Waisraeli kazi yao ni kuharamisha aliyohalalisha Mwenyezi Mungu na kuhalalisha aliyoharamisha. HIVYO, LAANA IKAWA JUU YAO, HASA PALE WALIPOKATAA KUSIKIA SAUTI YA MUNGU KATIKA MKUTANO WA HOREB Mwanzo
@LodybabatiАй бұрын
Huo sio kweli...sanduku lilichukuliwa wakati wa kifo cha yesu....maana siku ya kifo chake ilikuwa siku ya upatanisho pia..sasa we husemi kweli mtumishi
@SerenePyramids-um4kuАй бұрын
Yeremia ndio alietunza sanduku katika mapango ya mlima walipotaka kuweka alama aliwakataza na kuwaambia akitaka Mungu mwenyewe bc atawaonyeha tena
@mmichael95832 ай бұрын
Sheria za Mungu bado zinafanya kazi na ndizo zinaukumu watu
@GloireGloire-u3f3 ай бұрын
Mungu akamwabia musa utafanya MFANO ya Yale ulio Iona binguni SANDUKU ya mu ufunuo ni tofauti n'a ya MFANO ya musa. Hii haiendi mbinguni.
@lasentinelle777 ай бұрын
Amri ya Mungu yote kumi pamoja na ile ya nne ya kushika sabato imeendelea hadi siku Kristo atarudi duniani. Imeondolewa katika mbao, ila imewekwa katika mioyo ❤ yetu. Soma Waebrania 8, na Waebrania 10. Leo, Agano jipya lafundisha kwamba mtu aitwaye mtakatifu, anayestahili kuingia katika uzima wa milele, ni yule azishikaye amri za Mungu ma kuwa ma imani ya YESU. Soma Ufunuo 14:12
@HamzSaid7 ай бұрын
Asante sana kwakuwa unajajuwa hayo Yahweh akubaniki
@AlexGeofrey-q7u10 күн бұрын
Na bustaon ya eden ikowap
@NataliaMalley7 ай бұрын
Asante sanaa mtumishi kwa kutuelimisha kuhusu sanduku la agano
@HaruniGhasper8 ай бұрын
Ubarikiwe, Mwalimu Vincent mungu azidi kukufunulia maono.
@mwlvincentmwakisyala7 ай бұрын
Amina 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@RahmaAmena-ei7xx7 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe milele
@PastorErickjmi3 ай бұрын
Mungu akubariki sana nakukuinua
@mwlvincentmwakisyala2 ай бұрын
Amina Pastor
@kalekela-j1e3 ай бұрын
QUR'AN TUKUFU IMEWAKEMEA, IMEWALAUMU NA KUWALAANI VIKALI SANA WATU HAWA. WALIKUWA WABISHI, WAKAISI NA WATU WA OVYO SANA.
@Aggreymbugano7 ай бұрын
Amen mtumishi nimebarikiwa sana na masomo haya
@DeoKanyatta7 ай бұрын
Hakusema shikari sabatobali ,slitamka shikabkitakatifu siku ya MUNGU.nyie sabato nendeni mkamezevdoya beans zenu
@indelectronicsmedia37607 ай бұрын
Moja ya sehem unayo kosea ni kuelezea umuhimu wa sheria za Mungu ! tambua sheria za Mungu zipo vilevile hazibadili na hazito badilika kwani Mungu hajipingi ! pia lazima tuelewe bila sheria hakuna dhambi ! je sheria gani imeondolewa ili kuhalalisha dhambi ? je ni ya kuzini au kuiba ? au ni ipi ? naomba utoe somo kuhusu Mungu na sheria zake..
@mwlvincentmwakisyala7 ай бұрын
Rafiki hatuongelei sheria tunaongelea Agano, Agano lisilobadilika ni moja tu. Ila hatujagusia somo la sheria bado.
@ElardMlawa7 ай бұрын
Wengi watakubali sheria zote lakini sheria ya sabato wanaipinga na hawajui kua sabato ndio muhuri na ishara ya mungu na wale wanao mtii
@jackobsamson22417 ай бұрын
@@ElardMlawa ujinga
@NdayiSililo7 ай бұрын
Asante sana bwana vicent.ila waisraeli walikuwa watu weusi picha za kizungu hazistahili hestoriya
@ElishaMmari7 ай бұрын
amina sana mtumishi kwani hata mimi nilikuwa najiulizaa sana sanduku la agano lipo wapi
@GloireGloire-u3f3 ай бұрын
Juu ya SANDUKU kulikuwa snamu bili zikaingia mbinguni?
@Mtoro-q6sАй бұрын
Hio. Ni. Ukweli.
@VenerandaKundi-ph4hg7 ай бұрын
Ni kweli sanduku la agano lipo mbinguni Kwa sababu kama angegusa mtu anakufa
@GloireGloire-u3f3 ай бұрын
Ndungu zangu Mungu hapendi ku ngeuza wala kutafsiri bibilia vibaya SANDUKU haiko mbinguni .
@benedictorrichards73683 ай бұрын
Haya wewe tuambie liko wapi sasa
@mmichael95832 ай бұрын
Ni kweli sanduku liko mbinguni
@lusekelomwainyekule-fi4zn8 ай бұрын
Hili hekalu la duniani ni kivuli cha lile la mbinguni sanduku la agano la hekalu la duniani lilikuwa ni nakala ya lile la Mbinguni. Hivyo si kweli kwamba lililoonekana mbinguni ndio lile la duniani, kwani mbinguni kulikuwa na hekalu halisi. Sanduku lilifichwa na nani? Hatujui! Yaliyofichwa ni ya MUNGU yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu Torati 29:29
@mwlvincentmwakisyala7 ай бұрын
Upo sahihi, barikiwa.
@Mch_David_Batemba7 ай бұрын
Safi sana, hio ndio kweli. Musa aliambiwa na Mungu afanye yote sawasawa na mfano wake alioonyeshwa mlimani. Kut 26:30 Mwalimu akifundisha kwamba lile sanduku lililoonekana mbinguni ni lile la duniani lililopaa inamaana hata lile hekalu la mbinguni ni lile la duniani lililopaa?
@ElizaphanKamando7 ай бұрын
@@Mch_David_Batembanamimi nilishangaa kusikia et lilichukuliwa na Mungu, mh kwa akili ya kawaida tu Mungu tunayemwabudu mweny nguvu na utukufu atachukuaje kitu alichomwagiza musa kukitengeneza? Ina maan wkt Mungu anamwambia musa kutengeneza kumbe Mungu nae alilitegemea hilo hilo 🤣🤣 jibu ni hapana, kila alichokitengeneza musa kilikuw mfano wa vile vilivyo mbinguni, hivo yesu alivokufa msalabani pazia la hekalu lilipasuka maan yake hamna huduma tena pale, hivo bas hakukuw na utukufu wowote tena, hilo sanduku Mungu hawez kuangaika nalo
@EnockTuza7 ай бұрын
Wakati Yesu anaisalimu Roho yake,pazia la Hekalu lilipasuka,je sanduku la agano halikuwepo ?
@mwlvincentmwakisyala2 ай бұрын
Halikuwepo
@AggreyMwangi7 ай бұрын
Sanduku la agano liko mlima Kenya 🇰🇪
@jaymoo297 ай бұрын
😂😂
@kalekela-j1e3 ай бұрын
WAISRAELI NI WATU MAKAIDI
@MariamJuma-v9t4 ай бұрын
Jinsi.yakumsikia.roho mtakatfu
@PeterDeogratias7 ай бұрын
Ok saaaaf
@MartiniDanieli4 ай бұрын
Kwamjibu wa ufunuo 11:19 likombinguni.
@Mtoro-q6sАй бұрын
Akuna. Kitu. Iko. Juu
@GloireGloire-u3f3 ай бұрын
SANDUKU LA AGANO YA MUSA ALIFANYA ILIKUWA NI MFANO TU.
@credychipungahelo15154 ай бұрын
Kama Mungu alimwanmbia musa kutengeneza kisha akaliondoa ni kwa sababu ya uasi wa israeli ya kimwili maana israeli wa kwanza ambaye alikuwa Adamu kisha akaja Yakobo na kitwa israeli yaani kuwa na agano jipya kk hivyo kuna mlolongo wa kuondolewa hili saduku na kuliondoa maana wengi wangekufa kwa kiburi cha binadamu
@eliudsinkala4195 ай бұрын
Unashangaa wewe ni Mkristo kweli?
@jumamazoya7907 ай бұрын
Uongo mtupu someni sana vitabu
@mwlvincentmwakisyala7 ай бұрын
Tunaomba list ya hivyo vitabu tutavisoma, promise.
@aloujouasumwisye5537 ай бұрын
Huo ndio ukweli kama unabisha leta hivyo vitabu vyako tuvisome
@GloireGloire-u3f3 ай бұрын
Sisi hatusomi vitabu vingi Ila bibilia.
@ridhiwanmlawa13717 ай бұрын
Nani aliloliona huko mbingùni
@LodybabatiАй бұрын
Yohana aliona
@isayamtanda84847 ай бұрын
Hekalu lililojengwa baada ya Utumwa wa Babel na likaja kuvunjwa na Warumi mwaka wa 70 lilikuwa linafanyaje huduma zake kama Sanduku halikwepo?
@mwlvincentmwakisyala7 ай бұрын
Tukutane sehemu inayofuata
@sifamugwaneza87747 ай бұрын
Asante sana kaka angu mie kwa kutuelimisha me niliijua chanel hii jana tu ila toka nimeijua sitamani kusikiliza au kuona chanel zingine maana hapa unatuelimisha kuhusu MUNGU na si kwa ubaya na wala hautufundushi vibaya achana nahao ambao wanasema tofauti eti unamsema sheria za Mungu wala husemi sheria bali unatuelimisha yale ambao tusiyo yajua na kutufunza vyema ili tujue MUNGU anataka nini kwetu sisi na kujua namna nakumuheshim nakumtii nakumtumikia pia endelee kutuelimisha tena natena na MUNGU akubariki sana
@mwlvincentmwakisyala2 ай бұрын
Amen dada barikiwa
@sarahkingunza15166 ай бұрын
Biblia inasema mifupa mikavu ikawa jeshi kubwa sio kwamba aliwafariji hapana
@credychipungahelo15154 ай бұрын
Mungu akamwambia Ezekieli ktk kitabu au sura 37:-1---- kuwa mifupa hii yaweza kuwa hai tabilia juu yake ikiwa na maana ya kuwa mtu aliyekufa aweza kuishi Tena Maana yule asiye mjua kristo Yesu huyo kama mtu aliye kufa
@Françoismulumeoderhwa7 ай бұрын
Sanduku hilo lilionekana DRCongo mwaka wa 18877 na watu kama kipa nvita ,simoni kimbangu , na mze petro sangya waliliona likipita pita mawinguni mpaka mloma wa misotchi DRCongo fizi
@DanielMaguge7 ай бұрын
Sanduku la miti liende mbinguni? Kweli nimeamini wenye nafasi kutumia mitandao na media hata kama hawajui kitu wanajivi njari
@mwlvincentmwakisyala7 ай бұрын
Mwili wa Musa wa udongo upo wapi? Mwili wa nyama wa Eliya na Enoko haipo, hatusemi ipo mbinguni ila ipo wapi? Na Je nini maana ya mbinguni? Ni angani au sehemu aishipo Mungu?