Kitabu Ni kimoja na kiko Tanga maktaba sasa hiyo sijui anasema maktaba gan
@mohamedsuleiman5356Ай бұрын
@@fikratulmuhibbonlinetvismail okay nataka nisome hii historia sana ukoo wa mbegha wakilindi ni kizazi cha babu zangu mimi, nataka sana kufahamu habari zao kiundani
@HASSANWAZIRIGAO3 ай бұрын
HAPO ULIKOSEA MBEGA ALITOROKA NA DADA YAKE AITWAE MBOZA WAKAFIKIA MILIMA YA VULUNI SEHEMU YA KWENDOGHOI WALIPITIA SEHEMU YA MAURUI WAKPTA MTO PANGANI PALE GUNGE GUDUSHENI