Ya Allah Ninakuamba Kwa Dhati Yako Iliyotukuka Na Uzito Wa Arsh Yako Uniepushe Mimi Na Kizazi Changu Pamoja Na Waumin wote Kutokana Na Balaa Hili.
@AhmedWiseman25 күн бұрын
Allah atubaruki na atupe mwisho mwema !!!
@halimakalinga77643 жыл бұрын
Ya ALLAH tup mwisho mwema hapa duniani na Akhera
@nassorsaid9825 Жыл бұрын
Amiiin
@aminasuleiman64023 жыл бұрын
Yaaarabi tunusuru na matendo maovu😭😭😭🙏🙏 tunashukulu kwa kisa kizur na cha kusikitisha walichopitia mitume yetu ilotangulia !!!
@bnbnbnbbnvbn90063 жыл бұрын
Allah atuhongoze katika njia ilio nyooka
@IslamicKindness3 жыл бұрын
amin
@ibrazahor11913 жыл бұрын
Allah akuweke
@IslamicKindness3 жыл бұрын
Amin
@ismailm3253 жыл бұрын
shukran kwa kutuwekea mawaidha haya
@FotonataMussa2 ай бұрын
Mashaallah
@jamillahmwinchande61153 жыл бұрын
Mashallahhh🙏🙏🙏
@halimakalinga77643 жыл бұрын
SubhanaAllah😭😭😭😭😭
@rashiymrang61343 жыл бұрын
Subhanna llah
@mwanamkuunguji77426 ай бұрын
Yaarab tuepushe na madhambi na atujaalie mwisho mwema
@hanifahanifa5068 Жыл бұрын
Allah atuongoze bila yeye hatuwezi
@nassorsaid9825 Жыл бұрын
Allah tuepuxhe na dhambi hii kwa hakika ni msiba ulio mkubwa ssna😢😢
@fatumahalifa83294 жыл бұрын
Mwenyezimungu atunusuru na vizaz vyetu
@IslamicKindness4 жыл бұрын
Amin
@ismailm3253 жыл бұрын
Napenda uploads zako zote huwa zinakua na audio quality nzuri sana
@bintyk51494 жыл бұрын
Asaiv ndo wako wengi hawa . dah ummah wa Mtume Muhhammad tuna vitendo vyoote vya mitume ilopita 😭😭😭😭😭dah yarabbi utuswamehe na walofanya uwatoe ktk vitendo hivi. Hakiamungu watatuangamiza hawa watu.
@IslamicKindness4 жыл бұрын
Amin Allah atuhifadhi na shari zote za ulimwengu
@bnbnbnbbnvbn90063 жыл бұрын
SoubhanaAllah
@babasanwar57784 жыл бұрын
Allahumma amin. Mashallah
@RayaAli-z6f Жыл бұрын
Isgood
@Awatee4 жыл бұрын
Subhana allah allah atufihadh na mamb machaf pamoja na vizazi vyet