Hakuna Dua inayokubaliwa, madhali nyinyi wenyewenu ni wadhulumaji wakubwa,kujikausha vifua tu.Allah hasimami kwenye dhulma,mtume (saw) amesema" Jiepusheni na dhulma hakika ya dhulma ni Giza siku ya kiama."
@hamilsaleh-zo3hp25 күн бұрын
Baada ya kuwauwa wapemba 2020 mnataka kuwazuga sio, Msimamo watu haubadiliki. Tunajua nyinyi ni wauwaji tu
@khamisjuma294725 күн бұрын
Mnamfanya mungu ni jecha muuwe watu halafu mutegee dua maajabu
@Ablahisaid25 күн бұрын
Duu mm hukumbuka mpka leo.kaka yngu alipo uliwa na nikiona kisikia haya maneno naona hukitonesha kidonda tu
@نوفل-س5ر25 күн бұрын
@@Ablahisaid dah pole sana.inauma wallahi
@abdallahmsham-eb7jz25 күн бұрын
waombeeni duwa maiti walokufa chaguzi zote zilopita wameacha watoto yatima na wajanee duuuu
@fahmysaid-zw4np25 күн бұрын
mnasoma hizi comment lakin😂😂😂
@ShehaHassan-ev7st25 күн бұрын
Duh! Yani hivi ni vichekesho eti dua! Yani mwizi anasomewa dua azidi kuiba alo hii kali ya mwaka.
@khamisjuma294725 күн бұрын
Mnahangaika tu wapemba wameshawakataa ombeni uko unguja mnakopeleka kila kitu ikibidi kila mtu awe na kipande chake
@natafutamatatizo438225 күн бұрын
DR MWINYI UNANUKA DAMU ZA WATU, NA 2025 UNATARAJIA KUFANYA MAUAJI NA DHULMA NYENGINE. HIZO DUA ZITAKUSAIDIA NINI WAKATI SHETANI NDIE UNAYEMUAMINI?
@abdallahmsham-eb7jz25 күн бұрын
waombeeni duwa maiti walokufa chaguzi zote zilopita wameacha watoto yatima na wajanee duuuu