Mwanzo Mwisho Historia na Utata wa Mauaji ya IMRAN KOMBE Mkurugenzi wa Zamani wa USALAMA wa TAIFA

  Рет қаралды 43,808

Charles Kombe

Charles Kombe

8 ай бұрын

#HomeOfUntoldStories #charleskombe
Historia ya Meja Jenerali Imran Kombe, Mkurugenzi wa Zamani wa Usalama wa Taifa aliyeuawa na Polisi wa Tanzania mwaka 1996 akihisiwa kuwa Mwizi wa gari.
________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
#railing #designer #architecttips #designtiktok #safeafrica #safe #safetyfirst #buildingdesigners #africancheck #viral

Пікірлер: 62
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 8 ай бұрын
One of the finest Legend soldier of JWTZ i ever hear.
@humphreychristopher8577
@humphreychristopher8577 Ай бұрын
Ajabu sana! Askari shupavu, mashujaa, wabobevu kwenye upekuzi na upelelezi, wasomi kwe vyuo vinavyoamika...tehe! Wote wsione plate number ya gari wathibitishe, wote wanamwinda mtu wasiyemfahamu kwa sura, rangi na umbo. Ajabu sana! Msimumulizi wa sakata hili pia hakutafiti vizuri kabla ya masimulizi
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 12 күн бұрын
The great kombe❤
@georgemwakalindile687
@georgemwakalindile687 Ай бұрын
R.I.P Baba zetu .IMRAN KOMBE,TUMAINIELI KIWERU AND MARTIN MWAKALINDILE...waliingia JWTZ pamoja,walienda kozi ya utawala pamoja nchini Uingereza...wote walifika wadhifa wa Chief of Staff wakati tofauti.....kifo cha Imran Kombe kilimuuma sana Baba yangu... Hali ile niliwahi kuiona alipo fariki Edward Moringe Sokoine...Mungu awalinde mlipo....
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
R.I.P poleni sana
@josephtarimo6521
@josephtarimo6521 26 күн бұрын
Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani mashujaa wetu
@josephtarimo6521
@josephtarimo6521 26 күн бұрын
Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani mashujaa wetu
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 13 күн бұрын
Wapumzike kwa amani watu walioitumikia nchi kwa ushujaa!
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 12 күн бұрын
Ni aibu askari polisi wa cheo cha chini kabisa kumuua luteni jenerali kombe mkurugenzi mstaafu wa usalama wa taifa. Ni aibu kubwa na uzembe mkubwa. Kombe alikuwa mtu mkubwa sana nchini
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Ай бұрын
Polisi walijua wanamuua nan na nan aliewatuma pia alijulikana... Siku alipouawa alikuwa ametoka kuonana na mrema pale kizi hotel...
@user-wx4ok9fx4v
@user-wx4ok9fx4v 4 ай бұрын
Nikutokuwa makini kwa kazi yao. Hata namba za gari hawakuangalia. Lakini ni fundisho kwa wengine
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 ай бұрын
Mkapa anajua alipo mpeleka .kwani uchaguzi wa 1995 mkapa hakushinda uchagu na huyo alitumika kumpitisha baade walitofautiana mkapa akamwondo na kumpeleka na yeye alipo enda .
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 24 күн бұрын
Bongo ukiwa hutaki upumbavu na ukiwa very streight basi lazima uuliwe tanzania bwana mimi nipo Durban KwaZulu-Natal huku kuna umafia sana lakini Tanzania umafia upo serikalini r.l.p jpm wetu na viongozi wengine wote ambao wanapenda maslahi ya watanzania
@arnoldkimaro407
@arnoldkimaro407 Ай бұрын
No comments.
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 Ай бұрын
Nimeisikiliza kwa makini sana simulizi hii lakini imeacha maswali mengi badala ya majibu. Mfano, ukweli halisi wa kifo chake bado ni tata, kuondolewa serikali kuhusika sababu hazitoshelezi
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 5 ай бұрын
Nafikiri ni uoga tu wa Maafisa wetu lkn hakukuwa na njama yoyote ovu Allah ni mjuzi zaidi R.I.P KOMBE
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc Ай бұрын
Picha ya Habyarimana,Rais wa Rwanda vinahusiana nini na maelezo haya?
@remmyyasinti1939
@remmyyasinti1939 3 ай бұрын
Kazi nzuri kaka
@FilbertRobert
@FilbertRobert Ай бұрын
Daaah! Hatari sana 😢
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 ай бұрын
😢yani mnauwa mkijua na nyinyi hamtakufa.Mimi kwa imani yangu mkapa aliusila kuumuuwa kombe asilimia mia .kama kweli mimi ni mwongo Mungu anisamehe
@peterchristopher5216
@peterchristopher5216 17 күн бұрын
Sasa hata kama angekuwa ni mwizi wa magari ndo sheria inasema mumuue?
@kevintruman9981
@kevintruman9981 5 ай бұрын
RIP Lt colonel Imran kombe hakika hii sio fair police department daah
@thespaniardinme
@thespaniardinme 5 ай бұрын
*Lt. Gen. na si Lt. Col. Lt Gen ni mkubwa sana jeshini, kama Chief of Staff, akiwa chini tu ya General (Chief of Defence Forces kwetu), kama Mnadhimu Mkuu wa Jeshi (Chief of Staff), ilhali Lt. Col. yuko chini hata ya Col (Kanali) jeshini
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 Ай бұрын
Safi sana kutuelimisha vyema.
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 29 күн бұрын
Hakuwa luten canal..alikuwa luteni generali...
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 Ай бұрын
Asante sana kwa ufafanuzi huu mzuri ila pia nawaza kumbe Daniel Arap Moi na Rais my a Rwanda na Mabutu Seseseko walikuwa wamepangiwa kuuwawa? Nilizani ni Rasi Habriyamana tu wa Rwanda ndio aliyeuwa kumbe hivi video havikua vya kawaida? Je nani aliyehusika kununua Daniel Arap Moi?
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n Ай бұрын
Charles kombe unahusian vipi na imran kombe
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Ай бұрын
Na ili ujue kuwa ulikuwa ni mpango wafungwa wote wawil waliohukumiwa kifo walikuja kuachiwa kwa msamaha wa raisi kikwete... Mungu anajua ya siri na ya dhahir na anahukumu juu ya hayo yote...
@juliusmwakaleja2811
@juliusmwakaleja2811 25 күн бұрын
Kwa maoni yangu tu. Ukiwashiwa taa na police simama.
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 11 күн бұрын
@@juliusmwakaleja2811 wale polisi walikuwa na gari la kiraia na wao inaelekea hawakuvaa unifomu na dereva wao alikuwa raia. Kiitejilinsia ilitakiwa waifuate hiyo gari Hadi itakapoingia then waiweke nyumba chini ya ulinzi then watu wa hapo then kukagua gari Hilo Kama Ndiyo lenyewe lakini sio kufietua risasi ovyo. Walichofanya hao mapolisi ni Kama hawakupitia mafunzo. Ilitakiwa wote wanyongwe. Huwezi kuua kwa kukusudia Tena kwa risasi nyingi hivyo halafu uachwe huru. Kuanzia dereva na hao wengine wote wako hatiani. Ni kashfa kwa nchi Polisi wa vyeo vya chini kumuua luteni jenerali mkuu wa kitengo usalama wa taifa. Ni mtu mkubwa Sana kwenye nchi.
@dismaskombe5092
@dismaskombe5092 8 ай бұрын
Naaaaammm
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 4 ай бұрын
Swali la kujiuliza ni jee kiongozi kama huyu anayeongoza kitengo nyeti kama hicho haekewi ulinzi??? Na kama ulinzi upo kwanini siku ya tukio hakuwa na ulinzi??? Na kama kiongozi kama huyo hana ulinzi wowote jee serikali haioni umuhimu wa kiongozi huyu wa taasisi nyeti kama hiyo??? Kiongozi wa kitengo chenye mambo muhimu ya nchi anakosaje ulinzi???
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
👊✌👍.
@user-ty8xn6pv1y
@user-ty8xn6pv1y Ай бұрын
Innalilah Wainnailaih rajiun. Allah ndiye mjuzi.
@ShukulaniBaharia
@ShukulaniBaharia 4 ай бұрын
Kwa tanzania huongozi wako kama sio mzuri unafutwa kwenye ramani ya dunia tz
@njoostudio_
@njoostudio_ 8 ай бұрын
Imran Kombe
@ShukulaniBaharia
@ShukulaniBaharia 4 ай бұрын
Mungu mkubwa
@user-ok3tb6ke9p
@user-ok3tb6ke9p Ай бұрын
Rest in peacs regend
@user-ky2it9ou2t
@user-ky2it9ou2t Ай бұрын
Bado wapo hai mpaka leo au nawao wamekufa
@PetersonMaina-lu7ou
@PetersonMaina-lu7ou 4 ай бұрын
W
@kinanaomar
@kinanaomar 8 ай бұрын
Itakuwaje uwatume makachero watafute gari lililo ibiwa bila ya kumjuwa mwizi wala gari lililo ibiwa na kuanza kufetuwa risasi kwa mtuhumiwa mpaka kumuwa hiyo ni report ya kimazinga umbwe tu na jeshi la polisi wa serikali ya Tanzania hawaja bobeya kuwa makachero wazuri na hilo lime sababisha mwisho umri wa marehemu na umri wao wenyewe
@fredricksakagabo5198
@fredricksakagabo5198 4 ай бұрын
Sasa mbona unaweka pc tofauti hiyo pc nni alikuwa president wa Rwanda Juvenile Havyarimana
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv Ай бұрын
Serikali zote duniani ni katili 😢
@user-nr2bz5pq4m
@user-nr2bz5pq4m Ай бұрын
Askari walioua bila kukusudia
@user-wg6px3nv1u
@user-wg6px3nv1u Ай бұрын
Walioua wako wapi sasa hawa polis hutumwa
@highskills5883
@highskills5883 8 ай бұрын
Nataka kujua hao waliohukumiwa kunyongwa je walinyongwa sabab kama ni njama ya serkali basi hao asikari wasingehukumiwa kesi ingeisha kimagumashi
@charleskombe
@charleskombe 8 ай бұрын
Polisi hao wawili yaani Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku walikuwa wamehukumiwa kunyongwa walikaa gerezani kwa miaka 16 na hatimaye Mwakatumbula 2011 aliyekuwa Rais wa Tanzania wakati huo Jakaya Kikwete aliachia huru. Rais Kikwete aliipunguza adhabu ya kifo na kuwa kifungo cha miaka miwili ambapo kwa msamaha wake waliachiwa huru.
@highskills5883
@highskills5883 8 ай бұрын
@@charleskombe Asante kwa majibu Mr kombe....ila nahisi Basi pengine haikuwa njama
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 8 ай бұрын
@@highskills5883 Hiyo ilikuwa sio njama ya serikali. Ni Uzembe uliotukuka wa special task wa jeshi la polisi kushambulia gari kwa rangi na muonekano tu kama haitoshi walimfyatulia risasi mtu wasie mfahamu. ni kichekesho kwa kweli kusikia kuwa polisi walikuwa wanamtafuta jambazi sugu wasie kuwa hata wanamjua wala kuwa na picha yao, ila hii nchi hii haitaisha vichekesho aisee.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 ай бұрын
Huwa wanaigiza hivyo kuwafunga na ikibidi hawawanawauwa kuficha siri
@nashnene6326
@nashnene6326 Ай бұрын
Hiyo fidia veepe? Story nusu nusu zina boa
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Ай бұрын
Wewe unafahamu . Sisi siyo wapererezi usije utuweke ndani mwanzishe kesi upya.ya ngoso mwachiye ngoso.
@juliusmwakaleja2811
@juliusmwakaleja2811 25 күн бұрын
Pia polisi wanahitaji elimu. Polisi waliotajwa hapo ni wa vyeo vya chini sana. Elimu elimu, na tena elimu. Na sisi wananchi tunahitaji elimu ya Sheria ili tuweze kuelewana na vyombo vya dola.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 8 күн бұрын
Kuwa na cheo chini haimaanishi kwamba hawana elimu
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 2 ай бұрын
Duniani haki haipo haki ipo kwa MUNGU
@charlesassey5642
@charlesassey5642 26 күн бұрын
Serikali inahusika moja kwa moja kwasababu, kama.gari ilikamatwa na kuachiliwa kwann waje waitafute tena moshi ??? Pili hao polisi kwann walifyatua risasi kwa kumlenga sehemu za kifuani badala ya kumjeruhi ??? Huo ni uongo wa serikali inavyoonekana serikali ilishakuwa na nia ya kumuua na wakaamua kununua gari iliyofanana na gari ya marehemu ili waweze kuwa na sababu ya kujitetea !!! We know it was political assassination
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Ай бұрын
WALIMUUA MAKUSUDI TU, NA NI KWA KUWA ALIONYESHA WAZI NIA YA KUJIUNGA NA CHAMA FULANI CHA SIASA JAMBO AMBALO NI HATARI KWA SERIKALI KWA MTU AINA YAKE KUTOKA KWENYE CHAMA TAWALA NA KUINGIA CHAMA PINZANI,KWA KUWA ANAJUA SIRI NYINGI ZA SERIKALI NA CHAMA TAWALA. NAWAZA TU MSINITOLEE MIJICHO.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 8 күн бұрын
Ila angejiunga chama tawala ndiyo sawa?
@mussaissa6796
@mussaissa6796 8 күн бұрын
@@FridayMwassa HUMO NDIMO ALIMWOKUWEMO
@matiredms917
@matiredms917 Ай бұрын
Siyo picha ya Imran Kombe. Picha uliyoweka ni Rais Michombero wa Burundi.
@peterchristopher5216
@peterchristopher5216 17 күн бұрын
Huyo ni major general juvenile habyarimana, Rais na pili wa Rwanda 1973-1994
@saeedpazzi1767
@saeedpazzi1767 25 күн бұрын
Tuna jeshi la polisi lenye askari wa hovyo kabisa
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН