Highlights | Yanga SC 0-2 Vipers - SIKU YA MWANANCHI 6/08/2022

  Рет қаралды 387,473

Azam TV

Azam TV

2 жыл бұрын

Kilele cha Siku ya Mwananchi kiliadhimishwa kwa mchezo kati ya Young Africans dhidi ya wageni wao Vipers SC kutoka Uganda.
Mchezo ulikuwa mkali na wenye ufundi wa kutosha na baada ya dakika 90 kukamilika wageni Vipers wakaibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Tazama sehemu muhimu za mchezo huo.

Пікірлер: 148
@OchuTv.
@OchuTv. Жыл бұрын
Who watches this match today before facing Kaizer chiefs evening
@rubenshiye5502
@rubenshiye5502 Жыл бұрын
Tuliorudi kuiangalia Yanga day baada ya vipers kupangwa kundi moja na Simba tujuane🤣🤣🤣🤣
@sanuraabubakar5778
@sanuraabubakar5778 Жыл бұрын
Mimi apa tutaipiga kama ngoma
@tosilihabibu
@tosilihabibu Жыл бұрын
Tupo
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Dah ulijuaje mwamba nipo hapa
@bkilango4265
@bkilango4265 Жыл бұрын
Baada ya kocha kuhamia simba
@allymngwaya2831
@allymngwaya2831 2 жыл бұрын
Watu hawajui kuangalia mpira wanachukulia matokeo haya na kuona hii Yanga ni mbovu, shauri yao. Umechezwa mpira mkubwa sana lkn mpira ni magoli na Yanga imefungwa magoli ya bahati mbaya lkn timu ipo vizuri sana
@clementiddi5708
@clementiddi5708 2 жыл бұрын
Tatizo bro cku hizi kuna ujinga mwingi wengi hawauelewi mpira wa miguu bali wanaangalia matokeo. Mechi ya kujipima tu hii.
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 2 жыл бұрын
Sahihi kabisa
@benjux2645
@benjux2645 2 жыл бұрын
Kweli kabisaaaaa yanga wamecheza yaani magoli ya bahati mbaya Tu kiukwelii
@daudimasumbuko6645
@daudimasumbuko6645 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ni bahati mbaya,,,lakini kwann hiyo bahati mbaya iwe kwa Yanga tu, au ndio kusema Vipers walikuwa na bahati nzuri kuliko Yanga?
@neylathmtendanga5632
@neylathmtendanga5632 2 жыл бұрын
wew unqjua mpiraaa🙌
@asyashariffu7717
@asyashariffu7717 2 жыл бұрын
Feitoto mzee was beauty beauty anajua San mpira....ila wakat ypo na mpra hususan akitak kuweka krosi anatakiw ajiongeze kiakili ili apate kuw mkubw na wakimataifa zaid....maan krosi takriban zote hazijapita na zmeishia kw mabeki...engeongez ujuzi wakutia krosi half pia sio mda wote atie cros t mda mwengn wanahitaji kufinywa mabeki
@yangacongosupporter6051
@yangacongosupporter6051 2 жыл бұрын
our midfield was not in the oven and the mill since there was no total football game where everyone attacks and everyone defends therefore the midfield had given work to the defense and the attackers were obliged to get the ball themselves in the middle so we didn't have 8 and 10 with the inaccurate passes from MORRISON AND AZIZ
@fra_nyuki
@fra_nyuki 2 жыл бұрын
Hapa ndio utukumbuka kuwa, haijalishi unacheza vizuri kiasi gani... Watu mwisho wa siku huangalia matokeo. Yanga walikua vizuri karibu kila sehemu, ila ukiangalia magoli yalivyoingia ndio utagundua Wachezaji wa Yanga kuna sehemu wanajisahau ama kujiamini kunapitiliza. Nimeipenda sana spirit ya Vipers... Rising your standards at all moments... Wakizingua sisi tunawachapa tuuu
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 2 жыл бұрын
Azam machelewa sana kuleta hizi highlights aisee
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Alaf walivyokuwa ma k .. ya Simba waliaanza kuwekaa kabla ya Ii 😂
@zamarunapata1121
@zamarunapata1121 2 жыл бұрын
Afu ya simba imewekwa mapema wakati yanga ndo ilianza kuchezaa
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 2 жыл бұрын
MPIRA ULIOCHEZWA NI MKUBWA MNO ,,,HONGERENI WATANI
@leonardpaulo4890
@leonardpaulo4890 2 жыл бұрын
For sure hapo mmezingua, azam ndio mnaolipia matangazo ligi kuu lakini wanaonufaika wamekua wengi mno
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Kiingilio sh.10000/ ingekuwa 3000 uwanja ulikuwa unaanguka.Yanga inawatu.Kama kiingilio 10000 watu wameingia kiasi hiki!!! basi hapa unajua kuwa hawa ndiyo mashabiki harisi wa Yanga sio mashabaiki wakununuliwa ili uwanja ujae ionekane mashaki niwengi kumbe sio.
@saidbakari2408
@saidbakari2408 2 жыл бұрын
Karibu kuwaza kwa akili tu we unawatu na kwenye nani Zaid umekalishwa tena Kama Mara 3 ya mpunga ulioingiza we una watu au vilaza??
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Жыл бұрын
Vipers wanakupa hi🖐️ ata uuze tiketi moja laki tano lkn dawa imewaaingia Kwa makasiriko yanawaendea wengine poyeee
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
Yaani yanga asipompiga simba kuanzia goal 2 kuendelea juma mosi mniite beautiful Hamida nimekaa paleeee🤣🤣
@neylathmtendanga5632
@neylathmtendanga5632 2 жыл бұрын
💛🚶‍♀️🚶‍♀️😀😀😀😀😀🎊
@soccertv293
@soccertv293 2 жыл бұрын
Uitwe mara ngapi
@hindisaid2413
@hindisaid2413 2 жыл бұрын
Oh beautiful 😍
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
@@hindisaid2413 😍😍😍😍
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
@@soccertv293 🤣🤣🤣🤣
@malietamaliet
@malietamaliet 27 күн бұрын
duuh ila awa vip ni team kweli kweli walai ndo manzoki alitoma akaletwa kufanya maonesho kwa mtani
@madoboy6378
@madoboy6378 2 жыл бұрын
Yanga wanajua sana
@sanityonline4512
@sanityonline4512 2 жыл бұрын
Azam why lakin mnachelewa sanaa
@samsonmwaipaja5231
@samsonmwaipaja5231 2 жыл бұрын
Nimefatilia mchezo kwamakin simba wajipange sana sana aibu itawapata
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 2 жыл бұрын
kanyeee mbele huko yako yanakushinda unatafuta wakukubebea
@eliasmosses7210
@eliasmosses7210 Жыл бұрын
Tumeenda kuwatandika kwa kuwapga ndugu zetu
@tatuchande1615
@tatuchande1615 2 жыл бұрын
yule alosema huu ni mtegoo hakukoseaa,wapinzani msijiamin sanaaa maan kujiamin kupita kias c kuzurii
@Beent323
@Beent323 2 жыл бұрын
Mmeona aibu kwakua mnataka kuweka highlight za Simba 🙄🙄 hovyoo
@badrumbarouk3377
@badrumbarouk3377 2 жыл бұрын
Acha chokochoko na majungu mbona nyie utopolo hamuish lawama yn waovyo sana nyie
@mansnare375
@mansnare375 2 жыл бұрын
Nyie azam siku zote mlikuwa wapi kuweka mmetuzoea sana
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 2 жыл бұрын
Mama yangu litakufa jitu tar 13 ,huu mpira ni noma
@ayyahmalik2408
@ayyahmalik2408 2 жыл бұрын
Kwakuwa mnatak kuweka mech ya simba ndo mkalet hii leo
@saidimkanoga6488
@saidimkanoga6488 2 жыл бұрын
Tuko fresh Ss noma
@samsonmwaipaja5231
@samsonmwaipaja5231 2 жыл бұрын
Yanga hii jumamos kuna kuna kocha atafukuzwa kwa aibu
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Atuwezii mfukuza kwa mechi moja 🤣kocha aliyetupa ubingwa bila kufungwa na kuwafunga makolo mara 2
@anthonyjoseph4979
@anthonyjoseph4979 2 жыл бұрын
Haioneshi vzr
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 2 жыл бұрын
Wachezaji mnawadhalilisha kuwavesha magunia yenu wapo kama vinyonga
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 2 жыл бұрын
Tuongezi muda tunaomba atlist to 40 minutes tuna enjoy tulioko mbali
@akberyuda5950
@akberyuda5950 2 жыл бұрын
MDAKA MISHALE KICHAKA KWELIKWELI🤣🤣🤣🤣
@gilbertmatambe2435
@gilbertmatambe2435 2 жыл бұрын
yangaaa
@greaterjustin2231
@greaterjustin2231 Жыл бұрын
Set peace kwa Yanga hakuna wanategemea mawinger tu
@floriantv4935
@floriantv4935 2 жыл бұрын
Angalau mkatupa na highlights za tukio zima kwa kukusanya vipande mbalimbali mpka utambulisho wa wachezaji, nawasilisha maoni
@yohanaluoga5182
@yohanaluoga5182 Жыл бұрын
YOHANA
@georgemangangu7335
@georgemangangu7335 2 жыл бұрын
Matopolo
@georgemangangu7335
@georgemangangu7335 2 жыл бұрын
Weeeeeeeeee
@danfordmahumi232
@danfordmahumi232 2 жыл бұрын
Yanga ni dude kubwa sana🌎🌎🌎🌎🌎🌎
@tsagyjr8513
@tsagyjr8513 2 жыл бұрын
Lina ukubwa gan akat wageni wanajilia tu kiboga
@avianidikisoni7756
@avianidikisoni7756 2 жыл бұрын
Dj afro
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 2 жыл бұрын
Haya magunia huko klabu bingwa myabadilishe mnavaa mafukutu bhana khaa !!
@frankdulle5705
@frankdulle5705 2 жыл бұрын
Polen xan
@franccoz94
@franccoz94 Жыл бұрын
Utopolo katika ubora wa mchongo
@abdillahshauri1385
@abdillahshauri1385 2 жыл бұрын
Manara yanga dai
@zabronmfungo8503
@zabronmfungo8503 2 жыл бұрын
full house haipo hapo
@husseinmejja8041
@husseinmejja8041 2 жыл бұрын
Young africa good team
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 жыл бұрын
😃🤣🤣😃😃🤣
@emmadora7848
@emmadora7848 Жыл бұрын
Kuanzia hapa mlitakiwa kuanza kujiuliza namna gani mtacheza na timu nje ya Tz
@meshackmwakunja3294
@meshackmwakunja3294 2 жыл бұрын
Nimeangalia kwakina Farid nifundi mmoja ivi yanga tunatamba nae
@abdillahshauri1385
@abdillahshauri1385 2 жыл бұрын
Manara yanga
@joackimyotham7832
@joackimyotham7832 2 жыл бұрын
Tuko vzr ni swala la,mda tyuu
@salimrashid809
@salimrashid809 2 жыл бұрын
Hawa yanga wamevaa jezi zina kila kitu ndio walikuwa wazito kwel yaan na hii jez itawafungish msimu huu
@malickabdy8266
@malickabdy8266 2 жыл бұрын
Azam Tv mnazingua bana leo ndio mnatuletea marudio
@avianidikisoni7756
@avianidikisoni7756 2 жыл бұрын
Allows
@nestorymapunda4596
@nestorymapunda4596 2 жыл бұрын
Afu azm amko sil azi na yang nyny siku zote izo mn leta leo afu shuli ya wik ya wan nch mbon amj wek afu simb mme weka siku ileil afu full
@nasryhassan4666
@nasryhassan4666 2 жыл бұрын
Sema kuna kitu akipo sawa kabisa kwenye izi media kunayo kitu hii sio kweli kabisa aiseee kwahyo wameona wanataka kuweka za simba mkaona mzitupie na izi sio nawashauli viongozi mkataba huu ukiisha awa azamaaaaaaaa watuache kidogo coz ili sio Leo tu
@aidanfelson8383
@aidanfelson8383 2 жыл бұрын
Mengine mna panic tu bure sijui kwa nini,wao ndo wenye hati miliki ya matangazo ya mpira kwenye TV,wao ndo wanaoidhamini Yanga kwenye maudhui (content) so wao ndo wanajua lini,saa ngapi wa post ili wapate faida pia. Sasa mnakalia lawama kwamba wao ndo wanataka hasara? Hata wakichelewa it's their business wanajua faida wanaipataje sasa kila kitu ni kulaumu tu,kwa hiyo Yanga wakiachana na Azam hizo hela za udhamini mtazilipa Mashabiki? Mnapenda kuwasumbua Viongozi mwisho wasijue mnataka nini hasa daaa.
@aidanfelson8383
@aidanfelson8383 2 жыл бұрын
Hawawezi kuangalia ushabiki aiseee,Usimba na Uyanga kwenye hela? Azam wanafanya Biashara na wanatakiwa warudishe ghalama wanazozitoa kurusha matangazo inakuwaje waweke utimu? Lazima mfahamu newsroom kuna kazi sio kama mnavyodhani. Akitoka Azam then awadhamini nani? Mtakuwa mnaji post wenyewe
@mr.sampaelias1885
@mr.sampaelias1885 2 жыл бұрын
Mpira ni ufundi sio kubahatisha Yanga mmetuaibisha Watanzania
@joelthomas3156
@joelthomas3156 2 жыл бұрын
Buyt buyt
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 2 жыл бұрын
Yanga tuna shd kwenye mipira ya kona
@ayoubhussein6625
@ayoubhussein6625 2 жыл бұрын
Kuna timu itakula 12
@ghaniyachande3880
@ghaniyachande3880 Жыл бұрын
Na ss tunakitak iko alichonacho kocha wa vipers cha formation
@Victor-gd9zb
@Victor-gd9zb 2 жыл бұрын
Azam hawajaweka video manara akitambulisha wachezaji why?
@fatumabakari5591
@fatumabakari5591 2 жыл бұрын
Hahahahah nimecheka kikwetu leo
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 2 жыл бұрын
diyara bwana dah bora msher
@delimachesa5007
@delimachesa5007 2 жыл бұрын
Sjui unaongea nn ww
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 жыл бұрын
Sijaangalia magoli nimeangalia uchezaji wa mpira ....makolo mna kazi ya ziada lazima mkae
@nasrisadick8290
@nasrisadick8290 2 жыл бұрын
Endelea kujipa moyo
@clarachikojo6399
@clarachikojo6399 2 жыл бұрын
Wew mpira uju unajua rede tu
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 жыл бұрын
Utopolo bila refa hawaendi na ndo maana kufunga goli inakuwa taabu kweli
@bonnycostacosta7339
@bonnycostacosta7339 2 жыл бұрын
Utopoloooo
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 2 жыл бұрын
Wa mama ako
@yohanaluoga5182
@yohanaluoga5182 Жыл бұрын
YOHANA LUOGA
@seifmaombi1797
@seifmaombi1797 2 жыл бұрын
Kwa yanga hii wamekwisha
@yohanaagastinymasumbuko8181
@yohanaagastinymasumbuko8181 2 жыл бұрын
Naamin yanga ijayo tarehe 13 itakuwa tishio
@nasrikilapo5945
@nasrikilapo5945 2 жыл бұрын
Awakutulia tuu Ila wako vizuli
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide Жыл бұрын
Dak 71:17 anasikika mtu akitaka kubalance maumivu eti Simba alitoa sare eeh au alishinda😂
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 2 жыл бұрын
Vinyonga wakijani haoo
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
magepu nayaona kwa karibu dah
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 2 жыл бұрын
Jezi zinamabaka mabaka kama vinyonga pooo
@kennedyessau5169
@kennedyessau5169 2 жыл бұрын
Azam TV kulikoni mnatufanyia hivyo highlight Ndo mnaweka saivi kweli?
@anodintibaneneje8921
@anodintibaneneje8921 2 жыл бұрын
Weken na ya simbaa basi
@anodintibaneneje8921
@anodintibaneneje8921 2 жыл бұрын
Mnachelewaa kuwekaa saiv sjui shida nn
@zenahussein2242
@zenahussein2242 2 жыл бұрын
Tunaomba mtuwekee full dakika 90
@kombozakaria8350
@kombozakaria8350 2 жыл бұрын
Young afirika
@nurungole3961
@nurungole3961 Жыл бұрын
Sitaki kuikumbuka
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 2 жыл бұрын
Mpenja hukulitendea haki goli la kwanza
@aishahaji3128
@aishahaji3128 2 жыл бұрын
Ngo,a gumu
@mysaramohamed4832
@mysaramohamed4832 2 жыл бұрын
Kwahiyo leo ndo mmeona mtuletee 😏😏😏mnakera cyo siri
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Ile coufra angelikuja Saido angetupa ndani😂 mrudisheni nyie
@hawaramadhan628
@hawaramadhan628 Жыл бұрын
nani uusufu
@sportsbiotz
@sportsbiotz Жыл бұрын
Angalia hapa Mwamnyeto akiomba msamaha kwa mashabiki wanasiovutiwa na kiwango chake. Gusa link hapa chini Kuona mahojiano na Mwamnyeto baada ya mechi ya Polis Tz Link hii apa chini 👇🏾. 👇🏾. 👇🏾 kzbin.info/www/bejne/oKKbfISBmtWjZ8k
@HalidRashid-lz5lc
@HalidRashid-lz5lc Жыл бұрын
=
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 жыл бұрын
utopolo Nmecheka kilugha 🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜😜
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 2 жыл бұрын
Jezi kama vinyonga kha !!
@simonmalale3147
@simonmalale3147 2 жыл бұрын
Azizi ki,hafanani na surpong? Face zao zinashabiiana
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Azam Tv mmezingua, hata kama admin haipendi Yanga sio kwa kuchelewa huku, tena mara kwa mara
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Azam ma k
@jesebayyo2998
@jesebayyo2998 2 жыл бұрын
Azam mnazingua
@nasrisadick8290
@nasrisadick8290 2 жыл бұрын
Hapo manzoki hajacheza🤣🤣🤣🤣🤣
@elishaelikana4703
@elishaelikana4703 2 жыл бұрын
Bora wawe wanaenda kudeki mahospital kuliko kufedhehesha Taifa🤣🤣🤣🤣
@ronaldeastgate8988
@ronaldeastgate8988 2 жыл бұрын
uganda and ugandan teams have been humiliating tanzania and tanzanian teams for long tym
@edwarddavid8076
@edwarddavid8076 2 жыл бұрын
@@ronaldeastgate8988 This is actually because we beat them during the war of Idi amin dada in 1978
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 жыл бұрын
Vinyesi FC waliliabisha taifa ila Simba ameirudisha heshima
@officialsharosharo3062
@officialsharosharo3062 2 жыл бұрын
Huyu morson ninima
@abuuharuna2214
@abuuharuna2214 2 жыл бұрын
Hapa wachezaji ambao tunatakiwa kuingiza kikosini haraka ni wa 3 ambao ni Azizi k Morison Gaer bigirimana
@johnsonkibadeni5053
@johnsonkibadeni5053 2 жыл бұрын
Lomalisa pia full back left anapaswa kuingia kwenye kikosi
@dogoshazzy761
@dogoshazzy761 2 жыл бұрын
Kabisa
@ephraimisaac9091
@ephraimisaac9091 2 жыл бұрын
Nyimbo ya happy birthday inayotikisa mitaa kwa sasa 👇👇👇 m.kzbin.info/www/bejne/q6fGmamno5eVr5Y
@mnyamatv505
@mnyamatv505 2 жыл бұрын
video mbaya za utuppp zuch kzbin.info/www/bejne/Y6m5nIiInteHp9E
@alibushiri4725
@alibushiri4725 2 жыл бұрын
Bahat haijawa yayanga
@sportsbiotz
@sportsbiotz Жыл бұрын
Angalia hapa Mwamnyeto akiomba msamaha kwa mashabiki wanasiovutiwa na kiwango chake. Gusa link hapa chini Kuona mahojiano na Mwamnyeto baada ya mechi ya Polis Tz Link hii apa chini 👇🏾. 👇🏾. 👇🏾 kzbin.info/www/bejne/oKKbfISBmtWjZ8k
@nasrikilapo5945
@nasrikilapo5945 2 жыл бұрын
Pila umepigwa
@ephraimisaac9091
@ephraimisaac9091 2 жыл бұрын
Nyimbo ya happy birthday inayotikisa mitaa kwa sasa 👇👇👇 m.kzbin.info/www/bejne/q6fGmamno5eVr5Y
@ephraimisaac9091
@ephraimisaac9091 2 жыл бұрын
Nyimbo ya happy birthday inayotikisa mitaa kwa sasa 👇👇👇 m.kzbin.info/www/bejne/q6fGmamno5eVr5Y
@ezrommatowo1509
@ezrommatowo1509 2 жыл бұрын
Subirini wenyewe mtabadilisha maneno yenu. Mtaanza kusema yanga inanunua mechi. Tunangojea kocha kufungishwa virago mapema to. kwäsababu upande wa pili hamna uvumilivu.
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 2 жыл бұрын
Mpira ulipigwa.
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 38 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 104 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
LIVE: SIMBA DAY UBAYA UBWELA, KWA MKAPA KUMEFURIKA
Millard Ayo
Рет қаралды 4 М.
Yanga 2-2 Azam | Highlights | NBC Premier League 06/09/2022
22:09
KARATE JANGI VAQTIDA HALOK BOLDI YOKI XUSHINI YUQOTDI
0:23
XO'JA UZ
Рет қаралды 3,1 МЛН
Роман Авдал атакуейшн! Али Хейбати оборонейшн.
0:11
Узбекистан на олимпийских играх победил Японию!
0:35
GREAT LIFE UNION МОТИВАЦИЯ
Рет қаралды 1,2 МЛН
UFC 304 : Эдвардс VS Мухаммад
2:27
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 224 М.