“Hii sio sawa, Serikali mmetusaliti” -Nape Nnauye

  Рет қаралды 42,667

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@jemedalibasama5000
@jemedalibasama5000 6 жыл бұрын
Asante broo kwa kuikumbusha serikali tawala wanajisahau
@johnfaceluhigilo7129
@johnfaceluhigilo7129 2 жыл бұрын
Angekuwa waziri acngeongea hayo
@nicolausekama5976
@nicolausekama5976 5 жыл бұрын
Hongera nape kwa kusema ukweli,lakini sifa za kpekee zimwendee God bless lema kwa kuliona mapema na akaitahadharisha serikali bungeni Nov 2018.Lakini Kiti cha speaker wala waziri mwenye dhamana walipuuza na hawamkushauri Raising vizuri.Waziri mkuu alijitahidi kutafuta wanunuzi ,kilichotokea wote tunajua.Kilio cha wakulima wa korosho malipo yake yapo kila mmoja kwa nafasi yake alivyoshiriki au kusababisha kuumia.
@victormollel3246
@victormollel3246 6 жыл бұрын
Bora umengea wew nape wangeongea wapinzan wangeambiwa wachochez wanapotosha uma,
@longininovatus7083
@longininovatus7083 5 жыл бұрын
Aise ni mwakilishi makini mh. Nape
@chuku3011
@chuku3011 6 жыл бұрын
Bunge live mzee ulipeleka hoja binafsi..!!!
@erickchande2544
@erickchande2544 5 жыл бұрын
Ukweli unaumiza sana
@shubimukurasi
@shubimukurasi 6 жыл бұрын
Oil and Gas. Las kweli haya ya kuanza vitu kwa gharama kubwa na kuachia katikati ni hasara kubwa mno kwa taifa! Kila anaekuja akija na dili yake hatutakaa tuendelee. Dunia imehama kwenye umeme wa maji, sisi ndio tunaanza huko. Kwanini hatushauruki?
@victormollel3246
@victormollel3246 6 жыл бұрын
apo xaxa nyoka anangata mkia wake mwenyewe,
@hashimalsaadat4905
@hashimalsaadat4905 5 жыл бұрын
Ungezidi kua mwema kama hili bunge lingeonekana na wanyonge kwa TV .
@yesayamwakibibi4605
@yesayamwakibibi4605 5 жыл бұрын
Hahahaha nimeamini mbunge Nape Nauye kaokoka saivi, anaongea pont tofauti na enzi za goli la mkono,, haji kusahau kauli ya goli la mkono
@utukufueliya5279
@utukufueliya5279 6 жыл бұрын
bora ujiunge na upinzani
@davidmushi6770
@davidmushi6770 6 жыл бұрын
Sure. Pamoja na hasira but ni mazur uliyoongea
@zuhurachimango7656
@zuhurachimango7656 6 жыл бұрын
Playing
@zuhurachimango7656
@zuhurachimango7656 6 жыл бұрын
Jamani hinakuwaje bei ya korosho kusibi
@maicoelias122
@maicoelias122 6 жыл бұрын
dah uko vizur nape
@majuramlinga
@majuramlinga 6 жыл бұрын
Du! Mh Nape
@munumbajulius6772
@munumbajulius6772 5 жыл бұрын
Tell those snitches to change
@shindapapaya9194
@shindapapaya9194 6 жыл бұрын
😂😂😂 uwaziri uwaziri mtamu jamani kupanic viiiiiiipi?
@davidkaguru9511
@davidkaguru9511 5 жыл бұрын
Baada ya kutupiwa virago kwenye uwaziri akili imeanza kumrudia
@twahamakillah4636
@twahamakillah4636 5 жыл бұрын
David kaguru hahahahahah
@paschalyusuph7180
@paschalyusuph7180 6 жыл бұрын
Nape
@mohaosman983
@mohaosman983 6 жыл бұрын
Unaonekana msaliti, but tunakushukuru na usivunjike moyo mh. Nape
@emmanuelbashiri9973
@emmanuelbashiri9973 5 жыл бұрын
🤓🤓
@edwardedward2520
@edwardedward2520 6 жыл бұрын
Kwan kuna ubaya gani wakitumia stiglers gorge badala ya gas! Alafu umeme wa majimbo ni nafuu, renewable energy kwahiyo hakuna aliekusaliti hapo! Gas hizo za songo songo hazijamaliza Tatizo la umeme Rais anaona mbali hatuwezi kila siku nguvu kubwa umeme kidogo no!
@ameknews2315
@ameknews2315 5 жыл бұрын
Samahan nchi ya tanzania inaendeshwa na katiba na sheria na kwenye utekelezaji inatumika ilana kwan mwaka jana 2018 katibu msaidizi wa chama cha mapinduz alipita maofisin kuona je ilan ya chama inatekelezwa
@sadickmponyamilly
@sadickmponyamilly 6 жыл бұрын
kumbe ikitokea kuna mtu anadai yeye ni msema kweli wapo ambao wanaweza kumuonyesha kuwa wao ndio wasema kweli na hata msema kweli wa awali anaonekana muongo.....nmependa shinikizo la kauli yako "mh waziri mkuu usikubali huu mkakati ufe ukiwa waziri mkuu wa tz" hahahaaaaaaa twende rais wa kesho
Mia Boyka х Карен Акопян | ЧТО БЫЛО ДАЛЬШЕ?
1:21:14
Что было дальше?
Рет қаралды 10 МЛН
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 47 МЛН
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 556 М.
Mia Boyka х Карен Акопян | ЧТО БЫЛО ДАЛЬШЕ?
1:21:14
Что было дальше?
Рет қаралды 10 МЛН