwa mkononi alikuwepo,kwa Nyerere alikuepo,kwa mwinyi alikuepo,kwa mkapa alikuepo,kwa kikwete alikuepo,kwa magufuli alikuepo,kwa samia yupo na anarudi kugombea tena ili upepo wa uwaziri umpate
@GhalibMohammed-u9t
@GhalibMohammed-u9t 7 ай бұрын
Wasira huyu mzee ni bingwa wa kujib maswali kuliko mwanasiasa yyt tz.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 7 ай бұрын
hiri gumegumegume wssira ritskwenda lini jehanamu??? mungu tuonderee hawa wapinga katiba mpya jk nae anahusika
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 7 ай бұрын
Hilo lizee halistafu, linapenda vyeo
@emmanuelphabian1980
@emmanuelphabian1980 7 ай бұрын
Dah!! Kumbe asinge kuwa lowassa wengine tusinge soma hata kayumba 😂😂🙏🙏🙏
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 6 ай бұрын
Mzee waliobak pambana na chadema hao vilopolopo sana
@FestusiKuluchumila
@FestusiKuluchumila 7 ай бұрын
Ajari za kisiasa na yeye pia
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 7 ай бұрын
Any things you say i don't believe on you
@franciskulwa2322
@franciskulwa2322 7 ай бұрын
Wewe mbona ulitoka CCM ukaenda NCCR na ukarudi CCM
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 7 ай бұрын
Mzee mnafiki sana aliwahi kuhamia NCCR
@user-nd2ow3qv5p
@user-nd2ow3qv5p 6 ай бұрын
LOWASA NA SUMAE WALIRUDI CCM KWA SHINDIKZO,, KAMA WASENGERUDI WENGEFILISIWA MALI ZAO,, USHAHIDI NI SUMAE ALIKUWA AKILALAMA MASHAMBA YAKE ALIKUWA ANANYANGANYWA KISA KAINGIA UPINZANI
@msabahaali758
@msabahaali758 7 ай бұрын
mwenyewe alipohamia alisema haikua ajali ni maamuzi aliojishauri vizuri yy n familia yake
@wilhelmibaganisa5493
@wilhelmibaganisa5493 7 ай бұрын
Ww wasira KIPINDI unahama , unaenda nccr mageuzi , ukagombea ubunge bunda ukashinda Tena ukamshinda jaji walyoba akakupeleka mahakamani ukavuliwa ubunge na mahakama ilikuwa #AJALI ?
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 7 ай бұрын
Mlimtisha kumfilis nyie fisiemu ni majambazi
@TrustElbashil
@TrustElbashil 7 ай бұрын
Hiyo wasira sijui niuzee au nikukosa akili mbona yeye aliwahi kuhamia Nccr mageuzi?
@user-hy9yx6ox8q
@user-hy9yx6ox8q 6 ай бұрын
Mzee kagoma kudanger 😂😂😂
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 7 ай бұрын
Kwa hiyo Kikwete alipoka madaraka ya Kamati Kuu kwa kupendekeza aliyekua anawataka yeye ..Shame on Kikwete
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 7 ай бұрын
hawa nimasokwe mtu
@user-nd2ow3qv5p
@user-nd2ow3qv5p 6 ай бұрын
NA KWELIl LIMEFANANA HASWA,,,,, SILIPENDI, LIMESHAWAHI KUSEMA WAPINZANI HATA WAKISHINDA WASIPEWE NCHI
@user-sx6qi6eo3z
@user-sx6qi6eo3z 6 ай бұрын
Shenzi kabisa kwà nn wakati yuko hai msimpe maua yake wanafiki wakubwa shenzi kabisa
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 7 ай бұрын
Elewa neno hawez kufit😂😂 sure siasa za opposition uwe na carriage ya aina furani vinginevo ni ngumu nyeusi!
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 7 ай бұрын
Mnafiki
@OscarBethel
@OscarBethel 6 ай бұрын
Wasira Hana hekima mmgetafuta Mzee butiku au warioba ndio wenye hekima sio wasira huyo chale ni propoganda Hana kingine
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 24 М.
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 8 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 50 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
WASIRA AMEFUNGUKA: KUZUILIWA KUINGIA IKULU KWA JPM
1:51
Millard Ayo
Рет қаралды 69 М.
Bongo Flava: Ya Nini Malumbano - 20%
5:41
BongoTanzaniaTV
Рет қаралды 2 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 8 МЛН