Kama yupo binti mwenye umri chini ya miaka 32 na anayaweza haya anaosema bibi huyo aguse like hapa
@Zuleha-e1h10 ай бұрын
😂😂
@Aminamuhamed10 ай бұрын
HAKIKA mamaangu hayo ndiyo tuliyofunzwa SISI siyo SASA makungwi wanafunza mambo yasiyoeleweka Asante mama bi Almasi ❤❤❤🤲🤲🤲
@thehumblediti493910 ай бұрын
Maa shaa Allah,,,mamangu kaongea maneno kuntu sana Allah akulipe pepo, kweli kabisa tatizo kubwa ni kutojua dini na kutomueka mungu mbele twaongozwa na sheitwan na mambo ya magharibi mana ilmu ya dini hamna .
@khadijakhamis208210 ай бұрын
A'alykum ww, wallah haukuacha kitu tumewaidhika, Allah akuhifadhi mama yetu, shukran wajazakaumllah l khaira
@DonMooSTUDIO_Express10 ай бұрын
MaashaaAllah ❤ Mama yangu Allah akuhifadhi na kukujaalia Pepo yaumul Hisab 🤲. Hawa mawaidha yataishi miaka mingi mtandaoni na watu watapata faida nyingi. Nimependa sana kwakweli. Video hii ntaisambaza sana kwauwezo wa Allah kilanamna ntafanya video hii ni darasa kubwa...❤❤❤
@happynesbaemuhappynes881310 ай бұрын
Shukrani Mama Kwa mafunzo mazuri MashAllah. Allah akujaze kila la kheri
@tiffahdangote754810 ай бұрын
Mama mafundisho yako ni mazuri sana lkn kwa sasa maisha yamebadilika sana.....kwaiyo niolewe na mtu mmoja niende nikafue nguo za wakwe zangu kweli???? Huu ni uongo nguo za mkwe ni mwiko heeeee!
@nasemkena260310 ай бұрын
Mashaallah mmngu Allah akupe umri mrefu
@maryammaryam777310 ай бұрын
Shukran jazzilah mama kwa mawaidha yenye mafunzo ❤❤
@ashaidd291210 ай бұрын
Shukran mama maneno kuntu❤
@Winfridankalupia-t8d10 ай бұрын
Shukrani 😘 😘 😘
@nasemkena260310 ай бұрын
Iliuzidivkutufundisha🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@mifunga34149 ай бұрын
Sukran❤
@Issa-ud6sy10 ай бұрын
Mama, mabinti wengi hawana heshima kabisa, wazazi hawafundishi adabu na heshima,tunaishi kama masela wa geto.
@jimjam-xg7rv10 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@Issa-ud6sy10 ай бұрын
Mama,siku hizi tunaishi maisha ya kwenye filam
@abdinass320810 ай бұрын
Jazak Allahu khayran
@jumaomari38429 ай бұрын
Mama ukombali lakini mungu akufanyie wepesi Yani Hawa wajukuu wako sikuizi ndio washika hatamu kwenye nyumba
@AishaSaoud-m4i10 ай бұрын
SubhannaAllah swadakta 💯
@Hairiakhamis10 ай бұрын
Jamani tutafute Pepo kwa waime zetu na tuwahimize waume zetu watafute Pepo kwa wazazi wao
@Hairiakhamis10 ай бұрын
Jamani atutaki kusoma dini ndio chanzo Cha yote haya laiti tunge soma dini naamini hatuwezi potea ila tumeacha mwenendo wa mtume na mtu upate nafasi ya kumnasihi harusi ukimfudisha mambo ambayo wajibu kwa mume anakuona aduwi usitoke bila ya ruhusa ana kwambia mbona yeye anatoka usimtukane anasema mbona yeye ananitukana ishi upate lawama ila kwa mola uwe salama awataki
@fatimasaid946910 ай бұрын
Mashallah tabaraqah ❤
@AbusalimButchery10 ай бұрын
Masha Allah
@Mirajiji-w2x9 ай бұрын
Kama kuna mwenye namba yahuyu mama naomba anisaidie🙏
@Issa-ud6sy10 ай бұрын
Mama, mtoto anaanza darasa la kwanza Yuko boarding,mpaka form 4,je? Amepatalini maadili ya ndoa?
@tiffahdangote754810 ай бұрын
Kwanza unaolewaje halafu unaenda kukaa kwa wakwe.....kama mwanaume bado hajajipanga kuishi kwake huyo sio mwanaume......wanaume tafuteni pesa aiseee maisha yamebadilika!
@allymapera542110 ай бұрын
Kwahyo unataka kusema atakae kuoa wwe kwake akawa anakaa na wazazi wake kwahyo huwezi kukubali aaaah Dada hyo roho mbaya
@tiffahdangote754810 ай бұрын
@@allymapera5421 roho mbaya wapi...shoga Kwa wazazi nenda kasalimie urudi kwako....maswala ya kuolewa alafu unaenda Kwa wakwe kwanza ni matusi....yaani chumba chenu mnapelekeana moto...chumba Cha wazazi nao hivyohivyo,alafu ndo nyumba za mabafu ya nje ukienda kuoga basi mimacho kichwani kufikiria wameshatoka kufanya...hayo yote ya nn!!! Mwanaume tafuta Hela Kwa mzazi sio kwako! Heshima Yako uwe kijana mwenye kujitambua! Na sio kuoa kumpeleka Kwa wazazi wako....alafu eti kufulia wakwe, sijui kupika chakula unakuta familia ni kubwa, Bado mawifi nao wakupime Kwa kuwafulia nguo zao....shoga sijawa kijakazi! Kama mfanyakazi wakatafute huko na sio mkamwana! Huo ni uonezi!
@ramagwama10 ай бұрын
Utashinda Kwa fkra izo ulonazo wasema Maisha yamebadilka yamekua rangi Gani Hadi xx msingi ni kua na hakima kuyaendea mambo .Tamaa mbaya
@tiffahdangote754810 ай бұрын
@@ramagwama mmmmh mbona kama unamakasiriko! Ishu ni kwamba siwezi kuolewa na mwanaume ambae Bado anaishi Kwa wazazi wake huyo Bado mtt! Kama ni fikra ndio ni zangu na ww Baki nazo za kwako!
@tiffahdangote754810 ай бұрын
@@allymapera5421 na wazazi wenyewe hawana kwao.....wasalimie warudi kwenye miji Yao...utakaaje Kwa mwanao jaman mpka ashindwe kufanya taratibu zake! Huo ni umasikini jaman tusiuendekeze na ndomaana wanaishiaga kugombana na wakwe zao kwani wao wanataratibu zao wanazileta mpaka Kwa nyumba ya mwanawe...ewe mzazi unakwako nenda Kwa mwanao salimia Rudi kwako kuepusha tofauti za hapa na pale! Hakuna mwanadam aliemkamilifu hivyo Kuna mambo mengine ni kuyaepuka tu
@halimavuhya588110 ай бұрын
Skuizi kila mtu anataka kua kungwi wengine ata ndoa hawana wala hawaijui ndoa wanaenda kufundana ukumbini hadi mambo ya chumbani
@sihabahusseinmdee110210 ай бұрын
siku hizi mawifi wanaonekana maadui sana
@CharlesMhindi10 ай бұрын
Yan ndoa. za skuizi ni kama unaishi na mshkaji tu
@AishaSaoud-m4i10 ай бұрын
Tena mskaki wa urojo hasa ataku mix na kila mwanamke mpaka ukose fikra za ubunifu na kusahau mafunzo yote unabaki kama chizi kwa maumivu ya roho😢
@Hairiakhamis10 ай бұрын
Ila waislam wasia wangu kwenu juu ya mume ni kumtiii kwa Sababu pepo ya mwanamke ipo chini ya nyayo za mume wake na pepo ya mwanaume ipo chini ya nyayo za wazazi kwaiyo ukisha olewa wazazi walio kuzaa hawana nafasi mbele ya mume wako
@aminasaid655510 ай бұрын
Ndio kwa upande wa mwanamke
@MesalimRashid10 ай бұрын
Watoto wa zamani watii wakubwa hawa wasasa visoi
@MohdSuleiman-fw2un10 ай бұрын
Kwa ukwel kihusu ndoa za sikuhiz shidaa kiasiyakwamba naishiwa la kusema maana duh ukiingia ndio utajua asaaaa
@AishaSaoud-m4i10 ай бұрын
Weachatuuu 😢
@mrs291810 ай бұрын
Teeeeh hapo kwenye kukusanya nguo ufue hapo ndio pana utata baba/mama mkwe sio shida mawifi sijui mashemeji hapana kwa kweli. Wifi/shemeji kuwa rafiki zako ni bomu la heroshima