Shukran sana shekh aya izi nazifaham kupita ktk kitabu cha faraja ya mama mjamzito zipo aya izi uwa napenda kuzisoma shukran kwa ilmu hii .Allah atutatulie shida zetu kupitia dua hii ishaallah
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Aaamin, Shukran Sheikh kwa kutuzindua na kutukumbusha maana Zama zetu hizi wamejaa Masharifu(Masharifu wa uwongo/fakes) na Waganga kupitia nembo ya Uislamu lakini wanafanya Shirki na Kufuru kubwa! Utasikia wanatibu kwa Qur'an na Sunna, Majini na Pete za bahari na Mali (Utajiri) lakini ni matapeli wakubwa! InshaAllah Allah atujaalie mwisho mwema.
@sulemohd48123 жыл бұрын
Shukran
@sulemohd48123 жыл бұрын
Rabbi inni massani yadhur wa anta arham rahiymin
@mody-guyngido2792 Жыл бұрын
Rabbi Inni Masaniyya dhuru wa Anta Arhaman Rahimi.
@OmAn-cz8kt25 күн бұрын
Allah kakuzidshie ishalla
@mohamedsaidmasud43433 жыл бұрын
Shukran shekh kishk kwa khutba yko nzur tutaichkua na kuifanyia kz isha allah
@user-hj5nt3si4p28 күн бұрын
Amiiin yaa rabbie allaah atupe shifaa inshllaah
@rahmaally51283 жыл бұрын
Masha Allah huwezi choka kusikiza mawaidha yako yenye kuleta na kujaza iman nyoyoni, Allah akujaze kheri na barka we na masheikh wote
Shukran sana shekhe wetu Allah akufanyie wepes dunia mpaka kesho Akkera
@mahadimatsawily58093 жыл бұрын
Jazaakallah khair. Allah Akulipe kila la kheri
@Zinnah-pt8nwАй бұрын
Alhuma amin kwa ngu mm nimeweza kugusikiriza nikiwa saudia nikiw na sumburia nakwicho na amini kwaizini ya allah kitaisha inshaallah nitazid kuyisoma nimeyitekereza
@user-pz5xi9hf6k5 ай бұрын
Baarakallahulak ,sheikh wetu Allah akupe maisha malefu .
@sulemohd48123 жыл бұрын
Kwakweli m mungu ananipenda nimepata kitu kikubwa leo ktk maishayangu ambacho umetowa km swadaka shekh wetu naamini inshallah allah anitatulie mitihni yotenilionayo ktk maishayngu nafamilia yngu .shukran shekh nurdini nakupenda kwaajiliya allah
@mazembemaquinas3 ай бұрын
Âmin ya ALLAH
@bellbell92943 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu jazaka Allahu kheri
@user-zu9fv1zq2j8 ай бұрын
Mashaallah shekh wetu nimejifunza dua
@abuushaban34663 жыл бұрын
Masha Allah Allah atupe taofiki yakumuelekey yey kwalila jambo amin
١- ربي اني مسنيضر وانت ارحم راحمين. ٢- لا اله الله أنت سبحانك اني كنت منضالمين. ٣- اللهم اني اعذبك من البرس واخذام والجنون ومن ييءلأسكام.
@saay42733 жыл бұрын
Shukuran sana shekhe
@abouhamidu96233 жыл бұрын
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar hakika akuna linalo shindikana kwakwe inshallah imani yangu unaniambia wanllwah unapona na unapona kweli Shukran maalim wetu kwa UKUMBUSHO
@user-rt5vq5vc3k7 ай бұрын
Subuhanallha
@shabankayumbo19333 жыл бұрын
Allah akbar.shekhe shukran sana nakupenda kwaajili ya Allah.Allah atupe mwisho mwema.
@abdulrazakjuma13983 жыл бұрын
Shukuraniii
@osamashakeeb71943 жыл бұрын
Amiin yaa rabby 🤲
@beera.g53023 жыл бұрын
Takbriii!!!? Allahu Akbar """"
@joshuaking58839 ай бұрын
Asate shekhi sana kwaduwa zur
@mwajumaabeidy81373 жыл бұрын
Allahu Aqbar,Yaa Allah taqabal duaa zetu Yaarab 🤲
@RukiaJuma-fv3du7 ай бұрын
Assalam aleykum shekh,kazi ya uchoraji piko ni Haram au nihalal