HIKI NDIO KIWANJA WALICHOPEWA YANGA NA MAKONDA - EKARI 7

  Рет қаралды 25,692

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

5 жыл бұрын

Baada ya kutoa ahadi ya kuwapa kiwanja Mh Makonda atimiza ahadi hiyo Kigamboni, Kibada.

Пікірлер: 31
@pasuaraha1546
@pasuaraha1546 5 жыл бұрын
Uongozi Bora ndo huu tunaouona Leo big up R.C MAKONDA na Mungu akubariki
@odriusmwakyelu3540
@odriusmwakyelu3540 5 жыл бұрын
Makonda Mungu akubaliki hasa kwa hili, kiongozi bora hana hana kubagua
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 5 жыл бұрын
bigup makonda boy
@datiuskabalila9684
@datiuskabalila9684 5 жыл бұрын
Asante sana kwa maono yako wangekuwepo wengine kama wewe 7 Tz tungekuwa safi sana.
@zakayosilas6963
@zakayosilas6963 5 жыл бұрын
Making mungu akubarki sana hayo ni mafanikio ya taifa letu
@francekomba2829
@francekomba2829 5 жыл бұрын
asante kwa niaba ya wanachama wote wa yangu mungu akuzidishie
@barackramadhan1419
@barackramadhan1419 5 жыл бұрын
Ushauri wangu kwa viongoz wayanga waongee nahuyo mwenye eneo wanunue ata hekar nyingine 13 ziwe 20 yanga timu kubwa kesho nakesho kutwa tatataka kujenga uwanja mkubwa apo padogo
@ramadhanmohamed7668
@ramadhanmohamed7668 5 жыл бұрын
Barack Ramadhan kwer kabisa. Barack Ramadhan
@zackofficial9840
@zackofficial9840 5 жыл бұрын
Asante mkuu wa mkoa Pongezi kwa uongozi mpya ila suala la kusema kaunda ndo uwe uwanja mkubwa halafu kigamboni uwe uwanja na hostel kwaajili ya vijana mmekosea hostel zingebaki Jangwani eneo la kaunda ni dogo sana
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 5 жыл бұрын
Big up makonda yanga juuu
@hamisitzphonedoctor5595
@hamisitzphonedoctor5595 5 жыл бұрын
ME wa tatu kukomet nipeni like zang
@vamo2082
@vamo2082 5 жыл бұрын
Tuongoze tena
@cyprianbernard907
@cyprianbernard907 5 жыл бұрын
Gud sana
@mbarakafitina8255
@mbarakafitina8255 5 жыл бұрын
Dogo una vision bila kupepesa kiukweli...Pongezi kwake mpendwa Rais wetu Dr John Pombe Magufuli kukuvumilia yale mengi ambayo huwa unatereza...Aidha kiumri au vinginevyo huwaga unatereza.
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 5 жыл бұрын
Safi san makonda
@mussajuma1736
@mussajuma1736 5 жыл бұрын
Tunakushukuru xana makonda mm huwa nakuelewa xana wale mazwazwa ambawo hawajui umuhimu wako achana nawoooo.
@isayakilangi8200
@isayakilangi8200 5 жыл бұрын
Makonda juuu
@abdulmvumiyanga4756
@abdulmvumiyanga4756 5 жыл бұрын
good makonda
@luganostewart8320
@luganostewart8320 5 жыл бұрын
Huyu Jamaa nae Kiki zake cjui ataacha Lini!!!! Nenda kanyoe hayo mandevu kwanza
@iddikazimoto2247
@iddikazimoto2247 5 жыл бұрын
P1sana mkuu wa mkoa, 🙏🙏🙏
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 жыл бұрын
Mbn msituni wasipokiendeleza ndani ya mwaka chukua
@dilipdab3714
@dilipdab3714 5 жыл бұрын
Z.bar.hapo.sehemu.za.chumbe
@zebedee2nyi769
@zebedee2nyi769 5 жыл бұрын
RC thante
@felixjacob2071
@felixjacob2071 5 жыл бұрын
Big up RC Makonda.....tunashukuru pia kuwa kuona Yanga kuwa timu ya wananchi.... Karbu pia uwe sehemu ya timu ya wananchi achana na mikia😀😀😀😀😀
@edwardtagamba6191
@edwardtagamba6191 5 жыл бұрын
Safisanamakpnda
@francismwilinde2237
@francismwilinde2237 5 жыл бұрын
Niwaombe viongozi wetu wa yanga hizo hekari 7 sio nyingi kwa ujinga kiwanja tunashukuru kwa hatua ya mkuu wa mkoa hapo bado kuna eneo linguine liko wazi viongozi fanyeni mchakato tuchangishane tuongeze hilo eneo walau liwe hekali 15
@ramadhanmohamed7668
@ramadhanmohamed7668 5 жыл бұрын
Francis Mwilinde safi xana. Francis Mwilinde umeongea jambo Zuli sana
@francismwilinde2237
@francismwilinde2237 5 жыл бұрын
@@ramadhanmohamed7668 hili jambo kaka wasilichukulie kimdhaha
@frankashodah5667
@frankashodah5667 5 жыл бұрын
Kipo maeneo gan apoo? anaejua anijuze na mm tafadhal
@barikichichimu3502
@barikichichimu3502 5 жыл бұрын
Kigamboni
@suzieomega6356
@suzieomega6356 5 жыл бұрын
Kigambon aise
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
kwa Mavazi yako utatambulika Bishop Gwajima
1:48
UZIMA TV
Рет қаралды 3,7 М.
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 8 МЛН
ПОДВОДНЫЙ ГЕЙМИНГ #shorts
0:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,8 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
КАРОЧЕ НЕУДОБНАЯ СИТУАЦИЯ😱🔥 #shorts
0:45
ПОПОВИЧИ
Рет қаралды 4,1 МЛН
Откуда эти паучки??? @zackdfilms - автор анимации.
0:29
Время знаний
Рет қаралды 3,6 МЛН