NAPE ARUDI TENA TWITTER KWA MAJONZI BAADA YA KUJIONDOA SIKU ALIYOTENGULIWA NA RAIS SAMIA

  Рет қаралды 13,013

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 3 күн бұрын
WEWE UNA ROHO MBAYA SANA UKUTAKA WATANZANIA WAPATE UMEME WAKUTOSHA
@gwakisakaswaga5249
@gwakisakaswaga5249 2 күн бұрын
Mmoja wa vijana wa hovyo saaana katika nchi hii!!!
@Worldunite
@Worldunite Күн бұрын
Huyu amewekwa bench tu, kinachosuburiwa ni muda tuu atarudi tena serikalini
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 2 күн бұрын
Yeye si alitaka kuufuta huu mtandao
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 3 күн бұрын
WEWE NAPE UTOWAFANYIA WATANZANIA MAZURI KUTOKANA NA ROHO YAKO MBAYA
@vinny.morales
@vinny.morales 3 күн бұрын
Anatafuta tu huruma ya watu uchaguzi umekaribia. Akwendreeee
@JustinMwanzeni
@JustinMwanzeni Күн бұрын
Masifa camp
@NdeshyKileo-xd7oj
@NdeshyKileo-xd7oj 2 күн бұрын
Welcome back mheshimiwa
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 3 күн бұрын
MIMI MPAKA LEO SIJAPATA JIBU, KWA NINI ULIPINGA BWAWA LA UMEME JULIAS NYERERE
@section8ight174
@section8ight174 Күн бұрын
Labda alikuwa mmoja wa waliokuwa wakifaidika na nchi kutokuwa na umeme wa uhakika! Maybe alikuwa na biashara ya kuingiza ma jenereta who knows ay? Magufuli alisema wote waliokuwa wanampinga ama kumpiga vita ni MAFISADI
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 3 күн бұрын
WATANZANIA TUWE MAKINI SANA NA HUYU NAPE C MZARENDO
@samorajama8833
@samorajama8833 Күн бұрын
NI MZALENDO MAANA ALIAMUA KWA NIA SAFI KUFICHUA UOVU WA YALE WANAYOTENDAGA
@robertnkyalu3241
@robertnkyalu3241 2 күн бұрын
Siasa
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 2 күн бұрын
Nchi hii bhana!
@HamisLeo
@HamisLeo 2 күн бұрын
Ulituambia ukweli
@HamisWawila
@HamisWawila 2 күн бұрын
Hugo vizuri kurdish tena nape oyeeeeeee
@ShaibuAwadhi
@ShaibuAwadhi 3 күн бұрын
Subiri ukamee wa miiaka mitatu au miinne mfululizo ndio utajua una umeme wa uhakika au Kuna siku utaeleewa
@section8ight174
@section8ight174 Күн бұрын
Kwani mbona nchi inawekeza kwenye vianzo tofauti vya umeme? Sio maji tu bali jua pia na vinginevyo! Nchi haiwezi kuweka mayai yake yote kwenye kikapu kimoja!!!
@ShaibuAwadhi
@ShaibuAwadhi 3 күн бұрын
Usikate tamaa Bado tupo pamoja mbegu ataota na itakua na itazaa bila mbolee
@SamwelGunda
@SamwelGunda 2 күн бұрын
Kariba mkùu
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 күн бұрын
?? Sawa
Nimelala Na Maiti Siku 3 Na Kula Kizazi Chake ili Nisikamatwe Na Polisi
59:00
PRANK😂 rate Mark’s kick 1-10 🤕
00:14
Diana Belitskay
Рет қаралды 9 МЛН
МЕНЯ УКУСИЛ ПАУК #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 2 МЛН
Mahojiano na Tundu Lissu
50:43
NTV Kenya
Рет қаралды 55 М.
YESUUUUU!!!!...Tundu Lissu AMZUNGUMZIA Trump, UCHAGUZI wa Marekani!!
17:08