Maisha na vifo vya mitume wa yesu

  Рет қаралды 128,674

Shane Tv

Shane Tv

Күн бұрын

#HISTORIA YA MITUME #VIFO VYA MITUME #HISTORIA YA KANISA #MASALIO #SDA @MahubiriPrMmbaga @HopeChannelTanzania

Пікірлер: 132
@geofreyKigola
@geofreyKigola Ай бұрын
Historia inabariki sana ✅
@JoyceMalogoi
@JoyceMalogoi Ай бұрын
Ahsante Kijana Kwa historia hizi,zituimarishe maana yajayo haya hayaoni,Mimi na wewe tujihoji yatakua je?(2),unajua wakristo wengi shina ni moja,ispokua mwana wakuasi alituvuruga sana.wapenda watu Wa Baba aliveziumba Mbingu na inchi,twende tujifunze historia ya Manisa katika ukristo wetu wote hata Rafiki zangu Sana waisla tena kruhani ikovizuri Sana.❤❤❤ wote,muwe na maandalizi ya kiroho.siku njema.
@simontamba1285
@simontamba1285 18 күн бұрын
Asante dada J
@XaveryKayombo
@XaveryKayombo Ай бұрын
Amina Amina Mungu nimwema mapemzi yake yatimizwe.
@DeniseKarafuli-fn2qb
@DeniseKarafuli-fn2qb Ай бұрын
nashukuru sana kwa mafasirio zaidi ubarikiwe na mwenyezi Mungu
@RobertMashaka-t1o
@RobertMashaka-t1o 11 күн бұрын
Asante sana mkuu
@kombibora
@kombibora 28 күн бұрын
Ubarikiwe mpendwa kututolea historia nzuri , Bwana na akuzidishie maarifa yakulitangaza nenolake.
@patrickgeofrey5116
@patrickgeofrey5116 Ай бұрын
Hata mm nampenda sana Yohana kitabu chache kitamu sana asante kwa simulizi
@edwinjhilbajojo2429
@edwinjhilbajojo2429 Ай бұрын
Asante sana,,,ila hujatuambia❤kuhusu Mathias aliyechaguliwa kureplce nafasi ya Yuda Iskarioti.
@frankmoses1479
@frankmoses1479 Ай бұрын
Asante sana kwa Historia nzuri ya Maisha ya Wanafunzi wa Yesu.
@AnsilaAnorld-tk7vy
@AnsilaAnorld-tk7vy Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwe sana na mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu hasa katika kuineza injiri yake
@UpendoDaudi-iq6hy
@UpendoDaudi-iq6hy Ай бұрын
Ubarikiwe sana mpendwa
@Lawrence-l7r
@Lawrence-l7r Ай бұрын
Asant kwa historia nzur
@henrysizya239
@henrysizya239 Ай бұрын
Amina, japo picha ulizotumia si picha halisi za mitume hao
@Charitémapendo-c3j
@Charitémapendo-c3j 16 күн бұрын
Asante mutu waMungu. Nisaidie n'a shairi ndani ya biblia. Ambako wana zungu muzia vifo vya mitume. Kwelihii ina nijenga kiroho.
@PeterKaroli-m7i
@PeterKaroli-m7i Ай бұрын
Nimeipenda sana
@Janetmoraa-t8f
@Janetmoraa-t8f 26 күн бұрын
Sorry ni judas nice story be pleased ❤❤
@Stephano-x2b
@Stephano-x2b Ай бұрын
Amina
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
Watumish wa Sasa ni mteremko tu yaan hawana hofu ya Mungu wanamiliki mpaka ndege raha sana
@conceptarann
@conceptarann Ай бұрын
Ni kweli ubarikiwe sana
@DodomaNebrix
@DodomaNebrix 2 ай бұрын
Asante kwaku ihuisha imani zetu kwa kutukumbusha maisha ya mitume wetu🙏
@LeoncCosmace
@LeoncCosmace 18 күн бұрын
Amin
@brotherdaniel2112
@brotherdaniel2112 3 ай бұрын
Amen amen glory be to God for rever
@ISSACKNTACHO
@ISSACKNTACHO Ай бұрын
Ameeeen,nmebarikiwa Jumapili hii na habar tam
@DaudiMtewele
@DaudiMtewele Ай бұрын
Mungu akubaliki sana
@mulwalivu5778
@mulwalivu5778 Ай бұрын
Ee babaMUNGU wa MBINGUNI uturehemu MILELE dhambi zetu amen
@madamneema7626
@madamneema7626 Жыл бұрын
AMEEN SANA🙇🙇🙇🙌
@ElizabethMedard
@ElizabethMedard Ай бұрын
Ubarikiwe sana
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 Ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@JosphatJohana
@JosphatJohana Ай бұрын
amen ubarikiwe sana
@DirielMariel
@DirielMariel 7 ай бұрын
Nice illustrations in deed I love your wonderful work❤😊
@MichaelIbrahimu-cr4fl
@MichaelIbrahimu-cr4fl 2 ай бұрын
Amina kwakua mapenzi ya MUNGU yametizwa kwa upendo wake yeye
@EvangelismTv-n4i
@EvangelismTv-n4i 2 ай бұрын
Be blessed servant of God
@ChristinaMaganga-i3u
@ChristinaMaganga-i3u 2 ай бұрын
Asantee barikiwa sana
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 Ай бұрын
Amina❤
@isaackmwakapala8663
@isaackmwakapala8663 Ай бұрын
Amina.
@GeorgeShirima-h9m
@GeorgeShirima-h9m Ай бұрын
Mungu mwenyewe atuimarishe ktk imani yetu
@CatherineLubela-sb1fb
@CatherineLubela-sb1fb 2 ай бұрын
Amina saana
@NatanaelKilenga
@NatanaelKilenga Ай бұрын
Ameni ameni
@juliuskubai9294
@juliuskubai9294 Ай бұрын
I need this
@EnesiaMwagala
@EnesiaMwagala 2 ай бұрын
Amen 🙏
@RastaSuma
@RastaSuma Ай бұрын
Huu ni uongo na mapokeo wanaoaminishwa wakristo baadaye wanasema amina,mmmm someni
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Ай бұрын
Pole
@HatangimbabaziSenzoga-f9i
@HatangimbabaziSenzoga-f9i Ай бұрын
God bless you
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 Ай бұрын
Nimebarikiwa sn na historia hii
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 Ай бұрын
Watu wa mungu tuiombee yerusalem alioililia yesu. NA ISRAEL KWAUJUMLA
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Ай бұрын
Huu ni ujinga na upuuzi wa kiwango cha mwisho
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Ай бұрын
Kwani unajua aliililia kwa Sababu aliipenda? Aliililia kwa Sababu wokovu ukifika kwake na ukaikataa na hasira ya Mungu ya kukataaa wokovu ilishuka juu yake Mji ukavamiwa na watendaji na watesi wake ukaangushwa vibaya mnooo hata sasa.
@alfoncekasanyi6584
@alfoncekasanyi6584 Ай бұрын
Unaposema alizaliwa mwaka wa kwanza baada ya Kristo wakati huyo mtume alifanya kazi na Kristo Naomba ufafanuzi hapo sijaelewa
@tevelamayaJr
@tevelamayaJr Ай бұрын
mfano, mmoja alizaliwa 2020 na mmoja alizaliwa 2021. hawa wote watakua kwa lika moja na uwezekano wa kufanya kazi kwa pamoja ni mkubwa.
@peterkolam8193
@peterkolam8193 20 күн бұрын
Baada ya kristo, Haina maana baada ya Yesu kuondoka Bali baada ya Yesu kuzaliwa na nyakati zote. Yes, alianza kazi akiwa na Mika 30,lakini je kunayakati zilianza kuhesabika katika kipindi flani hata kabla ya kuzaliwa au alipozaliwa ndio ikawa zama baada ya kikristo?
@judithnzisa-ii7kg
@judithnzisa-ii7kg 19 күн бұрын
Ni marika
@pizzarofeint1000
@pizzarofeint1000 8 күн бұрын
Yesu alizaliwa miaka mi3 kabla ya mwaka wa 2000 kutimia ili kuanza kuhesabu mwaka 1 kwahiyo akisema waliozaliwa mwaka wakwanza baada ya kristo anamaanisha alizaliwa miaka mi3 baada ya yesu
@joshuaJoshua-b7y
@joshuaJoshua-b7y Ай бұрын
God is everything
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Eee yesu utuhurumie
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 Жыл бұрын
Amen
@Charitémapendo-c3j
@Charitémapendo-c3j 16 күн бұрын
Kweli hizo shairi kumi nambili zavifo vyamitume vitani Saidia. Mimi ni mkongo mani. Naishi Kivu ya kaskazini. Yani Nord-Kivu.
@shanetv4894
@shanetv4894 16 күн бұрын
Nitafte what's app 0626630162
@protv2627
@protv2627 Ай бұрын
Vipi kuhusu stephano
@MeresianaJacobo-o5u
@MeresianaJacobo-o5u Ай бұрын
Meresiana jacobo muungu aibrik kaz ako
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
SyoMitumewaYesu.niwanafunzi.wayesu.Yesu.mwenyewe.ndye.MtumeWeVipi
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Ni wanafunzi ambao walikuwa mitume baadaye.. Yesu aliwatuma ulimwenguni kuihubiri Injili.
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 Ай бұрын
NI mitume wa Yesu, waisilamu bwana, mnadanganywa Sana, Yesu alikuwa na mitume mmojawapo NI Paulo, biblia ilianza kuandikwa kabla ya vitabu vyenu
@felicianmapunda856
@felicianmapunda856 Ай бұрын
Hii historia inapatikana kwenye vitabu vya kanisa katoliki nyinyi mmekopi kutoka kwao?
@jonasjackson1056
@jonasjackson1056 Ай бұрын
Kwan kuna ubaya kushare na kujifunza historia ya mitume au hii historia ipo kwaajili ya watu fulan au din fulan..? Hapan kila mmoja wetu anahitaji kujifunza haya haijalish yanapatikana wap
@ramahzedon6688
@ramahzedon6688 Ай бұрын
The masonic bible inayo mengi zaidi ya haya
@MussaBuppuna
@MussaBuppuna Ай бұрын
Mbna wote ni wazungu ndo kusema kizazi Cha wau weusi walikuwa wap , hakika tunapigwa vibaya sana
@LauMagwaja
@LauMagwaja Ай бұрын
Nikwel mungu aliwatuma mitume wake kwenye mataifa ya watu waliotenda zambi nying nakupitiliza kaka ona mpka leo mataifa yaliopita mpk leo wanachangamoto misr nabii musa , pastina nabii mohamed na yesu nazalet kaka
@josephatmwema561
@josephatmwema561 Ай бұрын
Walikuwa weusi wote hata Yesu. Raisi wa Rassia aliseme
@clintonmwaisaka-zd7dh
@clintonmwaisaka-zd7dh Ай бұрын
Kwani wana israel ni weusi nchi tofauti na israel tuliitwa mataifa na hao ni weupe sababu ni kutoka nchi ya israel
@Njia-ya-Haki2007
@Njia-ya-Haki2007 Ай бұрын
Mitume wote walikuwa watu weusi hamuna hâta mmoja aliekuwa mzungu
@stephenkalidush5446
@stephenkalidush5446 Ай бұрын
elewa maana ya chimbuko, rangi sio usawa wa ufalme wa Mungu ila ni nani amekusudiwa awe nani
@chrispinuswekesa8093
@chrispinuswekesa8093 Ай бұрын
.Amen 😅
@peteruzia8313
@peteruzia8313 7 күн бұрын
DINI ILIANZIA AFRICA NA YESU ALIKUWA MTU MWEUSI HYO YOTE TUNAYOIONA NI MICHAKATO IMECHAKATWA NA WAZUNGU WAKACHUKUA MICHOLO YOTE WAKAENDA NAYO WAKAICHAKATA HALAFU WAKATULUDISHIA
@JustusNgonyo
@JustusNgonyo Ай бұрын
It is the way in world there is war victory to heaven fight to heaven
@Charitémapendo-c3j
@Charitémapendo-c3j 16 күн бұрын
Kweli mimi ninge tamani kiongozi unitumiye Misha hiri hizi ziko wapi ndani ya Biblia. Maana kwangu itanipa kitu kingine rohoni mwangu.
@baltazaljohn9958
@baltazaljohn9958 Жыл бұрын
Amina
@MedronundersonMkuyu
@MedronundersonMkuyu 2 ай бұрын
Wazungu walitulubuni sana hakuna Cha yakobo Wala nani niungo tu wawazungu
@Janetmoraa-t8f
@Janetmoraa-t8f 26 күн бұрын
Kwani mbona najua petero alijinyonga inakuaje tene kusurupiwa😢
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g 14 күн бұрын
Petro hakujinyonga alisulubiwa miguu juu kichwa chini. Alie jinyonga ni Yuda Iskalioti Alie msaliti Yesu.
@jaffarmohamed6859
@jaffarmohamed6859 Ай бұрын
Mitume ama wanafunzi
@FranciscoOresteBernabé
@FranciscoOresteBernabé Ай бұрын
Aminaa😢
@jamesshirimo
@jamesshirimo Ай бұрын
Thanks
@jk7445
@jk7445 Ай бұрын
Ni wayahudi si wazugu
@AlfonceGabriel
@AlfonceGabriel Ай бұрын
Wote ni wayahudi ndimaana ni wazungu
@MwalindeJackson
@MwalindeJackson Ай бұрын
Kwanini huku muelezea mtume aitwaye matia aliye chukua mafasi ya yuda?
@EdwinKabasa
@EdwinKabasa Ай бұрын
Lakin ata sasa asema Bwana
@emmanuelmayila5700
@emmanuelmayila5700 16 күн бұрын
Mtumishi palestrina unayoisema sijawahi kuisoma popote kwenye maandiko ya biblia
@ChrismasaweChris
@ChrismasaweChris Ай бұрын
Na hii ndio dhiki kuu msijidanganye kuwa kuna dhiki kuu nyingine
@officials.r.k5493
@officials.r.k5493 Ай бұрын
So wote walikua wazungu?
@mosesmbeke6137
@mosesmbeke6137 Ай бұрын
Umejitahidi sana but ilitakiwa uainishe kwamba picha hizi sio halisi
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m Ай бұрын
Kwani ninyi mnafuata mafunzo au picha,je miaka elf2000,iliyo pita kulikuwako,na kamera hazikuwepo,ila walikuwa na technolojia ya uchoraji tu,wa sula za manabii,HIVYO kwakutumia ucholaji unaweza pata picha ya mtu alivyo kuwa,
@DanielMwakalinga-d2n
@DanielMwakalinga-d2n Ай бұрын
Yaan wabongo ni shida mradi tu akosoe​@@JonasMathias-s6m
@mjeshimsofe9730
@mjeshimsofe9730 Ай бұрын
Walikuwa weupe kumbe
@nelsonamani9489
@nelsonamani9489 Ай бұрын
Yakobo nae alikatwa kichwa
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas Ай бұрын
Mbon mm najua mitume wa yese ni wale wazee ishirin n wanne..hao sio mitume ni wanafunzi wake
@evaristoaidan2690
@evaristoaidan2690 Ай бұрын
Sijaelewa Petro alizaliwa kabla miaka mingap ndipo alizaliwa kristo?
@userKAZIEYENDELEE
@userKAZIEYENDELEE Ай бұрын
suwala linakuja hivi kwa nn wanafunzi wa yesu wengi wao wameuliwa au kuuwawa . walikuwa wanafundisha kinyume na yesu mwenyewe na kumsaliti
@enockmasigwa
@enockmasigwa Ай бұрын
Walikuwa wafundisha kulingana na mafunzo kutoka kwa Yesu ila wale waliokuwa wanafunzwa hawakutaka ukweli kwa maana uliwapa vikwazo kinyume na yale waliokuwa wakitenda
@Jackline-gb1vc
@Jackline-gb1vc Ай бұрын
Walifundisha vyema ili kuleta wengi kwa Yesu ila wakapata upinzani mkubwa.
@KAIPAAA3211
@KAIPAAA3211 Ай бұрын
Hauji mbona unaweka picha za watu wenkhundu wakati hao wote walikuwa watu weusi
@juvenalMuyomba
@juvenalMuyomba Ай бұрын
Kwanini sehem walo uliwa mitume wayesu mbona ndio inchi tajiri leo nani wakunijibu swali hilo?
@ramahzedon6688
@ramahzedon6688 Ай бұрын
Utajir wa Nchi unapimwa na nn? Unajua kuwa bara la Africa ndo bara tajir kuliko yote dunian na Ndo bara kubwa kuliko yote dunian?
@richardmugacostantine2791
@richardmugacostantine2791 28 күн бұрын
Uongo mtupu puzieni
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 Ай бұрын
Yesu alikuwa na mitume kweli nynyi akili zenu sema wana fudzi
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 Ай бұрын
CHIZI wewe, mwezi MCHANGA
@PAULVICENT-ne5gh
@PAULVICENT-ne5gh Ай бұрын
Amina
@Ester-f8d
@Ester-f8d Ай бұрын
Amina🙏
@NatanaelKilenga
@NatanaelKilenga Ай бұрын
Ameni ameni
@EnesiaMwagala
@EnesiaMwagala 2 ай бұрын
Amen 🙏
@EdithaMethod-v6c
@EdithaMethod-v6c 2 ай бұрын
Amina
@christophermlwilo9185
@christophermlwilo9185 5 ай бұрын
🙏🙏
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 149 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 85 МЛН
TAHADHARI, WADUDU hawa 6 Hutakiwi KUWAUA  ukiwaona nyumbani kwako
13:36
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 11 М.
Shocking Discovery: Pilates Letter Describes Color and Face of Jesus
15:41
Quoracles Digital Gospel
Рет қаралды 1,1 МЛН
HISTORIA  HADI KIFO CHA MTUME PAULO
4:25
Shane Tv
Рет қаралды 5 М.
DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA
50:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 75 М.
What REALLY Caused the Split Between Sunni and Shia Muslims
17:03
The Islamic History Hub
Рет қаралды 315 М.
WANEFILI (MAJITU) WALIKUWA NI WATU GANI KATIKA BIBLIA?
10:11
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26