Heche achafukwa sakata la fidia, maji ya sumu Nyamongo

  Рет қаралды 18,443

BMG ONLINE TV

BMG ONLINE TV

Күн бұрын

Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche (Chadema), akitoa salamu zake kwenye mkutano wa hadhara wa Waziri wa Madini, Doto Biteko alioufanya katika eneo la Nyamongo wilayani Tarime, Machi 05, 2019 kuzungumzia suala la fidia za wanachi pamoja na utiririshaji maji machafu kutoka kwenye mgodi wa dhahabu wa Acacia North Mara. Mtazame Waziri Biteko hapa • "Waliotegesha Nyamongo...
************************************************
Binagi Media Group
P.O Box 265 Mwanza
Simu: +255 (0) 757 43 26 94
Barua pepe: binagimediagroup@gmail.com
Blog: www.bmgblog.co.tz
KZbin: BMG Online TV
Facebook: BMG Habari
Twitter: @bmghabari
Instagram: @bmghabari
#PamojaDaima!

Пікірлер: 25
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 5 жыл бұрын
Safi sana Mh. Heche
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 ай бұрын
✌️👊👍
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 6 ай бұрын
Pamoja sana
@mlocozdaud5341
@mlocozdaud5341 4 жыл бұрын
Ccm wakiskia ivo Wanaumia Sana
@mangsonsamson7712
@mangsonsamson7712 5 жыл бұрын
Uko vzuri heche
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 жыл бұрын
Kama kweli tunapenda ukweli then hua sielewi kwanini mtu kama huyu anachukiwa. Vyama vyetu vimetupiga upofu sana kiasi kwamba badala ya kujadiri kinacho zungumzwa tunajadiri mtu badala ya hoja, Mungu atusaidie sana
@abisolomonuyokachaguliwaac4048
@abisolomonuyokachaguliwaac4048 4 жыл бұрын
Rungwe tungekuwa na mbunge kama uyu dar ningeringa
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 6 ай бұрын
Hahaaaaa
@charlesmurimi765
@charlesmurimi765 4 ай бұрын
Jitahidi kuweka clip nzima mkuu. Heche ni jembe
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 ай бұрын
Sawa mdau
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 5 жыл бұрын
Hiyo ndio tafsiri ya ubunge.... unakuwa sauti za wengi. Nyingine zote ni mbwembwe
@antidiuslubonera8903
@antidiuslubonera8903 5 жыл бұрын
Xana kamanda
@daudpius8591
@daudpius8591 5 жыл бұрын
Hawa ndio viongozi
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 5 жыл бұрын
Huyu yeye ni kupandikiza sumu kwenye mioyo ya watu ili wachukie serikari badara ya kutafuta ufumbuzi Wa tatizo ,unauliza wazili hii ni upungufu Wa uongozi
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Heche anawajibika kwa nn waziri hawajibiki ktk sehem yake.. lazima amuwajibishe kwa kumsema udhaifu wake. We vp
@mangsonsamson7712
@mangsonsamson7712 5 жыл бұрын
Charles Makuri huo ndo ujinga kumbe kueleza kero za wananch kwa viongoz ili ziweze kutatuliwa pia ni kutia sumu ili watu waichukie serial et? Ww pia ni nzi was kijan
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 5 жыл бұрын
@@mangsonsamson7712 sio nzi ni mkundu....
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 4 жыл бұрын
Siyo wazili! waziri unaandika kilugha nini?
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 5 ай бұрын
Wew ni mpumbavu sanaa sanaaaaa
@allymasenti7974
@allymasenti7974 5 жыл бұрын
Nzi wa kijani atakupinga tu yaani sjawahi kuona watu wajinga kama vibaraka wa CCM
@isackmsimbangombe7356
@isackmsimbangombe7356 5 жыл бұрын
ALLY MASENTI naww mjinga tena toyi kabisa
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 13 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 29 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 10 МЛН
WAITARA NA MASAUNI USO KWA USO NYAMONGO
19:19
JAMBO TV
Рет қаралды 1,1 М.
Biteko aushukia jumla jumla mgodi wa North Mara, Nyamongo
8:13
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.
BMG TV: Mtoto Yunis Ogot wa Bukama Rorya aendelea kutenda miujiza
9:37
Naibu Waziri Doto Biteko atatua mgogoro wa madini Tarime
4:29
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 2,3 М.
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 578 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 13 МЛН