JAPHET WA ZABRON SINGERS AONGEA SAKATA LA MARTHA MWAIPAJA NA MDOGO WAKE BEATRICE

  Рет қаралды 17,739

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@irineemanuel9749
@irineemanuel9749 16 күн бұрын
Ndio maana nampenda japhet mdogo wangu hekima ni nyingi sana
@ZaidiaKatumwa
@ZaidiaKatumwa 13 күн бұрын
Ameongea point kweri ni unafiki na kama Mungu ameisha mvusha mja ataufanyeje uwezi kumuaribia
@YusterMgeni-qj6do
@YusterMgeni-qj6do 7 күн бұрын
Unaakili sana
@jepchumbamildred8265
@jepchumbamildred8265 19 күн бұрын
East Africa radio,plz mi naomba nyimbo zangu kuchezwa hewani,barikiweni mnapoendelea kusikiza
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 16 күн бұрын
Japhet usipindishe maneno ni hv; MATHA ARUDI KWA MAMAKE
@carolinenjeru3767
@carolinenjeru3767 14 күн бұрын
Mamake ni mnafiki. Fuatilia video zote zinazoyahusu haya utapata ukweli. Yule sio mama ya Matha.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 16 күн бұрын
Wanamuogopa matha watanyimwa kolabo na kupgwa pin
@flavourboyke
@flavourboyke 19 күн бұрын
Hawa waimbaji wenu wa injili wachunguzwe kuna kitu wanatuficha,,,ju maongezi yao ni yaleyale 😢
@ntupwadevoice
@ntupwadevoice 19 күн бұрын
Ulitakaa aongee nn?
@jepchumbamildred8265
@jepchumbamildred8265 19 күн бұрын
Nipitie pia
@carolinenjeru3767
@carolinenjeru3767 14 күн бұрын
Mtu huongea akiwa tayari. Mamake martha atuambie kwa nini hakuongea dadake alipomchukua mume wa martha? Wanaosema martha anaswagana walete ushahidi kamili sio ubea hauna mwelekeo.
@wuodkokelobingo4855
@wuodkokelobingo4855 18 күн бұрын
Sasa majibu ya Hilo swali hatujapokea tumepoteza bundles
@pendothomas7885
@pendothomas7885 18 күн бұрын
Kwahiyo mlitaka amuhukumu ?
@MariamSamson-rm6uk
@MariamSamson-rm6uk 17 күн бұрын
Nimaraya mno alafu wanamambo yaajabu yakichini chini wanajifchia kwauimbaji ao
@AnodiSwai
@AnodiSwai 19 күн бұрын
wampemuda
@daudinelson14
@daudinelson14 18 күн бұрын
Tatizo watu wamezoea kuhukumu na mnataka watu wahukumu wengine kama mtakavyo, msijisahaulishe hakuna mtu mwenye kibali cha kuhukumu wengine maana, ukweli na uhalisia ni kuwa ikiwa tumepewa ubongo na akili na roho mtakatifu, lakin hatukupewa limit ya matumizi yake basi hekima zetu hazifanani, jifunze kunyamaza kwenye yasio kuhusu, maana mwanye kibali na uwezo wa kujua utakatifu na hekima ya mungu kwa wanadamu ni mungu mwenyewe, ndo maana neno lake husema usihukumu usije ukahukumiwa.... zaidi hakuna aliye mkamilifu, jitafakali tu kwa mambo yako ambayo hatuyajui ndipo uje upige watu mawe na kuhukumu watu mfano wa malaika aliye shika kutabu cha hesabu na hukumu zetu
@GoodlackBereda-x6t
@GoodlackBereda-x6t 18 күн бұрын
Niko mwanza
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 16 күн бұрын
😂
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 16 күн бұрын
Wewe man o yako mangapi umeweka mtandaoni, shida hamkutaka hili watu walijuwe, na ndo tumejuwa sasa
@danielwwahai8664
@danielwwahai8664 19 күн бұрын
Huyu jama anamatatizo, au hajuwi jinsi haya mambo yapo
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 18 күн бұрын
Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 16 күн бұрын
Ww mtanzania wajielewa kweli na tena uko saw kiakili ,,,so don't judge Kenya's people and you're a shame
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 16 күн бұрын
Ww wajielewa kweli na tena uko saw kiakili,, so don't judge Kenya's people and you're shame
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 16 күн бұрын
@@SelinaDorcas how
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 16 күн бұрын
Ni walewa wale, ukiona tu mtu anakiguvumizi juwa wale wale, ndugu yako akikosa umuonye
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 16 күн бұрын
Ndo walewale
@BeatriceSamwel-p7u
@BeatriceSamwel-p7u 19 күн бұрын
Ni wale wake t wazinifu mtupu
@HeryethAleck
@HeryethAleck 16 күн бұрын
😂😂😂
@geochris5983
@geochris5983 19 күн бұрын
Huyu nae anaongea pumba kama hana hakili wa kristu wa leo wanashida kubwa sana hawambiani vitu vyakusaidiana hunafiki tu nakuagusha wenzeo mwenzako anagamia unasema itatusaidia nini basi wawe wasani wa bongo fleva tujue moja tu
@Madina-uw6ce
@Madina-uw6ce 18 күн бұрын
Wampemuda
LISSU KUANIKA MAJINA YA WATOA RUSHWA CHADEMA
8:11
NURU DIGITAL TV
Рет қаралды 34
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Martha Mwaipaja - KUSHINDA LAZIMA ( official music video )
5:34
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 534 М.
MBOWE ATOLEA Lissu UVIVU mbele ya BAVICHA, AMCHANA Liveee!!!
22:14
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 3,4 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН