SIKUTAKI | KABILA TATIZO | WANYANYASAJI | KWANZA HUWEZI KUNIHUDUMIA | HELLO MR RIGHT

  Рет қаралды 64,867

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 154
@IrineChengula
@IrineChengula 7 ай бұрын
Elizaaaa huyooo ataangukiaaa pabayaaa 😢
@amosmahona433
@amosmahona433 6 ай бұрын
Background ringtone sauti iko juu sana
@andrewkamese8492
@andrewkamese8492 8 ай бұрын
Hapo hakuna mke,nashauri vijanawaende makanisan au miskini Bora.
@bantu573
@bantu573 8 ай бұрын
Is the background noice necessary??
@YovinusNchimbi
@YovinusNchimbi 6 ай бұрын
Hiv hawa walembo wanatafuta mume au pesa eliza tumemchoka
@isakakerambo1204
@isakakerambo1204 8 ай бұрын
Naomba mpunguze sauti mziki kidogo Ili maneno ya Mr right yasikike vizuri tafadhali
@Mwalimu-jm-mwathi
@Mwalimu-jm-mwathi 8 ай бұрын
Punguzeni mziki Aisee...inauudhii !
@ZamdaJuma-oy9wg
@ZamdaJuma-oy9wg 8 ай бұрын
Kaka dulla nakuunga mkono hapo hakuna wife material wote ni wadangaji tu😅😅😅😅
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 8 ай бұрын
Kabsa
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 7 ай бұрын
Dulla anaona mbali😂😂😂
@prosperSalumuLungwecha
@prosperSalumuLungwecha 8 ай бұрын
Kwa Dulla Makabila 😂😂😂😂 mbona tutapenda na kwakuwa katoka kweny talaka mda sio mrefu wajipange broo Dulla Makabila binafusi napenda unachofanya👊👊
@omaryhaji4784
@omaryhaji4784 8 ай бұрын
Gara B umemuita jamaa kikatili sana "we mjita"
@musa-v3f
@musa-v3f 8 ай бұрын
huyu Eliza uzuri wa nje sio wife material atakayemchukua namuonea huruma sana kama anatafuta mwanamme wa kumuhudumia tu atamaliza wanaume wote hakuna mwanaume atakayeweza ishi nae mwanamke mwenye tabia kama hizo
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 8 ай бұрын
Na kamezeekea hapo yani kanajiona kazurii na uzee unakanyemelea😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AlexisNema
@AlexisNema Ай бұрын
@lilyngonyani2312
@lilyngonyani2312 8 ай бұрын
😮😂😂😂 hadi machozi😅😅😅......
@HappnessMiribo-jw8pb
@HappnessMiribo-jw8pb Ай бұрын
Jaman mjit mwenzangu ungekuj kwangu mm nip hap
@EmmanuelMwinula-xm8no
@EmmanuelMwinula-xm8no Ай бұрын
@@HappnessMiribo-jw8pb 🤣🤣🤣
@EmmanuelMwinula-xm8no
@EmmanuelMwinula-xm8no Ай бұрын
😂😂😂
@fafunamohamud5089
@fafunamohamud5089 8 ай бұрын
Mr right muko. Va zuri lakini tatizo lenu. Punguzeni hiyo sound loud sana watu hawazisii vizuri sauti zenu
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 8 ай бұрын
Sister Kalia kitu cha kipuuzi kweli😂😂😂😂
@moudys
@moudys 8 ай бұрын
Wanawake wahovyo sana
@BelhadjSeif-e6l
@BelhadjSeif-e6l 8 ай бұрын
Sura zao zenywe mbovu hlfu vinajikuta vy maaana matako yao
@stewartsmazozo8254
@stewartsmazozo8254 8 ай бұрын
Hv mbona cjawah ckia mr.right yyte akihoji cv ya mrs.right yyte?? coz cdhan kama wengne hawan familia
@SweetBellLolo
@SweetBellLolo 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂Rose golden girl mara zote
@stewartsmazozo8254
@stewartsmazozo8254 8 ай бұрын
Rose......😢😢😢
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 8 ай бұрын
Hapa hamna mwanamke, dulla makabila kasema hawa ni maslayqeen hapa hawana mapenzi ni pesa wanaitaji😂😂😂😂😂😂
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 8 ай бұрын
Oyo Ross mpayaaaa Oyo demu gani mweuc Kam mkaaa suraaa mbayaa 😅😅 amajikuta mzuri
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 7 ай бұрын
😂😂😂😂mkikataliwa ndio hamkosi lakusema
@amoslucas1247
@amoslucas1247 8 ай бұрын
Watu km eliza Dawa yao n kuwadanganya tu😅😅😅😅 af unapita kushoto
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 7 ай бұрын
Maaninaaaa 😅😅
@DamasiAdam
@DamasiAdam 4 ай бұрын
Huyo Eliza ni Bi shangazii 👈
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 ай бұрын
Jamani ROSE UMELIA DEAR POLE
@magerielia
@magerielia 8 ай бұрын
Yan mm ayo mambwa yananikera sana unataka mwanaume mwenye pesa wewe unazo ilo jingine mpka linazekea tu hapo
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiiiiii
@MallysAlly
@MallysAlly 7 ай бұрын
Pia dada frola wapaswa kuwa na msimamo so vzr sasa ulikuwa unabishana ili iweje
@dw.biwacuhezahouse1738
@dw.biwacuhezahouse1738 8 ай бұрын
Noma
@metrineomega1635
@metrineomega1635 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂let laugh oooh
@fidonsostenes
@fidonsostenes 8 ай бұрын
Wasenge kweli
@poulmbogo1770
@poulmbogo1770 8 ай бұрын
Vijana tutafute pesa haya mengine yanadhililisha sana 😢😢😢😂
@chulelubella2819
@chulelubella2819 8 ай бұрын
Kwani ukipata pesa ndio utakubaliwa na mwanamke yoyote kaka tambua tu ni mabinti makahaba hakuna bikra hapo wamejiuza vya kutosha Sasa wamekimbilia huku
@AnethKukosi
@AnethKukosi 8 ай бұрын
Eliza una sura mbaya mshukuru mungu alikupa rangi
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 8 ай бұрын
Yani hata sijuwi anajiona vip maana anaongea jmn kama anataka kupandishwa ndege aje uarabuni atapanda ndege na gari atapata akifanya kazi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hassansebe1798
@hassansebe1798 8 ай бұрын
Nime jifunza kitu kupitia Mr Right huyo but lakini Mr Right ameongeza maumivu badala ya kuamini kuwa atapunguza maumivu
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 8 ай бұрын
Kweli aisee ameongeza maumivu
@eminenceboy8386
@eminenceboy8386 8 ай бұрын
Huyo dada ana mapepo sio bule
@YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
@YINDIMAKUCHICHANEL-DOM 8 ай бұрын
Huyo mama nae anataka aolewe na kijana
@isabellamichael1025
@isabellamichael1025 8 ай бұрын
Nyie hapa Kuna vituko khaa😂😂😂😂😂
@JacklineMdolwa
@JacklineMdolwa 7 ай бұрын
Ee kwan vp anataka chapat au 😅
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 8 ай бұрын
Eliza anasauti mbaya nilijuwa mwanaume😂😂😂 khaa ukipata mwanaume huko ndani vep😂😂😂
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 8 ай бұрын
😂​@@SerenakaremboDzombo
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 8 ай бұрын
😂😂😂uyo eliza mbon siku hizi namuon mbay😂
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 8 ай бұрын
Daaah hawa machangu wanajikuta wana maisha kumbe hamna lolote
@SashaOscar
@SashaOscar 8 ай бұрын
Yaani sio pw, hao hawajaenda kutafuta wachumba bali wanatafuta wakuwadangia ni madanga tu km madanga mengine
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@braggadachu1723
@braggadachu1723 8 ай бұрын
Nimetokea kulichukia jina la Eliza maisha yangu umbwa kabsa hyo kubwa jinga hyu eliza
@ElizaJohn-iq9hr
@ElizaJohn-iq9hr 8 ай бұрын
Mhh
@RamadhaniKipindula
@RamadhaniKipindula 8 ай бұрын
😢hivi hiki kipindi kinapatikana wapi nataka nije na mm kutafuta mchumbaa
@RajabuHasan-w8w
@RajabuHasan-w8w Ай бұрын
Eliza mpumbavu sana uyo
@roseafrael75
@roseafrael75 8 ай бұрын
Eliza tulia maana huo weupe ndo unakubeba kutembea ujui umri ushaenda kuvaa pia ujui yani ww tulia tu na huo weupe wako uliochanganyikana na mkorogo. Kingine wanaume wa siku hizi siyo wa kutegemea kama umekubali kuwa nae unatakiwa pia ukubali kusaidiana nae majukumu ya kuendesha maisha yenu pamoja na familia .
@shangweyussuf640
@shangweyussuf640 8 ай бұрын
Hawa qanauza sura tu
@RenatusEddyson
@RenatusEddyson 8 ай бұрын
Wanasikitisha kweli
@AlexisNema
@AlexisNema Ай бұрын
😢
@AnethKukosi
@AnethKukosi 8 ай бұрын
Eliza bibi kizee mwangalien vizuri amezeeka
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 8 ай бұрын
Nikama uzee unafichwa na makeup 😂😂😂😂😂
@sidikassim6759
@sidikassim6759 8 ай бұрын
Nyie mr Right wote mnaokuja mnaongpea snaaaaa yni nyinyi bika kuongpea hmuez mnshis hsmuez kupta mwanmke yni kla jmaa anaekuja eti mpnz wk alikuw mkorof achen zni hta wanawke wanauzaif lkni mr right kwanza hkuna maowaji hpo waende kuchzeana tu
@rosemerryfaustin1900
@rosemerryfaustin1900 8 ай бұрын
Zarish leo ungekaa natural kichwani kuliko icho kituko kichwani
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 8 ай бұрын
Kuanzia nguo mpak kichwan Leo yupo raf Sana kifupi Leo hajapendeza
@TabuMudi
@TabuMudi 6 ай бұрын
Duuh!! Huyo Rose mbona kama qnasulubiwa? Kinachomliza nini mwache aendelee kuuza sura.muongo huyo
@PerepetuaEnos
@PerepetuaEnos 8 ай бұрын
Duuub
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 8 ай бұрын
Mkileta watu wa hovyo kwenye show mtavuluga kipindi chenu Ao kina makabila wanini kipindini Au mwalimu mkuu Apo???
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 8 ай бұрын
Boy acha uongo iyo story ya kutunga
@PriscusTesha-g2q
@PriscusTesha-g2q 8 ай бұрын
Jamaaa kaandika mahl kakariri
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 8 ай бұрын
Jamaa hana swaga za kushawishi anatia huruma😂haya mambo haya hivi huwa mnafikiria nini 😂
@SashaOscar
@SashaOscar 8 ай бұрын
Cjui hawaoni wasichan huko mtaani mpk kwenda kujidhalilisha Ivo kwa hao madanga 😢😢😢😢
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 8 ай бұрын
Flora muongo dahhh😂😂😂😂
@DamasiAdam
@DamasiAdam 4 ай бұрын
Huyo Eliza atazeekea hapo hapo
@LovenecyGeorge
@LovenecyGeorge 8 ай бұрын
Aisee rose
@shabanJuma-fe6wf
@shabanJuma-fe6wf 8 ай бұрын
Mwanaume unaejielewa unaenda Sehemu kama ivi kwenda kutafuta mpenzi ,apo unaenda kutafuta mpenzi au unaenda tafuta mdangaji ,Kwa mimi sioni mwanamke matirio hata mmoja bali nimeona wadangaji ,
@DaEva-h2t
@DaEva-h2t 8 ай бұрын
Mm nataka kutazama live nifanye nn
@queensalema5262
@queensalema5262 8 ай бұрын
Kwa cm ama tv?
@isakakerambo1204
@isakakerambo1204 8 ай бұрын
Eliza ye ana uwezo wa kuingiza sh ngapi Kwa mwezi
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 8 ай бұрын
Wasenge hao wadada
@evansthobias6460
@evansthobias6460 7 ай бұрын
ujinga tu kujeni vinijijjini wanawake ni wengi
@hyacinthe313
@hyacinthe313 8 ай бұрын
Kwa haraka haraka dula namuona ni mtu fulani mwenye mahaba kitandani 😂😂😂😂inaonekana mpaka analiaga🤦🤦🤦
@chulelubella2819
@chulelubella2819 8 ай бұрын
Alishakukula ?
@SharmilaRashid-s5h
@SharmilaRashid-s5h 8 ай бұрын
Urembo wasura akili maviii
@LucasThomas-j9z
@LucasThomas-j9z 8 ай бұрын
Simzime hyo melody sas ad inaboa maana hatuwezi msikia mtu vizur
@eliezerwamungu4614
@eliezerwamungu4614 8 ай бұрын
Yaaani haw wanawake hawatafut wachumba wezi haoo
@happynkya9770
@happynkya9770 3 ай бұрын
Haka kaeliza sijui kanajikutaaga nani
@mohamedkwiga6870
@mohamedkwiga6870 8 ай бұрын
Udangaji umetawala hakuna mapenzi ya kweli hapo 😅
@sumatumbo-mg4ik
@sumatumbo-mg4ik 8 ай бұрын
Hao madem wanazingua san na hao ndio wanawake pole brow
@ZainabMwinyi-n4s
@ZainabMwinyi-n4s 3 ай бұрын
Elezaa ww ni unamudomo sana utazekea hapo hakuna mwanaume atamuoa elezaa una roho mbaya sana we mwanamuke peleka uzee wako huko
@sidikassim6759
@sidikassim6759 8 ай бұрын
yani masharo baro bwana yni kushawish nusu saa nzma toa kauli mja tu nakpnda naitaji nikuoe uwe mke wngu mtrjiw bas imeisha sio klele nyingi
@athumanii
@athumanii 8 ай бұрын
Anaeandika caption anaspoil kila kitu😢
@materulivin5921
@materulivin5921 7 ай бұрын
Nilicho gundua apo wanawake wote hawa itaj mwanaume bali pesaaa kama huna pesa hapo hutoboi ila kwanini wanaume wote wana jieleza ila wanawake hawajielez au ndo kuuziwa mbuzi kwenye gunia
@MwajumShaban
@MwajumShaban 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kunavitu kumbe kaaa wjini wakike wwweweuxi kama lami
@MallysAlly
@MallysAlly 7 ай бұрын
Ila dada Eliza chunga kauli zako hivi ww umeenda kutafuta pesa au mume
@sharifu-story4644
@sharifu-story4644 5 ай бұрын
Unajua Elza mama wewe auna uzur wowote dada punguza manjonjo umezeeka
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 8 ай бұрын
Tuliolewa na watu hawana kaz
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 8 ай бұрын
Nilidhani Kenya ndio tuna ukabila kwenye mahusiano kumbe TZ ndio hatari,,binadamu tumeumbwa na tabia tofauti usiache ukabila ukaku katisha tamaa au ukakukosesha nafasi ya kumpata soulmate wako.
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 ай бұрын
Sisi hatuna ukabila, Huyo ni Malaya tu kashamaliza vigezo...
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 8 ай бұрын
@@faithfaith-zr6gz nimefatilia hiki kipindi sana wengi lazima waulize kuhusu kabila
@lakasid3860
@lakasid3860 8 ай бұрын
​@@Huncho_taitan_breezysio hatari kuliko kenya acha uongo
@SamoMgore-x3v
@SamoMgore-x3v 8 ай бұрын
Et dk moja umshawishi mke na uondokenae huyo mkee au poneo ebu iwekeni vzuriiyo alafu kwanini mnauliza swali hili kwamwaume Tu? Et kwamara yamwisho kufanya nilini sasa ndoninj ili iweje ulizenj nawakike ili kuweka usawa
@Zenny89
@Zenny89 8 ай бұрын
hawa wanawake hakuna kitu hapo...wanatafuta madanga tuu...hata watoe vilio
@LucasThomas-j9z
@LucasThomas-j9z 8 ай бұрын
Mhh kwel wanawake ni ectar me nkajuw analia amemkubal duuh
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yani nimeshangaa
@AlicyMathias
@AlicyMathias 8 ай бұрын
😂😂😂
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 8 ай бұрын
Watu Watanga Wanayo Tabia Hizo Huwahapendi Kuomba Radhi Wakikosea
@nuruahmed4842
@nuruahmed4842 8 ай бұрын
😂😂😂ujakosea kabisa
@ummullaqsa974
@ummullaqsa974 8 ай бұрын
NAKUUNGA MKONO KWA ILO🤝cjui wanajkut nan aiseee
@kihekaRobert
@kihekaRobert 8 ай бұрын
watu wa singeli na minanda wafukuzeni ni wabwatukaji
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 8 ай бұрын
hao wanaoangalia pesa wote ni malaya tu, wameacha kusimama barabarani, na kujiuza katika mabar wamekuja humo, hiki kipindi wata kiharibu hawa.
@christineneema3008
@christineneema3008 8 ай бұрын
Nimegundua Hwa wanawake niwale waliochosha kwa wanaume
@yusuphjuma742
@yusuphjuma742 8 ай бұрын
Asipo kuwepo doctor hapo mambo yanaharibika
@SeleMindanho
@SeleMindanho 8 ай бұрын
Mademu wenyewe makahaba haoo wapenda pesa muwe munaweka wazi kwanini wamekuja hapo hao mademu wanamazito kilometers zimesoma zakutosha dar to kagera
@MadenaIphone
@MadenaIphone 8 ай бұрын
Mjitahidi kupunguza sauti yamziki hamsikiki maneno
@FadhilMbise
@FadhilMbise 5 ай бұрын
Uliza ni malay tu akuna mke apo
@bahamemagembe7485
@bahamemagembe7485 8 ай бұрын
Mbona kama makahaba wote, afu kama zero brain hawa mapoko
@MerosNkurunziza
@MerosNkurunziza 8 ай бұрын
Yooooo😢😢😢
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 8 ай бұрын
Huyo eliza ni msenge wa kawaida ndo maana umri umeenda
@HanifaMohammed-n4r
@HanifaMohammed-n4r 8 ай бұрын
Elizabeth kubwa jinga
@JosephChizoza
@JosephChizoza 8 ай бұрын
Wote hao ni makahaba hakuna mwenye unafuu hapo
@emmanuelchacha6718
@emmanuelchacha6718 8 ай бұрын
Wizkid katoswa na Pisi Zote😂
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@FreeGod368
@FreeGod368 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@richzebest2029
@richzebest2029 8 ай бұрын
Kuna ubaya gani mkianza kutafuta wote?hakuna mwanamke hapo
@RoseMbunju
@RoseMbunju 8 ай бұрын
Anaitwa rose lakin tabia zake ni mchicha
@JENIPHAARON
@JENIPHAARON 4 ай бұрын
Kabila cio mapenz uyo uliyekutana nae cio uyo hawawez kuringana tabia jmn
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 11 МЛН
Mammito - Tabia Za Wale Watu Hukunywa Pesa Ya Rent.
7:28
Churchill Television
Рет қаралды 1,4 МЛН
Haikuwa kazi rahisi kumjua mumewe mtarajiwa
5:11
MC CHAVALA TZ
Рет қаралды 429
PENZI JIPYA | NAMPENDA SANA  MUONEKANO WAKE HELLO MR RIGHT
10:43
ST BONGO TV
Рет қаралды 157 М.
Утерла нос жюри😳 #фильм
1:00
КИНОВИЗОР
Рет қаралды 1,7 МЛН
Девочка хочет взять собаку вместо папы 😥 #фильмы #сериалы
0:57
DixyFilms - Фильмы и сериалы
Рет қаралды 3,5 МЛН
МЕДИНА ҮМІТКЕР БОЛЫП КЕЛДІ😱 Бір Болайық! 16.10.24
52:42
Бір болайық / Бир Болайык / Bir Bolayiq
Рет қаралды 249 М.
САМЫЙ БЫСТРЫЙ ЧЕЛОВЕК В ТИКТОКЕ..⚡
0:14
Хранилище Легенд
Рет қаралды 3,7 МЛН