HII NDIO SABABU YA KUPATIKANA JINA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD | CHANGAMOTO ZA KANISA NA KUSIMAMA

  Рет қаралды 3,582

TAG ONLINE TV

TAG ONLINE TV

Күн бұрын

Mchungaji Solomoni Mwagisa ametoa ushuhuda mzito sana kuhusu kanisa hili zuri la Tanzania Assemblies of God, amezungumza mambo ambayo wengi wanayafahamu kama propaganda ila Mchungaji na Profesa Mwagisa amesema kiini cha kupatikana kwa jina la TAG. amesimulia historia ya kweli na safari ya Kanisa pamoja na Mungu.
katibu huyu mkuu mstaafu wa TAG na aliyesimama imara kwenye kipindi cha badiliko la kanisa, na mpaka kupatikana kwa jina la TAG na kua kanisa la kiroho lenye nguvu kubwa sana Tanzania kwa sasa, likiwa na zaidi ya washirika 1,000, 000 nchi nzima na majimbo 76 section 860 na makanisa zaidi ya 15,000 pamoja na wachungaji 15,800.

Пікірлер: 7
@raphaelmitimingi6081
@raphaelmitimingi6081 5 ай бұрын
Asante mchungaji Mwagisa kwa historia hiyo fupi wa kanisa letu wa TAG. Hongera pia kwa kuendelea na kanisa lako. Wasalimie mama na watoto wote. Mimi baba mkubwa! Msalimu Gideon na Shifla na wote! Mbarikiwe!
@fadhilidronarashidjr9422
@fadhilidronarashidjr9422 5 ай бұрын
Mungu akubariki
@selegioelias9076
@selegioelias9076 4 ай бұрын
Wewe mzee yamkini ulishiriki kumuumiza mtumishi wa MUNGU kulola
@babumrisha
@babumrisha 5 ай бұрын
Sasa wasihame kwa sababu gani? Si uongozi umeamua? Kwa muktadha huo kweli hata mimi nisingemuelewa Kulola na kundi lake.
@evangelist22
@evangelist22 5 ай бұрын
Hata hamuogopi. Wazee wazima mnajua msimamo wa upentekoste wa mwanzo kuhusiana na mapambo, make-up, kuvaa vito, kufunika nywele,n.k lakini sijui mnaogopana. Nawaambieni kati yenu mna maagent.
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 5 ай бұрын
"Maagent"??...Mpendwa @evangelist22 fikiri tena juu ya "hukumu" hiyo....Ombea...Shauri....
@evangelist22
@evangelist22 5 ай бұрын
@@mackfasonmoshi4629 Hii ndio hukumu? Hukumu ipo inakuja.
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 720 М.
«Кім тапқыр?» бағдарламасы
00:16
Balapan TV
Рет қаралды 284 М.
HATUNA VYUO VIKUU.
10:53
WACHOKONOZI
Рет қаралды 8 М.
ASKOFU MKUU AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA USAJILI WA DHEHEBU LA AGGCI
4:14
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 8 М.
MAJALIWA AFICHUA 'MADUDU' KIGAMBONI, ATOA MAAGIZO HAYA
15:03
Daily News Digital
Рет қаралды 8 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 787 М.
ALIEJIFANYA KATIBU WA ACT MTAMBWE AOMBA RADHI
10:29
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 8 М.
[Documentary] We are Shincheonji Church from today. Tanzania ver.ㅣShincheonji Church
25:04
EGLERE ENTRETIEN 29 SEPTEMBRE 2024
18:35
EGLERE TV - Église Évangélique la Résurrection
Рет қаралды 79
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 720 М.