Shaikh Othuman maalim yupo vizuri katika kufafanua Qur'an na Hadith za mtume s.a.w mungu akupe maisha marefu shaikh wetu tuzidi kufaidika na iilmu yako shaikh
@PrincessZAmlima-qh1uq17 күн бұрын
Elimu kubwa ....Allah awafanye wengine waipate kupitia hii clip ya Shk Othman
@sidesaid4604Ай бұрын
MIE NAKUELEWA SANA SHEIKH WANGU...ALLAH AKUBARIQ SANA
Kama wewe unawaogopa Majin ebu jaribu kumuifathi mwenyezi mungu ndani ya moyo wako alafu utaona uwezi kuogopa majini na wachawi
@RahimChande8 күн бұрын
ALLAH amjaalie Pepo
@MindaWilson-d7i22 күн бұрын
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤
@user-fy4op1sw2fАй бұрын
Ma shaa allah Tabarakallah napenda sana unavyo ichambua Qur'an Sheikh Othman Maalim Shukran sana sheikh wangu ❤❤❤❤
@antonymwenda30514 күн бұрын
Masha Allah
@NgarigariOmariАй бұрын
Jazaakallahu khair
@MwanlyGogo4 күн бұрын
Waisilamu hatuwaogope majini ila tumuogope mwenyez mungu ametakasika subuhanaka
@NanaHsn525Ай бұрын
Allah akupe afia ma umri sheik Othman
@MindaWilson-d7i22 күн бұрын
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo
@husseinibrahim5438Ай бұрын
AMEEN YAA RABAL ALAMEEN ❤❤❤❤
@husseinchaka1821Ай бұрын
Somo zuri Sana ,Dr sullez ako Sawa Kwa mafundisho yake .
@lovemamsafricana261127 күн бұрын
Sema tu ilmu yake ya ufafanuzi haimfikii Sheikh Othman
@KautharkabangaАй бұрын
Shukran yaaah shekhe Othman maalim
@farris_254921 күн бұрын
Sheikh wet u Allah akuhifadhi.
@azzaaltouqi2323Ай бұрын
بركه الله فيك شيخنا الله يحضيك ماشاء الله تبارك الله
@dokadoka94265 күн бұрын
❤
@UstadhiRai22 күн бұрын
Taybu taybu ❤🎉mufti Athuman
@user-hu4sd7bg8nАй бұрын
❤❤❤❤❤
@husseinchaka1821Ай бұрын
Masheikh ambao hawana elimu ya majini wakubali na kujitokeza mbele ya Dr sullez kabila umauti umechukue ,wanyoshe Jambo hili,sio kupiga makelele mtandaoni.kenya kulikuwa na sheikh aboud rogo ,alikuwa akipenda kuzungumzia jihad na kuhumiza waisilamu wasiwe wanyonge mbele ya makafiri ,wako masheikh ambao walimpinga ingawa walikosa hoja za msingi ,wakazua uzushi kitu kilicho sababisha umauti WA sheikh aboud rogo.tusiwe wanafiki Kwa minajili ya dunia .mwenye anapinga Dr sullez aende kumuona ili kuzidi kupambanua hili swala la majini.
@a.856Ай бұрын
Jazakallah khayran
@IbrahimMambo-l9r14 күн бұрын
❤Mashaallah
@IssaSalim-kv4grАй бұрын
Jazakallah khaira
@alyehemed4477Ай бұрын
Mashaallah Mashaallah sauti nzuri sana unapoisoma quran
@lovemamsafricana261127 күн бұрын
Wallahi narudiarudia vipande anaposoma ❤
@businesscenterenglishcours913621 күн бұрын
mashaAllah
@WonderfulSeagull-lg1tzАй бұрын
Waalykum Salam warahmatulah wabaraktuh
@azizayassin3623Ай бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@user-dn7gn6ib4kАй бұрын
❤❤❤❤
@OmarOmar-q2q17 күн бұрын
Duh
@user-du2fy5sd5uАй бұрын
مشأ الله
@alijuma7674Ай бұрын
Hakika majini ni viumbe km sisi tofauti yake ni kuwa wao wameumbwa kwa moto na wao sisi hatuwaoni
@nabiimgongolwa8728Ай бұрын
MIMI NASHANGAA, BADALA YA KUSHUGHULIKIA MAADILI YA TUNAHUBIRI KUHUSU MAJINI SISI MAJINI HAYATUHUSU. VIJANA WANAHARIBIKA VIONGOZI MMEKALIA KUHUBIRI MAJINI!!!!
@lovemamsafricana261127 күн бұрын
Pole kwa kukosa kuelewa elimu ni nini.
@user-wm9hr7fx9lАй бұрын
Bora umesema jini na sshetani kitu kimoja nimeukelewa
@zaidiissa371417 күн бұрын
Lakini lazima pia uwelewe wanapo kosea ndio wanaitwa mashetani yaani shetani nisifa ya tendo
@user-oy8sb7jg3s21 күн бұрын
Kuna watu hawana akili kwakwel hiv hujui afya ndo kila kitu lakin?hao vijana ndo wanaharibika na mashetan walioasi
@issackmakanga560312 күн бұрын
Majini walifukuzwa mbinguni kwa ajili ya kuasi,nyinyi waislam mumejiunga nao katika ibaada, Je! mna uhakika sala yenu inaenda mbinguni?
@MindaWilson-d7i22 күн бұрын
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤
@MindaWilson-d7i22 күн бұрын
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo
@HeriethMatembaАй бұрын
Mungu akujaaliye barak na akujaalie mwisho mwema
@MindaWilson-d7i22 күн бұрын
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤