Mfahamu EUGENE MAGANGA Mwanajeshi Aliyetaka Kumpindua NYERERE/ Kilichomkuta BALAA!

  Рет қаралды 135,428

Charles Kombe

Charles Kombe

11 ай бұрын

JAN 9, 1982 Palitokea jaribio la kuipindua serikali ya Rais Nyerere jaribio lililoshindwa kufanikiwa kwa kile kinachotajwa kuwa ni uimara wa kitengo cha intelejensia yaani usalama wa taifa chini ya uongozi wa rais Nyerere.
_______________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
#youtube
#youtuber
#subscribe
#youtubelikes
#youtubevide
#youtubemarketing
#youtubeviews
#instavideo
#instayoutube
#youtubeindia
#youtubeuse
#youtubelife
#youtubesubscribers
#youtubelive
#youtubecreator
#youtuberewind
#youtuberp
#youtubepremium
#video
#vlog
#live
#life
#youtubechannel
#memes
#twitch
#viral
#lol
#trending
#newvide
#youtubevideos
#youtubemusic
#youtubechannel
#video
#live
#youtubecreator
#subscribe
#viral

Пікірлер: 90
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Ahsante kwa kuendelea kufuatilia Channel hii. Ili kutusupport unaweza tucheki kupitia Airtel Namba 0782100209. Pamoja tunaweza!
@stanelyramson
@stanelyramson 11 ай бұрын
Yaaaaaiii
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 10 ай бұрын
Nyerere kuma tu bola angepinduliwa kwa sasa ata kingereza atujuwi kwaajili yake kumanyoko zake
@judicalosika7642
@judicalosika7642 9 ай бұрын
​@@rogerabdallah439 Weweeeeeerr Matusi yanini
@NaomiCharles-bb8md
@NaomiCharles-bb8md Ай бұрын
Wewe una kosea kwani uki taka kujua kingileza uwezi kusoma kozi wewe kama wewe mpaka umtusi baba wa taifa ite angalia na chakuki post bas Sio kumzalilisha baba nyelele sawa wewe
@boniphacemmagori6286
@boniphacemmagori6286 11 ай бұрын
Hao jamaa WALIKUWA mburura na wenye tamaa ya madaraka na kiburi cha uwezo waliopewa na jeshi. Ningekuwa cdf that time wangefanyiwa public fire squared....yaani mwanajeshi Tena wa Tz in service unapanga ujinga huo. Washukuru hekima ya nyerere😢😢
@FRANCIS19731
@FRANCIS19731 10 ай бұрын
Naomba ututayarishie Simulizi ya Mwanajeshi Fred Rigema wa Rwanda.
@ObedMwamwenda-xg2lr
@ObedMwamwenda-xg2lr 8 ай бұрын
Ahsante kwa kutuhabarisha historian ya nyuma
@saidichitungu6273
@saidichitungu6273 11 ай бұрын
Tamaa mbaya ni. Hatari sana Mola hapendi
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 23 күн бұрын
Tunachomshukuru Nyerere nikwamba alituletea uhuru lkn alivyowachapa baba Zetu kisa Kodi ya kichwa hata mm nisingependa
@BradOfficial-gf1fb
@BradOfficial-gf1fb 2 ай бұрын
Bdo tumawataka kina#EUGENEMAGANG ktk nch hii
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 11 ай бұрын
Asante pombe makufuli itakuwa alikuwa baba ake John
@mohamedmwatuwano5526
@mohamedmwatuwano5526 11 ай бұрын
Nyerere pia alikuwa na mapungufu kwa hio sababu za kumpendua zilikuwepo, Lakini Maganga hangeweza kumpendua Nyerere labda kumtoa uhai. Wakati ule wananchi hawakuwa na mwamko na msisimko wa kisiasa.
@DamaIbra
@DamaIbra 4 ай бұрын
Hatar kwa historia
@narcissusmakenge4710
@narcissusmakenge4710 Ай бұрын
Nyerere alikuwa mtu wa haki ndio maana kila aliejaribu kumpinga aliishia pabaya. Kubuka kina Kambona, Kasnga tumbo, chifu Abdalah Fundikira, Horece Kolimba, Orodha ni ndefu. Mwenyezi Mungu ampokee ktk ufalme wake. Aliwapenda watu wote kwa usawa bila kujali kabila, rangi wala dini.
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 8 ай бұрын
Ahsante Nimeamini watu wengi wamekufa na ndndo zao
@humphreygodfrey5400
@humphreygodfrey5400 10 ай бұрын
Sio pombe bali ni mungu, Tanzania ni nchi iliyo chini ya ulinzi wa mwenyezi mungu.
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 5 ай бұрын
Bado Nyerere anabaki kuwa kiongozi wa mfano kwani kwa wengine hao wote wasingekuwa hai R.I.P BABA WA TAIFA
@user-wi9jv7ej1y
@user-wi9jv7ej1y 10 ай бұрын
Tamaa mbaya, kamwe usitaman kitu usichokua na uwezo nacho.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
Pamoja mwamba 🙏🙏✊✊✊
@RajabuAlly-os8gx
@RajabuAlly-os8gx 11 ай бұрын
Hivi kwa nn hapo mwanzo tulipopata Uhuru wa Tanganyika na mpaka kufikia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wanyamwezi walijikita kuwa wapinzani badala ya kutafuta maendeleo ya Tabora? Ndo maana mpaka leo Tabora haina maendeleo imedolola kwani kina Fundikila, Kasanga Tumbo, Kasele Bantu, Mapalala, Lipumba Samweli Sitta Juma Kapuya nk hatuona walichoisidia Tabora labda Familia zao
@faustinijohn
@faustinijohn 11 ай бұрын
Baya sana uhaini
@wilbrodnyakamwe5687
@wilbrodnyakamwe5687 10 ай бұрын
Sio watu wote wanapenda mtu anapokuwa kiongozi, ni vyema kuchukua tahadhari zote stahiki. Lakini pia Maafisa usalama kweli wanahakikisha usalama wa nchi maana walikuwa tayari wameshanasa taarifa licha ya mlevi kutoa taarifa.
@mussamalegesi8715
@mussamalegesi8715 10 ай бұрын
Binafsi na mtazamo chanya,,,,lnawezekana hawa jamaa ndio walisababisha akang'atuka Soo tuna washukuru kwa fikra zao za kimapinduzi ndio maana had Leo tz wakuu wa nchi hawang'ang'anii madarakani.
@LuckyOx-wi8nw
@LuckyOx-wi8nw 8 күн бұрын
Nchi haifanikiwi bila kodi
@sixbertrobert3860
@sixbertrobert3860 11 ай бұрын
You are the best . Congratulations
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Thank you so much!
@sebastianmalle4383
@sebastianmalle4383 11 ай бұрын
Very good story. Niliwahi kuongea sana na Christopher kadego kuhusu hili 1997 sinza mapambano. Bado yuko hai?
@hezronmkalawa5563
@hezronmkalawa5563 28 күн бұрын
Hiyo kwa Sasa tukumbuke kenya
@DamaIbra
@DamaIbra 4 ай бұрын
Haaa Nyerere hakuwa na kosa tatizo jua serikali yetu ilikuwa na wananch wachache sana je Taifa lingejengwaje? Hebu rudin nyuma kwanza mujue kuwa Taifa bila watu hakuna maendeleo. Pia alijitahid tusitawaliwe jaman so kazi kaz ndogo kuwafukuza mabeberu acheni ubinafsi angalien mpaka tulipo salama ni Nyerere mpaka Leo tuna aman ktk nch yetu kuliko nchi zingine
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 11 ай бұрын
Mipango ya mapinduzi ilikuwa ya "kienyeji/kitoto" sana na haikuungwa mkono na maafisa vya vyeo vya juu jeshini.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 11 ай бұрын
Huyu alikuwa na silaha lakini hawa wanaopelekwa ndani kwa kugushi. Kama wanaanza wenyewe kuwapa watu kuelewa cha kufanya. Tena ni askari. Sasa civilian bila kuwa na usiano wo wote na askari.
@mosesmwangoka9409
@mosesmwangoka9409 11 ай бұрын
Usaliti Sio mzuri ungeifanya nchi kuongoka katika mafarakano ambayo Haya geisha Hadi hivi Sasa kama ilivyo Nigeria
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 11 ай бұрын
Ohh NIMESOMEA ITAGA SEMINARY NDOGO ALIKOZALIWA HUYO BWANA 😀😀
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 Ай бұрын
Hakujiandaa kimapinduzi bali kitamaa za kinyamwezi tu!
@Jamal-oj7ne
@Jamal-oj7ne 3 ай бұрын
Walale kwa aman
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 11 ай бұрын
Maafisa usalama walipata taarifa mapema sana na siyo kupitia huyo askari mlevi.
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc 3 ай бұрын
Story ina mapungufu mengi,mipango ilipangwa kuelekea mwishoni mwa 1982,kwa hiyo kurudi kwa Mwalimu kutoka nje ya nchi ilikuwa January 1983,june to September 1982 kulikuwa na jaribio la kumpindua Moi huko Nairobi,
@user-nh6gg7zj4q
@user-nh6gg7zj4q 6 ай бұрын
Ni hatar mno watu wa aina hii
@yonapaul3482
@yonapaul3482 11 ай бұрын
Magangaalikuwahafai
@patriciamaganga3891
@patriciamaganga3891 11 ай бұрын
RIEP Eugine Maganga
@user-ig4jy5mi4v
@user-ig4jy5mi4v 10 ай бұрын
Lugangira alikuwa Nairobi, hakukamatwa kwasababu hawakuwa na sababu kwa kuwa alikuwa hausiki.
@MfaumeAbdallah-yz5ei
@MfaumeAbdallah-yz5ei 2 ай бұрын
Jina la mlevi kati Yao ni nani?
@allyhemed2276
@allyhemed2276 Ай бұрын
Ilikuaje tena?
@MfaumeAbdallah-yz5ei
@MfaumeAbdallah-yz5ei 2 ай бұрын
Aliyetoa Siri kati Yao ni nani? Aliku ywa gongo au chibuku?
@isackmbwambo4179
@isackmbwambo4179 11 ай бұрын
Huyu ni mshenzi tu, asiyeelewa mambo ya dunia hii.
@user-xo1is8fc7i
@user-xo1is8fc7i 10 ай бұрын
Vita ilikua ni ya kirafiki na imetuletea hasara wananchi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
👊✌👍.
@tariqsalum20
@tariqsalum20 10 ай бұрын
Usaliti umeenea Africa
@user-ve7jn1qp6t
@user-ve7jn1qp6t 10 ай бұрын
Eeeeh hii Ni hatari
@josephturuthi1183
@josephturuthi1183 11 ай бұрын
Katika Africa mashariki ni vigumu kufaulu kupindwa serikali kwa sababu kadhaa kwanza ukabila,pili tofauti kati ya maeneo tunayo ishi,tatu familia huyu ni mtoto wa nani.
@kimunusanga9626
@kimunusanga9626 10 ай бұрын
Maganga kiboko
@user-hs4tw6mt5o
@user-hs4tw6mt5o 11 ай бұрын
Alijichanganya!
@saidsofo
@saidsofo 11 ай бұрын
Ulevi si kitu kizuri
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Ай бұрын
Tupe historia ya kifo Cha JPM
@user-ml6oo3hu3w
@user-ml6oo3hu3w 10 ай бұрын
Nimejifunza apandae chuki hawezi kuvuna na awazae vita huishia kwake ni Bora kulizoka na ulicho nacho kikiwa halali
@almeidakikoti5253
@almeidakikoti5253 10 ай бұрын
Tamaa ya madaraka au utajiri ni umaskini
@King_186
@King_186 Ай бұрын
Maganga alikuwa organizer tu lakn hakuwa hatari,,mtu hatari alikuwa Tamimu ambaye walimuwahi na kumalizana naye,,hivyo hawakuwa na nguvu tena
@abdullahsida7480
@abdullahsida7480 Күн бұрын
Huyu mzee nilikutana naye pale tabora
@user-pz6ud4mf1c
@user-pz6ud4mf1c 10 ай бұрын
Eugine maganga akitaka kutikisa kiberiti kujua kina njiti au la.
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 11 ай бұрын
AMPINDUE NANI WATANGANYIKA AKILI MBOVU WEZI MIAKA 60 WEZI MAJAMBAZI
@stanaboytz9454
@stanaboytz9454 Ай бұрын
IV uyo Zakaria hansi pop Ni yule alikua mtu wa club ya Simba ama?
@charleskombe
@charleskombe Ай бұрын
Yes ndo huyo huyo
@user-ob6vt2jx5c
@user-ob6vt2jx5c 11 ай бұрын
Usishindane na serikal
@rashidshabani6875
@rashidshabani6875 11 ай бұрын
Kombe ubarikiwe xanaa kaka!
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Barikiwa pia Rashid
@christopherpaulo9490
@christopherpaulo9490 11 ай бұрын
Lugangira na haty magicCk
@issagaddiebakari295
@issagaddiebakari295 10 ай бұрын
Maganga alikuwa kichaa
@homeculture8407
@homeculture8407 4 ай бұрын
WEKA PICHA za maganga na hao wengine
@conradmwingira684
@conradmwingira684 10 ай бұрын
Capt Maganga ni Afisa siyo Askari, Jeshini kuna Maafisa na Askari.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 10 ай бұрын
Kila afisa wa jeshi ni askari, ila sio kila askari ni afisa wa jeshi.
@haxhymseyf9710
@haxhymseyf9710 10 ай бұрын
sasa afisa ni nan?? asifa ni kama cheo
@ObedMwamwenda-xg2lr
@ObedMwamwenda-xg2lr 8 ай бұрын
Mungu aliinusuru Tanzania isingie kwenye Historia mbaya ya kupinduana. Mpaka sasa tunaheshimika Afrika kwa kukabidhiana madaraka kwa amani.
@robertmwakingili4255
@robertmwakingili4255 10 ай бұрын
Ni ujinga. Wangeacha jeshi na kuwa wanasiasa.
@selinamashoko2490
@selinamashoko2490 11 ай бұрын
Ardhi Ya Tanzania imekaa kiamani/kiutulivu sana,hivyo ilikuwa ni ngumu sana huo uasi wao wa kuipindua Serikali,kufanikiwa!!
@benedictkajukano5738
@benedictkajukano5738 10 ай бұрын
P
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 10 ай бұрын
Tamimu aliuawa hata dakika kumi hazikufika kama Hadith yako ya kuadisiwa sisi tulishuhudia ni kwa jamaa madada fulani wa tanga.
@peterchristopher5216
@peterchristopher5216 10 ай бұрын
Kwahiyo hakufanikiwa kutoroka kutoka mkwajuni hadi huko leaders club?
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 11 ай бұрын
Obote arudi madarakani kwa uchaguzi uliofanyika baada ya vita. Siyo kweli mwl ndiye aliyemrudisha madarakani!!!
@user-cv3ey6gv2t
@user-cv3ey6gv2t 11 ай бұрын
Kila mtu anatkiwa kutimiza Malengo yaka
@hellenandronique9761
@hellenandronique9761 3 ай бұрын
Ukikumbuka chui kumbuka kufunga mlango😅
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Kabisa...hahaha
@user-cz8ks5qi2l
@user-cz8ks5qi2l 9 ай бұрын
Du hawa watoahadithi nao wakubali mengine wanasimuliwa ishu ya Tamim haikua mda mrefu hivyo
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 3,9 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
8. Kuundwa Afro Shirazi Party, Zanzibar
14:24
MzeeBarwani
Рет қаралды 20 М.
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН