Historia ya MANGI MELI wa WACHAGA Aliyenyongwa na Kichwa Chake Kuchukuliwa na Wajerumani

  Рет қаралды 10,921

Charles Kombe

Charles Kombe

Күн бұрын

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe
Hii hapa Historia ya Meli, Chifu wa Wachagga aliyepambana na Wajerumani karne ya 19 waliotaka kuitawala Kilimanjaro, alifanikiwa lakini mwishowe alishindwa baada ya kusalitiwa na Wachagga Wenzie ambapo alinyongwa mwaka 19000 na Wajerumani na kisha kichwa chake kupelekwa ujerumani.
_______________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
#tanzania #africa #travel #safari #nature #wildlife #photography #serengeti #travelphotography #love #travelgram #wildlifephotography #adventure #instagood #wanderlust #naturephotography #photooftheday #animals #instatravel #zanzibar #beautiful #explore #wild #picoftheday #kilimanjaro #travelblogger #natgeo #lion #holiday #trip

Пікірлер: 45
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
I'm here. Chat with me. Thanks for watching!!
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 11 ай бұрын
Natamani kuijua historia ya Tippu Tib ambae ni mzaliwa wa Zanzibar alie kua akijipatia utajiri kwa kushirikiana na waarabu kuwauzia watumwa jina lake la kuzaliwa ni Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab.
@ambrosefelixshayo6568
@ambrosefelixshayo6568 11 ай бұрын
Hongera kwa kufuatilia history ya Mengi Meli naomba uulize Serikali waliwezaje kufuatilia kichwa cha Mwinyigumba Mkwawa wasifuatilie hivyo vingie pia rudi mkoani Kilimanjaro kafuatilie mahandaki ya vita Wachagga walikua wanayatumia wakati wa vita
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 ай бұрын
@@ambrosefelixshayo6568 ujue nn serekali imeweka sana nyuma historia ya machifu wa kaskazini cjui n kwann wakati shuleni tumefundishwa machifu wa mikoa ya kusini ila kaskazini hatujafundishwa ila yote haya n nyerere
@johnb.j.m206
@johnb.j.m206 10 ай бұрын
Hongera sana Kombe kwa documentary hii. Serikali ya Tanzania iharakishe mchakato wa kurudisha mafuvu ya mashujaa wetu toka Ujerumani. Hizi kumbukumbu ni muhimu sana kwa historia ya Tanzania na pia ni namna ya kuvutia watalii.
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 5 ай бұрын
Kweli
@onemedia5010
@onemedia5010 11 ай бұрын
Nzuri mnoo. Hongera kwa makala nzuri.
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 ай бұрын
hongera sana mzee kwa kufika umri huo na uko na nguvu yako
@suzankawishe6154
@suzankawishe6154 8 ай бұрын
Una nguvu sana mungu akubariki
@GoodluckGodfreyNgomuo
@GoodluckGodfreyNgomuo 7 ай бұрын
Nimekuelewa Sana Mr tembelea nyumba ya Mungu leta historia na ziwa Chala
@charleskombe
@charleskombe 7 ай бұрын
Shukran sana. Nitafanya hvyo panapo majaliwa. Please subscribe ili uendelee kupewa taarifa mpya
@Malangalusaede
@Malangalusaede 3 ай бұрын
Naoba like zangu
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Historia yako ni nzuri
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Nashkuru sana. Ahsante pia kwa kufuatilia. Uiache kushare pia kwa wengine. Barikiwa!
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 5 ай бұрын
Jamani wachaga tuungane warudishe historia yetu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 15 күн бұрын
Kabisa
@corrolesscps
@corrolesscps 4 ай бұрын
Mmmmmmhh!!!!!! African, Yaani wenyewe kwa Wenyewe Yaani ni kazi kuaminiana, toka enzi hizo mpka leo
@SudiNahoda
@SudiNahoda 11 ай бұрын
Nzuri kwa History yako
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Shukrani sana kwa kufuatilia
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 11 ай бұрын
Umejitahidi historia ya wachaga japo umekuja kivingine ila yapo mambo mengi sana ya kichaga hujayasimulia na hayopo Tanganyika nzima na ndio watu wakwanza kuona Mwezi
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Kweli kabisa. Nimekuja kivingine kuona namna nzuri zaidi ya kuwashirikisha nyinyi wafuatiliaji wangu. Ahsante sana kwa kufuatilia.
@Malangalusaede
@Malangalusaede 3 ай бұрын
Siginda
@RhodaCosmas
@RhodaCosmas 2 ай бұрын
Kabisa walete kichwa cha babu yetu shujaa
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 15 күн бұрын
Kaka naomba kukutana na huyu mzee ase nakuomba sana kama una namba yake ya simu mm nimchaga ila natamani kurudisha mila zetu ila sijapata mtu sahihi wakunipa njia na history kamili kuhusu chimbuko letu
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 5 ай бұрын
Yani walinyongwa na wengine 10
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 ай бұрын
nenda kilema ya marangu mtaa unaitwa kimaroroni kwa mangi sina
@JosefuSwai
@JosefuSwai Ай бұрын
Mangi meli alikosea kujinyonga ni kitu Cha aibu Bora ufe kwa risasi japo nampongeza Alie bakia na msimamo wa Ayubu ni Free man mbowe Historia yake Aitafutika mwamba uyu
@SashaMallya
@SashaMallya 11 ай бұрын
Cjui kwann kwenye profile picha umetumia watu waliovalia mavazi ya kimasai, je unadhani wana uhusiano?
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Huyo wa katikati ndio Mangi Meli. Ukitazama hata katika picha nyigine kuna mavazi mangi yaliyokua yakifanana na ya Wamasai alokuwa kivas
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 ай бұрын
Zamani walikuwa wanavaa mashuka ad leo uchagan wazee huvaa mashuka kama mablanget
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 15 күн бұрын
Hizo ni shuka ambazo hazi fanani na zakimasai
@PendaelMbise
@PendaelMbise 11 ай бұрын
Nimeona jina la mangi lobolu wa meru kumbe nayey alinyongewa hapo
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Yes, nae alinyongwa hapo. Jumla walikua watu 19
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 5 ай бұрын
Yani jamani tujifunze historia yetu
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 11 ай бұрын
Natamani kuijua historia ya Tippu Tib ambae ni mzaliwa wa Zanzibar alie kua akijipatia utajiri kwa kushirikiana na waarabu kuwauzia watumwa jina lake la kuzaliwa ni Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab.
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 11 ай бұрын
Waarabu hawahusiki kabisa na utumwa.mbona hakuna vita ya waarabu na waafrika? Watemi wote waliopigana na mgerman walikuwa karibu sana na waarabu ndio maana wote walikuwa waislamu.kwanza huwezi kukuta picha ya mwarabu na mtumwa ukikuta utakuta ni ya kuchora
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 11 ай бұрын
@@mohammedamour4930 unavyo watetea utadhani miungu ya kwenu, nenda kaishi kwenye himaya zao urudi na ushuhuda, alafu mtu kua mwarabu haimaanishi ni mwislam waarabu wakristo pia wapo,ndugu chunga history ujue ni wapi wazee wetu waliuzwa na ni aina gani ya wakoloni walio kuwepo
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 15 күн бұрын
​@@mohammedamour4930acha zako ww waarabu hata wao wao walishiriki na mpaka Leo hata huko uarabuni mateso nikama kwa kwa waafrica
@jamesmbata8542
@jamesmbata8542 12 күн бұрын
Vizazi vyake vipo bado mji mkongwe zanzibar , tabora na ujiji😂
@jamesmbata8542
@jamesmbata8542 12 күн бұрын
​@@mohammedamour4930mpumbavu mkubwa ww ,Stering wenu mwenyewe Muhammad Laanatoullahi alih aliuza na kununua watumwa itakua waarabu? Kuku ww
@chazjerome9999
@chazjerome9999 11 ай бұрын
Tupe Historia Ya Wasambaa
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Shukran sana. Nitalifuatilia pia.
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 11 ай бұрын
Historia ya wasambaa fupi sana Kimweri watu wenye matumbo meupe yaani wazungu aliwashangaa akamuuru wapewe sehemu isiyo ota kitu kwenye miamba na mawe Kimweri alipofanya hivyo akijua patawashinda wakimbie alipokwenda kuwatembelea kama bado wapo alishangaa kukuta wajerumani wametumia yale mawe kujenga nyumba Stori imeishia hapo week ijayo ntakupa ya Amboni na mapango yake kilimo Cha chai nk
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Ahsante sana. Barikiwa sana kwa kufuatilia na kwa maoni yak
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН
Hiroshima - the unknown images
52:01
La 2de Guerre Mondiale
Рет қаралды 12 МЛН
Tom Feelings discusses The Middle Passage
11:12
Society of Children's Book Writers & Illustrators
Рет қаралды 7 М.
Scared straight: The brutal reality of life in prison | 60 Minutes Australia
15:18