HISTORIA YA NABII ADAM SEHEMU YA 1/2 Animation

  Рет қаралды 18,364

HISTORIA ZA KWELI

HISTORIA ZA KWELI

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@Balaka-b6l
@Balaka-b6l Ай бұрын
Nikweli walikuwepo kabla
@historiazakweli
@historiazakweli Ай бұрын
@@Balaka-b6l Asante
@djoe8266
@djoe8266 2 ай бұрын
Naomba kujua kama majini waliishi duniani kabla ya kuubwa kwa adam naona kama kuna hadithi mbili tofauti moja ilivyo ubwa dunia hadi siku ya kuubwa adam inaonyesha ndani ya juma moja vilifanyika hivo vitu sasa majini waliishi dunia ip
@historiazakweli
@historiazakweli Ай бұрын
@@djoe8266 Majini walitangulia Kuishi Duniani. Baada ya kuaswi na kufanya ufisadi wakatolewa dalili ni aya ya Quran أتجعل فيها من يفسد فيها ويسفك الدماء ونحن نسبح بحمدك ونقدس لك. Maana. Je mola wetu unataka kuleta katika Ardhi viumbe ambavyo watakuja kufanya ufisadi na kumwaga damu na sisi tuna utukuza utajo wako. Maana yake Walisha kuja viumbe waka mwaga damu kabla ya wanadamu ambao ni majini.
@nurumasha
@nurumasha Ай бұрын
Yani ktk watu hawajielewi ni wakristo ndo mana mnapelekeshwa na mapastor wenu kwa kukosa maarifa
@historiazakweli
@historiazakweli Ай бұрын
@@nurumasha Ni kweli ndugu yangu ila tuna majukumu mimi na wewe kama waisilamu kuwa elekeza Ndugu zetu In shaa Allah.
@alexapolinaly4755
@alexapolinaly4755 Ай бұрын
Huuu niuongo uongo mtupu
@historiazakweli
@historiazakweli Ай бұрын
@@alexapolinaly4755 Huu ni ukweli. Ndugu yangu Historia ya Adamu kwa wakristo na waidilamu haina tafauti dana labda kidogo mno.
@IbrahiimMzee
@IbrahiimMzee Ай бұрын
@@alexapolinaly4755 ukweli UPI!?
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 ай бұрын
Adam alikua Nabii lini ? Na huo unabii alipewa na Nani? Na toka lini Nabii anafanya zambi hizi akili za kimsikitisikiti sijui mnazitoa wapi
@danteanton8411
@danteanton8411 2 ай бұрын
????????🙄🤔🤔
@historiazakweli
@historiazakweli 2 ай бұрын
Adam. Alikuwa Nabii alipo shushwa ulimwenguni akawa ndio mtume/Nabii kwa watoto wake na kizazi chake hadi pale alipo kufa.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 ай бұрын
@@historiazakweli unaelewa maana ya nabii au mtume? Au unaongea Ty huo unabii alimfanyia Nani ? Na huo utume aliufanya Kwa kina Nani? Naomba jibu
@historiazakweli
@historiazakweli 2 ай бұрын
Asante kwa kujibu. Utume alipewa na Mungu baada ya kushushwa Duniani. Na yeye akawa mtume wa kwanza kwa umma alio kuwa akiishi nao kwa wakati wake ni watoto wake na kizazi chake. Adam alipata muongozo wa kiroho kutoka kwa muumba wake (Mungu) Baadae walifwatie Mitume wengine akiwemo Nuhu na Musa (Moses) @@francisjoseph1074
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 ай бұрын
@@historiazakweli Nani alikwambia kua Nuhu alikua mtume andiko gani au Mussa ? Nipe ushahidi wa kimaandiko , Enzi ya mitume , ni Agano jipya wala hakuna Nabii huko
Historia/Kisa cha nabii Nuh (A.S) - Sheikh Othman Maalim (Sehemu ya 1)
26:46
HISTORIA YA NABII ADAM SEHEMU YA 2. Animation
4:50
HISTORIA ZA KWELI
Рет қаралды 7 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
Jinsi ya Kuwa Binti Mfalme | How to be a Princess | in Swahili
15:51
Swahili Fairy Tales
Рет қаралды 94 М.
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 144 М.
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
KISA CHA SHADRAKI,MESHAKI NA ABEDNEGO KUTUPWA KATIKA TANURU LA MOTO
6:51
Simulizi za Biblia
Рет қаралды 101 М.
Historia ya Nabii Swaleh. A.S sehemu ya Kwanza 1
8:25
HISTORIA ZA KWELI
Рет қаралды 420
Historia/Kisa cha nabii Adam (A.S) - Sheikh Othman Maalim (Sehemu ya 2)
26:05
038 OTHMAN MAALIM HISTORIA YA NABII SALEH
1:02:30
HABARI MOTO MOTO TV (HMM TV)
Рет қаралды 38 М.