Historia ya EDWIN MTEI Gavana wa BOT Aliyetofautiana na NYERERE Masharti ya IMF

  Рет қаралды 99,249

Charles Kombe

Charles Kombe

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@ClaveryKaboyele
@ClaveryKaboyele 3 ай бұрын
Nimezaliwa 1960. Nimefurahi na historia hii. Naamini labda pia ma-bus ya MTEI EXPRES ni ya yeye. Nimeishi pia Arusha sana. Big up Mzee Mtei.
@SanchoHamisi
@SanchoHamisi 4 ай бұрын
Mzee alikuwa makini sana.Upinzani ulishashika nchi siku nyingi,Sema wanaoongoza kwa sasa wanatumia nguvu tuu.
@r14kgroup68
@r14kgroup68 11 ай бұрын
Mwlm fikra zake.ziishi
@jumannehassan242
@jumannehassan242 4 ай бұрын
Sawa kabisa alikuwa vizuri sana tuige mwendo huo
@makibadatela7865
@makibadatela7865 Жыл бұрын
Tabia ya Kupeleka watoto shule kwenye mkoa tofauti na mkoa aliozaliwa kumbe ili anzishwa na Mkoloni Mwingereza! Ukweli usipindwe.
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
Nyerere bhana alikua mbabe sana
@r14kgroup68
@r14kgroup68 Жыл бұрын
Edwin mtei hongera
@EmmaMwaituka
@EmmaMwaituka Жыл бұрын
Ni kazi sana watanzania kuwa sawa yaani sisi huwa tuna amini nyerere alikuwa hakosei wakati sivyo
@kasiisomi1821
@kasiisomi1821 Жыл бұрын
alafu niujinga tumejazwa na tumejaaa alafu hata ile marekani yenye miaka 200 tanguuhuru na bado kuna maraisi wanakoseaa
@AmbakweteMwakalugirao
@AmbakweteMwakalugirao Жыл бұрын
Kwani kukataa masharti ya IMF Nyerere alikosea??? Hakuna Mchumi Mzalendo anayeweza kukubali sharti la kushusha thamani ya sarafu ya Nchi. Mtei hakujua lengo la IMF. Kwani IMF na WORD BANK unajua ni za nani??? Mtei alielewa MAELEZO ya IMF ila hakujua LENGO lao, wakati MWL alijua lengo lao. Vivyo hata kina Msuya waliotupoteza baadae kwa kukubali.
@kasiisomi1821
@kasiisomi1821 Жыл бұрын
@@AmbakweteMwakalugirao hakuna mwanasiasa mkweli hapa duniani tangu iumbwee
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 4 ай бұрын
Msimamo wa mwl ulikuwa sawa kukataa mashart ya IMF but mwinyi alipokubali mashart ya wazungu na kushusha thamani ya fedha yetu.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 ай бұрын
Nyerere alikosea ndio
@JoelMuro-dr1sf
@JoelMuro-dr1sf 4 ай бұрын
Ni nzuri sana hy historia
@Saltary
@Saltary 4 ай бұрын
Alikuwa sahihi kwani lazima tubadlike ili twende na wakati kama tunataka maendeleo.
@seifomar8297
@seifomar8297 4 ай бұрын
Alikosea sana na pia hakumshauri rais vizuri
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Hongera Mtei, Hongera Mbowe, Hongera Lilian
@danielnangela2195
@danielnangela2195 6 ай бұрын
So splendid.
@charleskombe
@charleskombe 6 ай бұрын
Thank you so much!
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Mtei alikuwa sahihi
@kingsleymanyama5150
@kingsleymanyama5150 3 ай бұрын
Mwalimu alikuwa na maamuzi ya kizalendo sana
@sarahjames2287
@sarahjames2287 Жыл бұрын
Ni kweli Edwin Mtei very smart
@AnthonyManga-ve5sm
@AnthonyManga-ve5sm Жыл бұрын
Sio leo
@daudysanga8492
@daudysanga8492 Жыл бұрын
Ndio katufikisha hapa
@islambarafaa-y2h
@islambarafaa-y2h Жыл бұрын
Bila kumsahau muingereza Mr Brown
@njoostudio_
@njoostudio_ Жыл бұрын
Sawa Kaka Tupo Nyuma Yako Teacher
@charleskombe
@charleskombe Жыл бұрын
Nashkuru sana kwa maoni yako. Tunayathamini sana!
@macmillanmakawia1542
@macmillanmakawia1542 3 ай бұрын
Kwakuwa ni mtaalam,Kwa mawazo yake alikuwa sahihi,pamoja na kuwa Mwalim nae alikuwa sahihi,kwani alikuwa na uchungu na umaskini WA watu wake
@JafetiMrema
@JafetiMrema 3 ай бұрын
Amen
@DisimassMassawe
@DisimassMassawe 3 ай бұрын
Kweli hyu mzee ni noma
@AlbertEinstein-n5o
@AlbertEinstein-n5o 4 ай бұрын
Aiseeeeeee
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 9 ай бұрын
Alie tuyumbisha sisi wa Tanzania ni Mwinyi
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 3 ай бұрын
Mungu akusamehe nchi kapewa mwinyi tayari watu wanavaa magunia na chakula hamna hata kilo ya Dona unaipata kwa foleni.Nchi haina Akiba hata mia na imejaa madeni.Mzee mwinyi baba wa Democrasia na Neema.
@barakaleader1550
@barakaleader1550 Жыл бұрын
Wapo viongozi wengi tu ni watoto wa mchepuko
@DUL69
@DUL69 Жыл бұрын
Yaani wewe Ndugu katika Mambo Muhimu yaliyoelezwa juu ya Huyu Kiongozi umeliona hilo Tu🤣🤣🤣
@dickmlimuka9073
@dickmlimuka9073 4 ай бұрын
😅😅😅😅 27:54 😅😅😅😅😅😅😮😮😅😮😮😮😮😮😮😅😅😮😅😅
@emmanuelymeresta-si4ur
@emmanuelymeresta-si4ur Жыл бұрын
Tatizo la wandishi wa habari mnaandika kichwa Cha habar tofauti na simuliz
@johnmosha9590
@johnmosha9590 Жыл бұрын
Mtey tunakupongeza kwa kuamua kujiepusha na TANU NA CCM.MUNGU ATUKUZWE SANA KWA AJILI YAKO
@ramadhankhamis1926
@ramadhankhamis1926 3 ай бұрын
Mambo kama haya ni muhimu kutokewa na iko siku mambo yatabdilika
@ObedOsward-z7x
@ObedOsward-z7x Ай бұрын
Obed mtei mwamba
@giztony2009
@giztony2009 9 ай бұрын
Huyu mzee anafanana na binti yke ambaye ni mke wa mboye
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 5 ай бұрын
Mtei hakuwa sahihi kwani thamani ya pesa yetu ingeporomoka mno
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 ай бұрын
miaka hii hawajipunguzi..badala yake hata wake za marais wanadai wapewe pesa na iongezwe huku nchi bado tuna safari ndefu
@CosmasiMwangamba
@CosmasiMwangamba 27 күн бұрын
Sasa hyo historia ndyo takwa la watanzania,kumbe inaangaliwa Ukanda nchi ni yawatanzania mikoa 25na zaid
@JafetiMrema
@JafetiMrema 3 ай бұрын
Mwalimu, alikuwasahihi
@thomasmsamikikowe2485
@thomasmsamikikowe2485 4 ай бұрын
Assah kumbe mbowe anasimamia mawazo ya mkewe, na ndio maana hoja yoyote ya kubadili mwenyekiti haiwezi kufua dafu.UDHAIFU MKUBWA WA CHAMA MASKINI
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 3 ай бұрын
Hayo mawazo mfu.
@romanilyimo
@romanilyimo 3 ай бұрын
We mwenyewe unaongozwa na mkeo akili yako ndogo hiyo.
@AtumuMwenda-nu8zp
@AtumuMwenda-nu8zp Жыл бұрын
Umesema alienda kusoma uganda mbona hujaeleza alichokisomea makelele
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 4 ай бұрын
Alisomea Uchumi na Historia.
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 4 ай бұрын
Vipi kuhusu Kigoma Ali Malima aliyeteuliwa na Mwalimu kusimamia uchumi miaka ya 1982
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 4 ай бұрын
Mwl alikuwa kiboko
@jumambaruku5684
@jumambaruku5684 4 ай бұрын
Mtei alikua hajakosea
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 4 ай бұрын
Hakina shaka upinzani kushika dola inawezekana kabisa kwani huu ndio wakati mwafaka. Tz tunahitaji mapinduzi kuwe na mawazo mapya wananch tnahitaji kupata amani maisha ni magumu sana yanatuchanganya hasa pale ambapo inaugua huna uwezo wa lupata dawa kisha hata chakula chenyewe ni shida kutokana kila kitu bei juu. Tunajiuliza hivi itatokea siku moja nchi hii ikabadilika ma kutambua watu wa hali ya chini? Watu wa jali ya chini Tanzania ndiyo wengi zaidi na ndio tunaoteseka na kukata tamaa.
@selemanimshana3320
@selemanimshana3320 3 ай бұрын
Je ilikuaje kuhusu AMf
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 Жыл бұрын
Marehemu Mzee Balali kasoma Howard University, na sio Harvard University.
@samwela.kasamalo2113
@samwela.kasamalo2113 2 ай бұрын
Kwani inatamkwaje?
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 2 ай бұрын
@@samwela.kasamalo2113 Howard ni chuo kingine tofauti sana na Harvard.
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 Жыл бұрын
Nwandushi unakosea miaka unayotahabhchinilikua Tanganyika sio Tanzania
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 Жыл бұрын
Sorry. Narudia mwandishi miaka unayotaja kabla ya uhuru nchi ilikua Tanganyika ilikua haijaungana na Zanzibar unakosea kusema Tanzania
@goodluckngowi8661
@goodluckngowi8661 4 ай бұрын
Hakukosea
@AdamAly-r8l
@AdamAly-r8l 2 сағат бұрын
Mtei alikua msomi na imara asiyetaka kuyumbishwa
@evancetarimo1310
@evancetarimo1310 Жыл бұрын
Kumbe michepuko haijaanza leo
@NsajigwaStaphord
@NsajigwaStaphord Жыл бұрын
Ndio vyama vya upinzani ipo siku vitaongoza nchi.vikijitambua.kwa kuwa vyama vyote ni mali ya watanzania.ndio maana mtei alipeleka katiba ya chama hicho kwa mwl nyerere ili ipate baraka zake na mwl nyerere akabariki.lakini kujiuzulu nafasi ya ugavana lilikuwa pigo kwatu kama nchi.bado alihitajika kusaidia nchi.
@honomaria7279
@honomaria7279 3 ай бұрын
Hakuna maendeleo bila mabadiliko
@ClaraKongo
@ClaraKongo 3 ай бұрын
Kumbe
@phedsonmwambete7813
@phedsonmwambete7813 3 ай бұрын
Alikuwa mwamba wa uchumi na maono
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 5 ай бұрын
Msimamo ni kitu muhimu sana ktk maisha
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Kweli kabisa iko ck moja isiyokuwa na jina upinzani itaonginza nchi hii naamini pacent mia
@josephkabelege1622
@josephkabelege1622 4 ай бұрын
sawa lakini siyo cdm
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Жыл бұрын
Angalieni hiyo Channel ya Charles Kombe , kama ni kweli mwenyewe ameanza kuhubiri ukabila na matukio mengi ya zamani yanayo chochea CHUKI.
@charleskombe
@charleskombe Жыл бұрын
Sio vibaya ukasoma historia. Walioisoma wanajua ukweli wa hii. Chuki ni mbaya! Asante kwa kufuatilia
@remigimtenga7608
@remigimtenga7608 Жыл бұрын
@@charleskombe wanaoumizwa na simulizi zako watajua wenyewe.Piga kazi kaka hakuna chuki hapo.
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Bro mwaka 1957 Makelele University haikuwa inatoa shahada ilikuwa ni Diploma tena ni diploma in Agriculture and Diploma in Education research yangu inaniambia hivyoo
@charleskombe
@charleskombe Жыл бұрын
Shukran kwa kufuatilia. Lakini kwa mujibu wa Historia ni kwamba mwaka 1949 *Makerere* sio "Makelele" ilikuwa chuo kishiriki cha Chuo Kikuu cha London ambapo kilitoa shahada ya kwanza ya ngazi ya Chuo kikuu na baadae mwaka 1963 Makerere ikawa sehemu ya Chuo Kikuu cha Afrika Masharini pamoja na Campus za Dar na Nairobi. Nadhani utazame vyema Research yako.
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 Жыл бұрын
Makerere university sio Makelele. Sahihisho
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Ni kweli Tena ilikuwa ni college na sio university
@Rhobimdenish
@Rhobimdenish 6 ай бұрын
Sio makelele ni makarere
@EdgarJoseph-s8g
@EdgarJoseph-s8g Жыл бұрын
Michepuko inafaida
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Жыл бұрын
Nina amini kabisa upinzani tena CHADEMA itashika dola pasipo shaka na hivi karibuni 2024 na 2025 ni muda wa CHADEMA kukamata dola hadi raha kwa kila Mtanzania.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 4 ай бұрын
Utasubiri sana
@kadoaugust6497
@kadoaugust6497 4 ай бұрын
Kwa Mungu yawezekana
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 9 ай бұрын
Kipindi cha mwanangu soma uje utusaidie wazazi wako
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 ай бұрын
👊✌️👍。
@johnkimaro3588
@johnkimaro3588 4 ай бұрын
Sina la kusema zaidi ya kuwa hii ni akili kubwa
@isayaOdali
@isayaOdali Жыл бұрын
Kumbe makengeza ni yale yale
@MtuSafi
@MtuSafi 4 ай бұрын
Ndo Nini yani
@romanilyimo
@romanilyimo 3 ай бұрын
Embu rudia comment yako tafadhali
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 9 ай бұрын
Mtei ni mtu muhimu bali vita vya kagera vilikuwa nivita vyakujitakia kwani Obote alikuwa ni Rafki wa Nyerere kwahy alikuwa nachuki na Idd kwa .......... Leo nyerere anatakiwa kuwa St Nyerere 😂😂😂😂
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 6 ай бұрын
Umuhimu wa Mtei ni upi?? Unaweza kutueleza 7bu zilizomfanya Mtei asishiriki vuguvugu la kudai uhuru wa Tanganyika, licha ya kurejea nchini (kutoka Makerere College) mwaka 1959, badala ya kukimbilia Kenya. (kumbuka alirudi nchini 1964)?? Unazifahamu 7bu zilizopelekea Tz kuingia vitani dhadi ya Iddi Amin au unabwabwaja tu??
@PauloChacha-mg3ck
@PauloChacha-mg3ck Ай бұрын
Hujui kitu nyamaza
@mustafampande173
@mustafampande173 7 ай бұрын
ulipsema kutimua vumbi umenkumbusha O level ndo msemo tulokuwa tunautumia shule 😂😂
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Kileruu aliuwawa akiwa mkuu wa mkoa wa Iringa kwa kupigwa risasi na mwananchi mmoja akiitwa bwana Said na baadae kuichukua maiti katika buti ya gari yake na kuipeleka kituo cha polisi yeye mwenyewe.
@charleskombe
@charleskombe Жыл бұрын
Shukran kwa kufuatilia na kwa maoni. Tunashukuru na tunathamini mchango wako.
@WaleedKhaleed-w3x
@WaleedKhaleed-w3x Жыл бұрын
😂 alikutana na jembe la kinyalu
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
Dk kleruu aliuwawa na mkulima maarufu wa iringa said mwamwindi
@emmanuelymeresta-si4ur
@emmanuelymeresta-si4ur Жыл бұрын
Said alikuwa mkatili sana
@modduwaziry9482
@modduwaziry9482 Жыл бұрын
Kleruu ndio alikuwa katili
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Huwezi kubisha kila kitu mwalimu alikua mbishi na kuamini ana kiamini hatakama amekengeuka anashikilia hivyo hivyo .Hilo ni tatizo. Huwezi kujua vyote. We we sio Malaika wa mbinguni. ( hapo kunakitu cha kujifunza .kutoka kwa mwalimu na mtei na mzee mwinyi au ( mzee Ruhusa. ) Lakini kila kitabu na enzi zake
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 ай бұрын
Umeongea vema
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 ай бұрын
Aliyekwambia kwamba malaika wana akili sana je ?? Unavidhibitisho ??
@helladeogratias7630
@helladeogratias7630 2 ай бұрын
Jpm je
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Жыл бұрын
Vipi Kuungua kwa BANK Kuu , akiwa Gavana , Hiyo hela ndio anatumia sasa?
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Unaongea Nini Wewe punga ?
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Жыл бұрын
@@romanamassawe814 wewe Romana Masawe, kama ni mwenyewe, Subiri kitakachofuata mjinga weee.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 4 ай бұрын
Hivi benk iliungua wakati akiwa Gavana!!
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,9 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
"Surrender or Starve": Israel Weighs Plan to Liquidate Northern Gaza
13:45
Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary
1:04:34
WATCH: Biden delivers eulogy at Ethel Kennedy's memorial service
14:25
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,9 МЛН