Ndugu yangu David kuna kitu niliwai kugundua sijui kama wasikilizaji wako au wewe mwenyewe umewai kujua yaani kila usimamapo mbele ya watu kufudisha siwewe uwa unaongea ila roho wa mungu aliye ndani yako.hili linanifanya nakusikiliza kwa makini tena zaidi.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa hilo
@cliffrmmbaga91572 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga AMEN! AMEN! AMEN...
@Sira_vibes2 жыл бұрын
Amina 🙏
@EasterEmanuel-wh9dz Жыл бұрын
AMINA
@tumaininestory4037 Жыл бұрын
Aminaa
@EleenLihavi9 ай бұрын
Mm kwa familia ndiye nitakae ibuka na baraka
@Mapenzi26352 ай бұрын
Hili somo nimelisikiliza zaidi ya mara tano. Mungu akutunze ,Mch .Mmbaga
@LilianNkya-t9y11 ай бұрын
Mungu azidishe maneno yake kinywani mwako tupate kukua na kuongezeka kiroho.Mungu akutunze
@AbellyPhilemon-k4i20 сағат бұрын
Amina mtumishi nimebalikiwa na somo lako naomba mingubakuponye na aniponye pia magonjwa yanayo niandama
@JohnMkanza11 ай бұрын
Jofrey msengi anateswa na nguvu za giza,naomba apate uponyaji kwa jina la YesuKristo,kupitia wewe pastor.imani yangu itamponya aliko huko.,mungu wangu nisaidie.
@DieumeLapulga2 ай бұрын
No one brings me UP when i'm feeling down like Pastor mbaga.god bless u .
@Godforever-f2z Жыл бұрын
Na itwa Mathias. Mchungaji mimi huwa nasikiliza mafundishoyako , kunamambo ambayo yananijega Mungu akubariki.
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu akubariki
@annajohn20772 жыл бұрын
Barikiwa sanaaaaa mtumishi wa MUNGU YESU azidi kukutumia kuongoa roho 🙏
@janekuriain5802 жыл бұрын
Amen..kweli ni Mungu Mimi kwanza nabarikiwa sana na mahubiri Yako umenisaidia pakubwa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Amen
@batagyakikayaga76652 жыл бұрын
Mungu anisaidiye nikutane na Yesu katika uthaifu wangu wa imani.
@saumukarisa98732 жыл бұрын
Asante pastor David mbaga umenifanya nmepata nguvu mpya kuendelea kii Imani... from Kenya
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Amen
@haddasahestara75432 жыл бұрын
Pastor, Mungu akubariki Sana Sana kwa somo hili. Jana tulipoomba, niliweka Nia thabiti. Leo nimeamka nikiwa mtu mpya kabisa kimwili kiroho na kiafya. Ninamshukuru Sana MUNGU kwa ajili yako. Mungu aendelee kukubariki nasi tupokee yale akufunuliayo kwa UTUKUFU wa jina lake. Amen 🙏.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@priscajasper37812 жыл бұрын
Ameeeen
@monicahkamau95507 ай бұрын
Amen mungu atukuzwe
@ElvinaLuvuno-d7u Жыл бұрын
Asante pastor neno hili limenipa hatua nalimenifundisha Sana sitateseka tena maana Christo nivyote Imani ndio funguo neno limenfunza kabisa ubarikiwe Sana Na Mungu akupe Maisha marefu uzidi kuhubiria watu, wengi ❤
@SarahSamatwa8 ай бұрын
Sina meno zuri la kusema.bali naomba Mwenyezi Mungu azidi sana kukutunza.unatuokoa.jina la Bwana lihimidiwe.
@edouardnsenga67932 жыл бұрын
Asante pasta ninapata nguvu mipango yangu inapata jibu kwasababu naamini hiyo.from D.R.C.LUBUMBASHI.Mungu akubariki
Hello Pastor...am jonah waweru from Kenya nafuatilia sana sermons zako na kwa kweli nmebalikiwa...nlikuwa najiona mdhambi sana mpaka nkishindwa kuomba...but umenifunza kwamba mungu anachukia dhambi lakini unatupenda zaidi....I thank God sasa nawexa kuomba na magumu yote yenye nlikuwa napitia amenionyesha njia ....sasa imani yangu iko imara....naomba uniombee mungu aanisaindie nisirudi kwa dhambi tena....ubarikiwe zaidi pastor....glory be to God.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Mungu atukuzwe saana kwa ushuhuda huu
@blessedtumaini516 Жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo naomba unipe nia thabiti na neema, neema ya kutosha kupenya na kukufikia Wewe katika jina la Yesu Kristo Amina na Amina Haleluya.
@dorcusamisi2926 Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah AMEN Utukuvu kwa YESU KRISTO USIFIWE MILELE YESU
@merryjohn9391 Жыл бұрын
Pastor nakushuku sana somo rako limenigusa sana tena sana upande wakusamehe mzazi utazani unanifaham mpaka nimedondosha chozi Mungu aendelee kukupaka mafuta
@joviethikokugonza2793 Жыл бұрын
Amina mtumishi nimebarkiwa sana Kila nilipotaka kwende mbele za Mungu sheteni ananiletea orodha ya dhambi zangu zote mpaka nashindwa kuomba ila kuanzia Leo ntakuwa na ujasili mbele za Mungu
@RezaSuplies4 ай бұрын
Mwenyezi mungu endelea kututunzia mtumishi huyu,maana kila nimsikilizapo,hunibariki sana mie,maana maisha yetu,tumezungukwa na changamoto nyingi sanaa,huyu mtumishi nikimsikiliza,huwa ananiponya roho na mwili,ubarikiwe sana mchngji.
@Leonkl-c5p2 ай бұрын
Amen Pasteur sina mingii ya kusema niko mu RDC butembo na itwa kavugho Nzoli Léonce usinisahau katika maombi
@JonasMupira18 күн бұрын
Ubarikiwe pastor mbaga❤
@IsaacZalabana Жыл бұрын
nimepata badiliko ndani yomo mungu awepamoja nasi
@lidyapendomollel14392 жыл бұрын
PR .Mungu akusaidie sana.Usiache kunena...unatugusa,unaimarisha Imani yangu,unanifanya no pate nguvu mpya Tena ya kusonga MBELE keep roho.Mungu akupe haja za moyo WAKO.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Amen
@kilungumsabaha38912 жыл бұрын
Nimebarikiwa sanaa na Neno la leo ninakupata mubashara kutoka Muscat Oman Mwenyezi Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Asante kwa Mahubiri mazuri
@joelfrancis21812 жыл бұрын
Nimebarikiwa
@ShuloLutamba5 ай бұрын
wa chungaji Mungu wetu awa bariki sana na awa linde na aendeleye kuwapa nguvu ya ku tupatiya nguvu ya ku tegemeya Meenyezi Mungu❤🙏
@LiljozynagTy4 ай бұрын
Mungu akubarikii pastor mafundisho yako yana uponyajii
@victorjohn86712 жыл бұрын
Pastor nabarikiwa sana na haya mahubiri,yamenipa ujasiri mkubwa sana ktk imani,ubarkiwe mtumishi wa mungu
@miriammenyo68752 жыл бұрын
Amen
@RachealMndambi-kv9sd Жыл бұрын
Lov u Pr.Mungu amekutuma kututia moyo na kuinua kiwango chetu cha Imani.BARIKIWA
@emilynekesa14752 жыл бұрын
Pastor!lazima nipenye nifikie ushindi wangu.Pass I like your massage from God.Ryiadhi Saudi
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Amen
@LightnessLightsndowo4 ай бұрын
Mtumishi nabarikiwa sana ninaposikiliza mafundisho MUNGU akubariki ningependa kusjiriki ibada zako mm nipo morogoro
@zipporahnyabira20425 ай бұрын
Ninabarikiwa sana pastor Mbaga na somo hilo
@AsukenyeMwasibata3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumish kwa fundisho zuri
@PeterCharles-yc7tn6 ай бұрын
Ndio mchungaji nimepewa nguvu mpya sana kutoka kwako mim nimama mtilie nilikua napika chakula siuz lakin siku hizi mungu amefunga milango na madirisha mpaka nashangaa
@EvansMoozong9 ай бұрын
Àm really blessed by your teachings pastor
@mtallmedia74992 жыл бұрын
Nashukuru sana pastor I'm always motivated by your sermons Remember me in prayers I'm yearning to be spiritually stable bt bado....pray for me
@alexdominick35412 жыл бұрын
Namushukuru Sana Mungu kwa ujumbe wako mtumishi wa Mungu nimefunguliwa bwana azidi kukutumia.
@godfreymsyomi42892 жыл бұрын
Hakika mchangaji mwenyez Mungu amekufanya uwe baraka kwetu ili tufunguliwe
@slamafamily5720 Жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana pastor nabarikiwa sana
@constancenimbona75502 жыл бұрын
Kuna kitu nimegunduwa na sema Asante mtumishi wamungu
@JOHNKKULULINDA-pc6gy Жыл бұрын
UNA ROHO FAFANUZI, LAKINI ZAIDI YA NI KUELIMISHA !!! AMEN. ROHO TAMBUZI I NAWE.
@NapendaKakore-gg3no Жыл бұрын
PR Mungu akubariki mafundisho yako yananipa ujasir nataman wakati wa maombi nami niwepokama kuna uwezo 🙏🙏🙏🙏
@johnsonmisheto9422 Жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji nimeguswa na somo
@aldrichtiengo18145 ай бұрын
Amen Glory to the most high
@mwendakalunyu39332 жыл бұрын
Nimekusikia Na nikafutia njia za kwako kwa kweli biashara SAA hii nimeanza kuona inanieendea vizuri kwa kweli mungu in wa ajabu
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Amen
@enockmwinuka98372 жыл бұрын
Mungu ashukuriwe kwa mafunuo ya utukufu wa Jina kāke na ukombozi wake kwetu ktk KRISTO Yesu.
@zeliageorge33112 жыл бұрын
Pastor kwa jinsi ulivyokubali kuwa wakala wa Kristo ktk kufufua mioyo iliyozimia, Hakika Mungu akukumbuke ktk uzima wa milele naamini umeandaliwa taji nyingi, Mungu wetu akupe ushindi mkuu.
@sifaeljoseph32482 жыл бұрын
Amina napokea uponyaji kutoka kwa Yesu.
@lucydamas47122 жыл бұрын
Pr katika wenye dhambi ndimi mkuu wao naomba uniombee nipate kufunguliwa tumbo na kuzaa Naamini katika nguvu za Yesu.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Mungu akutendee muujiza
@SalumMaduhu-v9h Жыл бұрын
Asante sana Leo nimefunguliwa naomba mungu anisaidie kuliishi meno ubarikiwe kionhoz
@tilaboymatata3411 Жыл бұрын
Hongera mtumishi ubarikiwe
@betrs5285 Жыл бұрын
Amen Yesu nisaidie siwezi bila ww
@mshigilakarume44252 жыл бұрын
Historia ni ndefu siwez elezea kila ktu ila kw ufupi kila ninapokutana na changamoto za maisha masomo yako hunisahihisha mara kwa mara. USHAURI WANGU Madaktari wa akiri,lishe na walimu wa elimu ya kiroho wanahitajika kwa haraka sana katika kizazi hiki cha kuangamia kwa kukosa MAARIFA
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Kweli
@Geoffrey_sabato Жыл бұрын
1 year ila ujembe ni wa leo🙌
@optimumtv82982 жыл бұрын
ASANTE mtumishi umenisaidia.
@elizaphankamando18362 жыл бұрын
Ubarikiwe san, na atukuzwe Mungu anaekutumia wew hutulisha neno lake, Amina
@NatukundaLiliane Жыл бұрын
Mungu akupe maisha makefu from uganda
@mangawas57232 жыл бұрын
Nina mushukuru sana Bwana yesu nilifunguliwa na yesu kupitia mutumishi wake Pastor David Mubaga Mungu akubariki sana na akuwezeche sana ninakuombeya mutumishi .
@MercyKinya-c5r4 ай бұрын
Mungu akubaliki
@pendomartin18092 жыл бұрын
Amina mafundisho Yako yamenijenga kiimani barikiwa sana
@kissanselu85692 жыл бұрын
Asante yesu kwa hubiri zuri nimebalikiwa Mungu atusaidie kiburi
@nellyrebiam30952 жыл бұрын
Huwa namfwatilia Sana huyu mtu wa Mungu.Mungu akubariki
@HolloKibishi-nt5ui10 ай бұрын
I will come and testify that I am healed this Saturday my faith says so
@bernadethafrancis14982 жыл бұрын
Napenda sana mahubili yako mchungaji yananitia nguvu sana natamani siku moja uje kwenye makambi ya huku kwetu naamini utaongoa roho nyingi,Mungu akubariki sana mchungaji ww na familia yako.Amen
@leticiabaziwani52342 жыл бұрын
Mchungaji ninapokusikiliza hasa somo lililokuwa linasema vizuizi vikubwa vya baraka nilijihisi sifai naomba uniombe nipate hekima natamani kuongea nawe inbox ili unipe ushauri wa mambo fulani.
@MusomaTz7 ай бұрын
Nabarikiwa sana,Bwana akibariki zaidi ili tubarikiwe zaidi.
@baluhyaandrew15642 жыл бұрын
Mapito yetu mazito,magumu na ya kutisha hayana nguvu iwapo neema ya Mungu tutaitegemea kwa Imani bila MASHAKA.
@salumuomari4403 Жыл бұрын
Pr. Nabarikiwa sana pia ninashida naitaji maombi pamoja na family yangu
@Joycependopendo-dv2tb Жыл бұрын
Amen kwa mafundisho mazuri
@sifaeljoseph32482 жыл бұрын
Kwenye maombi naomba tusaidie kwa maombi mtumishi wa Mungu amfungue macho baba yangu akaweze kuona tena. Mn akiombew anaona alafu hali yakutokuona inarudi tena. Ametumia dawa sana no improvement.Ubarikiw kwa utume wako. Turiani morogoro ninakupata vyema.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Mungu atende muujiza
@pendosengerema Жыл бұрын
Asante sana pastor mmbaga mungu akubariki sana
@beatricemarwa67312 жыл бұрын
Asante Mungu kwa Neno holi nimepona maumivu yaliyokuwa yananisumbua. Asante Pokea shukurani yangu hii ndogo kama shukurani yangu kwa uponyaji huu
@kambiremsy53272 жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana nasomo hili zuri mtu wa mungu,
@sifaeljoseph32482 жыл бұрын
Mungu akubariki Mchungaji ninabarikiw na mafundisho yako.
@lilianmugyabuso89082 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi wa Mungu
@officialgabriel75352 жыл бұрын
Amen and Amen,,napokea neema ya kuenda Japan,,
@jamesjefwa4462Ай бұрын
Niombee tumushi BWANA
@pendaelizakayo2385 Жыл бұрын
Nataka niwe na levu ya just sana
@MathewBayyo10 ай бұрын
Naomba pastor maombezi
@brahelmakalla97602 жыл бұрын
Barikiwa sana pasta mungu akuongoze kila jambo, nimebarikiwa sana🙏
@evansmaranga66322 жыл бұрын
Thanks pastor, remember me in prayer on my spiritual journey and life debt difficulties. May God bless you continually to touch more souls for God.
@joycemashikolo90962 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀ila David akiri yako unaijua mwenywe hapo kwenye nywele za mzungu umeniua mbavu mimi
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
😂
@MiriamBeja-d1l Жыл бұрын
mchungaji mm naomba unisaidie na maombi
@saramss72622 жыл бұрын
Barikiwaa SANA mtumishii Bwana akuinuwe Akupiganiye SANA
@estherjonas8466 Жыл бұрын
Mungu ukatuponye mimi na Mume wangu.
@nyangoma7752 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi
@liberataelisha97862 жыл бұрын
Asante endelea kubarikiwa mungu akutumie kadiri apendavyo.....nimepata kitu kipya nguvu ya kushuhudia
@cristinekenya10502 жыл бұрын
Barikiwa pastor, nmetambua magumu ninayoyapitia Yana faida kubwa kwangu
@listonekipkemoi12212 жыл бұрын
God bless you David,I really blessed with your preaching.
@saumukarisa98732 жыл бұрын
Asante sana pastor mungu akubariki kwa hili neno
@amosikalebu69782 жыл бұрын
Amen,,, nami naona muujizaa mkubwaaa pastor hakika Mungu ni mkuuu
@ccbajaspara21742 жыл бұрын
Amina brother mbaga YESU asifiwe
@telesphoryphocusy30322 жыл бұрын
Amen nashukuru mtumishi kwa maombi yako
@bonimasero6495 ай бұрын
Mbaga nikiangali masoma yako ssnzi nabarikiwa
@macklinakabyazi30362 жыл бұрын
Ahante mtumishi kwa kutulisha neno la Mungu
@innocomtv51152 жыл бұрын
Asante sana kabisa Tangu nikufwate hapa nabarikiwa sana
@josephsosythenes60292 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako ubarikiwe sana
@destinyfamilymelodiesdfm40032 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi 👌
@leticiabaziwani52342 жыл бұрын
Leticia baziwani; Pr ninabarikiwa maana umenifundisha mambo mengi ambayo natamani niyatende maishani MUNGU akubariki sana naomba uniombe niwe mtu wa kunyenyekea na kuwa na hekima katika ndoa yangu haiko salama
@hawamusumba4312 жыл бұрын
Tangu ni tambua kuwa naweza jiombea and prophesy to my life and my family nilikataa maombe eti God sent me my destiny helper l want to be a destiny to someone mapenzi ya Mungu yatimia