PB: John Heche Amwaga Mchele I Ataja Sifa za Viongozi I Awashangaa Wasengenyaji, Chawa na Wanafki

  Рет қаралды 33,586

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 ай бұрын

#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya kipindi cha #PowerBreakfast na John Heche kutoka chama cha CHADEMA

Пікірлер: 105
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 ай бұрын
Una Akili Mingi Sana John Heche Hongera Kwa Mh Mbowe Kwa Mapishi Mazuri Ya Hawa Viongozi Hakika Chadema Ni Zaidi Ya Chuo.
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 4 ай бұрын
Big up Heche J... you are the best opposition leader god blessing
@user-eb2el9kw6m
@user-eb2el9kw6m 3 ай бұрын
Kichwa kikubwa sana. Mungu akulinde brother Heche
@johnfrancis656
@johnfrancis656 3 ай бұрын
Heche!!Wewe ni kiongozi tunae kuhitaji,Unangalia mbali sana!!Mungu akulinde.
@MrMwinyi
@MrMwinyi 3 ай бұрын
Heche ni mmoja tu, hakunaga mwingine💯💯🔥🔥
@user-uw5oh5yy5m
@user-uw5oh5yy5m 4 ай бұрын
Huyu jamaa namkubali sana kwenye wanasiasa wa nchi hii,he is very stricty🎉🎉🎉
@prospermalala6636
@prospermalala6636 3 ай бұрын
MH John heche akili kubwa sana ndani ya siasa za Taifa letu, Mungu amuongezeeee afya njema ktk Taifa letu
@mumbamumba-oh3gb
@mumbamumba-oh3gb 2 ай бұрын
😮 I'm A on 47:20
@user-xd7hs1ri5i
@user-xd7hs1ri5i 3 ай бұрын
Anaitwa John Heche; lkn Mimi namuita A MAN OF THE PEOPLE
@albertkamala6843
@albertkamala6843 3 ай бұрын
Brilliant! Uncomprising patriotism...quality leadership..showing dedication, passion and commitment to public service! Definitely Presidential material!
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov 4 ай бұрын
Big brain
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 4 ай бұрын
Salute sn MHE. HECHE
@mussaomari8022
@mussaomari8022 4 ай бұрын
Namkubali heche
@deogratiusmaila676
@deogratiusmaila676 4 ай бұрын
Heche actually I want to see you , because you make me happy
@user-yy5oi9zp2h
@user-yy5oi9zp2h 3 ай бұрын
Mweshimiwa Heche Mungu akulinde
@user-zm3rp8to7w
@user-zm3rp8to7w 4 ай бұрын
Watu tunaendelea kupata elimu ya uraia na kujitambua hongera kamanda
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 4 ай бұрын
Nilikuwa nimesusa kusikiliza nakuangalia clouds kutokana na kipindi cha maandamano ya kwañza ya dar ilifafanua vitu visivyo eleweka, ila kwakuwa John anaongea imebidi nisikilize tu lkn clouds msiwe mnafafanua matukio ya upinzani kwa kuponda sio vizur.
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 ай бұрын
Waache Mambo Ya Hovyo Clouds.
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 4 ай бұрын
Napenda sana misimamo yako na uimara wako Heche, navutiwa na haiba yako.
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 ай бұрын
Heche Akili Zake Hata Wabunge Wote Wa Ccm Hawana Watu Kama Hawa Ni Hazina Kwa Taifa Siyo Kujipendekeza Pendekeza Kwa Rais Wakati Mambo Yanaharibika Ukweli Usemwe Kama Ulivyo Namna Hii.
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 ай бұрын
Huyu jamaa anaakili sana nipo Zanzibar ila namfatilia sana
@user-xf7tl8jq9v
@user-xf7tl8jq9v 4 ай бұрын
Kamanda wangu huyo namkubali sana
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 3 ай бұрын
Asanteh sn heche kwa elimu ya uraia wengi wao hawaelew umuhimu wa mamlaka yao
@itsrumi99
@itsrumi99 4 ай бұрын
Big up sana kwa clouds media hii ni message moja kubwa sana kwetu sisi wananchi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@maniakihengu4941
@maniakihengu4941 3 ай бұрын
Safi sana tata heche,, mungu ni mwema utarudi mjengoni muda si mrefu.
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 3 ай бұрын
Katika top 5 ya wanasiasa bora na wazalendo nchini Heche yumo na yupo vzr sanaa na mwenye misimamo mikali haswaaa kwa kile anachokiamini hasa katika misimamo ya haki za wananchi
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 4 ай бұрын
Heche anakili mno, hekima ya hali ya juu. Ukimpa Uwaziri huyu ni faida kubwa mno
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 ай бұрын
Uwaziri kwasheriazipi?? Ubaya wa taifa latz nimfumo ambao hata Malaika anabadrika kuwa shetani akipewa uongozi,
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 4 ай бұрын
Nawasikiza kutoka Kilimanjaro. Clouds mko vizuri kwenye vyombo na ofisi maudhui ya kuhojiana. Sio wale wameweka viti vya plastic na mic ni moja! Huwa haipendezi. Hebu wasaidieni na waandishi wengine mawazo ya jinsi ya kuimarika kwenye mahojiano.
@msabahaali758
@msabahaali758 3 ай бұрын
heche akili kubwa sana nia hazina kubwa sana from Zanzibar nawakubali sana chadema
@user-fe8tx5bo2f
@user-fe8tx5bo2f 3 ай бұрын
Safi sana kiongozi wangu natama sana humkahimu mbowe
@WilliamMwangwa
@WilliamMwangwa 4 ай бұрын
Kamanda Heche uko vzr kwa hoja
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 ай бұрын
KATIBA MPYA NI. SANA
@user-kg8dn6qr8o
@user-kg8dn6qr8o 3 ай бұрын
Heche mungu Akupe maisha malefu Unaipenda Tanzania
@scolarymahenge9867
@scolarymahenge9867 3 ай бұрын
hakika anaipigia kwa sura ya dhati kabisa
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 3 ай бұрын
Kaka yangu hechee MUNGU wangu wa mbinguni akupe maisha marefuuuuu naomba hii sala kutoka moyoni mwangu kabisaaaa
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 4 ай бұрын
Pamoja sana mkuu heche
@user-bq5yi6mk5r
@user-bq5yi6mk5r 3 ай бұрын
very smart person supposed to be in the parliament as the representative of people..ila chaajabu bungeni tunawatu ambao hawapaswi kuwa ata mabalozi wa nyumba kumi
@user-xh6cb8mp6c
@user-xh6cb8mp6c 3 ай бұрын
Mb zangu hazijapotea bure❤❤
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 3 ай бұрын
Stay blessed Mkuu John Heche
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 3 ай бұрын
Nakukubali mwamba wa tarime
@leonardmartine662
@leonardmartine662 4 ай бұрын
Heche yuko vzuli sana kwenye kuchambua
@JoshuaGodifreyJoshua
@JoshuaGodifreyJoshua 2 ай бұрын
Heche nakukubali sana sema Leo nimeona mwarabu ambae ni Msukuma kutoka Shinyanga😂😂😂😂
@user-pz2kp2ej5e
@user-pz2kp2ej5e 3 ай бұрын
Nakupenda sana unatufungua vichwa
@ibrahimkingfaith9283
@ibrahimkingfaith9283 3 ай бұрын
Clouds you are the best. Chombo cha Habari makini kinatoa airtime kwa mtu yoyote hakibagui
@nassibdoma5408
@nassibdoma5408 4 ай бұрын
Nawapenda nawafuatilia nikiwa chanika dar jamaa yko sawa kbisa sikuhizi uchawa unanguvu zaidi nihatari By Nassib Doma
@kakafadhili4472
@kakafadhili4472 4 ай бұрын
Heche is best
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 4 ай бұрын
Chadema Ina vichwa vyenye akili sana
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 ай бұрын
Sana Kwakweli.
@easymapetv
@easymapetv 4 ай бұрын
Nawapongeza sana clouds Mnafanya kazi nzuri, Mnajua kutengeneza chemistry kwa watangazaji kwenye kipind
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
KWANI INAKUWAJE VIGUUMU KUMWEELEWA MTU ANAEONGEA UKWELI KAMA MUHESHIMIWA HECHE
@user-or5hm7nl7q
@user-or5hm7nl7q 3 ай бұрын
Nakubali sana
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 4 ай бұрын
HECHEEEEEE👍👍👍
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 4 ай бұрын
Akili za huyu mwamba mmoja ni wote wa ccm akili kibwa
@ObadiaNikodem
@ObadiaNikodem 3 ай бұрын
Huyu jamaaaa heche akili nyingi saaaanaaa
@naseebmussa2111
@naseebmussa2111 3 ай бұрын
😊umetisha heche
@sylivanusbernard3325
@sylivanusbernard3325 3 ай бұрын
Tata Heche umeua Sana hii leo
@user-ex7bh1np4t
@user-ex7bh1np4t 3 ай бұрын
Samahan hivi mfano mbunge msukuma hajasoma sana kua na Elimu kubwa ila Kuna wale kina luge malalira ambao walikua wamesema sana, hivi ikitokea umeambiwa kati Yao mchukue mtu akawakilishe wananchi utamchukua Nan!? Kiongoz na uwakilishi mwema wa wananchi ni karama Toka kwa Mwenyezi Mungu na hofu ya Mungu sio Elimu peke ake,.
@calvinlema6107
@calvinlema6107 3 ай бұрын
Saaf sana wewe ni hazina chadema🎉🎉🎉
@user-br9ld8km8h
@user-br9ld8km8h 3 ай бұрын
Kamanda
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 2 ай бұрын
CHADEMA HAKUNA Kiongozi Mbovu Wanajua Kutuletea Viongozi Wazr Ndomaana Wakitoka Chadema Kwenda Ccm Nimoja Kwamoja Wanakuwa Viongozi Kama Vile Ccm Ilikuwa Haina Viongozi
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
BORA HATA WAKOLONI MAANA WALIHESHIMU SHERIA
@mkorinto7629
@mkorinto7629 3 ай бұрын
Akili kubwa sana
@yisambimbomatanzaniadaress8531
@yisambimbomatanzaniadaress8531 3 ай бұрын
Mungu tupe watu akili km hawa AKILI NA UPENDO mungu tusaidie tupate watu km hawa bungeni
@carlosmsigwa9516
@carlosmsigwa9516 3 ай бұрын
Ukisema Tanzania ni sawa na Keya utakuwa umekosea pakubwa sana
@johmshana5665
@johmshana5665 4 ай бұрын
Mtu wa maana kbsa huyu.
@samsonpaschal5044
@samsonpaschal5044 4 ай бұрын
Cloudsmedia, Nialikeni na mimi ....
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
👊👍✌.
@hadijamkieti1751
@hadijamkieti1751 3 ай бұрын
Mh.. heche ni bonge. La bright man. Na mzalendo yaani bila. Kumun'gunya maneno. Wewe ni good leader
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 ай бұрын
Akili kubwa huyu mtu tatizo tz kama nchi na siasa zao siyo ccm wala vyama vingine hakuna akili ya kujitambua nchi yetu ijengwe vipi iache kuomba,misaada mikopo na umaskini.maadui aliowataja nyerere ujinga,maradhi na umaskini bado wapo.
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 3 ай бұрын
Duuu kumbe kuna vinyonga bungeni Mungu ingilia kati yanayofanyika TZ
@Flaviosafari
@Flaviosafari 3 ай бұрын
Hawa ni aina ya viongozi tunaowahitaji kuongoza taifa letu. Uwaziri hata uraisi sio ubunge tu. Akili kubwa sana! Chadema ndio chimbo pekee utakutana na vichwa vya uhakika kama hivi!
@user-np8ex1mq3b
@user-np8ex1mq3b 3 ай бұрын
Waoooooooo
@inumbuboyinumbuboy2580
@inumbuboyinumbuboy2580 3 ай бұрын
Heche anaongea kwa utulivu sana kwa kuelimisha Hivi ndivyo inavyotakiwa.
@mangenyanyondo8691
@mangenyanyondo8691 4 ай бұрын
Nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi hajawahi pindisha mh heche
@amosmangura
@amosmangura 3 ай бұрын
Tunasikiliza hadi unawaza tuko wapi tunaenda wapi
@user-ej5dk6wm2z
@user-ej5dk6wm2z 4 ай бұрын
Kamanda nakubali hoja zako xana endelea kuximamia kwel na taifa letu lilipofikia halipendi ukwel kwao ni dhambi
@user-bg8zz5vw5v
@user-bg8zz5vw5v 4 ай бұрын
Heche uko vzri
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Kwanini wanasheria waandishi wa habari na wanainchi tuungane kudai Katiba ili wasione wahusika ni wanasiasa tu sisi wanainchi ndiyo tunaumizwa na Katiba hii ya sasa. Watu wote katika kila sehemu waliko wanaumizwa na hii Katiba. Ni vile wsmefugwa kitumwa kwa hiyo wengi hatujielewi. Lakini wanaojielewa wanajua kabisa kuwa wanaumizwa sana na katiba.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 4 ай бұрын
Kwa maana ya anavyosema Mhe. Heche bunge la sasa hivi linaloongozwa na Tulia (sijui nitulie nifanywe nini..😂) siyo smart, halina uwezo wa kujadiliana kwa kina hadi kuibuka na hoja mujarabu kwa maslahi ya wananchi bali linasimamia maslahi yao wenyewe, wamegeuzwa vibogoyo upeo wao wa kuona mbali umevizwa kwa kulazimishwa kuongea sawa na anavyotaka Tulia
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 3 ай бұрын
Inasikitisha sana kuona headmasters eti wanamchukulia form rais
@rwakyenderajulius3861
@rwakyenderajulius3861 4 ай бұрын
Tuliisha maliza kwa jaji warioba,hivyo watu wanaelewa.
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 3 ай бұрын
Philosophy heche
@user-dg4ye6eu4g
@user-dg4ye6eu4g 3 ай бұрын
craus fm mukojuu nawapendsa
@revocatusvedastus8893
@revocatusvedastus8893 3 ай бұрын
uchaguzi ndo kila kitu ukikosea. uchaguzi utalia mpaka mwisho
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 3 ай бұрын
Bongo ukiwa na akili nyingi unawekwa pembeni then wanareplace aliye na akili ndogo see in iringa yule jamaa mchungaji ..cheki akina Humphreys polepole wamefichwa cuba huko ..its disgusting sometimes
@ramsomathew6668
@ramsomathew6668 3 ай бұрын
Heche akili kubwa
@user-jh3fd5yt9i
@user-jh3fd5yt9i 4 ай бұрын
😂😂😂
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 ай бұрын
Wachawi wanchihii niccm kwasabbu hakuna Chamachochote kilichowahi kutawala nchihii zaidi yawapuuzi mashetani wanchihii maccm,
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Hakuna clouds tena maana ameondoka nayo Ruge, pumzika kwa amani legend Ruge
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 3 ай бұрын
Hujui kinachozungumzwa hapo wewe Bata.Ruge katoka wapi kwenye mahojiano hayo?.Acha kukurupuka
@user-kw6pg7nb1w
@user-kw6pg7nb1w 3 ай бұрын
Acha uongo wewe heche ,unaingilia hata taaluma usiyoijua,
@dismasmtui729
@dismasmtui729 3 ай бұрын
CDM ina majembe!
@user-yw5ix9gg4d
@user-yw5ix9gg4d 3 ай бұрын
Q
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 4 ай бұрын
Chadema mbona wanapenda kuitolea mfano Kenya wakat Kenya yenyew matatzo Yao yanafanana Tanzania na kama hawajui mbaka baadh ya nembo za kwenye fedha znafanana
@Mwitabenson_tz
@Mwitabenson_tz 4 ай бұрын
Wew Kenya wametuzidi mbali sana niulize Mimi nimelala miaka 15hujui kitu
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 3 ай бұрын
Kaangalie GDP ya Kenya, Export ya Kenya, income per Capita, currency, Then Uje hapa
@dismasmtui729
@dismasmtui729 3 ай бұрын
Kenya is far better than Tz in terms of democracy and freedom of speech!
@abuukarata9653
@abuukarata9653 3 ай бұрын
Lau kwamba chadema wasinge wapa mademu zao zile nafasi maalum za ubunge mwaka 2015 wangekuwa wako sawa.
@ndingolivin-qy6xk
@ndingolivin-qy6xk 4 ай бұрын
Kamanda
@user-np8ex1mq3b
@user-np8ex1mq3b 3 ай бұрын
Waooooooooo
@user-nw7li6kp1t
@user-nw7li6kp1t 3 ай бұрын
Sàwa kàkà
@cypriannchangwe3884
@cypriannchangwe3884 3 ай бұрын
Akili Kubwa.
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 49 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
#ardagüler #fifa24 #rating #fpy #youtubeshorts #subscribe #for
0:16
Football Footballer
Рет қаралды 9 МЛН
На Равных Бегают? #shorts
0:38
ЧТО Я НАШЕЛ
Рет қаралды 527 М.
ШКОЛЬНИК ДАЛ БОЙ ШОВХАЛУ 😨 #shorts @EXPERTIZAMMA
0:57
ExpertИза MMA
Рет қаралды 1,5 МЛН