No video

HILI NDILO HEKALU LA SULEMANI, part 1. Hekalu lilikuwaje? by Mwl: Vincent Mwakisyala.

  Рет қаралды 6,915

Hazina ya Kanisa

Hazina ya Kanisa

3 ай бұрын

Namba zetu za huduma ni +255 753114222, kazi yetu ni kufundisha watu elimu sahihi ya Mungu katika kweli yake.
Mwl. Vincent Mwakisyala

Пікірлер: 13
@HaruniGhasper
@HaruniGhasper 3 ай бұрын
Tupo pamoja mwalim.
@josephjosephat4792
@josephjosephat4792 Ай бұрын
Atujui tu hekalu n la kila Mtu moyon mwake hekalu ni Mungu ndani yetu . Miili yetu imefanyika kuwa hekalu. Hivi vingine ni properties tu basi. Kikubwa n tuelewe kwamba hekalu n mungu ndani yetu napo then vita hizi na migogoro haitokuepo Tena. Amin.
@user-ur9hw2kk2c
@user-ur9hw2kk2c 3 ай бұрын
Asante mwalimu
@ALLYZAHOLO-gr9py
@ALLYZAHOLO-gr9py 3 ай бұрын
Nani amenzisha Ibada ya kuchanya wanawake na wanaume sehemu moja
@RockyMaganga
@RockyMaganga 2 ай бұрын
Jambo mtumishi wa mungu ebu nitumiye bamba Yako ya wathsap ninayo maulizio kidogo mimi ni rocky maganga niko drc Congo
@AbegaLarge-tk3rc
@AbegaLarge-tk3rc Ай бұрын
Mwalimu naomba andiko linalosema kuani alipokuwa akingia mahali patakatifu papatakatifu alikuwa na fungwa kamba kwani Mimi sijaona ilo andiko napili ikiwa alikuwa nafingwa kamba ili akifa mule Dani sasa Nini igesababisha afe mle ndani na ikiwa ni dhambi ambayo igesababisa afe ule utakaso aliokuwa naufanya kabla ajahingia ulikuwa na mahana Gani basi naomba ayo majibu tafazali mwalimu kazi njema
@JacksonNyangi-i8j
@JacksonNyangi-i8j 23 күн бұрын
Hili somo ndiyo kwanza tunalianza, leo tunaangazia hekalu kwa maana ya ramani yake, na mazingira yake. Masomo yajayo tutaangalia mipaka yake, matumizi yake, na aina za ibada zake. Afu tutaangalia kubomolewa kwake na kurejeshwa au kujengwa kwake upya, na lilipo sanduku la agano lililopotea. Baadaye tutaangalia kubomolewa tena na kuanzishwa kwa msikiti wa Al Aqsa na DOME of the Rock, baadaye tutamaliza na mpango wa Hekalu la tatu na je unabii unasemaje na mipango ipoje? Usikose vipindi hivi hapa hapa kwa chanel yetu, shere kwa wengine ili tuwe wengi. Mungu akubariki sana.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
👊✌👍
@simchimbasj5641
@simchimbasj5641 3 ай бұрын
Je hilo hekaru, lilijengwa na suleimani wakati akiwa na wake wengi? Au wakati amewaacha na kubaki nammoja?maana alisema haya yote nisawa nakujilisha upepo.
@jaysilgangtz2583
@jaysilgangtz2583 2 ай бұрын
Waliwezaje kuliteka ilosanduku maana ukiligusatu unakufa?
@JacksonNyangi-i8j
@JacksonNyangi-i8j 23 күн бұрын
Kasome Biblia
@magesamatiku7506
@magesamatiku7506 3 ай бұрын
Je hilo hekalu ni mali halali ya Wyahudi,Wakristo au Waislam? Maana kila kukicha kunazuka mgogoro ya ya dini ipi inayomiliki hekalu hilo
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 3 ай бұрын
Hili somo ndiyo kwanza tunalianza, leo tunaangazia hekalu kwa maana ya ramani yake, na mazingira yake. Masomo yajayo tutaangalia mipaka yake, matumizi yake, na aina za ibada zake. Afu tutaangalia kubomolewa kwake na kurejeshwa au kujengwa kwake upya, na lilipo sanduku la agano lililopotea. Baadaye tutaangalia kubomolewa tena na kuanzishwa kwa msikiti wa Al Aqsa na DOME of the Rock, baadaye tutamaliza na mpango wa Hekalu la tatu na je unabii unasemaje na mipango ipoje? Usikose vipindi hivi hapa hapa kwa chanel yetu, shere kwa wengine ili tuwe wengi. Mungu akubariki sana.
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 33 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
MJUE SWAHABA MYAHUDI KUTOKA KWA BINGWA WA HISTORIA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:07:16
KISA CHA KUSISIMUA CHA NABII YONA
45:10
Pastor Lazaro Samwel Kilala
Рет қаралды 4,6 М.
SODOMA NA GOMORA ILIKUWEPO SEHEMU ILIYOPO BAHARI YA CHUMVI LEO HII
20:51
Hazina ya Kanisa
Рет қаралды 2,5 М.
FAHAMU MITUME 12 WA YESU MWISHO WAO WALIVYOKUFA KISHUJAA KWA SABABU YA INJILI
44:22
MASIHI DAJJAL ATASHUKIA KATIKATI YA IRAQ NA SYRIA// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:03:20
JINSI YA KUMSIKIA MUNGU KIRAHISI | MWL. ONESMO
1:42:36
Mbingu Duniani Tv
Рет қаралды 5 М.
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 30 М.
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 33 МЛН