Kwa kuwa tuna bar nyingi mno duniani na bado zingine zinaendelea kufunguliwa Ili kuwafanya watu walewe pombe kila siku na kiurahisi, basi hongera Mzee kwa kuanzisha dhehebu jipya ! Mambo mengine mtayajibu mbele za Mungu wenu ikiwa mnafungua madhehebu haya kwa kutafuta pesa !
@BintJeremiahMwasulama28 күн бұрын
Bwana Yesu apewe sifa
@NeemaSimion-x4z18 күн бұрын
Utukufu wa mungu uwe nanyi.
@stevenjoakimu285 ай бұрын
Makanisa na madhehebu yanatakiwa kua mengi kuliko bar... Hongereni sana
@davidngogo401125 күн бұрын
Askofu Mwaisabila, umepitia mengi sana. Mungu akurehemu