#TANZANIA: Hii hapa historia ya John Mnyika kisiasa, ushawishi wake kuanzia shuleni, Upadre hadi kuwa Mbunge na kisha kuwa Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, awapa somo zito vijana katika kutimiza ndogo zao
Пікірлер: 18
@robertzingu98896 ай бұрын
Aisee, Very bright John Mnyika. Ufaulu wa "A" ktk masomo 9 mtihani CSEE mwaka 1998 is not a joke. You're really very bright and intelligent as well.
@adkajisi45365 ай бұрын
Hivi ndo walifanya mtihani x2
@jeanbaraka10086 ай бұрын
Our future Prime Minister, my friend John Mnyika 💜
@aloycemisigalo39836 ай бұрын
Hapa ndio nimeamini kuwa wenye karama ya uongozi hawako serikalini ila wasio na karama ya uongozi ndio wamejazana serikalini, brother Mnyika ulipaswa uwe kiongozi mkubwa serikalini, Mungu akubariki.
@boscomfundo79535 ай бұрын
Salute Kamanda
@albertkamala68436 ай бұрын
True Political Empowerment of Young People is a Key Towards a Democratic Society!
@ezekielmirambo87046 ай бұрын
Congratulations
@aloycejames48625 ай бұрын
Nimependa sana
@mwananzengotv60486 ай бұрын
Hongera sana sana
@user-so9fo5tv3j6 ай бұрын
Stay blessed Mkuu John Mnyika
@cosmaswilliam38056 ай бұрын
Mungu wapige upofu wezi wa kura.
@mwananzengotv60486 ай бұрын
Sana duuuh
@abdallahkihanza4826 ай бұрын
Vijana bila pesa hawawezi kupata, labda hao waliopo wafe maana ndio watoa rushwa wa kutupwa
@abdallahkihanza4826 ай бұрын
Rushwa ilisha haribu uchaguzi, sasa bila rushwa hutoboi
@conasmalale10736 ай бұрын
ndo maana Uliteuliwa kuwa mtendaji mkuu wa chama
@justuswaziri30935 ай бұрын
Wewe ni mfano kwa vijana wengi sana , kiukweli una ushawishi sana