Sisi masheikh tulioo pata nafasi za kusikilizwa na jammii, tuna dhima kubwa sana, sjui tuta kwenda jibu nini mbele za Allah. Kwa maana ukiskia na kuona hali za mashekh, wamekosa uadilifu kabisa katika maneno na vitendo, wamekuwa washairi wa mipasho na kupigana vijembe,. Tume tanguliza dunia zaidi kuliko dini, hatari dana hii.