jamani nimeona bendera za inchi yangu Congo DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩ndani ya hôtel ,nimefurahi sana.nakukubali sana mwanangu
@geraldmlayda931323 сағат бұрын
Ivan umetisha wape shule vijan
@AllexAnthony22 сағат бұрын
Unasikia Mr Ivan huyo jamaa apambane kwaajili ya maisha kutengeneza njia yake asifanye maisha kwaajili ya mtu afanye maisha kwaajili yake na maisha yake alafu atambue sisi wote katika huu ulimwengu n wanadamu tuuu... mambo hubadilika aache kuweka Imani kwa mtu ambae wamekutana ukubwanii...huyo bado hajui.
@ezekielsirinketimape-jo3ld13 сағат бұрын
Ukweli
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on11 сағат бұрын
Mwambie akasikilize wimbo mpya wa Mboso unaitwa "OVA" ataelewa hela inawezekana kuwa sababu ya kuharibu mapenzi😂😀🙌😂😀🇹🇿🙏
@ezekielsirinketimape-jo3ld13 сағат бұрын
Sewzi Fanya Kazi juu y mwanamuke heri family
@salehmdemu572223 сағат бұрын
Weka hiyo part 2,,,tutamaliza data kwa mambo mengine
@Jacklinejohn73 сағат бұрын
Hujui kazi wee waachie kina kiredio
@kilogreekachananawatuwasio405421 сағат бұрын
NAKUFYATILIAZIA SANA MWAMBA KUTOKA ATHENS KAZI MZURI SANA❤ 😂😂😂
@ChenchiKing21 сағат бұрын
Umetisha Xan Ivan Coz Ndo Tunazid Kupat Somo
@Minjabway22 сағат бұрын
Ivan kamela kaka tubadilishie
@henrynyika925815 сағат бұрын
Anautajili gan mshamba hyo
@RizikiWilonja21 сағат бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 uyo kaka mbishi sana
@RizikiWilonja21 сағат бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 uyo kaka mbishi sana
@FelistaShemzigwa23 сағат бұрын
😂part2 jamn
@CainArmak5 сағат бұрын
Daah!! Uyo jamaa alishampanga demu wake broo coz ningumu kukosea muamala alafu aliepokea ndo aanze kupiga kwanza majibu ya Dem yanaonyesha anajua kinachoendelea
@FarajaSijali22 сағат бұрын
Part2 jaman
@adamuadamumussa728946 минут бұрын
Alisema nasra tu basi nikajuwa kwisha 😢😢😢😢😢mnyaturu
@ApolinaryJoseph21 сағат бұрын
Mwendelezo kaka
@Abelsikaonga-p2v15 сағат бұрын
Osl Lile ndio team
@RAPHAEL1258615 сағат бұрын
Uyu Bado mtoto
@ZekaniS22 сағат бұрын
😂😂😂Pesa miamia inaharibu kabisa ktk karne hizi bila pesa utasalitiwa tu
@sulleRuth14 сағат бұрын
Ivan huyo jamaa alishampanga demu wakeee kabla ya challenge
@AbdulyChapa14 сағат бұрын
Oyaaa inayofuata
@AllanMbithi22 сағат бұрын
Pesa Kila kitu Ivan ,mapenzi ni ya ulaya.napenda content yako,mombasa kenya tupo ndani
@SabraHassan-s4z16 сағат бұрын
Halfu kweli mara kampnga kwann anajiamini sana
@PaulCharles-ox9pg21 сағат бұрын
Atakuwa kasha shitukia mchongo 😂😂
@omanoman20444 сағат бұрын
Itakuw mmakonde sii kwa uboshi huu duuh mtuy mwenyew huyu utajir gan
@rajabuAbdallah-s1y9 сағат бұрын
Manzi anataka no arudishe muamala wakati yeye ndio aliyekupigia inakuaje apo mr ivan 17_tz
@SiwemaMbalinga-qf7ec23 сағат бұрын
Tunasubili kinachofwata
@Omarmomade-u5v23 сағат бұрын
Unachelewa mm Niko Mozambique
@SostenyMlwale21 сағат бұрын
Hajampanga dem wake kweli
@mohammedmasudi-dz6hb18 сағат бұрын
WASHAPANGA HAO
@dr_ridhiwan4 минут бұрын
Huyu Mbona Mwanafunzi wa Chuo
@officialyoungxure12 сағат бұрын
Oa mzee wang rich nilipotezaga namba yako mzee wang halaf cjui unakumbuka ulikua unatumiaga jina la pacha ibra
@GodlyJackson15 сағат бұрын
Bro ivan iyo siyo siri tena ilipaswa umuibukie uyo jamaa bila yeye kujua uyo dem kashapangwa
@AnnaMwanry17 сағат бұрын
Lakn kama mwanamke ajui kujitafutia ndio hapo inapoanzia
@zainakasindi476114 сағат бұрын
Nej tack
@DodoNiyomugisha23 сағат бұрын
Camera haiwoni jamani
@abdallamasoud77343 сағат бұрын
Tuna subir part 2
@sultanmkango117622 сағат бұрын
Asiwe kampanga demu wake huyo
@batulymsangi92616 сағат бұрын
Sa kama kampanga dem wake
@chayoamaeda795513 сағат бұрын
Part 2 ya huyo jamaa wa dom ukowapi
@AlufanSalum13 сағат бұрын
Dar ww utanimalizia mb zangu mana hakuna challenge inayonipita
@RASHIDKOMBO-w8j21 сағат бұрын
Unaongea sanaa
@omanoman20443 сағат бұрын
Et kwa ajili ya mwanamke fala san huyu familiy yake hususa ni wazazi anawashughulikia ubwaa hii yakiume
Pale unapojikuta unauhakika na majibu yko km google vile
@GxonAticool21 сағат бұрын
Part 2 vipi sasa😢
@myunaniniahmad646317 сағат бұрын
Sinza tena!! Na ndo kwenyewe sokoni.
@SavioNdimbo16 сағат бұрын
Ndonashangaa
@IssaIddi-vb9yi16 сағат бұрын
Kamera man aujui kuizum iyo pesa mala zote uwa aiyonekani
@kassimkassim87236 сағат бұрын
AnaZINGUA
@AmaniManase-x1i20 сағат бұрын
Sasa ndo aamini pesa inaweza kusaliti na apo anajiona hawezi kusalitiwa kwa sababu ya pesa?
@AkxaEdwin22 сағат бұрын
Una heka heka mmh, saut kubwa kama unaongea na kiziwi ila fresh tu
@dejong36020 сағат бұрын
Hahaha
@nathanmao15922 сағат бұрын
Alafu Ivan unauhakika gani kwamba huyo jamaa hajampanga manzi? Niko nje ya box kwamba mwamba anataka aonekane mshindi kwa kumweleza manzi kinachoendelea... Hivi vitu haviendi hivyo ulipaswa umwibukie huyo jamaa bila kujua kama atafanyiwa hiyo challenge.. Hakuna mtu atakubali kuwa mnyonge kizembe
@rogersaranga655213 сағат бұрын
🤔🤔na mm namashaka na uyoo Jamaa 🫵🏾 uwenda kisha seti kila kitu kwa demu wake maan si rahisi kwa wadada wa sinza au dsm hii eti kutaka kuludisha muamala si kweli hapo #ivan bro utafel ila sisi atuwez kubali kbs kwny bas kisha mpanga demu wake haha 😅