HII NI DUA YA KUFUNGUA RIZIKI | UNADENI NJAA DHIKI FUATA UTARATIBU HUU UTAFANIKIWA %100 | SH YUSUPH

  Рет қаралды 47,316

Brad G.

Brad G.

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@AzirajMgweno
@AzirajMgweno Жыл бұрын
Mungu nikumbuke nami nizione riziki zangu zilizo fungiwa zifunguke zilizozuiwa. Ziachiwe .yaallah wew ndiyo mtoaji fungulangu lije kwa idhini allah
@SwalehejumaGakare
@SwalehejumaGakare 2 ай бұрын
Kupitia dua hii naomba biidhin laah mwenyezimungu akanifungulie riziki wagonjwa wapatie shifaa na akila ngumu akapate wepesi inshallah
@KibibiRajabuu
@KibibiRajabuu Жыл бұрын
Allah nijaalie subra katk maisha yangu nijalie mwema nifungulie kila fungo ktk mwili nijaalie kila hitaj lamoy Wang naunikumbush kila jem husd zikae mbl nam yaaarab😭😭
@SwideishasaniBei
@SwideishasaniBei 10 ай бұрын
Mungu naomba mponye mwanagu kila kinacho msumbuwa kwenye mwili wakekifunguke emungu msaidi mwanangu kila kinacho msumbuwa kwenye mwili wake kitoke emungu mfanyie awanakili shuleni mungu msaid
@pilikipengele963
@pilikipengele963 11 ай бұрын
Amin Allah atufungulie biashara zetu ziwe zenye mafanikio makubwa madeni yaliyo mbele yetu tukayamalize Kwa wepesi. Allah atufungulie yaliyo na kheri kwetu na vizazi vyetu. Na wasoma Dua Allah awalipe Kila la kheri mashekhe.
@SophiaSalum-tq5re
@SophiaSalum-tq5re 6 ай бұрын
Mungu nifungulie rizik zang zilipofungwa nipate mume mwema Pia nipate kipato niweze kujenga nyumba pamoja na msikit🤲🤲
@sabrinaomaryvinne4224
@sabrinaomaryvinne4224 Ай бұрын
Yallab kupitia hii duar ninayo iyomba usiku huuu 😭nakuomba yallab utakabar duar kama kuna vifungo uvifungue katika mwili wangu 🤲kama kuna uchawi uondoshe katika mwili wangu🤲kama husda za waja ziondoshe katika mwili wangu🤲ufungue riziki zangu na biashara zangu allah takabar duar🤲😭
@fadhilieshaismail9923
@fadhilieshaismail9923 Ай бұрын
Ya Allah kwa sahizi na asubui tufungulie rizki za kheri na utulipie madeni yetu na utustiri aibu zetu jamii islaim
@adinanimussatz
@adinanimussatz 11 ай бұрын
Allahumma Amin🙏🙏
@FaridaAman-yz9qd
@FaridaAman-yz9qd 7 ай бұрын
Mungu naomba unifungulie lizki m pamoja namume wangu kaama kuna kifungo chochote bas naomba Kwa izin yako inshallah vinaenda kufunguliwa kuanzia sasa
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed Жыл бұрын
Alhamndulillah Naomba Allah Akuongoze ufanikiwe zaidi.Amiina.
@ashurahamisi9745
@ashurahamisi9745 Жыл бұрын
Mungu tufungulie rizik tutimz mleng yetu yarrqb nipe nguvu niondolee maradh mikosi nuksi mpe mam umri mref na kizaz changu chote tupe amin yaarrb alaamin inshaallahh
@BakariMussa-to2me
@BakariMussa-to2me 5 ай бұрын
Ya Allah nifungulie rizki zangu kwa dua hi inshaallah
@FaidhaMsham
@FaidhaMsham 5 ай бұрын
Aslam aleiqm bismilah Allah nipe Iman iliyo j liwa n we Iman yangu ikzd kukuamn 🙏wewe peke yalab jaalia rizk zangu ukazifungue nikapokee miujizayako ya maulan🤲 nikafungukane navifungo visivyo nahizin zako Allah 🙏ukanifanyie shufaa pia ikawe gheli ishallah bismilah ukamjalie mama angu mbele ya haq ukanifanyie shufaa umpe kauli thabit ukamsameh aliyo kusudia nahakukusidua ukamfanyie wepes inshallah🙏 jaalia familia yangu kiujumla na lizk za mikono yet ukatp lizk zenye hak Bila zurma yallab takabali duaa🤲 Allahhuma taufiq Aslam aleiqm
@HappynessFrank-l4z
@HappynessFrank-l4z Жыл бұрын
Alhamdullah napokea mafanikio riziki yangu iwe kubwa
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 6 ай бұрын
Ishaallah Allah awafungulie na nyie rizki na sisi pia😊😊 nawapenda kwa akili ya Allah 💖 💓 😘
@SmilingArmadillo-hy6xw
@SmilingArmadillo-hy6xw 4 ай бұрын
Kupitia dua hii naomba biidhin laah mwenyezimungu akanifungulie riziki , wagonjwa awapatie Shifaa, na kila mwenye gumu akapate wepesi IN SHA ALLAH
@thomassamwel4953
@thomassamwel4953 4 ай бұрын
Mungu anijaalie rizki ziongezeke ili nioe
@DanielaYazidi
@DanielaYazidi Ай бұрын
Ee Mungu wangu nakuomba nifungurie ridhiki zangu na kuniepusha na Malazi ya dunia
@SwideishasaniBei
@SwideishasaniBei 10 ай бұрын
Mungu naomba kilacho fungwa kwenye mwili wangu naomba niwemsafi
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 2 жыл бұрын
Mashallah Allah atujaalie ridhiki na kipato 🙏 amiin
@ZamdaJuma-oy9wg
@ZamdaJuma-oy9wg 11 ай бұрын
Amiin
@KenzoAlways-ey3sb
@KenzoAlways-ey3sb 5 ай бұрын
Amina inshallah ya raby🙏🙏🙏🙏🙏
@DhanuraJuma
@DhanuraJuma Жыл бұрын
Yarabi nirudhuku kila jema
@TamariBaby-cw2xw
@TamariBaby-cw2xw Жыл бұрын
Ya Allah tunakuomba utufingulie mambo yetu yote hakika wew Hakuna kinachoshindikana camiin
@NashaMwanasha
@NashaMwanasha 11 ай бұрын
Amin yarabbi🤲
@tatusaid3934
@tatusaid3934 Жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲 mwenyezi nijalie kupata pesa nilipie mtoto wangu madeni yawatu naomba kwako mungu wangu niurumie 😭😭😭🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@mariamuimamu4203
@mariamuimamu4203 Жыл бұрын
Aamin thumma aamin
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 жыл бұрын
Mashaa Allah Tabaraka Allah Allah atakabali Dua zenu kwetu sote
@irenejohn9704
@irenejohn9704 Жыл бұрын
Amin yarab🤲🤲🤲🤲🤲🙏
@liliannaseriannaserian4850
@liliannaseriannaserian4850 Жыл бұрын
Mungu nijali nipate riziki
@nooornoor120
@nooornoor120 8 ай бұрын
Amiin yaallah
@FitinaChukizo-bf5du
@FitinaChukizo-bf5du Жыл бұрын
Maanshaallah Best Dua.
@YussufYussufhussein-sb5xs
@YussufYussufhussein-sb5xs Жыл бұрын
Mungu mjalie mume wangu alipwe madeni yake
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 жыл бұрын
mashaAllah mungu atupe afya jamii
@mwanaathumani9594
@mwanaathumani9594 Жыл бұрын
Ammin yarabllalamin yarab🤲
@AbubakalFahad-oe1vp
@AbubakalFahad-oe1vp Жыл бұрын
Allah akbr🙏
@othmanchande572
@othmanchande572 Жыл бұрын
Amen
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
MashaAllah Allahu Akbaru 🙏
@houseofbeatytv9682
@houseofbeatytv9682 Жыл бұрын
Ameen
@mrskwameog9940
@mrskwameog9940 Жыл бұрын
Amiina
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 2 жыл бұрын
Ameen thumaa amiiin 🙏🤲
@kolawoleolamide2304
@kolawoleolamide2304 2 күн бұрын
Yarabi naomba unipe ridk
@ShufaaAbedi
@ShufaaAbedi 7 ай бұрын
Inshallah
@hassanhassanmwagoyo6082
@hassanhassanmwagoyo6082 2 жыл бұрын
Allahumma ameen
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Maashaallah maashaallah
@CelestinMunga-bc9hn
@CelestinMunga-bc9hn Жыл бұрын
Amiin
@rukiaramadhan8680
@rukiaramadhan8680 Жыл бұрын
Ameen thuma Ameen
@aminathabagome4827
@aminathabagome4827 Жыл бұрын
🤲🤲🤲Ammeen yarabbi
@ruhizakitaringo1200
@ruhizakitaringo1200 2 жыл бұрын
MashaAllah
@munajomar3218
@munajomar3218 2 жыл бұрын
Amin
@aminaabdallah5235
@aminaabdallah5235 2 жыл бұрын
Inshallah kwetu sote
@MariamHaroon-pu3lx
@MariamHaroon-pu3lx 21 күн бұрын
🤲😍🤲😍🤲🙏🙏🙏🤲🤲🤲
@vyakwetutv
@vyakwetutv Жыл бұрын
AMIIN
@davidcreative1756
@davidcreative1756 2 жыл бұрын
AsWWW.nasubili kwa hamu
@ZoroSharifu
@ZoroSharifu 7 ай бұрын
Naamu
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 жыл бұрын
🙏🙏
@alimzee
@alimzee 2 жыл бұрын
Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@YussufYussufhussein-sb5xs
@YussufYussufhussein-sb5xs Жыл бұрын
Amii
@FaidhaMsham
@FaidhaMsham 5 ай бұрын
Tfanyie shufaaa ewempole mtenda haki
@SalimuHuseni
@SalimuHuseni Жыл бұрын
Sasw
@Reehma
@Reehma 6 ай бұрын
𝙖𝙢𝙚𝙮𝙣
@FaridaAman-yz9qd
@FaridaAman-yz9qd 7 ай бұрын
Mungu naomba unifungulie lizki m pamoja namume wangu kaama kuna kifungo chochote bas naomba Kwa izin yako inshallah vinaenda kufunguliwa kuanzia sasa
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 5 ай бұрын
Amin
@NuruAlly-z6v
@NuruAlly-z6v 28 күн бұрын
Amiin inshallah
@DanielaYazidi
@DanielaYazidi Ай бұрын
Amen
@mummilki8606
@mummilki8606 Жыл бұрын
Ameen
@faridakanda-ct8uo
@faridakanda-ct8uo 10 ай бұрын
Mashaallah
@SaumuSaumuchizzy
@SaumuSaumuchizzy Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@FaidhaMsham
@FaidhaMsham 5 ай бұрын
Tfanyie shufaaa ewempole mtenda haki
@ZainaAlly-e3w
@ZainaAlly-e3w 2 ай бұрын
Amin
@ZainaAlly-e3w
@ZainaAlly-e3w 2 ай бұрын
Mashaallah
@fatmakahabi7980
@fatmakahabi7980 10 ай бұрын
Ameen
40 RABBANA - POWERFUL DUAS FROM THE QURAN - أدعية من القرآن
1:08:23
Omar Hisham Al Arabi
Рет қаралды 11 МЛН
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Mponda Media
Рет қаралды 591 М.
HII NDIYO DUA YA KUONDOSHA MARADHI YOTE SUGU MWILINI
14:36
Kishki Online TV
Рет қаралды 78 М.
Emotional Dua Qunut by Sheikh Jebril
34:57
Abu Hamzah
Рет қаралды 17 МЛН
RUQYAH FOR RIZQ, MONEY AND WEALTH ATTRACTION/ SURAH AL WAQIAH X7 FOR MONEY AND WEALTH ATTRACTION
1:19:44
DAILY SURAH يومياً سورة
Рет қаралды 1,2 МЛН
Dua Ya Rizki. Kufanya Mamboyako Kua Mepesi - Ahbabul Qur'an Bububu Zanzibar
17:52
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 189 М.
Dua nzuri ya Asubuhi-isikilize kila Asubuhi
8:35
Amir Dani
Рет қаралды 461 М.