History nzur sana,wazee wamepigania nchi wanakuja kula nchi wengine kabisa
@Do-it-yourself_at_home8 ай бұрын
MASHAALLAH
@SulemanKhan-lr1mu5 жыл бұрын
I have a lot of respect and good memories of Ali Sykes and his younger brother Abbas Sykes. Ali Sykes use to be our market master at Kariakoo. His office was behind the book store. My father use to send me to see Ali Sykes in his office to pay our rent which sometimes use to be late. I use to see a very slim man sitting in his office reading a newspaper. I did not know who he was, but later on I came to know he was Malimu, how can one get hold of Ali Sykes book and who is the publisher. Many Thanks.
@SEBASTIANBEKKO-ni8nn4 ай бұрын
Safi sana
@TZEOnline9 жыл бұрын
Safi sana napenda story zenu na simulizi za historia za wapigania uhuru
Allah amuweke peponi sheikh SULEIMAN TAKADIR ameen.
@rajabkassongo97747 жыл бұрын
Ni hitoria nzuri za wapigania Uhuru Wa Tanganyika yetu tunafanyaje kuwaenzi wazee wetu
@mwalimuchatta42944 жыл бұрын
Mungu atatulipia to
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Uyoo alikuja kuwazimaa wote akijifanya peke yake ndio master
@ferimariam9 жыл бұрын
Mashallah I am so proud to meet the Son Of AbdulWahid Sykes give me all the back ground of our history about Muslim People InTanzania Please Everyone need to Know the real history about our Country Tanzania East Africa Mashallah
@muhssinmshangama61807 жыл бұрын
Kwa kuwa zipo shule za kiislam historia hii iwekwe kwenye masomo ya shule hizo ili wajue namna gani Nyerere alipotosha historia ya uhuru na namna gani waislam waliumizwa kupigania uhuru wa nchi hii inayowanufaisha makafiri na kuwavujisha damu waislam walioumia na kufungwa jela bila hatia
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Aa babu yangu wee waislam si wapo bakwataaa
@MusaStephano-s9c24 күн бұрын
Nadhani shida ni Muslim Welfare, hii ni haki ya kiislam, lakini uhuru uliopatikana kwa ajili ya tanzania yote. Isitafsirike kwamba ilikuwa ni kikwazo kwa jamii fulani, kwani ziliruhusiwa taasisi za dini za ndani. Muungano wa taasisi ktk East Africa nadhani ilikuwa na shaka kiusalama na umoja wa kitaifa. Nadhani vizuri wangeweka nguvu walizonazo kwa ajili ya kujenga taasisi ndani ya nchi.
@sk-wj9or6 жыл бұрын
Naomba uwataje walio uwawa na Nyerere. Zanni ,Tabora, Stephen Muhando ,Muheza, sokoeni nk Leo wapiga kelele tulio dhulumiwa wazazi wala hatujaaliwi.@ mwana historia mohamed said
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Yeye aliwazima wote wote kabissa ili waislam wasiojuilikane wasisikike na yeye pia alitumika ukatoliki uwe mbele
@ffahima20106 жыл бұрын
Dah inasikitisha sana, nataman wange fight enz hizo hizo, coz kweli haingiii akilin ukilinganisha enz hizo dar wenyej wake wengi ni waislam hasa kariakoo
@raymondjohn37984 ай бұрын
Kwa Mimi binafsi siamini kwamba tatizo Ni udini,Ila Naona tu tatizo niwazee wenyewe,Kwa sababu kama Kuna upendo nasisi wote niwamoja hapawezi kuwa nakutoelewana!!,Dini kila mtu anaweza kuamini anavyotaka,Ila Mzee Abdul Sykes nimtu mkubwa Sana,mwenye mchango mkubwa katika taifa la Tanzania,hawezi kuwekwa pembeni hata siku moja,Kumtaja mtu mmoja Tu katika history hiyo haikubaliki kabisa,Lakini ukweli utajulikana Tu.
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Kilio Tena kilio tumeumiaa
@charlesmpemba93873 жыл бұрын
Nyerere alikuwa msomi Sana.wao hawakuaoma.kumlinganisha na watu wengine sio
@edwinbernard32899 ай бұрын
alikuwa msomi kumshinda chief Kidaha, nyerere alikuwa mwalimu tu,,, huyo Hamza mwapachu alikutana na nyerere wakiwa makelele , nyerere anasomea ualimu, Hamza anachukua medicine
@benjaminmichael811Ай бұрын
Abdul na ndg yake walikua wasomi pia
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Minadhani tuamue Sasa kumbe sio wazanzibari t wa nasema na kudai ukweli kuleta Haki usawa hata watanganyika
@chazylben77116 жыл бұрын
Hapo nimejifunza kitu kumbe historia ya TAA ilianza kabla ya Bwana Abdul na Ally bali wao ndio waliongeza nguvu, kwahiyo ningependa kujua zaidi TAA ilianzishwa na nani au wazee gani hadi TAA akafahamika imeundwa
@salumkanju17326 жыл бұрын
ni baba yao mzee kleist sykes alikua katibu mkuu wa TAA na rais wake akiwa ceclia matola walioiongoza tangu kuundwa mpaka 1948 waliowaachia fedasto kyaruzi kama rais na abdulwaid sykes akiwa katib kama ilivyokuw kwa baba yake mzee kleist sykes na hawa ndio wakikabiz madaraka ya chama kwa nyerere ndipo TANU ilianza hata hivyo mawazo yakubadilisha TAA kuwa TANU yalianza tangu memoranda1950 pindi hiyo nyerere yuwasoma edinbugh scotland huko uingereza ambako nako alikaribishwa na hamza mwapachu mtanzania alikuw akisomea mambo ya medical enzi hizo
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Jamani eee emu sikilizeni hayaa maneno emu amkeni kuweni na akili timamu huyo Mt alinatumia akili yake kusema nyeupe ni nyeusi na watu walikubali nakucheka huku wakipiga makofi
@MpumaLanga-vc4zh3 ай бұрын
@@salumkanju1732 ahaante
@siyaluggajo16252 жыл бұрын
Chief Makwaia kukataa kuchukua Urais wa Tanu kwa kigezo cha kuogopa wazungu na kwa maslahi yake mwenyewe kwa lugha nyepesi tunaweza kusema alikuwa Kibaraka mnaona ni SAWA. Lakini kwa Nyerere kukubali kuacha kazi yake ali risk na kukubali kupewa Urais usio na ofisini wala nguvu yeyote na kuendelea kukijenga chama cha TANU kisiwe na msingi wowote wa kidini mnaona ni TATIZO aisee mna matatizo makubwa sana.
@edwinbernard32899 ай бұрын
aliacha kazi lakin nani alikuwa anamfadhil kama siyo Ali sykes, na ndiyo alileta udini kwenye chama
@aasykesful4 жыл бұрын
TANU History - @t
@mkambotv54185 жыл бұрын
wadau nauliza, Ally sykes na Duli Sykes wana uhusiono wa kidamu?
@rajabumasoud99545 жыл бұрын
Mababu zake hao, ni ukoo mkubwa wenye historia MashaAllah
@mwalimuchatta42944 жыл бұрын
Ndio mjuku wao
@allyiddi58663 жыл бұрын
Ally saikes ni baba wa fully Sykes
@allyiddi58663 жыл бұрын
Dully mjukuu kabisa ally skyes
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Ni KAKA YAKE NDIO ABDUL SKILS
@allyiddi58663 жыл бұрын
Katika hili hatutakiwi waislam kuwa wanyonge . Hawa wamadhehebu mengine ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa Sana kutaka chama kikngine kinacho tokana na mtu wa dhehebu nyingine tofauti na c c m inayotokana na kuanzishwa tanu ambao waanzilishi wake ni waumini wa dini ya kiislam
@raymondjohn37984 ай бұрын
Kwa Mimi binafsi siamini kwamba tatizo Ni udini,Ila Naona tu tatizo niwazee wenyewe,Kwa sababu kama Kuna upendo nasisi wote niwamoja hapawezi kuwa nakutoelewana!!,Dini kila mtu anaweza kuamini anavyotaka,Ila Mzee Abdul Sykes nimtu mkubwa Sana,mwenye mchango mkubwa katika taifa la Tanzania,hawezi kuwekwa pembeni hata siku moja,Kumtaja mtu mmoja Tu katika history hiyo haikubaliki kabisa,Lakini ukweli utajulikana Tu.