HII NDIYO SIRI ILIYO WAINUA YAKOBO MUSA DAUDI NA SULEMANI SEH 1

  Рет қаралды 34,524

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

3 жыл бұрын

UKIITAMBUA HII UTAONA BADILIKO KUBWA KWA KILA UNACHOFANYA.
Angalia hadi mwisho

Пікірлер: 48
@nielekezehyonimependastell3869
@nielekezehyonimependastell3869 3 жыл бұрын
Kwanza Mungu akubariki sn kwa utumishi wako kwake, ila unanifaa sn mafundisho yako nitiba kwangu,lkn pia sipendagi kufarijiwa zaidi napenda ukweli mchungu japo unauma ila nidawa.
@nurunathoo2383
@nurunathoo2383 2 ай бұрын
Kalini mungu uteuwa mtu kutoka wabaya kuwa uteule wake ajili ya jina lake au utukufu wake....damu ya tosha na utakaso pia heb 2.18 aminaa
@johnhongo649
@johnhongo649 3 жыл бұрын
Naibarikiwa na mafundisho yako ....Mungu apewe sifa...John Hongo from Nairobi Kenya
@rosepeter8996
@rosepeter8996 3 жыл бұрын
AMEN🙏AMEN🙏;..mchungaji me hubarikiwa sana na mahubiri yako.and vile unaongoza huo wimbo kuanzia mwanzo👍👍👏👏👏👏💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞super🙏.be bless always🙏na asante kwa kutuombea pia nasi tunao kufwatilia kwenye mitandao kutoka nchi mbali mbali.🙏
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@maxlove2668
@maxlove2668 3 жыл бұрын
Wonderful,God bless you Pastor
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Amen
@MR-BTHEONE
@MR-BTHEONE 29 күн бұрын
❤ubarikiw
@mandwashija4992
@mandwashija4992 3 жыл бұрын
Amina pastor, ubarikiwe kwa somo zuri.🤝🤝
@mwambazmazoyah4628
@mwambazmazoyah4628 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor
@DanielDaniel-wb7lt
@DanielDaniel-wb7lt 2 жыл бұрын
Àmina nabarikiwa
@namsifumallya2816
@namsifumallya2816 3 жыл бұрын
Ujumbe Mzito wa kueleweka, hakika unabariki mno, Mungu na aendelee kukuinua PR.
@elizabethjuma298
@elizabethjuma298 3 жыл бұрын
Ameen nimebarikiwa kwa somo nzuri
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏
@travissplatnumz
@travissplatnumz 3 жыл бұрын
Barikiwa
@davidimmael1300
@davidimmael1300 3 жыл бұрын
Amina Pr. Mungu anatupenda sana ,
@MaryWilson-vg2mm
@MaryWilson-vg2mm 3 жыл бұрын
Ameen
@m-ruagaboy4110
@m-ruagaboy4110 Жыл бұрын
Hakika mungu akubari sana Kaka🙏🙏
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 3 жыл бұрын
Amen!
@lucyjacob1293
@lucyjacob1293 Жыл бұрын
Mchungaji mbona sielewi kudanilodi Tena basi sisi ambao vocha tu
@doriskyaruzi7509
@doriskyaruzi7509 3 жыл бұрын
Pastor sema tupone
@zachariahonga
@zachariahonga 3 жыл бұрын
Nimeitafuta hiyo chapter ya 'heredity and environment' ila sijaiona
@ntiliyothomas5146
@ntiliyothomas5146 3 жыл бұрын
Balikiwa
@anoldkevin6319
@anoldkevin6319 3 жыл бұрын
Ni mgeni lakini nahisi uwepo wa Roho mtakatifu. Hili kanisa iko Tanzania???
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Ubarikiwe. Lipo nchi nzima
@anoldkevin6319
@anoldkevin6319 3 жыл бұрын
Ndio najua, hapa Kenya mko wapi?
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Niambie uko sehemu gani nikulekeze kanisa la karibu na wewe
@anoldkevin6319
@anoldkevin6319 3 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga ni kama hunielewiiii!!!
@simonogaro6990
@simonogaro6990 3 жыл бұрын
Tafuta kanisa lolote la wa adventista wa sabato
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 3 жыл бұрын
Pr,kabla ya Mungu kuwaumba wanadam hakujua kuwa wangekuwa hatari?
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Alijua,ndio sababu Ukombozi uliandaliwa kabla dunia haijaumbwa. Ufunuo wa Yohana 13:8 Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
@antipascann2797
@antipascann2797 3 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga kwahiyo tuseme kama jina langu halikuandikwa tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia na nikaamini kupitia yesu naweza kuokolewa bado imani yangu itakuwa ya buree??
@barakabenjamin4468
@barakabenjamin4468 3 жыл бұрын
@@antipascann2797 @Antipas Clement kama jina lako halikuandikwa toka kuumbwa kwa ulimwengu, usingekuepo mpaka sasa, Ila ishu ya kuokolewa , haijalishi ni dhehebu gani ila kanuni ni moja tu, Yohana 3:16 ( 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. 17 Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye. 18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.) Ndio maana kuna mwizi pale msalabani aliokolewa kwa kuamini tu (luka 23:39_43)
@antipascann2797
@antipascann2797 3 жыл бұрын
@@barakabenjamin4468 je wale ambao bado wanaishi na hawamwamini yesu wataokolewa vipi?
@barakabenjamin4468
@barakabenjamin4468 3 жыл бұрын
@@antipascann2797 @Antipas Clement yasio wezekana kwa wanadamu, kwa Mungu yanawezekana, ikiwemo na hilo, cha msingi we shika kile unacho amini, maana hata Yesu alisema kua ana mengi ya kusema ila mda bado (naamin hata hilo ni moja wapo)
@yonakulwajoseph70
@yonakulwajoseph70 3 жыл бұрын
Amen
@sporakiondo5807
@sporakiondo5807 3 жыл бұрын
Ameen
@ritayalala6994
@ritayalala6994 3 жыл бұрын
Amen
HII NDIYO SIRI ILIYO WAINUA YAKOBO MUSA DAUDI NA SULEMANI SEH 2
30:06
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 1,5 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 188 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
BADO LIPO TUMAINI KWA FAMILIA YAKO- PR. DAVID MMBGA
51:30
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 2,8 М.
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 3,3 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE : MAOMBI ENDELEVU UFUNGUA MALANGO YA FURSA KWA MUOMBAJI.
1:21:14
SIKIA MIJITU ILIYOTEMBEA NA UPAKO, REV:MOSES MAGEMBE
31:10
UFUNGUO WA KUFUNGUA MAMBO MAGUMU (OFFICIAL VIDEO)
52:11
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 75 М.
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 53 М.
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН