KESI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR TAYARI KUSIKILIZWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI

  Рет қаралды 43,438

Bin Seif

Bin Seif

Күн бұрын

Пікірлер: 124
@hamdanisimai2292
@hamdanisimai2292 6 жыл бұрын
Hakuna haki kwenye muungano nibora uvunjike kitu gani cha kung'ang'ania jamani fungukeni vichwa.
@TeamKRX
@TeamKRX 7 жыл бұрын
Mahawi mungano yatosha basi kwa sasa mulituuwa sana 64 kisingizio warabu kumbe munawauwa wazanzibar ukome
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 6 жыл бұрын
Mungu ibariki ZANZIBAR
@feiz3180
@feiz3180 7 жыл бұрын
serikali ya muungano haina ubavu kwenye kesi hii sababu hawana ushahidi wowte wa kuweza kuhalalisha muungano huu. Tuta kwenda kulingana na tunavotaka wazanzibari na sio serikali ya muungano.
@dulakess8928
@dulakess8928 5 жыл бұрын
Feiz Amr
@jumannemeli8319
@jumannemeli8319 7 жыл бұрын
mungu ibariki Zanzibar,,, atutaki mungano wa kinafki,,nac pia tunaitaji Tanganyika yetu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
Jumanne Meli kw kwl
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
Jumanne Meli kw kwl
@lewismpangala927
@lewismpangala927 6 жыл бұрын
Wasepe waajiliwa warudi kwao
@oklahommy9838
@oklahommy9838 5 жыл бұрын
Kwani mmetawaliwa ndugu zangu huko niko kenya jirani yenu
@muhsinnainoabdullah1539
@muhsinnainoabdullah1539 4 жыл бұрын
Ahhh jamani kani hiii kuungana inekua nongwa muungano sawa nguo tu ukiona haikufai unanunua nyengine sasa imekua mjadala mkubwa zanzibar kutakua kuondoka kwenye muungano jamani tushasema hatuutaki sasa kama sisi wabaguzi iyo hiyari yetu tena kama sisi wabaguzi na nyie kuweni wabaguzi khaaa nini cha kunganganiana zanzibar inabahat zake bana tena mpaka dunia itaisha zanzibar haikosi bahati yani
@salehlofy4251
@salehlofy4251 7 жыл бұрын
hatuutaki msitulazimishe mshatuzulumu sana sasa basi
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 6 жыл бұрын
Tunataka Tanganyika yetu muungano basi
@salehyussuf9675
@salehyussuf9675 6 жыл бұрын
Hatutaki tena muungano mashehe mpaka leo hawajatoka ukatili
@dalilaseif6158
@dalilaseif6158 6 жыл бұрын
Tugawane mbao bara kwao znz kwao
@cauziafff2852
@cauziafff2852 6 жыл бұрын
wallah mie naumia ni matatizo ya vyama lakin tunatukanana mpaka bc duuh....ALLAH atusamee katika hili
@shabanisaidi8827
@shabanisaidi8827 6 жыл бұрын
Mungano hauna maslahi na wazanzibar
@aliabdalla2179
@aliabdalla2179 3 жыл бұрын
Hili wallAhi ni Bomu ipo siku litabutuka inshaallah
@chamaj.i3246
@chamaj.i3246 6 жыл бұрын
Hatuutaki
@bakarihamisi5638
@bakarihamisi5638 4 жыл бұрын
Yote hayo yataisha 2020 tutakapo mchaguwa maalim seif
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 6 жыл бұрын
Mtegemeeni na Allah mtafanikiwa dua zetu ziko nyuma yenu tunakuombeeni hatuchoki Allah atakupeni ushindi tutatoka kwenye makucha haya yakidhalim hakuna marefu yasiyo na mwisho musichoke musichoke itarudi tuu heshima yavisiwa vyetu haidhuru ni unafiki wetu ndio ulio tufikisha hapa lakini naamini tumesha aamka kutoka usingizi tuliolala Yaa Allah tusidie kuigomboa nchi yetu
@SidatyAlly
@SidatyAlly 3 ай бұрын
Uvunjike tu tanz tanz zanz zanz bar
@mudyali3679
@mudyali3679 7 жыл бұрын
hatuutaki
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
A Salim ati nin
@stevenedsoniseme8599
@stevenedsoniseme8599 7 жыл бұрын
mtataka tu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
Steven Edson Iseme 🤑 kitaeleweka tu
@abdulpaku5051
@abdulpaku5051 6 жыл бұрын
Sijapata kumuona mwanamke analazimisha ndoa ilhal hatakiwi ukiona hivyo mbwambwa watu wote hawamtaki ndio Tanganyika mnafosi km wasenge kumamake. Jina mnaiba kiti cha umoja wa taifa mnatumia nyie hapa Ni talaka tu soon au serikali tatu tusizinguane.
@aminamohd604
@aminamohd604 6 жыл бұрын
Abdul Paku hahahahaaaaaaaaa huu mchezp hauhitaji hasira yaaaaani sisi tumeshika kwenye ncha nyie kwenye makali utulie na ubembeleza kama unambembeleza mke ukitaka mambo flan amaizing upo?matusi ya nini sasa kuwa mpole kama unanyolewa
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 жыл бұрын
Hatutaki banaa
@omarymohamed4805
@omarymohamed4805 6 жыл бұрын
Mimi nauliza nyinyi wazanzibar mko tayari kweli kujitenga am mnajaribu tu?
@fatmahamed3285
@fatmahamed3285 5 жыл бұрын
Omary Mohamed tuko teyar
@humoudsaid6154
@humoudsaid6154 7 жыл бұрын
sebu nauvunjikeeeeeeeeee
@sudymbaruk8013
@sudymbaruk8013 7 жыл бұрын
Humoud Said sisi hatujaungana tumeungwa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
Sudy Mbaruk kwaio tuvunjwe ama
@stevenedsoniseme8599
@stevenedsoniseme8599 7 жыл бұрын
Bola hata ww unajua kuwa mmeugwa hamjaungana chakula kikiungwa huwa kinakuwa kutu kimoja sasa hawa wanaotaka kujitenga ni wehu na tena wakapimwe akili maana kama mtu kauga boga na ikanona ikawa tamu kwa kula sasa unataka tena kutenganisha huu ni wehu chukua mfano huu mm nimepika nyama jilani akaleta nyanya ,mafuta na kitunguu tukaunga nyama na viungo vyake ikaiva baadae aseme lete viungo vyangu hata kama hajala mm simpi atakaa na njaa yake namaanisha kama kuna mtu hapend muungano ahame TANZANIA maana atakufa atauacha muugano unasonga mbele
@mariama1490
@mariama1490 6 жыл бұрын
Mwehu weye Steven Edison, ya nn king'ang'ania, tuacheni na kisiwa chetu tumewachoka,
@yousufharthy6876
@yousufharthy6876 6 жыл бұрын
Steven Edson Iseme Sawa sasa hiyo Nyama na mboga ukishapika simugawane sawa na jirani Yako. Au utapakuwa ule Nyama umwachiye mboga bila Nyama ? Simple common senses Haya ndiyo yanayofanyika
@gabriellubuva5351
@gabriellubuva5351 6 жыл бұрын
wazanzibar 1,kataeni muungano kuwa chama cha kisiasa ASP ndio iliyowaletea Uhuru wa zanzimbar sio chama cha jembe na nyundo 2,rais wa zanzimba yupo kugawana madaraka ya juu sio uhalisi in mtu mwenye mamlaka one no Jumbe alivuliwa huo unaoitwa urais na kuwekwa kizuizini au jela ya kutengwa na jamii milele zanzimba sio nchi ni sehemu tu ya Tanzania huo ndio uhalisi mengine yapo kugawana madaraka
@gabriellubuva5351
@gabriellubuva5351 6 жыл бұрын
raid wa Tanganyika na zanzimba yupi amefaidi urais nani anajulikana na dunia rais wa 1 kwanini Jumbe haelezwi na kukumbukwa kama rais wa Zanzibar hii no awamu 5 kuiongoza nchi huyo karume baba mtoto ,Jumbe,sheen vipi ? in watano ndio wanajulikana marais wengine hawana hadhi ya kuitwa marais wastaafu pengine wazee wa dar
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 жыл бұрын
wazanzibari wajifanya wayaweza mmmmmh hayeni yetu masikio tu.
@خديجهالبيماني-ن9ح
@خديجهالبيماني-ن9ح 6 жыл бұрын
kama mahkama ya dunia ina upendeleo hawatusikilizi tunavotaka basi yuko Hakim wa mahakimu wote anatusubiri
@zenasalumu2560
@zenasalumu2560 7 жыл бұрын
Uvunjwe tu wazanzibar wabinafsi sana
@hudhud2022
@hudhud2022 7 жыл бұрын
Zena Salumu Mnatunyima haki zetu sio ubinafsi haki zetu nyingi hatuzipati na mengi mengine hatuutaki tuwacheni tupumuwe mpaka kiti chetu cha Umoja wa Mataifa jina Tanzania hatuna faida nacho na mnajuwa kama tunakosa haki nyingi lakini mzigo wa mwenzio kanda la usufi put your self in our shoes ndio mtajuwa
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 6 жыл бұрын
We sisi wenyewe hatuna hamu na nyinyi vichogo tukotayar hata sasa hv uvunjwe . Mtuache znz tupumue
@anwarelghazi7838
@anwarelghazi7838 6 жыл бұрын
kwani sisi tuna hamu na nyinyi vichogo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
Rehana Elloffy kiti kitaleta maendeleo co? maan ni kosa la vyama kupelekea kw nchi piah
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Zena Salumu syo ubinafsi hakuna masilahi iyo ww mtanganyika serekali yako imekufanyia nn lazima kuna mambo unalalamika hatuwabagui ila muungano unatukandamiza hujui kitu bora unyamaze
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Hatuutaki mungano mungano wa miaka 10 imekua miaka 55 amesema karume koti likikubana livue n mungano kwa ajili ya kuweka ulizi n siowakuwabana passport tulikua nayo zanzibar kiti cha kimataifa kilikuepo kila kitu mumechukua nyinyi hatuutaki mungano
@esamuelrukwa8004
@esamuelrukwa8004 3 жыл бұрын
Kwanza nyinyi watu wa tanganyika.jueni angalau kuongea kiswahili fasaha kisha ndio mjadili habari za mungano.
@mamyssmoe6706
@mamyssmoe6706 7 жыл бұрын
Tuwachien nchi yetu huru mitanganyika wanatungangania nini
@kambarangwesosthenes5936
@kambarangwesosthenes5936 6 жыл бұрын
Siku Tanganyika ikiwaacha mtalia na kuzama baharini mkipambana kuja bara kama ilivyo Libya pale Mediterranean wakitaka kwenda Ulaya. omba mungu muungano udumu
@moseshaule7825
@moseshaule7825 6 жыл бұрын
RAMILI MOE Zanzibar sio nchi
@innocentpaulchillu1512
@innocentpaulchillu1512 6 жыл бұрын
takoe zamani Zanzibar ulikua ni Mkoa tu,kama mikoa mingine ya tz,Na itabaki kuwa hivyo,watu wenyewe Zanzibar yote population ni one million, mnataka mpewe nchi no.
@aminamohd604
@aminamohd604 6 жыл бұрын
tuwang'ang'anie muna nini?mbele hamuchezi nyuma hamutikisiki fungu la kukosa
@aminamohd604
@aminamohd604 6 жыл бұрын
Kambarangwe Sosthenes wakija tunawafukuza kama vibaka
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 5 жыл бұрын
Mbona watu wanavunjiwa majumba yao kwa kisingizio mamejenga katika maeneo yasio ruhusiwa,kodi wanapika na vibali wanavyo,mbona wawo hawakuachwa sababu walishajenga siku nyingi?..kama muungano si salali si salali hata kama umedumu kwa miaka 500 bado hautokua halali,ni sawa na hao walojenga nyumba zao zikabomolewa.
@fatmahamed3285
@fatmahamed3285 5 жыл бұрын
hatutak mungano hatutak mungan
@hamadyusuf2598
@hamadyusuf2598 6 жыл бұрын
chonde chonde muungano usife mtajuta na kulia ndugu zangu zanzibar. undugu usife msitarajie sultan wa oman atawawezesha maisha yenu.
@aminamohd604
@aminamohd604 6 жыл бұрын
Hamad Yusuf hahahahaaaaaaaaaa waambie hao
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Kwani uliambiwa sultani wa Oman ndio atatuwezesha,semeni nyinyi km munamuogopa muengereza na malkia wake ,ss hatuutaki sultan acha kuleta maneno yenu ya uzushi hapa,na kuendelea na koloni jeusi haiwezekani maana nyinyi ndio nyoka wakali na wenye sumu inayoumiza,mumezoea mteremko kupitia mgongo wa Zanzibar, sasa nyinyi bado sana kimaendeleo mutatuwa kabisaaa kabisa lkn sultani wao wameshaendelea ni afadhali lkn usijidanganye,km ss siku zote Zanzibar itawaliwe na watu wapo wakubali ilo neva
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 5 жыл бұрын
Kiukweli Wanzanzibar wanataka kujitenga kwa ubinfsi wa kutaka kurudisha usultani visiwani,alaf cha ajabu hata hawatambui mchango wa Karume walikua tayari kuongozwa na sultani chini ya waziri mkuu ila Karume akaharibu malengo yao kwa kumuangusha kwa hyo bado wanatamani sana usultani huo ndo ukweli.
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Ayo ni mawazo yako mabovu yaliyokutawala ktk bichwa lako,hakuna anaetaka kutawaliwa SASA, upo na sasa unataka tuendelee kutawaliwa na nyinyi koloni jeusi,lisilopenda maendeleo,hata huna huruma inatawala mweusi mwenzako,km vile hamuko asili moja,koloni jeusi halina kheri,kwanza maisha yote anataka apate yy tu mwenzake asipate,muuwaji wa maendeleo ya wenzake chuki binafsi,ushenzi na ulaghai,kupora, kukandamiza ,hili ndilo koloni tanganyika, ivi nani mbinafsi km sio nyinyi ,hampendi wenzenu wanufsike w au wafaidike na chochote ,choyo kimewazidi, nyinyi nyinyi ndio watu wabaya sana,kuliko hilo koloni jeupe ,hampendi wenzenu wapate ,munawapora kila kitu,yaani hiyo ndo asili yenu,mpaka wanawake wa huko wanaogopwa kwa uporaji
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Hujuwi history ya zanzibar unajua history y kitabu ingiaa googol KZbin tafuta history y zanzibar usiropokwe hakuna mzazibar aalieteswaTanganyika ametumwa n Kenya n American kupiga usilamu n siokuondoa ukoloni warabu n wazanzibar kitu kimoja adii leo haitotokea kutawaliwa mtu zanzibar fatilia Mambo y Tanganyika hujuwi history y zanzibar unajua history y kitabuni kupotosha watu lakini saiv mambo yote yapo wazi hadanganywi mtu hatuutaki mungano hamna faida kuwepo enjoy your life musichoke kuitoa zanzibar ktk ukoloni wa tanganyika
@idisoncavan7800
@idisoncavan7800 5 жыл бұрын
Hatuwebu
@vakwawesanga733
@vakwawesanga733 6 жыл бұрын
Mmmh jamani muungano mzuri
@aminamohd604
@aminamohd604 6 жыл бұрын
SANGA BUTO hahahaaaaaaaaaaa tena unaleta rahaaaaaaa
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 6 жыл бұрын
Dawa yao kila mbongo ambaye anaekaa zanzibar tunamlawiti .manayake munapenda kujipendekaza kwa wapemmba.
@SidatyAlly
@SidatyAlly 3 ай бұрын
We watobwa sama eee angaliya Tanzania nchi siyo kisiwa
@hamadyusuf2598
@hamadyusuf2598 6 жыл бұрын
yapo mambo madogo madogo yafanyiwe kazi na c kuvunja muungano
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Sio madogo ni makubwa tu
@samirfarouk4964
@samirfarouk4964 6 жыл бұрын
Haki ya mungu naapa kwa chama changu cha Afro Shirazi Part Ikiwa tunataka muungano huu uvunjike nasisi lazima tujifanye makafir wa Tanganyika kwa maana(wapinga Zanzibar maamlaka kamili ya Zanzibar) ili tushibe kwa maandalizi ya mapinduzi mengine mapya lazima tumwage damu (kumbukeni cc watu Zanzibar hatujafanana udugu na Tanganyika) siasa yao haifanani na ya kwetu naimani lazima tufe tumwage damu kwa Zanzibar ili kurudisha heshima na vizazi vipya na jamhuri ya watu wa wazanzibar katika kujishughulikia kiuchumi Niimani yangu kuwa mahakama hutoa maamuzi mawili maamuzi ya haki na dhulma hivyo jambo kuu la msingi ni kuirudisha ASP na kuandaa viongozi shupavu na wenye msimamo katika maamuzi yao na pia hata katika kutafuta haki lazima na unafiki tuwenao hapo ndipo tunazaa kitu Diplomatic politics and Emergency decision of our leaders . Thank for looking.
@aminamohd604
@aminamohd604 6 жыл бұрын
Samir Farouk film movie sijamalizia kusoma lkn maneno yako yanatia njaa hahahahaaaaaaaaa
@SidatyAlly
@SidatyAlly 3 ай бұрын
G
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 7 жыл бұрын
Steven Edison,toka lini utawala wa lazima ukadumu?Soma historia ya dunia na namna utawala wa mabavu ulivoporomoka.Waswahili wanasema penye nia iko njia.Jifunze kaka,wacha kuropokwa.Hakuna jambo zuri kama kuwafikiana kwa hiyari na sio kwa nguvu.
@fatimaff8692
@fatimaff8692 6 жыл бұрын
Ahmed Albalooshi hatutakiiiiiii jamanee tume chokaaaaaaa
@rahmajuma6992
@rahmajuma6992 6 жыл бұрын
U
@fahadjunior5855
@fahadjunior5855 5 жыл бұрын
Hatutaki kwani lazima tuungane mana mimi sioni faida ata moja ya kuungana na hawa wajinga
@RoseMary-hp5bz
@RoseMary-hp5bz 7 жыл бұрын
cijaelewa eti kunani
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 6 жыл бұрын
wewe unaetoa mbovu hapo ushajua kula pweza na ngisi sasa umekua jeuri utatuwala hata kwa lazima kwani hii nchi tulipewa na Babaako??
@lameckmmassi6327
@lameckmmassi6327 6 жыл бұрын
jamani wa zanzibari nawaombeni sana msisubutu kuuvunja muungano msikubari nyie ni watanganyika tu. na anaetaka muungano uvunjike atavunjika yeye.
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Unajidanganya
@anwarally1106
@anwarally1106 4 жыл бұрын
Lameck mtanganyika peke ako chinga wewe
@atfyahabdulfatah3197
@atfyahabdulfatah3197 4 жыл бұрын
Yn ww lameck kaaa 2 kmya chinga ww mwenye chogo lenye mita 100na nywele za pilipili waarabu wa kizanzibar tukiongea ww unatakiwa ukae kmya maana hufananiii kbx kuongea ktk levo zetu
@aishabakar6329
@aishabakar6329 5 жыл бұрын
Nasi tunataka tanganyika yetu mabinafsi hao wakalime kalafuu pumbavu sanaa
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
😂😂😂😂hiyo karafuuu,ndio wanaong'ang'ania mabos zako
@atfyahabdulfatah3197
@atfyahabdulfatah3197 4 жыл бұрын
We aisha bakari unachokijua ww ni kupika ugali na kudeki 2 na Cjui kma hta unaelim angalau ya form 4 iv hujui kma iyo karafuuu ndo inawatoa roho hao wakubwa zako mbwa ww
@hamadyusuf2598
@hamadyusuf2598 6 жыл бұрын
mnamwona thabit kombo na karume wajinga? haya jaribuni mtakimbia visiwa hivyo Wallah hapatakarika znz
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Apo mwanzo watu waliishi wapi?
@atfyahabdulfatah3197
@atfyahabdulfatah3197 4 жыл бұрын
We hamadi usituzingue hapatakarika ndo nn KUKALIKA PATAKALIA mtupe chetu kisha tutajuana kwa passport kichogo kikitoka Dar kikija znzbar kiwe na passport na Zanzibar akitoka znzbar kwenda Dar awe na passport pia FREEE itakua ni unguja na pemba 2 kupita free bandarini IMEISHA IYO
@ddennisskkattulla5942
@ddennisskkattulla5942 6 жыл бұрын
Tanganyika ina nguvu kiuchumi hivyo ni haki muungano uwepo kwa namna yeyote ile.
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Kwa iyo na uchumi wa Zanzibar muchukue nyinyi
HUKUMU YA KESI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YATOLEWA
3:38
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 107 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
WAZANZIBARI SI WA KULALA NA NJAA - SHEIKH ABEID KARUM
4:54
Bin Seif
Рет қаралды 49 М.
Ifahamu historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
15:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
KAPIGE DEKI - BURUDANI ZA MASHAKA
22:52
Bin Seif
Рет қаралды 34 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 59 М.
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Dhow Countries Music Academy
Рет қаралды 82 М.
MAJI YAKISHAMWAGIKA - BURUDANI ZA MASHAKA (4)
19:07
Bin Seif
Рет қаралды 16 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 107 МЛН