Part1_KITABU CHA 1HENOKO Sura ya 1-15|Walinzi,Malaika walioanguka(Wanefili)na Hukumu ya Mungu

  Рет қаралды 12,674

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 53
@AnnWanjiru-ic1td
@AnnWanjiru-ic1td Ай бұрын
Nikepeda, hiyo, kitabu, sana, 🙏🏾
@SengiPatrick-l1t
@SengiPatrick-l1t 5 ай бұрын
Asante sanaila hata na kitabu hiki hakingekuwa upande wangu huwezi niambia mtu alietembea na Mungu myaka miya 300 ashindwe kuandika kitabu jinsi kuna vitabu vingi havikuingizwa kwenye Biblia piya kuna wa nabi wengi hatuvioni vitabu au unabii walioutoa.Barikiwa kbs
@EDGARNDOSSI
@EDGARNDOSSI 5 ай бұрын
VERY VERY INTERESTING,,,,,,,,,,,,,,, Huwa napenda sana hiki Kitabu Nashukuru sana umekiweka hapa kwa Swahili,,,,,,, Wazungu walikitoa kisifahamike na wote ila Mungu anazidi kutumia watu wake kudhihirisha yote.... Thanks PROMOVER
@faithe4063
@faithe4063 5 ай бұрын
Amen nitapata je hiyo kitabu
@gracekinyaki2376
@gracekinyaki2376 5 ай бұрын
Tutengenezee hiki kitabu tafadhal.
@BerylSeer1
@BerylSeer1 5 ай бұрын
Amen hii lazima nitafatilia kujifundisha baadaye.
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 5 ай бұрын
asante kutupa kitabu cha Enoko
@Esthernyenyezi3
@Esthernyenyezi3 5 ай бұрын
I needed this in Swahili
@julianamhenga1712
@julianamhenga1712 5 ай бұрын
Nipo kujifunza mwanzo mpaka mwisho..✍️✍️✍️✍️
@ZaifathAhmadnapokea
@ZaifathAhmadnapokea 5 ай бұрын
Ameeen barikiwa
@dionisithomas6765
@dionisithomas6765 5 ай бұрын
Una maneno mengi Sana, aaaghh
@tynahopmollel5897
@tynahopmollel5897 5 ай бұрын
Nashukuru Sana kwa ujumbe mzuri je hiking hiking kitabu tuta kipataje???
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 5 ай бұрын
Amen
@ambokilegwakisa3526
@ambokilegwakisa3526 5 ай бұрын
Tunashukuru kw ujumbe
@asanthlewanga3941
@asanthlewanga3941 5 ай бұрын
Asante ila ningependa nikisome
@DavidMwaiswelo-gl1sd
@DavidMwaiswelo-gl1sd 5 ай бұрын
How can i have this book servant
@tumainigeofrey9702
@tumainigeofrey9702 5 ай бұрын
Asante.
@lucaschimba3148
@lucaschimba3148 Ай бұрын
naweza pata hicho kitabu dunia ni lazima ijue mambo yalioyofichwa iwe kwa hofu watu kutumia vibaya naweza pataje nijuze
@alimarisruto
@alimarisruto 2 ай бұрын
Hicho kitabu si kizuri wakati hii soma wakolosai 2;17
@HenryTindwa
@HenryTindwa 2 ай бұрын
Natamani nipate iki kitabu
@truth7796
@truth7796 5 ай бұрын
The book of Enoch is in play store but in English version.. To those who need different version.. The message is same with this
@marryshamale2882
@marryshamale2882 5 ай бұрын
Nitapata je kitabu cha Henock kiswahili?
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 Ай бұрын
Kitabu hiki ni kitabu kizuri mno
@MteuleMabuku
@MteuleMabuku 5 ай бұрын
Jibu comments @promovertv namna ya kupata kitabu kwa lugha yetu Tz
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs 4 ай бұрын
Mtafute private
@gaitamaemmanuel
@gaitamaemmanuel 4 ай бұрын
Hiki kitabu ni mpango wa Shetani kuvuruga imani...enock wakati anaishi kulikua hakuna myahudi wala mgiriki na ukisoma bibilia 9nasema baada ya ghalika Mungu ndipo akaleta lugha mbalimbali pale alipozima jaribio la nimrodi kumuasi Mungu...kawaida ya uongo hauna consistency Hao WASOMI wanasema maandishi ya kwanza yaliandikwa uko Egypt ya kale miaka kabla ya kristo sasa inakuaje hapo kwamba Egypt ilikuwepo kabla ya ghalika!?.. Alafu wamepita watu wengi sana ambao walipelkwapaka mbinguni, watu kama wakina yohana, Paulo, lakini kwemye maandishi ya hawajawai kukitumia icho kitabu, na ata hawajawai kuonueshwa na roho kwamba palikua na iko kitabu na zaidi ata Yesu alikua na tumia maandiko sehemu nyingi kufundisha vipi iki kitabu hakuwa anakifahamu.....HUU NI MPAKA WA SHETANI USOMI NA WA DUNIANI HAUUSIANI NA NA HEKIMA YA MUNGU NA KAMA KUANDIKWA VITABU ANGEANDIKA ADAMU.... SOMA BIBLIA INAJITOSHEL3ZA
@rohi15
@rohi15 Ай бұрын
funguka macho kaka wacha ubishani Mungu ndiye mwenye mamlaka siyo enoko wala shetani ila Mungu yehova na yesu kristo ndiyo wenye mamlaka kuu zaidi hazina kipimo milele na milele daima...na wanaweza kutumia yeye yule wampendaye kutimiza kusudi ya Mungu...isaya 46:11-13 soma hiyo don't be pharaoh of incident egypt
@Joseph-tf8sc
@Joseph-tf8sc 5 ай бұрын
Brother umenenepa punguza kula
@lucaschimba3148
@lucaschimba3148 Ай бұрын
kama nakala zipo toa njia ya kusambaza tununue mtu kama hajapita vyuo mambo haya wanjua uongo ndg jueni biblia imepitia changamoto nyingi mpaka hiyo unayosoma
@MwanaimaEnock
@MwanaimaEnock Ай бұрын
Historp
@derickrangimoto1709
@derickrangimoto1709 5 ай бұрын
Mmmh alikuwa anajua kuandika kweli? Na ilikuwa rugha gani
@lucaschimba3148
@lucaschimba3148 Ай бұрын
ndg rugha haijulikan ila kuna mandiko mengi kwa waandishi waliandika nukuu walizosoma vitabu vingine ambavyo walifundishana vizazi navizaz biblia imehalibiwa sana nawaingëleza walipotawala dunia kuibeba roma ilipoanguka
@lucaschimba3148
@lucaschimba3148 Ай бұрын
😢vitabu vilivyo achwa havikuchomwa vipo izrael ndivyo vinatumiwa sana na wagunduzi wavitu vikubwa hao waizirael ambavyo henoko aliviona wanachanganya na vitabu vya wanefili pia olioz
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 Ай бұрын
HAMTOOMBA MAOMBI YENU, NA WALA MAOMBI YENU HAYATAPEWA NAFASI ZENU ( WAMETUPWA NJE YA WALIVYO NA WAMEFUNGWA MBALI NA KAO LAO)
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 5 ай бұрын
tukipata play store au pdf leader
@acadatz
@acadatz 5 ай бұрын
Ninacho full pdf ( English )
@kephamabula
@kephamabula 5 ай бұрын
Tutumie sasa
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 5 ай бұрын
Mimi Naona Hicho Kitabu ni cha Uongo ingekuwa kweli Mungu angeruhusu kiwemo ktk Biblia au Yesu ktk Uinjilishaji wake angekizungumzia kila mara alikuwa anasema ktk Hamjasoma ,akimanisha Torati ,Zabuli na Manabii,au shetan mwenyewe alipo mjalibu Yesu hakutoa maandiko ktk kitabu cha Henoko bali Biblia,
@lucasmongo8462
@lucasmongo8462 5 ай бұрын
Hivi ww hujasoma maandiko ya kitabu cha mwanzo sura ya sita kuhusu malaika walioasi bado hujaona kama sura hiyo ilinakiliwa kutoka kitabu cha henoko
@lucasmongo8462
@lucasmongo8462 5 ай бұрын
Pia huoni maandiko mengi yanafanana na kitabu cha daniel na ufunuo.
@phinescah7353
@phinescah7353 5 ай бұрын
How would a God who is perfect in all things fail to include this book of henoch in the bible if this book is perfect as he is perfect ? I don't believe it but that is my opinion. If all scriptures are inspired by him being perfect, I don't think how he would leave this book not included in the bible.
@JosephBigabwa-wo2bf
@JosephBigabwa-wo2bf 4 ай бұрын
Kila kitu Mungu ana sababu...mbele yaku judge hakikisha Mungu ame Ku fungua macho
@elizabethedwin6424
@elizabethedwin6424 5 ай бұрын
Biblia nzima ilikuwa na vitabu 80 pamoja na henoko. Miaka ya 1800 wakaviondoa watu weupe ili kuweza kuwakandamiza watu weusi. Maana vitabu hivyo vilivyotolewa vina kweli nyingi. Na kuonyesha wazi kwamba watu wote kwenye biblia ni watu weusi. Naamini biblia ni kitabu cha historia ya watu weusi
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 5 ай бұрын
Upo sahihi kabsa 🥂
@veronicanestory1662
@veronicanestory1662 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ni Mungu wa wote wenye mwili, hivyo neno lake halichagui linamgusa kila mwanadamu haijalishi ni langi gani au kabira gani, sema tu walitoa hivyo vitabu kwa agenda zao za uharibifu juu ya wote wanaomwamini Mungu na kushika sheria zake…. Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema 🙏🏻
@MapangaleMusa-hp1ke
@MapangaleMusa-hp1ke 5 ай бұрын
Kaka napataje kitabu
@gaitamaemmanuel
@gaitamaemmanuel 4 ай бұрын
Dada kwa Mungu hakuna rangi wala lugha...ukiona unawza mambo ya rangi ujue Yesu hayumo ndani mwako...alafu ata ata hap wazungu wale walimpokea Yesu katikq roho na kweli, hawako ivyo unavyozani wapo, waungu waliookoka KWELI, ata nguo fupi na za ajabu hawavai so dhambi ni kitu universal kama unavyoleta ubinafsi kwamba biblia na ya watu weusi ata wao nao wapo wanaowaza hivyo...na ata ukienda Japan, wakatoriki wa kule wao wanamechora Yesu na maria wenye asili ya kijapani ata malaika wamewachora kijapani..
@gaitamaemmanuel
@gaitamaemmanuel 4 ай бұрын
VITABU VILIVYOMO KWENYE BIBLIA VINAJOTOSHELEZA VINA KILA KTU UNACHOTAKA KUFAHAMU...JICHANGANYENI ...ATA SHETANI HUJA KAMA MALAIKA WA NURU
@Tutindaga
@Tutindaga 2 ай бұрын
Nani alituambia biblia ina vitabu 66??? mbona biblia ya kikatoliki ina vitabu 72?? ni watu tu kama mimi na wewe waliamua kuweka biblia yenye vitabu 66 wakatoa vitabu vingine kwa sababu zao wenyewe na sio mpango wa Mungu! Kuna vitabu zaidi viliondolewa nadhan na waprotestant baada ya wao kujimega kutoka kwa kanisa katoliki,ukitaka kujua hilo katika biblia hii hii ya vitabu 66 kuna mahali imerejea vitabu vingine ambavyo havipo kwenye biblia ya vitabu 66 bali vinapatikana kwenye vitabu nje ya hivyo 66! namaanisha manabii wa kwenye vitabu 66 wamenukuu maandiko ya manabii ambao vitabu vyao havipo kwenye vitabu 66 ,kwahiyo ukichunguza sana utajua kuna vitabu vingi viliachwa kimakosa
@avitusrwegoshora939
@avitusrwegoshora939 5 ай бұрын
Enoko aliishi kabla ya gharika. Baada ya gharika, vitu vyote viliharibika. Akaponea chupuchupu Nuhu na familia yake. Sasa, enoko aliandikaje kitabu hiki? Na umekwishasema kimeandikwa karne ya tatu. Huoni ni stori zilizotungwa na mapokeo ya wayahudi??😮😢
@patrickyuda3906
@patrickyuda3906 5 ай бұрын
Kumbuka Henoko alikuwa nabii na nuhu ni mjukuu wake
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 51 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 25 МЛН
MFAHAMU MALAIKA WA KUKUPELEKA KWENYE MAFANIKIO YAKO // Part 01
14:11
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 24 М.
FAHAMU SIRI YA MUDA WAKO BINAFSI NA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 08/09/2024
2:19:24
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 57 М.